Tuliokuwa tunausubiri huu Wimbo kwa hamu tujuane kwa likes jamani
@firstkenyan88332 күн бұрын
God loves Kenya. The sounds coming up are just awesome. To God be the Glory
@ShedrackEliasi2 күн бұрын
🎉
@StevenMunugwa2 күн бұрын
@@firstkenyan8833This sounds heals automatically
@hamiltonmwarori36884 сағат бұрын
Huu wimbo ni moto sana 🎉❤ Yani tunaingia mwaka mpya na kishindo 🎉😊
@GloriaDon-dp9xgКүн бұрын
Yesu nimesikia habari zako nataka nione kwa macho 🙏
@EvalynePendo2 күн бұрын
Ee Bwana nataka nikuone kwa macho 2025,2026,2027,upto 20100 in jesus might name amen and Amen ❤💃💃💃💃🥳🥳😇
@subiraomary9275Күн бұрын
Ameeen
@EvalynePendoКүн бұрын
@subiraomary9275 Napokea Napokea hitaji lako kipenzi ❤❤❤
@minvononyango342Күн бұрын
A person reading this in 2040 i need you to know that God dwells on praises
@mwayilewismunthali878538 минут бұрын
amen
@jonahwechuli32Күн бұрын
Nataka nione Kwa macho
@KapibiteКүн бұрын
Nikitaka kumsifia Yesu wangu nasikiliza huu wimbo
@mooncarethebeautyparlour2 күн бұрын
God my time is now nikuone kwa macho,,,nitukuze mwanao ili na mm nikutukuze
@happinessnovart2377Күн бұрын
👏👏👏👏👏Asante Mungu nilikuwa nshautafuta sana huu wimbo hapa KZbin....Mbarikiwe sana Osborns Praise 🙏🙏🙏👏👏👏
@stellachotta4832 күн бұрын
Yesu nataka nikuone kwa macho sitaki kusimuliwa 🙏🙏
@MichaelMsigala-pv7gxСағат бұрын
Nabarikiwa sana na huu wimbo jamani
@AgnesAgnes-fm8wpКүн бұрын
Aaah eeh Yesu eeh nimesikia habari zako nataka nione Kwa macho
@AngelAngel-c4w2 күн бұрын
Pastor tunaye ,praise tunayo na tuna tamba nao ❤ hakika utukufu nikwa Bwana
@YvonneShirisha2 күн бұрын
Eeei the coordination and blending of all the instruments is just amazing and powerful God bless you people🙏🙏🙏
@EvodiusMhanuz-qz3hfКүн бұрын
Bonge la song kiukweli mmeweza
@winnienandwa4273Күн бұрын
The song is powerful indeed blessings to you all Osborn praise 🙌🙌🔥🔥🔥🔥🥹💃💃💃💃 God bless you pastor T na mama mchungaji nawapenda kweli ❤your daughter from Kenya 🎉
@roxyabraham65533 күн бұрын
Hakika tumezisikia Habari za YESU na ni njema Sanaa kwetu. Neema yake yatutosha sana.
It's more than Praises❤, it's an angelic gathering ☘️
@lightnessshayo22672 күн бұрын
It has become the national anthem at my home place😂kucheza ni must🤸♀️🔥
@haikabosco9049Күн бұрын
Ayeeee🎉🎉🎉🎉
@NewsoundsworldwideКүн бұрын
Kwa mbalii Sana kaijage kwenye sax 🔥🔥🔥#lyzee
@ruthkiaulilo-tz2 күн бұрын
eeeeee Yesu nataka nikuone kwa macho 2025❤️🙏
@IRENESWAI-c1h2 күн бұрын
EMAA nakupenda bure keep its up ufanye makubwa zaid good bless you more
@elijahsaro66112 күн бұрын
Namuona pastor tony Kwa mbali hii recording imebarikiwa
@joshuajustustz3 күн бұрын
Nataka nione Kwa macho ... 🎉🎉🎉 🔥🔥🔥🔥
@EvalynePendo2 күн бұрын
I receive @Joshuajustutz❤❤❤
@winfridamagudo89392 күн бұрын
What a song to end a year with🎉🎉🎉🎉🎉
@ConstanceNeema-x8r2 күн бұрын
Yesu nataka nikuone kwa macho🙏🙏
@YasintaShemu-ot7xy2 күн бұрын
God increase u more
@elijahsaro66112 күн бұрын
Song of the year 💯💯💯💯💯❤️❤️❤️
@SafinaValentino2 күн бұрын
Ili vibes lisikie tuu ivi watu wa mkuyuni tumebarikiwa❤❤
@FitzonDai3 күн бұрын
Nimezisikia sana habari zake 🔥🔥🔥
@EvalynePendo2 күн бұрын
Hallelujah @fitzondal🎉🎉
@reneebill37422 күн бұрын
This team is too much ooooh. Glooooory ❤❤❤
