Kwani ungemtaja huyo lema si yangekwisha tu kuliko hivi munatutia aibu ya watanzania kuweni na busara igeni mfano kwa mh rais jembe letu yupo vizuri anatufunza mambo mengi mazuri mungu ampe maisha marefu jpm 🙏
@nestokisima51935 жыл бұрын
Gambo kumbuka ww umechaguliwa na mtu ila lema kachaguliwa na watu kuwa makini katika kazi zako
@ismailramole17008 жыл бұрын
Inauma ila ndiyo kukomaa kisiasa.kama mbunge pia alitakuwa kushukuriwa.
@far_hard13016 жыл бұрын
Safi lemaaaa uko juuu 🙋
@visitmbeya33568 жыл бұрын
uhuni mmezidi mnafikili kila mtu fara africa ni afrika mnashindwa kupeana moyo ili kazi zizidi kufanyika nyingi kwa upendo na amani nazani ilo nifundisho kila mtu ananafasi yake katika taifa hili umimi umezidi awamu ya 5 kila mtu anataka aonekane yeye tu inaboa sana.
@emmanueljohn89707 жыл бұрын
Ila mbona mkuu wa mkoa hakumalizia kuongea, huyu jamaa hajatumia Hekima
@josephkisaka14948 жыл бұрын
Nimesikitishwa sana na uhuni wa mrisho Gambo, ameshindwa kuona ushirikiano uliokuwepo kati ya Jacob na mh Hapi kinondoni?? walifanya kazi kwa ushirikiano mkubwa na kuifanya kinondoni kuwa halmashauri ya mfano.
@godlivingmboya28996 жыл бұрын
Aibu yako
@regnaldjoachim73146 жыл бұрын
mrisho katumia bisara ya hali ya juu kabisa
@furahamwikombo46704 жыл бұрын
Yote anajua Mungu... Ungemuachia tu, Mungu atakuinua... Umekosea kulalamika hapo hapo.... Mshipa wa hasira m-baya.
@mariambeautysonghuseni95494 жыл бұрын
Gambo mmmh
@lucasjacob97334 жыл бұрын
Sasa hivi Yuko wapi mungu analipa hapahapa
@mtanzaniamzalendo70017 жыл бұрын
Ni aibu kubwaa, si suala la kushabikia,lazima watanzania tupendane,acheni mambo ya kuonyeshana umwamba.Gambo licha ya kukosea hpo amekuwa muungwana kutokuchukua hatua za kihasira.
@polloz775 жыл бұрын
Big up mkuu wa mkoa kuwa na busara Lema halikuwa hanategemea hakamatwe lakini hakuna hivyo Safi sana mkuu wa mkoa kwa hilo
@hassanlikaba98136 жыл бұрын
Hii hospital ishajengwa ? ?
@blesslory18624 жыл бұрын
Wapenda sifa huyu gambo afafhali katumbuliwa
@jimmymnuano71656 жыл бұрын
Hayo mambo ya aibu sana moja kwa moja wageni hao walitufikiliaje? sisi wa Afrika au wa Tanzania?
@naamanidamasi61254 жыл бұрын
SAIVI hakuna siasa ,,ni utendaji tu wakazi zinazo onekana mkiwa wote kazini mnapaswa kuheshimiana na kumuona kiongozi mwenzako ni Bora ,anae stahili heshima APEWE heshima yake,
@hawawezidianakukushusha7568 жыл бұрын
kwani lema ungekaa kimya ili kuepusha aibu Mbele ya wageni ungevunjika pahala? du wa tz punguzeni kupenda sifa
@johnmacha21948 жыл бұрын
hapo Lema kachemka. very sad na inaleta picha mbaya kwa nchi. mhhhhh sijaipenda hii. I always say this most of Tanzania leaders have bad Moral value! too bad. Hapo Mkuu umechemka mbayaaa!
