VUTA NIKUVUTE NZITO YAIBUKA KUHUSU ARDHI “HAWA WAMEMDANGANYA RAIS”

  Рет қаралды 23,911

KTV TZ ONLINE

KTV TZ ONLINE

3 жыл бұрын

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 625 323 932
Ktv Tz Online Journalists
cc: Sadia Rashid
cc: Sauti Byego
cc: Maryam Busara
cc: Masoud Maganga
Camera Department"
Dadi Ali
Mwarabu Mmadi
Nassor Shaibu
Abdallah Juma
Editors:
Juma Maulid
Dadi Ali
Video Zingine:
Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
- Ali Kiba akiwa Oman
• ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
• NI KWELI ALI KIBA AMNU...

Пікірлер: 89
@hamudsuad4193
@hamudsuad4193 3 жыл бұрын
Huyu waziri bora apangiwe wizarq nyengine hii kazi ngumu sana kwake
@rahmaabdulla4949
@rahmaabdulla4949 3 жыл бұрын
@Hamud suad. Hakika hii wizara inahitaji waziri mwanamme . Manaake mambo ya Ardhi Zanzibar si mchezo ALLAH amsimamie kwakweli
@user-eg1dr6so4c
@user-eg1dr6so4c 3 жыл бұрын
Maskin Muheshimiwa Riziki umepewa kaz Ngumu Mungu akusimamiye Ameen
@saidabdala4980
@saidabdala4980 3 жыл бұрын
Hiii ZANZIBAR inanuka unafik
@salehameir9317
@salehameir9317 3 жыл бұрын
Qq
@rahmaabdulla4949
@rahmaabdulla4949 3 жыл бұрын
Da! Huyu waziri kapewa wizara ngumu kweli kweli ALLAH amsimamie kwakweli aitumikie vzr wizara yake mnaake si mchezo mambo ya Ardhi hasa kwa Zanzibar
@brentleytoby6726
@brentleytoby6726 3 жыл бұрын
you all prolly dont care at all but does someone know a trick to log back into an instagram account..? I somehow forgot my password. I would love any tricks you can give me.
@muhidinali8180
@muhidinali8180 3 жыл бұрын
Hati siohoja kunamtu kakodishwa nyumba gulioni katengeneza warka na nyumba siyake alitaka kumdhulumu kulateni
@nzeyimanaally2327
@nzeyimanaally2327 3 жыл бұрын
Kai
@jakayamati3510
@jakayamati3510 3 жыл бұрын
Duuh
@mohamedabrahman9642
@mohamedabrahman9642 3 жыл бұрын
Zanzibar inanuka kwa mambo hayo kutoa waraka feki ukitowa rushwa utatengezewa hata wa ikulu
@fatemaligalawa1918
@fatemaligalawa1918 3 жыл бұрын
@@mohamedabrahman9642 🤣🤣🤣
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 3 жыл бұрын
Mama etu bi riziki naona ata ukimaliza miaka 5 utakua umepungua sana uzito
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 3 жыл бұрын
Mashaallah Waziri Nimepnda Maelezo Mungu Akuzidishie Hikma Na Busara Mashaallah Mashaallah Mashaallah
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 3 жыл бұрын
Mashallah hongera kiongozi hakika unaweza Allah akusimamie
@kitekite574
@kitekite574 3 жыл бұрын
Ili kazi iwe rahis muheshimiwa.wenye docment ndio wamiliki halali usipoteze Muda store baadae
@realhass
@realhass 3 жыл бұрын
documents zinaweza zikafanywishwa tu, kiislam aliedhulumiwa dua yake haikataliwi.
@emilyibraimo5032
@emilyibraimo5032 3 жыл бұрын
Nyinyi vidingi msije mkauwana apo
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 жыл бұрын
Mkitaja hati mtadhulumiana ,95% ya nyumba na mashamba ya kando za Mji (shamba) hakuna mwenye hati. Alokuwa na hati ndio mwizi.
