VVC Tanzania Ft Herman Mchome - Jambo Lipi (Live Video)

  Рет қаралды 32,174

VVC Tanzania

VVC Tanzania

Күн бұрын

Пікірлер
@nurdinmvellah4032
@nurdinmvellah4032 13 күн бұрын
Jamani huu mwaka mbona umeanza kwa kasi ya upako Sana ,? Yaani kila wimbo wa injili toka January 1 ni mtamu moyoni mwangu. Nadhani 2025 ni mwaka wa Mungu wetu kujidhihirisha.🎉🎉🎉
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
Amen 🙏♥️
@pendomangi8400
@pendomangi8400 13 күн бұрын
Wangapi wameona nguvu za Mungu 2025?
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
🖐️🖐️🖐️
@irenetuni2349
@irenetuni2349 10 күн бұрын
Kama Mti kando ya Maji,unijaze Baraka Unijibu Nikuitapo,Usikie Dua yangu Umulike Njia zangu,Umulike Nipitapo Wewe Ndiwe Nuru Yangu Kwani ni Jambo,Lipi hilo Usiloliweza Mungu wangu!!??🙌🙌🙌🙏🙏🙏 Mungu awabariki sanaaa
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 9 күн бұрын
Amen 🙏♥️
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 9 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU
@SaudaSebasian
@SaudaSebasian 7 күн бұрын
Nilikataaa tamaa ya maisha 😭😭😭 lakini huu wimbo umenikumbusha ya kwamba hakuna jambo lisilowezekana kwa MUNGU🙏🙏🙏 mbarikiweeeee sanaa kwa wimbo wenye nguvu za MUNGU ndani yake❤❤
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 6 күн бұрын
Amen MUNGU azidi kukutendea🙏❤️
@YonaSonelo
@YonaSonelo 13 күн бұрын
Mungu wa mbinguni Akawawano kwa huduma hii kubwa VVC TANZANIA
@masalugusessa3702
@masalugusessa3702 12 күн бұрын
Mzee Hermann anaubonda balaa! Tunamtukuza Mungu kwa ajili yake ❤🙏
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
Groly to God 🙏♥️🔥
@emmanueljohn7
@emmanueljohn7 13 күн бұрын
Ili Jamaa linafumua 😂😂😂 balaaa Fahari yetu Tanzania kama Joyous Celebration ipo siku Mtaliona Lipo Joyous South Africa Be Blessed Kaka
@masalugusessa3702
@masalugusessa3702 12 күн бұрын
Mwamba anaubonda balaa! 😂😂😂
@MahatmanMalcom
@MahatmanMalcom 11 күн бұрын
Balaa
@mbux7443
@mbux7443 4 күн бұрын
Nux mwana
@petrolazaro8713
@petrolazaro8713 8 күн бұрын
Kuna watu wapo kwa kusudi tuu la Mungu kwa ajili ya faraja kwa watu be blessed Vvc@Yona sonelo Mungu akuinue baba huu wimbo una nguvu ya Mungu ndani yake..Ongera sana Felistermwaipopo kwa Kuwa vvc Mungu akubariki sana Mtumishiì ❤
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 6 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU 🙏♥️
@IsaacSengunda
@IsaacSengunda 11 күн бұрын
Huu wimbo uliimbwa pale kajiado tarehe 29/11/2024 kwenye ule mkutano mpaka raha,, Safi sana,, MUNGU ATUKUZWE
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 10 күн бұрын
Amen 🙏♥️🔥🔥
@doreenjisam7018
@doreenjisam7018 11 күн бұрын
❤❤❤❤❤Wimbo umenifariji sana huu leo sjalala naumwa saa nane na nusu napita tiktok nakutana nao mpaka nikajikuta nina nguvu
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
Amen MUNGU azidi kukuponya
@chelotiwanyama1853
@chelotiwanyama1853 5 күн бұрын
What a blessing Tanzania. I listen to the song again and again ❤❤❤
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 4 күн бұрын
Amen 🙏♥️🔥
@AgnessMinga
@AgnessMinga 4 күн бұрын
2025 ni mwaka wa Baraka sana🎉🎉🎉ongera sana Mhiologia FelisterMwaipopo kwa kuzidi kupambana kwa ajili ya kumtumikia Mungu never give up kipnz...🎉🎉
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 4 күн бұрын
🙏♥️
@LameckNoel-h9p
@LameckNoel-h9p 13 күн бұрын
MUSICIAN 👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼 back vocal 🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡
@lucyvalerian2324
@lucyvalerian2324 12 күн бұрын
Sifa hizi zifike Enzini Pako Mungu wetu wa Mbinguni,uwe nasi Watanzania, "Hakuna jambo gumu kwako"
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
Amen 🙏♥️
@savio_the_greatmanh
@savio_the_greatmanh 13 күн бұрын
Just when I was searching for something special, I found it in this song 🎶✨. It’s exactly what my heart needed ❤🔥.