@jacksondaffi65628 жыл бұрын
john macha
@idrisarashidi40467 жыл бұрын
john macha bora tuonekane na picha mbaya kuliko uhuni anaoleta gambo eti tunaumizwa tukae kimya kisa itaoneka picha mbaya
@sirajigoodsanajanjarshaban33226 жыл бұрын
john macha unakichaa Wewe gambo ndo mwenye kosa
@maxmillianmbalamwezi54054 жыл бұрын
Sio sahihi mnatuumiza wananchi
@stevenhinjo96646 жыл бұрын
kimya ni jibu kama ulishiriki kufanikisha Bwana atakubariki lakini si lazima utajwe mbele za watu tulia utabarikiwa fujo hazifai kabisa ila kama unataka utukufu kwa wanadamu basi kasirika mbele za watu
@abdulseif40934 жыл бұрын
lema upo sahihi fanyeni kazi akina gambo sio mnatumia migongo wa watu kutafuta kiki za kisiasa
@emmydzoo87294 жыл бұрын
Aibu hiii , waafrika tunajizalilisha
@abellavidtfeldt57788 жыл бұрын
"Hekima, umoja na amani: hizi ni ngao zetu, Afrika na watu wake. ..." Wimbo wa Taifa.
@mariambeautysonghuseni95494 жыл бұрын
Hio niaibu jamani
@thekingdon1748 жыл бұрын
Samahani kwa swali la kizushi. Hivi kwenye Media Katibu wa Chadema alimpongeza Lema kwa Ugoro Kama huo alioufanya. That is stupid thing. Yaani mtu anaongea utafikili Muhuni flani. Lema badilika, uongozi ni Hekima, Busara na weledi wa kutumia akili na kujitambua, badilika kwa hapo Gambo alikuvumilia ningekuwa Mimi ningekusweka Lupango hata Wiki. Na ubadilike, uhuni siyo dili. Kila hatua unayoifanya kwenye Maisha ya kila siku, hatua hiyo inaitambulisha aina ya akili yako kwenye jamii. Hata Kama uliona hujatendewa haki ulitakiwa kuiheshimu nafasi ya mkuu wa mkoa na baadae unamfuata ofisini kwako, maana uongozi siyo uadui, ni wapi mnakotupeleka. Ila nimeanza kupata wazo ni bora wapiga kura wawe Makini kwenye kupiga kura waache ushabiki, Lema anatakiwa abadilike ametufedhehesha vijana. Mpaka naona aibu kuiangalia hiyo video. Mungu tusamehe cc vijana kwa haya yaliyotokea. Wapiga kura tusamehe Sana.
@idrisarashidi40467 жыл бұрын
Daniel Mwakibasi ukweli hausubiriwi muda na wakati . na Lema anasimamia anachokiamini eti sababu mkuu wa mkoa akidanganya asiambiwe amekuwa nan stupid!!!
@allyflavour80056 жыл бұрын
Mmezidi xana kupendeleana nchi haiongozwi kwa chuki ilamtu kama kachangia kufanikixha maendeleo kwanini mutie aibu mbele ya wageni
@kasyupamwakibibi16156 жыл бұрын
kila m2 mnajua madenge
@polloz775 жыл бұрын
Hingekuwa busara subiri AIBU MBELE YA WAZAMINI '' ''NImewatafuta mimi'' Hama kweli wafrica ni wafrica tu Hanapiga kelele fujo hazisahidii kitu bro kuwa gentleman Hii ni taabu ya ChadeMa mnajulikana watu wafujo
@separatebetres53153 жыл бұрын
Viongozi wengine bwana
@agneserasto98065 жыл бұрын
Chadema wanapenda sana sifa mambo aliyofanya rais jpm makubwa rakin kila kukicha wanaongea uchafu
@lilianjosephat91514 жыл бұрын
Ungesubiri mbona ugetajwa huna subira lema
@sweetbertmlinda2294 жыл бұрын
Mambo ya chadomo bana unaweza Cheka ad uzimie! An ka wanafkiri kwa kutumia magot bana
@michaeljbkubugu73314 жыл бұрын
gafra mkuu wa mkoa akawa mwana siasa pia ongera sana rema maana pengine bila wewe hosptar isingejengwa ongera sana mkuu
@eustacevenant45676 жыл бұрын
Hawa Ndugu wa chadema wameanza kushambulia ma D.C. pia wakuu wa wilaya serikari Mnapaawa kuwa macho vita hinahaziaga Kwenye vitongojo! Hukimushambulia D.C. nisawa na kusema humtambui Muheshimiwa Raisi Magufuri! Please vyombo vya Usalama kuweni Macho.
