Ester na kikundi chako mnazinguwa sana; Bungeni ni sehemu mhimu fujo na mipasho siyo sehemu yake.
@MZIZE5 жыл бұрын
Makosa yapo Meng ok Japo mm n CCM ila kilichofanywa na huyo Mama kuwa Mnyika ni Mwz halijaenda sawa hapa
@danielmwasi49565 жыл бұрын
Nyanda Mlanzi unaonyesha unamapenzi ya dhati kwa jiwe
@mamaerick70507 жыл бұрын
spika alikua Samwel Sitta mungu amrehemu
@ismailmsuya51297 жыл бұрын
Ninyi wenyewe mnayumba hamueleweki,mnatoa hoja halafu mnakuwa wasaulifu kaeni pamoja muweze kuelewana
@azizisalimu38287 жыл бұрын
Kwani kuna namna nzuri ya kutoana nje ya bunge kama mtu hataki kutoka zaidi ya Kubebwa mzobemzobe. Tujipe sasa tusitetee ujinga. Tushachoka kuibiwa sasa kama bado Unaona pesa za kuhongwa tamu kaa nje watu wachape mzigo.
@papafikiri7 жыл бұрын
very correct this time madam
@luanamwambigija43607 жыл бұрын
Ni ufinyu wa Akili
@jeniphermaiko38865 жыл бұрын
hamna lolote kazi ya ubunge imeshawashinda 2020 tutafanya maamuzi
@missagatha17567 жыл бұрын
Cku zote ukiwa kiongozi unatakiwa umwombe Mungu akupe hekima bila hekima elimu uliyonayo ni 0,na hutakiwi kuongoza kwa upendeleo
@reginaemmanuel79077 жыл бұрын
Binafsi nimeona upendeleo leo,hoja ya mnyika alikuwa anataka yule aliyesikika anasema mnyika mwizi hadhibitishe au afute kauli yake,hapo ndo chanzo chakutolewa nje kilipoanza tena spika anasema lusinde ni kiboko yao maana yake ni nini??????uongozi wa mahali popote pale unahitaji HEKIMA
@simonfundi54727 жыл бұрын
REGINA EMMANUEL ccm wanalindana
@margarethsolomon98237 жыл бұрын
REGINA EMMANUEL Ni sawa lkn aliomba taarifa au alikurupuka tu na kudai kaambiwa mwizi, hapo huwa pana kanuni na taratibu zake. Hembu angalia kwa makini mwanzo mwisho kama tunasimama ktk kweli. Mimi Sina Chama lkn mpenzi wa kusikiliza yanayofanyika.
@alfredwash14727 жыл бұрын
Naibu Spika yuko sawa kuliko Spika mwenyewle kwakua pamoja na u CCM wake bali hujikita katika sheria na kanuni za Bunge lakini spika hutumia ubabe bila kutazama kanuni zina elekeza nini. ila MUNGU ata tuvusha.
@margarethsolomon98237 жыл бұрын
said reuben Mweleze naona hakusikiliza, ila alishuhudia mtu akitolewa nje. Penzi kweli halioni.
@hamismalimungu99597 жыл бұрын
HIVI VITA YA MAKINIKA HAIJAWAHI KUMUACHA MTU SALAMA TUKUTANE 2020 TEAM WEMA
@atheistblood85687 жыл бұрын
mi inauma sana kuona vitendo kama ivi
@tahirhusseinhamzahussein4107 жыл бұрын
kweli hata Mimi nimeskia bhana
@shagembemarco42987 жыл бұрын
mbona nilisikia ccm wezi wa dhahabu
@eliudmtailuka3817 жыл бұрын
spika anaonyesha uchama moja kwa moja. kusema lusinde kiboko yao what does it mean?
@einsteinmboje47307 жыл бұрын
eliud mtailuka kweli kabisa hyo ndo imenishangaza mm ... but siasa ya kitanzania inakera saana kiufupi
@masseanadir29047 жыл бұрын
c ndo hapo
@kulwamwakagali247 жыл бұрын
Ni wazi kuwa bunge la kasi na viwango limeshaenda kuzimu.Saiv lipo Bunge la magogoni au ccm b.