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
@MahatmanMalcom
@MahatmanMalcom 11 күн бұрын
Herman take a bow man what a vocal🔥🔥🔥
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 10 күн бұрын
🔥🔥🔥
@zacchywasabaofficial
@zacchywasabaofficial 11 күн бұрын
Mnanibariki sana VVC. Karibuni Kenya Tena
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
Asante mtumishi wa MUNGU 🙏♥️🔥
@SayuniMchome
@SayuniMchome 4 күн бұрын
❤️❤️🙏🙏
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 3 күн бұрын
🙏♥️
@jukaelyelisha6311
@jukaelyelisha6311 13 күн бұрын
MUNGU azidi kuwainua sana watumishi wa MUNGU vvc napendezwa sana na utumishi wenu unamafuta ya roho mtakatifu hakika tunahudumiwa
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
Amen
@CatherineNzeki
@CatherineNzeki 13 күн бұрын
Wimbo wa Baraka saana,hata mimi nimeziona NGUVU ZA MUNGU MAISHANI MWANGU.
@lavinnyangara813
@lavinnyangara813 11 күн бұрын
😊 wooow nmebarikiwa Sana... Neema tele tele.... Hakuna Jambo asiloweza Mungu
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
Amen
@MahatmanMalcom
@MahatmanMalcom 11 күн бұрын
Themba🔥🔥🔥🔥🔥
@ElizabethMichael-e2q
@ElizabethMichael-e2q 10 күн бұрын
Hongera sana mdogo wangu Rebecca na bonge Mungu awabariki wimbo mzuri sana
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 10 күн бұрын
🙏♥️🔥
@rebecajeremiah1556
@rebecajeremiah1556 9 күн бұрын
Ahsante sana dada
@powerbank9041
@powerbank9041 13 күн бұрын
Enjoying this powerful song 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 kenyans let's gather here 🇰🇪
@gibsonnyata127
@gibsonnyata127 13 күн бұрын
Wimbo wabaraka teleeeee....🎉🎉🎉 following from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
Amen 🙏♥️🔥
@Regnard999
@Regnard999 13 күн бұрын
I came to know about the leading singer (Herman) through Neema gospel. I can see humility and anointing in him.
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
🙏♥️🎧🔥
@GodfreyDaniel-s4u
@GodfreyDaniel-s4u 10 күн бұрын
Nimeuludia sana huu wimbo mara 30000
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 10 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU 🙏❤️
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 10 күн бұрын
Wape na wengine wabarikiwe
@AswileMwasalemba
@AswileMwasalemba 12 күн бұрын
Wimbo mzuri sana umetulia kiwango kikubwa sana Mungu awatunze
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
Amen
@emmystephen1518
@emmystephen1518 13 күн бұрын
❤❤ Mungu awainue Vvc Tanzania 🇹🇿 hakika jambo Lipi
@belindahluyo2094
@belindahluyo2094 11 күн бұрын
I lift my eyes Lord and look at your grace🙌🙌🙌
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 10 күн бұрын
Amen 🙏♥️🔥🔥
@mafurumanyama2755
@mafurumanyama2755 12 күн бұрын
Sichoki kuusikiliza huu wimbo
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
Barikiwa
@JumaKissinger
@JumaKissinger 2 күн бұрын
Amen and Amen
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 Күн бұрын
Amen 🙏♥️🔥
@NeemaSp-h3j
@NeemaSp-h3j 7 күн бұрын
Rebby💕🙌
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 6 күн бұрын
🙏♥️🔥
@Producervbaddset
@Producervbaddset 12 күн бұрын
Vvc mchukuen mazma herman
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
Na iwe ivyo
@marionsteven8198
@marionsteven8198 11 күн бұрын
Real God in Herman speaking so powerful 🎉
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 10 күн бұрын
🔥🔥🔥
@Oman-oi9dt
@Oman-oi9dt 13 күн бұрын
Wakali Moravian apanachezea
@paulzacharia2985
@paulzacharia2985 13 күн бұрын
❤❤❤🎉ukisema inakua ukiahidi unatimiza🎉🎉THANKS my VVC TZ
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
Amen
@stephenarori8240
@stephenarori8240 10 күн бұрын
From 254 what a mazing song I love it it's an item of another level God bless you.