@polloz775 жыл бұрын
Sijajua kama serikali hina plan B kilichotokea hapa ni hatari sana . Hangesubiri wakati wake hangesema yaliyo moyoni kwake . New Tactic for Chadema
@mgawerevocatus85824 жыл бұрын
Hekima ilikuwa ziro kwa Lema
@abdulkarimhamissi37556 жыл бұрын
Kwaio kutajwa tu ndio ugomvi wote huo dah iv lema anaelim gan jaman dah
@polloz775 жыл бұрын
Hakumaliza school
@issayasosolo54634 жыл бұрын
Gambo unachokoza Moto lema mtoto chuga huyo siyo saizi yako we kagombane na madiwani ndiyo saizi yako
@ramadhansaid16718 жыл бұрын
ama kweli duniani kuna watu.
@sasha-ri7tf4 жыл бұрын
Huyo ni mtu wa tumbo magu kaingia mkenge wa msoo.
@NANCYWARD4886 жыл бұрын
Umefurahi kupigiwa Magoti na huyo Mama ? Mwisho ubunge. 2020 hupati kitu
@amanidaudi2106 жыл бұрын
Rachel Ward He ww si ni Mungu unaye panga ya 2020,
@danielkimambo28615 жыл бұрын
Rachel Ward we ndio umesema
@thomassamwel48154 жыл бұрын
Bangi izo
@dr.erickjmazyala89057 жыл бұрын
Dah, tenda mema uende zako, hata kama hukutajwa kuna shida gani?
@tulizojonson82557 жыл бұрын
naungana na we Erick
@kajanjaahamadi75506 жыл бұрын
gumbo hapo ulitereza ukuwa na jipya
@masterfelimaster10145 жыл бұрын
Raisi wateule wako wanakupa la matope.
@destiny4life4396 жыл бұрын
kizungu ni cha nn tena
@polloz775 жыл бұрын
Kuichafua Tanzania hamna kitu kingine that new tactic Chadema sasa wanasema mradi wa standard gage wametafuta na pia ndege wamenunua
@sadamosses97638 жыл бұрын
hao ndio chadema wanatia ahibu , ss hivyo ndio nini mbele za watu
@wilbertcharles91296 жыл бұрын
Jinga wewe
@abdulseif40935 жыл бұрын
sada mosses duh! kuandika hujui🤣🤣
@emanuelmwanga44 жыл бұрын
Hhhh
@abdulseif40935 жыл бұрын
gambo na ww si utafute project zako usifie watu wako?? aliefanya kazi humsisu kwa tofauti ya chama?? mbona mnapenda kusifiwa nyie?? km uapenda kusifu au kusifiwa fanya kazi mzee
@polloz775 жыл бұрын
Kwanini wamemuhalika kama mgeni rasmi?kama yeye siyo muhusika mkuu?
@mossessimba846 жыл бұрын
Tenda wema nenda zako lemaaa
@eustacevenant45676 жыл бұрын
Lema Hujahenda shule Pia hupendi nchi yako lema hungesubiri D.C. Unavuta bangi? Hekima hakuna kingereza mchwala wewe ni Kiongozi watu wanakutegemea how can you advise on? Mawala Advocate.......stop politics!!!!!!!!@
@NANCYWARD4886 жыл бұрын
Lema. Ubunge hupati tena nyafu wewe
@polloz775 жыл бұрын
Fujo tupu
@visitmbeya33568 жыл бұрын
uhuni mmezidi mnafikili kila mtu fara africa ni afrika mnashindwa kupeana moyo ili kazi zizidi kufanyika nyingi kwa upendo na amani nazani ilo nifundisho kila mtu ananafasi yake katika taifa hili umimi umezidi awamu ya 5 kila mtu anataka aonekane yeye tu inaboa sana.