FULL VIDEO: Ilivyokuwa mpaka Wabunge wa Upinzani wakatoka nje

  Рет қаралды 178,635

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Wabunge wa upinzani kwenye bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania wametoka nje ya ukumbi wa bunge hilo leo February 7 2017 kwa kudai kwamba Naibu Spika Dr. Tulia Ackson amekataa kujadiliwa kwa ishu ya Mbunge Tundu Lissu kukamatwa na Polisi nje ya ukumbi wa bunge jana February 6 2017.

Пікірлер: 82
@daudikassimu4574
@daudikassimu4574 7 жыл бұрын
viva zitto💪 mungu akujalie umri mrefu, ili tupate kufaidi busara zako.
@sifacycy_bby8827
@sifacycy_bby8827 7 жыл бұрын
Shukran san #Ayo tv kwa tarifa hii.
@Mkrist
@Mkrist 7 жыл бұрын
Huyu mama Ni jasiri sana. Yaani Mungu akubariki mama. Mwanamke una maarifa. Aisee
@barikingowo1052
@barikingowo1052 7 жыл бұрын
we mxenge kweli kama huo ni ujasiri kumanina zako
@gastordominic410
@gastordominic410 7 жыл бұрын
viva speech Zitto
@likaldokalenga7443
@likaldokalenga7443 7 жыл бұрын
Daaaah Ukweli utapindishwa hadi lini....... Huyu Aliyekalia kiti Mungu anamuonaa ....... Ameongea mambo hayo yotee baadaye Anaondoa hojaa ....... Dah Humu ndani mnataka Moyo........
@jasminrobby4094
@jasminrobby4094 7 жыл бұрын
yani mm nilivyo na hasira hyu spika walah ningempiga alwayz anaongea pumba cjui spika gani wa hv
@joycemichaellovelove2221
@joycemichaellovelove2221 7 жыл бұрын
#Jasmin Robby 😂😂😂😂sure hamna kitu umo
@gadafiissa683
@gadafiissa683 7 жыл бұрын
mmh, wapinzan wameshikwa pabaya. kwel naibu spika ni noma
@evaathanas9681
@evaathanas9681 7 жыл бұрын
Haaaa hii kali
@nickmpanzi
@nickmpanzi 7 жыл бұрын
huyu naibu spika hekima sio kitu chake lakini yuko smart sana kichwani, anajua anachofanya.
@mako331
@mako331 7 жыл бұрын
Tulia ni kichwa kweli
@fazeelshomary8743
@fazeelshomary8743 7 жыл бұрын
makoiga mg seriously???
@majosamalundi1628
@majosamalundi1628 7 жыл бұрын
Mungu anawaona
@rahmamaginga4237
@rahmamaginga4237 7 жыл бұрын
enx broo
@siperatusjames8489
@siperatusjames8489 7 жыл бұрын
mungu yupo kwa ajili yetu ni vema kutenda mema duniani
@mosesshem6231
@mosesshem6231 7 жыл бұрын
Mildayo, Àhsante Saña ila unapopost ujumbe iwe kuna uwezekana wa kudowload moja kwa moja
@barikingowo1052
@barikingowo1052 7 жыл бұрын
yaan huyu dem Ni fala sanaaa
@wilsonrichardmabala6616
@wilsonrichardmabala6616 7 жыл бұрын
nice!!!
@karinjuma3165
@karinjuma3165 7 жыл бұрын
saluti kwa zitto umesema kweli tena isiyofichika spika ni mshenz
@neematimotheo1918
@neematimotheo1918 6 жыл бұрын
mungu akubariki kwa kupongesa zitokabuwe mungu akubariki
@lucymatemba7649
@lucymatemba7649 7 жыл бұрын
uyo naibu hakuna kitu kujielezea 000
@felistamagoyo2887
@felistamagoyo2887 7 жыл бұрын
4 sure I hate the way Honorable G.Lemma wanavomfanyia..........
@brayanceprosper7369
@brayanceprosper7369 7 жыл бұрын
Felista Magoyo hhh
@mako331
@mako331 7 жыл бұрын
hapo watapiga makofi kweli, yani wavunje sharia wasishughulikiwe hamna
@shebbyshakur2785
@shebbyshakur2785 7 жыл бұрын
Zitto zuberi'tunakuelewa sana
@shyguy4446
@shyguy4446 7 жыл бұрын
millard mbona unakua muhuni?? kichwa cha habari kinasemaje na je video inaonyeshaje???