@kitekite574
@kitekite574 3 жыл бұрын
Na km wt wana docment bs iyangalie ipi halali bs
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Жыл бұрын
Wanawaonea waafrika maskini. Poleni sana
@khamisjuma5046
@khamisjuma5046 3 жыл бұрын
Oly brother zanzibar people
@sebaskibiki4836
@sebaskibiki4836 3 жыл бұрын
Njaaa
@yashjuma9168
@yashjuma9168 3 жыл бұрын
Land dispute pasua kichwa kweli kweli 😅 pole Land Minister, Keep up the good work
@hawahawa7484
@hawahawa7484 3 жыл бұрын
Riziki pembe kazi kubwa unayo Allah akusimamie
@amourflamini7963
@amourflamini7963 3 жыл бұрын
Nyie watu wardhi washenzitu mnauziana wenyewe kwawenyewe arzi
@muhidinali8180
@muhidinali8180 3 жыл бұрын
Wa zanzibar wanaongoza kwa kudhulumu ardh sijuwi hawafaham yakwamba ni dhulma kubwa
@sebaskibiki4836
@sebaskibiki4836 3 жыл бұрын
Tatizo Zanzibar asset ni ardhi ti hasa kea wazee ka hawa, mwisho watatoana roho
@nak3477
@nak3477 3 жыл бұрын
Riziki my freind unakaz ngumu sana na usipo changamka utakosa v8
@topaviator
@topaviator 3 жыл бұрын
🤣🤣atakosaaa!!!
@nak3477
@nak3477 3 жыл бұрын
@@topaviator 😂😂
@salummzee9739
@salummzee9739 3 жыл бұрын
Aridh haigombaniw itatula hio wenyewe tukifu
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 жыл бұрын
Mtihan 😢😭
@swalehalfarsy6121
@swalehalfarsy6121 3 жыл бұрын
Kazi hii waziri wa kike haimfai
@fatimasaid9469
@fatimasaid9469 3 жыл бұрын
Tatizo sio keleta mikate hizo ni kuwarubuni. Wwe umewadhulumu wenzio hata kujieleza hujui wwe mzee mcheju. Pls waziri huyu mzee arejeshe amanaa ya watu. Pili waziri wa aridhi hii migogoro ya aridhi wasababishaji wakubwa ni wafanyakazi wa aridh tunahitaji tume huru ndani ya office yko ili tutatue mgogoro tujenge zanzibar yetu. Me mwenye nitkufuata soon inshallah na warka wangu original. Inshallah
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 3 жыл бұрын
Pole sana mh riziki hii wizara n ngumu
@topaviator
@topaviator 3 жыл бұрын
Tupo sie sie magolo hahahaha 🤣🤣🤣🙌🙌
@al-mamarial-mamari5457
@al-mamarial-mamari5457 3 жыл бұрын
Haya matatizo ya ardhi hayakuanza Leo . Yameanza pale baada ya mapinduzi ya kuuwa. 1964. Kwa hio dhulma ndo hizo zinajitokeza SASA. Kama mnakumbuka mababu zetu walipokonywa ardhi zao na Mali zao na mwisho kuteswa na mpaka kuuliwa. SASA hizo Mali zao au mwashamba Yao ndo hayo yanayoonekana SASA ni tatizo la ardhi. Naona Kwa Zanzibar yote dada yangu kichwa kitakuzunguka Sana na napenda nikupe pole na Mungu akusaidie ili uweze kutatua hayo migogoro.
@halimakihame1744
@halimakihame1744 3 жыл бұрын
Vionhozi wanaongopa kufa wakisema kweli ndio.maana mnafeli
@anipaesleiman6135
@anipaesleiman6135 3 жыл бұрын
Sababu kubwa ni tamaa tuu
@nassraal-riyyami8387
@nassraal-riyyami8387 3 жыл бұрын
Wizara ngumu hii
@noffalsalim
@noffalsalim Жыл бұрын
Yaaani hii nchi ina watu wanajifanya Wana nguvu.