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 9 күн бұрын
Amen 🙏♥️
@GlenBrighton
@GlenBrighton 13 күн бұрын
Hata hili langu unaweza😢 Eeh Yesu 🙏🏼😭
@pendomtobela5238
@pendomtobela5238 3 күн бұрын
Dogo Rebecca Mungu akuinue zaidi namtukuza Mungu kwa ability yako
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 3 күн бұрын
🙏❤️🔥
@monicakabuka6096
@monicakabuka6096 10 күн бұрын
Can’t stop listening ❤❤❤❤mbarikiwe
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 10 күн бұрын
Amen 🙏♥️
@IkupaFrank
@IkupaFrank 13 күн бұрын
Unijaze Baraka🙌 umulike njia zangu🙌
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
Amen 🙏♥️
@BenedictoEmily
@BenedictoEmily 13 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥ITS ALL ABOUT VVC 🎉🎉🎉🎉
@enanivan7336
@enanivan7336 13 күн бұрын
Hii bass guitar inayosikika humu jmnii ni noma❤🔥🔥
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
Utukufu Kwa MUNGU 🙏♥️
@Regnard999
@Regnard999 13 күн бұрын
Hii iende mbali❤❤❤,, VVC is always a blessing to us❤❤🎉🎉
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
Amen 🙏♥️🔥
@boaziamos1224
@boaziamos1224 12 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥👍👍👍 wimbo mzuri stahmge nzuri na mavazi mazuri sana
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
Amen 🙏♥️
@lizzybethmayengoh9624
@lizzybethmayengoh9624 13 күн бұрын
wimbo mzuri sana mbarikiwe sana
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
Amen 🙏♥️🔥
@johnsangida5158
@johnsangida5158 12 күн бұрын
What a blessing song ❤❤🇯🇲✨️✨️🙌
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
@IsmailIbrahim-u8g
@IsmailIbrahim-u8g 12 күн бұрын
Wimbo mzuri sana mbarikiwe sana ❤❤❤🎉🎉🎉
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
Amen 🙏♥️
@Lovenessrichie
@Lovenessrichie 10 күн бұрын
Wimbo mzuri sana hongereni sana 🤗
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 9 күн бұрын
Asante barikiwa sana mtumishi wa MUNGU 🙏♥️
@favouredblessed1642
@favouredblessed1642 13 күн бұрын
wow, may the Lord be praised, more and more
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
Amen 🙏♥️
@AswileMwasalemba
@AswileMwasalemba 8 сағат бұрын
Duuuu huu wimbo hauchoshi naangalia sichoki Mungu awabariki sana vvc nawapenda sana
@ev.mhugohantish288
@ev.mhugohantish288 13 күн бұрын
Huyu kaka anafananishwa na yule dada wa jua Kali.