@mropetbjoshotz3347 жыл бұрын
Nikweli wangi Akili Zenu s Mzr
@mswadikubushumbilo71705 жыл бұрын
Mwisho wenu ni kipindi hiki 2020 bunge mtalionea kwenye tv,
@mpelinsangala48987 жыл бұрын
shagarabagara yaani mambo ni hovyohovyo double standard kwa kwenda mbele sijui kama tutafika kwa mwendo huu.
@williammamiro13967 жыл бұрын
duh.spika kafanya vibaya sana upendeleo gani huo kama Wa mtoto Wa kambo?
@manyweletheboss60537 жыл бұрын
ndio maana wabunge Wa ccm wanazidi kupungua bungeni kwa kusaport mambo ya hoya 2020 watarudi 5 tu wengine tupa kule
@tracyjustice16007 жыл бұрын
Tanzania yetu inaenda wapi?
@saidndimbwa49767 жыл бұрын
Nyinyi ni mashujaa, mkirudi majimboni tutawapokea, na bungeni mtarudi mpaka wao wenyewe wataelewa nini tunamaanisha...nyie wenyewe mnajua vile tunaichukia serikali ya chama cha mapinduzi.... Viva Ukawa Viva...Mheshimiwa Sugu sijamuona bana...bunge lingewaka moto leo.... Dah, Mbeya mjini tutazidi kupeperusha bendera ya chadema milele...
@bahatichikokorashid52707 жыл бұрын
Bora uwe mshabiki wa Taifa kuliko kuwa shabiki wa chama kweli hata hili!!!!!! hamlion??? Mnyika hakutaka makuu alitaka alie muita mwizi afutekauri basi. Lakini action ilio tumika kutoka kwenye kiti it's not fair .
@mahamoodballoh47357 жыл бұрын
yeye kaita wenzake wez lakn
@mahamoodballoh47357 жыл бұрын
yeye kaita wenzake wez lakn
@margarethsolomon98237 жыл бұрын
Bahati Chikoko mmmh! aliomba tarifa au alikuwa amazonas? humo ndani ya mjengo kuna kanuni na taratibu. Hasira ni hasara. Anaambiwa kaa hataki, toka basi hataki! so nini lifanyike hago.
@kilomarco27 жыл бұрын
Easter Bulaya amesahau kama na yeye alikua CCM wakati mikataba hiyo inaingiwa na Serikali ya CCM?
@lilytemu26357 жыл бұрын
marco kilo ndo mana hayupo tena ina mana aungi mkono
@wilbroadmalima43864 жыл бұрын
Huyo Dada cjui kama kaolewa ila kama bado nisaidie nmuoe nmempenda kimapez
@ibrahimkhamis18627 жыл бұрын
Wapuuzi sana wameshindwa hoja maana wapinzani Sasa wameshindwa hoja
@cosmasmwananonga85687 жыл бұрын
Elian Rwanyumba acha ubwege ww kwni kuitwa mwizi ni tusi ,mbona wabunge wa upinzani wanachomekea sana tu,
@charlesmagere90207 жыл бұрын
mungu yupo
@charlesbarongo69225 жыл бұрын
Ushauri wangu spika asitokane na chama tawala au asiwe mwanchama wa chama chochote cha siasa vinginevyo tutaishia kuona haya haya.
