Mimi mwaka huu kwa kweli namrudishia mungu sifa na utukufu vyote ni vyake. Amenitentea mengi mazuri na anazidi kunitoa hatua moja na kunipeleka hatua nyingine. Na familia yangu tuna amani na furaha 🙏🙏 pia wale wote mnao pitia magumu msijali mungu yupo na nyinyi msikate tamaa kwa imani yangu huu ni mwaka wa Matumaini, mbarikiwe sana, nakupenda sana Bariki mwanangu na wote wanakusaport 💖💝❤👍🙏
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Amina mama asante sana 😘😘😘💕
@delaidelove87563 жыл бұрын
Pazuri jmn nimetaman hadi kufika huko
@eliethmwanguya71182 жыл бұрын
Umekuwa bonge
@radiaarady33073 жыл бұрын
🤣🤣wacha nicheke kdg my
@rentadelilah3 жыл бұрын
Hayo macontainer nimeyapenda...
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Asante dear
@zainabmalya15523 жыл бұрын
Ni pembe 5 kabisa sio 4🤣🤣🤣ila umejaribu vizur kipenz 😘
@barikikaroli60883 жыл бұрын
😂 asante
@MercyKyando3 жыл бұрын
Nimezipenda hizo boots,winter ikiisha niwekee
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Sawa 😀
@emiliaschroeder22753 жыл бұрын
Jamani pole na hekaheka za safari, mimi bado napigwa joto hapa but soon will be traveling back, hata mimi parachichi lazima nibebe jamani 🤣🤣🤣
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Asante dear enjoy jua tu maana huku ni baridi ❄️❄️
@chemistrigiki7313 жыл бұрын
Tunaomba recipe ya chapati. Yaani mwanzo mwisho please. Zangu sio laini. Hasa kwenye jiko la umeme uwiii
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Sawa dear 💕
@aminakamariza41803 жыл бұрын
@@barikikaroli6088 pole sana
@lucyprimi14093 жыл бұрын
Kata kwa kutumia sahan
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Asante dear
@neemajackson62073 жыл бұрын
🥰😍
@solomonnjovu90493 жыл бұрын
Huko hakuna maparachichi?
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Yapo ila siyo mazuri ni tudogo na mara nyingi yanakuwa yameharibika