@iddyally3342
@iddyally3342 3 жыл бұрын
Kisheria ina julikana kua unaweza kumiliki eneo kienyeji kwa maana bla warka na unaweza pia kua na warka
@mohammedally977
@mohammedally977 3 жыл бұрын
Jamani lazima tubadilike sasa mambo yote yanakwenda na computer hayo makaratasi ukimpaa sheikh chochote anakundikia eneo la mtuu
@khalidali1130
@khalidali1130 3 жыл бұрын
Wa2 wamejihodhia maeneo meng alpokufa mzee karume w2 wa ardh walkua hwna madili mazur tka kpind iko hakn m2 mwny asili n ardh ila kuna umilik 2 w halal n kuna w2 wamejmliksha m2 analima miak mi5 anasem eneo lake kwckua wkt uo hakn sheria nzr y ardh n watendaj waminfu alpofarik 2 mze karume wa2 walvamia ardh n kujmiliksha ovyo inapasw sheria n hati za ardh znzbr zpitiwe n zpimwe upya km si hvo utakua ugmv w kila ck usokwsh vizaz kw vizaz
@dm9299
@dm9299 3 жыл бұрын
Maaaaaaa langu jicho tu mimi sikoment tena
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 3 жыл бұрын
Angaliyeni Mnao Gombani Hapa Tunapita tuu Ardhi Ukidhulimu Nimoja Inamadhambi
@ahmadaahmada8411
@ahmadaahmada8411 3 жыл бұрын
Kama umesikia Mh.waziri akisema tupo sisi Magolo. Gonga like hapa.
@maliksingh313
@maliksingh313 3 жыл бұрын
Ni kufungu kipi cha The Land Tenure Act 1993 ya Zanzibar kinachosema kwamba Ardhi yote ni mali ya serikali? Naomba nielimishwe.
@ramzsule7678
@ramzsule7678 3 жыл бұрын
Mwambieni waziri anitafute nimshauri kitu kinaweza kumsaidia yeye na taifa kwa jumla au ajiandae na pressure kwani kesi hizi hazisuluhishiki kirahisi
@Anonymous-sy5kx
@Anonymous-sy5kx 3 жыл бұрын
Waziri akutafute wewe...whi the hell are you? If you have anything useful to say just comment here na kama ushauri wako unafaida...utanfikia tu...eti waziri amtafute a random person on KZbin...how naive toy must be!
@katibatanzania3089
@katibatanzania3089 3 жыл бұрын
Mmmmm makubwa duniyani kunamambo ivi iziharidhi jamani embu mkae na kufikiriya nimali za duniyani akuna anae chukuwa kitu chochote zidi ya kuenda ahera na amalizake tukae waja tufikiri jamani
@SalahAli-rq5sp
@SalahAli-rq5sp 3 жыл бұрын
Mwawania Ardhi ambyo yenda tubana sisi sisi
@sebaskibiki4836
@sebaskibiki4836 3 жыл бұрын
Mpaka uongo wanasema
@dazuujuma1211
@dazuujuma1211 3 жыл бұрын
Wilaya gani hii
@shixeoshxs7276
@shixeoshxs7276 3 жыл бұрын
Kinachofeli ni uwajibikaji 2 au utendajiwatu wanarundika kesi nyingi mpka zinawashinda kutatuwa na kila leo zinakuja mpya
@zabiyafahmikhamis4873
@zabiyafahmikhamis4873 3 жыл бұрын
Wanataka kutoana roho tu hawa wazee na mtu akiwa kitu sio chake anajua vizur mwenye haki yake apewe 😡
@imsimk.khamis574
@imsimk.khamis574 3 жыл бұрын
Tena ukimletea sukari na mikate ndio umuibie ardhi yake
@hawahawa7484
@hawahawa7484 3 жыл бұрын
Huyu dada nampenda eti magolo ahaha
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 3 жыл бұрын
Mhe mwinyi bora ampangie kwemgine uyu waziri wa ardhi mana hii inataka mtu mwenye maamuzi magumu
@aishanatamaniningekuepoktk5062
@aishanatamaniningekuepoktk5062 3 жыл бұрын
Anaweza ndio akawekwa
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 3 жыл бұрын