@MZIZE5 жыл бұрын
Hapa Umenena ndg yangu
@rajabumilambo17614 жыл бұрын
sasa kwani si arijibu sipika kama asisikirize sauti ya mt mwingine yeye akae chini tokeni machizi mbona mrikaa 2 wiki Bunge ririfunjwa mrisema kama Tanzanian tutashitakiwa rakini Rais makufuri akawajibu nchi yetu madini yetu serekari yetu arafu mtu unaogoba kushitamiwa
@mussakasaku19757 жыл бұрын
good good
@mathiascharles57695 жыл бұрын
Tatizo linalowasumbua ni viburi
@rajabumilambo17614 жыл бұрын
Amna hishu nyinyi chadema atutaki mtupereke huko akuna jipya hivi mgekuwa mnajierewa mgeikia bugeni au corona himeisha
@charlesmakuri7926 жыл бұрын
Kwendeni kabisa kings mnahalibu vikao mnakula pesa
@geofreyemanuel89394 жыл бұрын
Spika anazingua sana
@paschalombay3917 жыл бұрын
nirudie kusema, mara nyingi nko kuwa ckiliza wachangiaji ila mnafanya bila kufikiri hakuna kitu kibay kama kutukana au kudiscourage wazo la MTU,toa wazo lako bila kuingilia utaratibu wa Uhuru wa mawazo mana humu tunatukanana je tungekuwa bungeni c zaid kwel kama hapa hatuonani lkn mapovu. afu tunawakosoa hoa wabunge akat dalili zinaonyexha hatun uvumilivu kama huwez vumilia ucsome koments za watu
@masininimkama39807 жыл бұрын
upendereo haureti manufaa kirakitu wanataka kupongezwa tu
Tena wapimwe hakiri yawwzekana wanakuja bungeni wamerewa pombe hiri kutoa haibu
@pastorychokala89737 жыл бұрын
mshakua bendela tu skuhiz daaah
@simonliduke85707 жыл бұрын
kwani ninyi wa bunge mnatka nini? wazungu wametuibia sana Leo tumepata raisi anaye tujari watu wa hali ya chini mnamtukana mnamkebehi lakini kumbukeni haya mnayo Fanya wananchi wanaona msije mkamlaumu mtu 2020 kaeni pamoja mjadiri hoja sio kutoka nje huko nje mnakwenda kumtolea hoja nani? hoja zinatolewa ndani ya binge sio nje punguzeni jaziba mtafanikiwa in hayo tu kwa leo
@ashahaji49367 жыл бұрын
mmmh mm wala sijui tatzo maana shida tz heshima hamna hatar ila kwa mm Mnyika angekaa tu alafu akasubir Spika aeleza
@janieanthony48217 жыл бұрын
bahat yake mi sio askar angejuta
@rajabuseleman60124 жыл бұрын
Wala hakuna kitu hapo kama hao madada hakuna kitu nyie mnyika kasema ccm waizi nae kajibiwa nae mwizi kosa lipi hapo au ye katengua kauli
@stelasasala59727 жыл бұрын
Hao askari hawajafanya ustaarabu. Mnyika ni Mbunge hupaswi kumtoa kwa kumsukuma vile he angeteleza bahati mbaya akaanguka? Hayo ni madaraka ni vema busara ikatumika.
@rahimkarim23067 жыл бұрын
Stela Sasala kwani si aliambiwa atoke kwa hiyari,nahisi angetoka isingefikia kule,
@stelasasala59727 жыл бұрын
+Rahim Karim Hekima ni kitu bora me cko kwenye siasa kbs. Tusipende kushabikia vit vicvyo na Logic. Ingekuwa kakataa angekataa kutoka ndani. Alikuwa kashatoka mlangoni ilikwa hakuna haja ya kumsukuma kivile. Halaf tukumbuke hzi ni kazi tutastaafu tutarudi mtaan matend unayoyafanya ukiwa kazin hat ukirud uraiani jamii itakuchukulia as usual.
@margarethsolomon98237 жыл бұрын
Stela Sasala hiari hushinda utumwa. Ubishi ndio umemfedhehesha.
