I came to know about the leading singer (Herman) through Neema gospel. I can see humility and anointing in him.
@Regnard99918 сағат бұрын
Hii iende mbali❤❤❤,, VVC is always a blessing to us❤❤🎉🎉
@enanivan733619 сағат бұрын
Hii bass guitar inayosikika humu jmnii ni noma❤🔥🔥
@jukaelyelisha631119 сағат бұрын
MUNGU azidi kuwainua sana watumishi wa MUNGU vvc napendezwa sana na utumishi wenu unamafuta ya roho mtakatifu hakika tunahudumiwa
@pendomangi840020 сағат бұрын
Wangapi wameona nguvu za Mungu 2025?
@favouredblessed164220 сағат бұрын
wow, may the Lord be praised, more and more
@nakalisibaraka394320 сағат бұрын
Mungu awabariki sana Vvc, wimbo uko vzr sana
@lydiahnyamoitah676520 сағат бұрын
Wow wow such a powerful song
@TeddyJames-rh6cl21 сағат бұрын
Hakuna Jambo usiloweza bwana wangu hata hili unaweza Yesu
@georginaluoga73121 сағат бұрын
Mungu awabariki
@MunyiBonface21 сағат бұрын
Aaaaaaii wapi vigelegeleeee💥💥💥..... Kavishe na Sebene Maajabu haya❤❤💥💥
@johnk.officiel190321 сағат бұрын
Ameeen 🙌🙌🙌
@MunyiBonface21 сағат бұрын
The voice of Herman❤❤🙌🙌
@emmystephen151821 сағат бұрын
❤❤ Mungu awainue Vvc Tanzania 🇹🇿 hakika jambo Lipi
@hellenrichard18721 сағат бұрын
🎉🎉
@hellenrichard18722 сағат бұрын
Hakuna jambo gumu usiloliweza Mungu wangu hakuna kabisa
@emmanueljohn722 сағат бұрын
Ili Jamaa linafumua 😂😂😂 balaaa Fahari yetu Tanzania kama Joyous Celebration ipo siku Mtaliona Lipo Joyous South Africa Be Blessed Kaka
@kalamuyangu122 сағат бұрын
Wimbo bora sana huu.
@SarahPeter-fg3cm22 сағат бұрын
🎉mzidi kuinuliwaaa,,wimbo mzuri mmependeza pia🎉🎉
@ThomasMmary-r7w22 сағат бұрын
Amen 🙏
@jmnzundah830122 сағат бұрын
Mubarkiwe
@CatherineNzeki22 сағат бұрын
Mmependeza saaana wana VVC nimependa ata mpangilio wa wapiga vyombo.MUNGU AZIDI KUWAINUA NI KWA AJILI YA UTUKUFU WA JINA LAKE
@IsaacMwamlima-bs3wx22 сағат бұрын
Aisee Kiukweli Nime ziona nguvu zako Mungu
@CatherineNzeki22 сағат бұрын
Wimbo wa Baraka saana,hata mimi nimeziona NGUVU ZA MUNGU MAISHANI MWANGU.
@dorcasmanda179323 сағат бұрын
Owesome ❤❤❤
@NathanKaondo23 сағат бұрын
Nimezioooona nguvu zako bwana akuna jambo usiloweza papaaaa❤🎷
@ernestmwakibinga59623 сағат бұрын
kwa Mungu hakika kunaraha
@jamesomunya972023 сағат бұрын
Wow powerful 🎉🎉🎉🎉
@GnadeClement23 сағат бұрын
❤❤❤ Nawapenda VVC
@SALOMEMWAKATWILAКүн бұрын
Oooho Namuona Themba Sticks hapooo❤❤❤
@GlenBrightonКүн бұрын
This one found me at the right time Hakuna Jambo usiloweza
@GlenBrightonКүн бұрын
Hata hili langu unaweza😢 Eeh Yesu 🙏🏼😭
@nurdinmvellah4032Күн бұрын
Jamani huu mwaka mbona umeanza kwa kasi ya upako Sana ,? Yaani kila wimbo wa injili toka January 1 ni mtamu moyoni mwangu. Nadhani 2025 ni mwaka wa Mungu wetu kujidhihirisha.🎉🎉🎉
@LameckNoel-h9pКүн бұрын
MUSICIAN 👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼 back vocal 🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡
@LameckNoel-h9pКүн бұрын
Sheeeeeesh 🔥🔥🔥🔥🔥 clean
@elijahsaro6611Күн бұрын
Sauti nzuri sana yenye upako my brother
@ntabulimwakifuna6257Күн бұрын
Mungu azidi kuwainua zaidi na zaidi maana hakuna jambo asiloliweza Bwana.
@BenedictoEmilyКүн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥ITS ALL ABOUT VVC 🎉🎉🎉🎉
@YonaSoneloКүн бұрын
Mungu wa mbinguni Akawawano kwa huduma hii kubwa VVC TANZANIA
@Oman-oi9dtКүн бұрын
❤❤❤❤❤❤😊😊
@tummyracruuzy7004Күн бұрын
mungu ni mkuu
@Oman-oi9dtКүн бұрын
Wakali Moravian apanachezea
@Oman-oi9dtКүн бұрын
Kwamavazi yaaanii fire 🔥🔥 🔥🔥🔥🔥
@Oman-oi9dtКүн бұрын
Mambo moto
@AfricanizationProgramme-hq4gtКүн бұрын
More blessings 🙌
@gifftygabriel-n4zКүн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@TapuwaAlishdambaКүн бұрын
❤
@AmosPillaКүн бұрын
Wimbo mzur sana huu nimeupenda sana
@WILLBETLUFUNGAКүн бұрын
Hallelujah
@powerbank9041Күн бұрын
Enjoying this powerful song 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 kenyans let's gather here 🇰🇪