@@aishanatamaniningekuepoktk5062 inshallah
@aishanatamaniningekuepoktk5062
@aishanatamaniningekuepoktk5062 3 жыл бұрын
@@yahyahamad1802 tuwatakie dua mana uongozi unachangamoto nao
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 3 жыл бұрын
@@aishanatamaniningekuepoktk5062 ni kweli aysha nami kwa kua nna imani na uongozi wote wa mara hii allah awafanyie wepesi na naendelea kuwaombea
@aishanatamaniningekuepoktk5062
@aishanatamaniningekuepoktk5062 3 жыл бұрын
@@yahyahamad1802 amin
@samsungoman5626
@samsungoman5626 3 жыл бұрын
Malizaurisi hizo mbaya sana
@emilyibraimo5032
@emilyibraimo5032 3 жыл бұрын
Huyu waziri kibonge mtamtia presha bure mke wa watu
@jamilambarouk4746
@jamilambarouk4746 3 жыл бұрын
Atakua miss sasa presha kule
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 3 жыл бұрын
Hahahaha atajitia presha mwenyewe mana ni zaidi ya unene huo alonao
@jambo3751
@jambo3751 3 жыл бұрын
Hapati presha huyo kwasababu hali CHIPSI CHAFU😄
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 3 жыл бұрын
@@jambo3751 hahaha duh chips chafu ndio habari ya zssf hahaha
@emilyibraimo5032
@emilyibraimo5032 3 жыл бұрын
@@yahyahamad1802 kkkkkkkkk mwambie uyuo
@abdallahdullayos4213
@abdallahdullayos4213 3 жыл бұрын
Majanga
@imsimk.khamis574
@imsimk.khamis574 3 жыл бұрын
Watu wanafikiri kuiba iba ardhi za watu. Wanafikiri ni mzaha. Nawasome quran wajuwe adhabu ya kuiba ardhi
@hajimakame1062
@hajimakame1062 3 жыл бұрын
Nani apo aluzumiwa apo
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 3 жыл бұрын
Mzee hifadh wanaomchukia wanakufa😂😂😂😂
@hashilfarahany
@hashilfarahany Жыл бұрын
Wewee kweli lakin
@jakayamati3510
@jakayamati3510 3 жыл бұрын
Hahahaa wanaomchukia wote wanakufa hahahaa
@nak3477
@nak3477 3 жыл бұрын
Mwinyi uje huku kuna jambo huku...
@hassanabdallah110
@hassanabdallah110 3 жыл бұрын
uyo mcheju mkorofi atari
@nak3477
@nak3477 3 жыл бұрын
Ugomvi wote huu ni mashekh ndio wanasababisha...
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 3 жыл бұрын
Mashekh watakuwa wale wavunjifu w amani
@imsimk.khamis574
@imsimk.khamis574 3 жыл бұрын
Riziki pembe, serikali hio haikufunguliwa na watu
@user-pf9cd6zj1g
@user-pf9cd6zj1g 3 жыл бұрын
Nyie watu wa kombeni matata sana
@sebaskibiki4836
@sebaskibiki4836 3 жыл бұрын
Hawana kitu Sasa lala salama wanagombania ardhi mwisho wa siku wanahitaji hata mita 2 haifiki mwogopeni MUNGU
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 3 жыл бұрын
Mwenye warka hata uwe wa zamani wa kisultani bas ndio mmiliki wa hiyo ardhi. Hao wanaosema wameris kwa wazee. Wapo pamoja na serekali kwa kuzulumu. Na nyie jamaa wa kishamba acheni ujinga nyie
@hajimakame1062
@hajimakame1062 3 жыл бұрын
Nani apo aluzumiwa apo
EPISODE 4: MZANZIBAR ALIE TESWA MSUMBIJI AKIDHANIWA NI AL-SHABAB
36:53
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 121 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 72 МЛН
Why Starbucks Is Struggling
12:06
CNBC
Рет қаралды 556 М.
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 121 МЛН