@mosesshem6231
@mosesshem6231 7 жыл бұрын
Hujasomea uandishi wa habari wewe tulia. kichwa cha habari huwa inakolezwa inatiwa chumvi, ili kukuvutia ww msomaji au msikilizaji
@maxzitatu1617
@maxzitatu1617 7 жыл бұрын
The difference between a wise and foolish man is this--the former sees much, thinks much, and speaks little; but the latter speaks more than he either sees or thinks
@mosesshem6231
@mosesshem6231 7 жыл бұрын
Max Zitatu Siku zote unapopambana na mpinzani wako, lazima utafute njia mbadala, *_Alternative Technics_* kutoka kwao nje sio kushindwa
@rahmamaginga4237
@rahmamaginga4237 7 жыл бұрын
kwa taarifa
@franciswaziri5789
@franciswaziri5789 7 жыл бұрын
sasa miladayo umesema full video mpaka wabunge wanatoka nje .... mbona Mimi sijaona wabunge wanatoka nje... mjifunze kuandika taarifa nansec
@aminielyohana3052
@aminielyohana3052 3 жыл бұрын
Zitto ss wapinzani hatuna hakiii
@hisexcellencyhon.dandabeni84
@hisexcellencyhon.dandabeni84 7 жыл бұрын
Unajua tatzo la sisi ngozi nyeusi sijui tuna upeo wa urefu gani.Yaani unavyotaka wewe utendewe vivyo hivyo mtendee na mwezioLeo unaonesha ubabe kwa X kwakuwa umepewa madaraka,kumbuka kesho nawe utakuwa mpinzani,ufanyiwe unavyowafanyia wenzio?
@ngonyaningonyani4209
@ngonyaningonyani4209 7 жыл бұрын
Ayo kichwa cha habari hakiendani na yaliyomo ndani
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 жыл бұрын
oooya huyy halima si mumkamate nae hana nidham kab isa😡😡😡😡
@brownmwamakula6791
@brownmwamakula6791 5 жыл бұрын
mbwemwe tu
@johnmwakalosi4520
@johnmwakalosi4520 7 жыл бұрын
huyo mama ni miyayusho sana elimu yake imeitia hasara serikali kwa kumpa mkopo
@allywamama748
@allywamama748 7 жыл бұрын
Viva zito
@josephatmapunda537
@josephatmapunda537 7 жыл бұрын
#Tatizo watendaje wengi wa kiserikali wamejawa na mihemko ya kisiasa....utawala bora upo wapi?
@jumajasjas2925
@jumajasjas2925 7 жыл бұрын
Naibu bana kafaip sana hapa anasema taarfa inahuska kwa kesi ya madai tu sasa yy anajuaje kama mtu anakamatwa kwa madai au jinai na wakat hapew taarfa... Zitto ajasema kua azuie kesi zisifanyike ila kwann ata taarfa hawapew?...
@zionmwakifuna1367
@zionmwakifuna1367 7 жыл бұрын
viva viva zzito
@kesspaul9684
@kesspaul9684 7 жыл бұрын
zion Mwakifuna
@veronicshaiyo2786
@veronicshaiyo2786 7 жыл бұрын
ivi huyu spka anaongea nin mbna simwelewi!!! akae chn asitpigie kelel
@ayoubrogath4297
@ayoubrogath4297 7 жыл бұрын
Hawajakoma kiakili maana wangekuwa wamekoma wasingetoka nje wangekaa wamsikilize then wamkosoe.. Mnapandisha tu sauti. Kaane pale kwenye kiti nyie sasa yaani siku zote mnaonewa tuuuuuu. Kuna vitu hamuonewi ila mnajionea wenyewe
@officialkinghezekiah2094
@officialkinghezekiah2094 7 жыл бұрын
Ayub Rogath moja ya comment za kijinga KZbin 😂😂😂😂u son ov b*
@barikingowo1052
@barikingowo1052 7 жыл бұрын
yan kunawatu vilaza ila we ni zaidi ya klaza
@aminielyohana3052
@aminielyohana3052 3 жыл бұрын
Uyu ni kilaza kweliiii
@jamilajuma6444
@jamilajuma6444 7 жыл бұрын
hii serikali haifati sheria na katiba pia Tulia akumbuke bunge sio la chama bali nila wananch,waige mifano ya bunge lililopita,
@mara-cb3gx
@mara-cb3gx 7 жыл бұрын
huyo Naibu mbona anang'ata sana maneno
@edwardedgar2911
@edwardedgar2911 7 жыл бұрын
mara م kapewa cheo ambacho siosaizi yakeee anatetemaa tuuu
@mara-cb3gx
@mara-cb3gx 7 жыл бұрын
Edward Edgar had I inachosha inakuwa kama vile makalimani
@edwardedgar2911
@edwardedgar2911 7 жыл бұрын
mara م mhhh hiyo ndio tz
@mara-cb3gx
@mara-cb3gx 7 жыл бұрын
Edward Edgar aisee
@allymitawa3860
@allymitawa3860 7 жыл бұрын
UENDESHAJI WA KITI CHA SPIKA MHE.TULIA ACKSON NI LAZIMA AZINGATIE SHERIA PIA AKUMBUKE KUWA MITIHANI NI SEHEMU YA MAISHA TU NA HICHO KITI NI CHA MUDA MFUPI TU.