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
😂😂😂 hyu Mzee wa marejesho
@MunyiBonface
@MunyiBonface 13 күн бұрын
The voice of Herman❤❤🙌🙌
@ElosyMukiri-s4o
@ElosyMukiri-s4o 9 күн бұрын
Glory glory glory glory 🔥🔥🔥😭
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 9 күн бұрын
Amen 🙏♥️🔥
@carolynekanaiza
@carolynekanaiza 11 күн бұрын
Oooh Amen ,God your so wonderful
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 10 күн бұрын
Amen 🙏♥️
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 10 күн бұрын
Amen 🙏♥️
@Jibuokello
@Jibuokello 12 күн бұрын
Wawooooo amazing voice, With powerful message light of angels God bless you am in Rwanda togetherin praying with this song 👊 🙏🙏
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
Be blessed
@nakalisibaraka3943
@nakalisibaraka3943 13 күн бұрын
Mungu awabariki sana Vvc, wimbo uko vzr sana
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
Amen 🙏♥️
@MARTHAMLANGI
@MARTHAMLANGI 10 күн бұрын
Barikiweni kwa wimbo mzuri
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 9 күн бұрын
Amen 🙏♥️
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 9 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU
@CatherineNzeki
@CatherineNzeki 13 күн бұрын
Mmependeza saaana wana VVC nimependa ata mpangilio wa wapiga vyombo.MUNGU AZIDI KUWAINUA NI KWA AJILI YA UTUKUFU WA JINA LAKE
@daudkanyugu3518
@daudkanyugu3518 11 күн бұрын
❤ jmn kitu cha nguvu, Barikiweni sana
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 10 күн бұрын
Amen mtumishi wa MUNGU 🙏♥️🔥
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 10 күн бұрын
Amen mtumishi wa MUNGU 🙏♥️🔥
@lydiahnyamoitah6765
@lydiahnyamoitah6765 13 күн бұрын
Wow wow such a powerful song
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
Amen
@ISACK-f6m
@ISACK-f6m 11 күн бұрын
ukisema inakuwa sababu hakuna jambo usiloweza
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
Amen
@ntabulimwakifuna6257
@ntabulimwakifuna6257 13 күн бұрын
Mungu azidi kuwainua zaidi na zaidi maana hakuna jambo asiloliweza Bwana.
@Oman-oi9dt
@Oman-oi9dt 13 күн бұрын
Kwamavazi yaaanii fire 🔥🔥 🔥🔥🔥🔥
@rahabdaniel6799
@rahabdaniel6799 8 күн бұрын
Mungu wa mbingu na nchi awatunze sana
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 6 күн бұрын
Amen barikiwa sana 🙏❤️🔥
@hellenrichard187
@hellenrichard187 13 күн бұрын
Hakuna jambo gumu usiloliweza Mungu wangu hakuna kabisa
@paulinajemson2719
@paulinajemson2719 14 күн бұрын
Hakuna jambo la kumshinda BWANA haleluyaaaa🙌
@NKpraiseTV
@NKpraiseTV 13 күн бұрын
Nimezioooona nguvu zako bwana akuna jambo usiloweza papaaaa❤🎷
@NehemiaStephen-qj6ne
@NehemiaStephen-qj6ne 7 күн бұрын
Ubarikiwe sana bro mchome
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 6 күн бұрын
🙏❤️
@vicentpatrick558
@vicentpatrick558 14 күн бұрын
My God my God 😭😭 Hata hili unaweza 🙌🙌🙌🙏
@ruthshango4791
@ruthshango4791 11 күн бұрын
Herman🙌🙌🙌 unajua Mungu azidi kukuinua
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 10 күн бұрын
Hatari sana 🙏♥️🔥🔥
@TeddyJames-rh6cl
@TeddyJames-rh6cl 13 күн бұрын
Hakuna Jambo usiloweza bwana wangu hata hili unaweza Yesu
@SarahPeter-fg3cm
@SarahPeter-fg3cm 13 күн бұрын
🎉mzidi kuinuliwaaa,,wimbo mzuri mmependeza pia🎉🎉
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w 13 күн бұрын
Amen 🙏
@SayuniMchome
@SayuniMchome 14 күн бұрын
Man praise ...🔥🔥🔥🔥
@DanielSafari-b9l