@fanuelgaspar6883 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥 Nawapenda sana watu wa Mungu mnanibariki mno. Nina maoni naomba ikiwezekana watu wa IT watuongezee quality ya video kidogo
@BigDrones3 күн бұрын
Angalia wewe umechagua quality gani kwenye simu yako but this video ni 4k Resolution Asante
@StacusMkama-kz1ht6 сағат бұрын
wokovu una maadili yake, mwanamke kuvaa suruali haileti ushuhuda mzuri , Sisi ndo wakuupindua ulinwengu , watu waokoke kupitia uvaaji , matendo yetu , sasa kama tumeanza kuvaa kama wao tunakwamisha injili , tusiulete udunia kanisani tuna haribu injili
@tinahbejumla4 минут бұрын
acha fikira za kijinga fungua akili yako na moyo wako ukamsifu Mungu na ukamuabudu
@luciageorge2922 күн бұрын
Halleluya nataka nione kwa macho Baraka zako Yesu
@EsthermlongoEsther2 күн бұрын
Amen amen mungu awabariki praise na awainuw nabarikiwa sana 🙏🙏
@ngwisuswillah4041Күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@JoelSilwano2 күн бұрын
Tumesikia habari zako niendelee Kuna kwa macho
@stellachotta4832 күн бұрын
Hallelujah 🙏 🙏 🙏
@jasmineabdallah24642 күн бұрын
Nimesikia wewe wabariki nataka nione kwa macho❤
@benonkwama56982 күн бұрын
Glory to God for such a glorious song. Ningeomba wakuu ikiwapendeza mtupitushie na spotify tuwe tunasikiliza pia from Dar to Dom to Mwanza🔥🔥
@PharmBenson2 күн бұрын
vijana wameupiga mwingi🎉🎉 let's declare 2025 tuone kwa macho
@firstkenyan88332 күн бұрын
Wuueeh kumewaka...
@favourkenyaКүн бұрын
777
@Praise-fs7wu2 күн бұрын
Aaaahhhweeee😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽NYIE WEZETU AMBAO HAMJAOKOKA MNACHEZEAGA KWA WAPI😂
@MariaFlorah3 күн бұрын
Tumebarikiwa sana
@JacklineTusiwene2 күн бұрын
,2025 nataka nione habari zako tenaaaaa❤❤❤❤
@JudithRobert-xu9il2 күн бұрын
Hallelujah Hallelujah 🎉
@jacquelinephilimon51633 күн бұрын
Am so proud to be PT daughter yeeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥👌🏾
@neysmillerndimbo56882 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥Next level
@salomeemmanuel51862 күн бұрын
❤
@aggiephine95483 күн бұрын
Aaah Eee Yesu wee🙏🏻💃🏾
@ChinaTzTradingCompany2 күн бұрын
💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾❤
@KaijageJared3 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌hii imeenda
@EvalynePendo2 күн бұрын
Kabisa 🥳🥳@kaijagejared
@favourfranciss21112 күн бұрын
Ayiiiiii❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@Samuel-y2w6o3 күн бұрын
Kitu bomba to God be the Glory
@stellahnduku50902 күн бұрын
Eeeh yesu nmesikia habari zako wow nice song I have new song hitting on 🔥💯 NAONA MBALI by STELLAH NDUKU get it and God bless you all
@firstkenyan88332 күн бұрын
Motoooooooooooo
@runiglobe_explores3 күн бұрын
Aaah kwa yesu raha……🥰🥰
@Pudensiana3 күн бұрын
Hataaaaariii sanaaaa hiii
@joshuawilliam18043 күн бұрын
So Powerful
@florenciamukama14153 күн бұрын
hatari🎉🎉🎉
@FidelsGelvas2 күн бұрын
🙌🙌🙌
@Priscangenzi72133 күн бұрын
Hatarii 🔥 ❤
@Rose-wx3rw2 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥
@gideongerald28463 күн бұрын
Good
@douglasmardai19322 күн бұрын
😊
@neemachuwa68193 күн бұрын
🔥🔥🔥
@priscah-x2f3 күн бұрын
❤❤❤❤
@thesoundpresident2 күн бұрын
Creativity on arrangement 😅😅😅... The drummer and the bassist agreed to finish this thing😂😂... Team go Team finish . PRAISE HOT LIKE HOT CHAPATI. This is Lovely Macho version. Makofi Yao plz.