@jonasmahundo9771
@jonasmahundo9771 7 жыл бұрын
ufisadi tuu unasemaje mpaka wanatoka alafu videoni hawatoki wizi tu
@iivinuadesdery4291
@iivinuadesdery4291 7 жыл бұрын
Wambunge ongeni maswala ya maendeleo na sio siasa za kukamatwa kwa wabunge atufiki popote bungerita hailishwa bila kufika mwafaka
@mara-cb3gx
@mara-cb3gx 7 жыл бұрын
mmmmmmm? wekeni muziki
@edwardedgar2911
@edwardedgar2911 7 жыл бұрын
mara م umeona eeee
@mara-cb3gx
@mara-cb3gx 7 жыл бұрын
Edward Edgar year
@edwardedgar2911
@edwardedgar2911 7 жыл бұрын
mara م haaa haaa or mbavu zanguuu
@mara-cb3gx
@mara-cb3gx 7 жыл бұрын
Edward Edgar anabooo bhana
@DonnHelela
@DonnHelela 7 жыл бұрын
kabisa... maana maneno imekuwa mingi
@iivinuadesdery4291
@iivinuadesdery4291 7 жыл бұрын
Nishaona siasa aina mana kwangu make akuna wanacho ongea ubinafsitu na majungu akuna chote ojainaongerewa aitekerezwi bora ufanye kazitu tusubili kufatuu,,,,
@darasahuru6819
@darasahuru6819 7 жыл бұрын
Millard acha uroho..punguza matangazo yanatuboa ,sio kila dakika tangazo, hayo ya voda na GSM yanatosha
@officialkinghezekiah2094
@officialkinghezekiah2094 7 жыл бұрын
Midevu Midevu wazo lako zur ila huna pesa za kumpa zaid sana una mapenz hapo amelipwa bro😂😂😂
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 жыл бұрын
asante spika , to zitto ,,
@andrewasagwile7162
@andrewasagwile7162 7 жыл бұрын
Huyu mama co wamchezomchezo maana anapambana kweli Bigup bimkubwa I salute you
@emanuelbarua2288
@emanuelbarua2288 7 жыл бұрын
d
@tamtam2589
@tamtam2589 7 жыл бұрын
hawa wapinzani wanamatatizo sana
@peterjohn8413
@peterjohn8413 7 жыл бұрын
haàaa
@franciswaziri5789
@franciswaziri5789 7 жыл бұрын
sasa miladayo umesema full video mpaka wabunge wanatoka nje .... mbona Mimi sijaona wabunge wanatoka nje... mjifunze kuandika taarifa nansec
@officialphillz66
@officialphillz66 7 жыл бұрын
bora umeniambia ningepoteza muda tu
@franciswaziri5789
@franciswaziri5789 7 жыл бұрын
Wanaboa kichizi mtu nimejipinda kuangalia timbwili lawabunge kutoka nje.... Nasubili nahona midakika hinazidi kukata malatizi ....na bando lenyewe hili dakika 19 hupo KZbin ..unafikili kitoto
@officialphillz66
@officialphillz66 7 жыл бұрын
Da sure anaanza ishu za udaku uyu jamaa nae
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 104 М.
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 7 МЛН
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 2 МЛН
Sugu Amvaa Bashite, Ataka Ashtakiwe, Awaponda Bongo Muvi
11:55
Global TV Online
Рет қаралды 135 М.
MWANZO-MWISHO: Mbunge Mnyika alivyotolewa Bungeni na Askari
10:23
Millard Ayo
Рет қаралды 357 М.
WABUNGE WA AFRIKA MASHARIKI KUTOKA TANZANIA WALIOCHAGULIWA HAWA HAPA
11:05
LEMA ALIAMSHA DUDE BUNGENI MATIBABU YA LISSU, MWENYEKITI AMTAKA AKAE
4:05
Mwananchi Digital
Рет қаралды 169 М.
MBUNGE BWEGE ALIVYOZUA BALAA BUNGENI LEO
13:38
Millard Ayo
Рет қаралды 741 М.
SIKILIZA NONDO ZA JAMES MBATIA BUNGENI LEO
10:54
Millard Ayo
Рет қаралды 35 М.