@hitmanhunter95577 жыл бұрын
vita ya madawa ya kulevya haijawahi kumwacha mtu salama kwakwelii 😂😂😂
@barakakawiche74737 жыл бұрын
huyu sio SPEAKER nahis ni EARPHONES
@silylyimo53577 жыл бұрын
mhmh ccm bwana zinawatosha wenyew
@priscabaitazari95807 жыл бұрын
we Mke wa mdee hauna jipya
@agneserasto98065 жыл бұрын
Hivi hawa wBunge au wabunguriwe hivi hawa ni watu wazima au
@marcoakyoo7607 жыл бұрын
warudishe na posho zetu hao
@castrolk.ezekiel74267 жыл бұрын
Dawa yao inachemka pamoja na dreva wa lory
@shadhirinavaranga70097 жыл бұрын
CASTROL EZEKIEL labda dawa inakuchemkia wew ccm iko imara co kma unavyofikiria
@hassanovajunior69727 жыл бұрын
CASTROL EZEKIEL wew ni mpuuzi
@saidndimbwa49767 жыл бұрын
Eti Ccm iko imara....haya mkuu, nadhani nyie ni miungu watu...ipo siku mtaelewa nini maana ya upinzani...ukija kuacha huko kujipendekeza kwa ajili ya madaraka madogo ya uenyekiti wa nyumba kumi ndo utaelewa maana ya upinzani...naichukia ccm na serikali yake na
@saidpolenikwamsbakinidi62327 жыл бұрын
Shadhiri Navaranga hamuna umakini musingetegemea midomo yabunduki nalibuva najecha kazi yenu kuingia miktba yakifisad alf et tunaubiwa unafk tu
@adamsphonestz7 жыл бұрын
Nchi hii ni yetu sote
@Felix722827 жыл бұрын
Mnyika leo ndo nimegundua kuwa si mvumilivu. Alikuwa anawaita wenzake wezi, tena anawaita hata viongozi wakuu kuwa ni wezi na dhaifu. Leo ameambiwa hivyo yeye kaumia. Mkuki kwa nguruwe. Wapinzani hawana hoja tena kwa kweli
@ibrahimkhamis18627 жыл бұрын
Felix Mrisho kweli sana tena wao wakiongea wanamatusi kama mashoga
@margarethsolomon98237 жыл бұрын
Felix Mrisho sawa kabisa usemayo. Alishindwa kabisa kuvumilia, hata akashindwa kufuata kanuni akaanza kelele kama yupo bar.
@janieanthony48217 жыл бұрын
mtajibeba
@piusmarcomakelele20217 жыл бұрын
Tatizo la wabuge siasa mmeziludisha bugeni .
@ayoubinvestment81747 жыл бұрын
ivan
@jeniphermaiko38865 жыл бұрын
bulaya hauna nidhamu kwanini unapita unagongagonga meza mpuuzi kabisa
@silylyimo53577 жыл бұрын
yeye kapimwa akili??? ingekuw ni wachama cha wapinzani angetolewa nje
@williammamiro13967 жыл бұрын
nadhani wakupimwa akili ni waliosaini hiyo mikataba.
@fatumakamaka93314 жыл бұрын
Mikataba iko vizuri hawa ni wapotoshaji wazungu wenyewe wameanza kurenyesha feza
Ovyo kabisa mijitu mizima kila cku migogoro kama wanafunz stupid
@masungamnganya86787 жыл бұрын
Upinzan jaman nawapenda lakin NOW DAYS HAMNA MIKING SKIM mnasubili ki2 ch kijinga kabisa ndoo mnang'ang'ana nacho rudin kwenye misingi yenu ya awali you was trusted side likn saa Mmmmmmh HOPELESS and this because of magnetizing of impurity people from CCM @@###We love you ours
@margarethsolomon98237 жыл бұрын
Nganya Masunga sawa kabisa hawajitambui kwa sasa mami nawaona.
@emmanueldaud42347 жыл бұрын
mmetuchosha sasa kila cku nyie
@hassanovajunior69727 жыл бұрын
mshashindwa hoja nyinyi mumebakiwa kulalama tu tunawangojea 2020 wengi wenu hamtarudi tena bungeni
@saidpolenikwamsbakinidi62327 жыл бұрын
Hassanova junior wanao bwabwaja nihao walipitisha mikatab yakifisad saiv wanajitia unafik et tunaibiwa waliposain walishikiwa bundk hatutk unafik wao
Tatizo la magufuli ni demokrasia, yaan anataka uongozi wa kifalme, ila kazi anafanya kias flani.
@fadhiliibrahim97027 жыл бұрын
mkinga kiyabo kwahiyo hoja wanazo ccm are you blind?
@margarethsolomon98237 жыл бұрын
FADHILI IBRAHIM huyo Mkinga ana macho, si suala la ccm. Angalia move mwanzo mwisho utaona. Tuwe wakweli tusiwe washabiki tu. Mnyika ana makosa.