@DanielSafari-b9l 9 күн бұрын
Hongera kwa uduma nzurii
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 8 күн бұрын
Amen barikiwa sana mtumishi wa MUNGU 🙏♥️
@RoscerJoseph
@RoscerJoseph 5 күн бұрын
1:29 1:37 1:39 1:40 1:40 1:40 1:41 1:41 1:41 1:41 1:41 1:41
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 4 күн бұрын
😄😄😄
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 4 күн бұрын
🙏🙏♥️♥️🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@IsaacMwamlima-bs3wx
@IsaacMwamlima-bs3wx 13 күн бұрын
Aisee Kiukweli Nime ziona nguvu zako Mungu
@gmusical-01
@gmusical-01 12 күн бұрын
Tanzania wueh 🥵❤️🌹🌹
@jamesomunya9720
@jamesomunya9720 13 күн бұрын
Wow powerful 🎉🎉🎉🎉
@PatriciaPatriciaOsborn-cp7yt
@PatriciaPatriciaOsborn-cp7yt 13 күн бұрын
powerful song 🔥💥
@Oman-oi9dt
@Oman-oi9dt 13 күн бұрын
Mambo moto
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 14 күн бұрын
Nitaziimba sifa maana nimeziona nguvu zako🇹🇿🙏♥️🤩🎧
@FrankPaschal-sd2gd
@FrankPaschal-sd2gd 14 күн бұрын
mimi wa kwanza kucoment kazi nzuri sana
@dorcasmanda1793
@dorcasmanda1793 13 күн бұрын
Owesome ❤❤❤
@SALOMEMWAKATWILA
@SALOMEMWAKATWILA 13 күн бұрын
Oooho Namuona Themba Sticks hapooo❤❤❤
@daseselele5198
@daseselele5198 14 күн бұрын
congratulations Vvc good job 👍👍🔥🔥🔥
@christopheramani798
@christopheramani798 8 күн бұрын
To more grace bro
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 6 күн бұрын
🙏♥️🔥
@AmosPilla
@AmosPilla 13 күн бұрын
Wimbo mzur sana huu nimeupenda sana
@ernestmwakibinga596
@ernestmwakibinga596 13 күн бұрын
kwa Mungu hakika kunaraha
@jmnzundah8301
@jmnzundah8301 13 күн бұрын
Mubarkiwe
@EthelMwakilenge
@EthelMwakilenge 22 сағат бұрын
Nimebarikiwa🙏🙏
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 19 сағат бұрын
Amen 🙏♥️🔥
@LameckNoel-h9p
@LameckNoel-h9p 13 күн бұрын
Sheeeeeesh 🔥🔥🔥🔥🔥 clean
@JPM_Rec
@JPM_Rec 11 күн бұрын
Barikiwa Kwa kazi njema
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 11 күн бұрын
Amen
@AfricanizationProgramme-hq4gt
@AfricanizationProgramme-hq4gt 13 күн бұрын
More blessings 🙌
@elijahsaro6611
@elijahsaro6611 13 күн бұрын
Sauti nzuri sana yenye upako my brother
@brilliantaog5246
@brilliantaog5246 14 күн бұрын
KONGOWE FINEST... 🔥🔥🔥
@HurumaKibona-b9k
@HurumaKibona-b9k 14 күн бұрын
Safii sana Mungu baba wa mbinguni awabariki
@joshuamganda7389
@joshuamganda7389 14 күн бұрын
Nakosa hata maneno ya kusema,lakin nataman kusema hakuna jambo gumu mbrle za MUNGU
@kalamuyangu1
@kalamuyangu1 13 күн бұрын
Wimbo bora sana huu.
VVC Tanzania Ft Agape Gospel Band - Yamekwisha (Official Video)
12:07
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
UNASTAHILI KUABUDIWA NANI KAMA WEWE BWANA by Minister Danybless
11:26
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 5 М.
AICT Mbande Choir - Nimepata rafiki
9:02
AICT Mbande Choir
Рет қаралды 2,3 М.
Citizen TV Live
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 69 М.
Sara Nyongole - Ninakuamini (Live Music Video)
10:47
Sara Nyongole
Рет қаралды 22 М.
Nimezisikia Habari Zako  | Osborns Praise
15:07
Osborns Praise
Рет қаралды 71 М.
KAGAME NI MBABE ILA IVI NDIVYO ALIVYO NYOSHWA NA KIKWETE TUJIKUMBUSHE
8:50
Elia Mtishibi - Siri Ya Maisha (Live Video)
7:51
Minister Elia Mtishibi
Рет қаралды 35 М.
VVC Tanzania Ft John Kavishe - Bwana Wa Mabwana (Live Video)
8:48
VVC Tanzania
Рет қаралды 212 М.
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.