gauni nzuri, nimelipenda ilo la pink, yani online shopping tuna baatishaga sometimes, me wamenitumiaga nguo mara zina bigijii au inanuka kwapani lol
@Georges.Kitchen3 жыл бұрын
Karibu sana dada Tanzania
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Asante
@elizabetselemani35492 жыл бұрын
Dada angu mambo mm uso wangu unamafuta sasa nirikua nahitaji kupaka hiyo shea bada ila uso wangu unamafuta sasa mm nipo tazania naipataje maaana huku sijawahi kuona kwaiyo naomba msaada
@asiaamohd40773 жыл бұрын
Nimeipenda ya pink 💓
@barikikaroli60883 жыл бұрын
💕💕
@kudraahmad11413 жыл бұрын
Video nzuri bariki
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Asante dear 💕
@neemamandari49913 жыл бұрын
Uzivaage kabsa tuzione bac😍😎
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Nitazivaa dear
@emiliaschroeder22753 жыл бұрын
Home sweet home …
@barikikaroli60883 жыл бұрын
💕💕 home unakusubiri wewe tu 😀
@LifestylewithLyne3 жыл бұрын
Hayo magauni ni mazuri nimependa hilo jekundu ambalo halijakutosha. Mimi nikiwa na safari silali hata nikijitahidi vipi huwa nashtuka shtuka tu naogopa nisichelewe
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Asante dear mimi huwa nalala yani nisipo kuwa makini napitiliza 😂
@neemamandari49913 жыл бұрын
Unakuuja tna bongo eh🙂
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Ndiyo dear nakimbia baridi 😀
@Kenchiyh3 жыл бұрын
jamani unaenda home again, enjoyyy aisee
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Nakimbia baridi 😂
@Kenchiyh3 жыл бұрын
@@barikikaroli6088 🤣 nicee, enjoy on our behalf
@BabaDmD3 жыл бұрын
Sister ake ivi yale mafuta ya vitamin e ama vidonge vyake vinapatikana kwenye maduka gani kweli
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Maduka ya vipodozi na madawa
@Kenchiyh3 жыл бұрын
ahahaha yeah yani me kitu kinacho umiza kichwa pia ni covid test results 😅 maana ata kukata ticket nayo unakua kama umerisk maana refunding process inaweza kua complicated, but happy for you things zimeenda poa
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Inasumbua sana yaani mimi kama isingekuwa ni kitu cha muhimu nisingekuja