@ericmugisha76097 жыл бұрын
speaker wa bunge ni fala ana wabeba ccm
@ramiahassani87507 жыл бұрын
nyie mpimwe akili sio uongo
@fredykiponda65937 жыл бұрын
wanaofikilia ipo siku watarudi pongeza upinzani hoja siyo kuzuia mchanga hoja je iliundwa tume hulu kuchunguza mchanga ule yani acacia walihusishwa au siasa ndo inayotumika mpaka sasa
@fredykiponda65937 жыл бұрын
we ndo kuma kweli kamati imedanganya lipot yake utakuja nijibu wameafikiana wap hakuna lolote pale et mchanga una bilion mia nane had tion moja endelea kushangilea
@gintigaisauye18647 жыл бұрын
Mbona kwa ambao tuna wambuge wa vyama vya upizani wote ni kama hatuna haki in this country.
@edsonsign94417 жыл бұрын
toka kule malaya tu ww!
@gresitimoth41424 жыл бұрын
D
@ibrahimkhamis18627 жыл бұрын
Tatzo wapinzani hawana hoja za kusimamia kwasasa Ufisadi wanao wenyewe,Madawa ya kulevya wao,na Sasa mchanga wa maadini wanabaki kutetea wazungu shame for them
@castrolk.ezekiel74267 жыл бұрын
Ibrahim Khamis mawazo mgando thnk beyond my peole
@doctorjuniour94597 жыл бұрын
Ibrahim Khamis kuna haja urudi shule.....ongozwa na akili na cyo Hisia
@saidpolenikwamsbakinidi62327 жыл бұрын
Ibrahim Khamis ufisad umewaganda mikataba yakifisad mulipitish yamadini hamutki kuitoa saiv munaleta unafiki eti tunaibiwa dawa yenu inachemka
@ricksamthecrow7 жыл бұрын
We izo lugha za wazungu km huna shule kichwan we zibwage tuu....
@masseanadir29047 жыл бұрын
think big sheikh kuna mkataba wowote uliotiwa saini na upinzani?
@kapituomary23447 жыл бұрын
upendeleo huo haukubaliki kabisaa
@josekaliyaya66057 жыл бұрын
wapuuzi nyinyi
@richardmachibya99587 жыл бұрын
nyie wapinzani niwajinga kweli! lusinde kasema wabunge wapimwe hakili akiwemo na yeye! hajasema baadhi ya wabunge au wabunge wa upinzani! kasema wabunge woteee! kama nitusi basi na yeye kajitukana! .....tunasikiliza Kwa makini na tunaelewa maudhui ktk maneno ya wabunge wote! acheni ujingaaaa
@nessa48997 жыл бұрын
Yani huyu spika ni wa Ajabu haijapata kutokea katika historia, Anafanya upendeleo hadharani. Watanzania muyaone hayo.
@khamisihamza1086 жыл бұрын
Yani nyie wajinga 2020 hamrudi mjengn yan mnashindwa kujadil vtu vya kmaendeleo mnaanza kukazania KT cha kjinga ambacho hakina tija,achen mambo ya kuiga mnawaumiza wananch waliokupeni votes
@khamisihamza1086 жыл бұрын
Na kwahali hiyo ni bora tuwe na monopolitical party,ww ester acha ujinga lusinde alisema tupimwe akili maan yke nayy yumo
@ngusaasantemammwigulu10797 жыл бұрын
wapizani hawana jipya kuk nyie
@mudipili51854 жыл бұрын
Wapinzani Nakumbuka mh Raisi alipofika bungeni walitoka bungeni hivyo sio ajabu leo kutoka bungeni
@mohamedhamza10507 жыл бұрын
wabinge was upinzani wamezid kuonewa Hugo Rusinde anae jisemelesha ujinga nimemchukia xana
@cosmasmwananonga85687 жыл бұрын
Mohamed Hamza sasa ww ndio punga kweli unataka lusinde umpende kwni yeye demu? usivyompenda ww hata yy hawezi kukupenda ,wpinzani tumewazoea Zhao kususa na utovu wa nizamu acheni ubwege
@cosmasmwananonga85687 жыл бұрын
Mohamed Hamza sasa ww ndio punga kweli unataka lusinde umpende kwni yeye demu? usivyompenda ww hata yy hawezi kukupenda ,wpinzani tumewazoea Zhao kususa na utovu wa nizamu acheni ubwege
@joxeesetty19807 жыл бұрын
Mbona yule askari kamsukuma mnyika hivyo ,angekuwa sugu au waitRa angeondoka na shingo ya MTU pumbafu askari