No video

WACHUNGAJI WAKIRI YESU SIO MUNGU BAADA YA KUNENA KWA LUGHA MPYA

  Рет қаралды 26,745

Straight Path Dawah

Straight Path Dawah

Күн бұрын

Tafadhali subscribe kwenye channel hii ya Straight Path Dawah ili ujumbe uzidi kuenea.

Пікірлер: 121
@maherzain615
@maherzain615 2 жыл бұрын
MashaAllah. Alhamdulillah Kwa Kuamka salama nakuwahi swala ya alfajiri. InshaAllah tujibidiishe Kwa kusoma suratul kahf na kumswalia mtume kwa wingi kwa cku hii tukufu ya jum'a.Allah atupe fadhla ya cku hii ,atusameh na atujalie tuwahi saatul ijaba
@rashidalfan8274
@rashidalfan8274 2 жыл бұрын
Mashaallah Tabarakallah, kazi nzuri ustadh Ramadhan, uwa napenda nikisika, Allah awazidishie Elimu mlionayo kutoa watu kwenye Giza na kuwapeleka kwenye nuru ya uislamu,
@jamalathman6219
@jamalathman6219 Жыл бұрын
Mashallah sheikh ramadhan Allah akueke pamoja na team yako uendeleze dawaah kote nchini wakiristo wazidi elewa uisilamu
@grealishteam5247
@grealishteam5247 2 жыл бұрын
Allah akujaliyeni kila la kheri katika jitihada zenu
@mwanamtotosaid702
@mwanamtotosaid702 2 жыл бұрын
Aamin 🤲
@aishahazary4097
@aishahazary4097 2 жыл бұрын
Tunakupenda kwa ajili ya ALLAH shehe Ramadhani na kundi lako.ALLAH awakinge na hasad za dunia hii.Aamiyn.
@salmanassor8732
@salmanassor8732 2 жыл бұрын
Mashallah tabaraka Rakhman Alha awalipe kheri mashehe wetu kwa jitihada kubwa ya kufikisha dini ya haki
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 2 жыл бұрын
Masha Allah tabaraka Rahman Allah azidi kuwapa nguvu, afya muendelee ku itangaza dini ya haqi. Na wapenda kwa ajili ya Allah
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 2 жыл бұрын
Masha Allah sheikh Ramadan kwa ulinganiaji mzuri mungu akupe umri mrefu uzidi kulingania
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 жыл бұрын
Allahuma ameen 🤲
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 2 жыл бұрын
Ameen.
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 2 жыл бұрын
MashaAllah. JazakAllah for the Hard Work! Wa Islamu, supportini hii channel na Mali zenu! Kwani hawa WaKristo hawa jui Biblia yao ime andikwa na Wazungu, hivi juzi tuu, in 1611AD, by King James! Biblia ni Story Book ya Wazungu, that is why NENO UKRISTO na Neno 'Biblia' HAIKO katika Biblia zote! Those TWO Words dont exist!
@zainaal-nabhani9034
@zainaal-nabhani9034 Жыл бұрын
Mungu akupe nguvu nawepesi katika kaziyako hii tukufu shee ramazan kuriy
@fadumarage2682
@fadumarage2682 2 жыл бұрын
Wsnajikaza tu lakini wa najua dini ya ukweli ni kislamu mashaalaa Allah awaelekeze inshaala,
@fatmamuhamad3762
@fatmamuhamad3762 2 жыл бұрын
Asalamu aleikum Allah atuogoze soote in shaha allah
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 жыл бұрын
Wa aleyikum salam warahmatullahi wabarakatuh
@ggv866
@ggv866 Жыл бұрын
Mashaallah Allah akupe kila la kheri Sheikh Ramadan ..kwa juudi zako kwa kueneza dini ya Aki ya uislam
@Sisterjemi1
@Sisterjemi1 2 жыл бұрын
Ma sha Allah
@badmanno.1650
@badmanno.1650 Жыл бұрын
Huyo kijana Silas Allah atamuongoza InshaAllah.. akili yake ni safi..
@nooroman2535
@nooroman2535 2 жыл бұрын
MashaAllah shelkh Ramadhani Allah hakupe afya njema na umuli mrefu lnshaallah uzidi kumtangaza Allah nahakupe pepo ya fildas lnshaallah
@malikdodo5190
@malikdodo5190 2 жыл бұрын
A have got wat to watch tonight Inshaaa Allah
@user-rc7oi2hp8l
@user-rc7oi2hp8l 9 ай бұрын
Allah akusahlishie n waislam wote tuifikishe dini ya kweli al islam
@salminmabrouk5433
@salminmabrouk5433 2 жыл бұрын
Mashaa Allah
@nooor1120
@nooor1120 Жыл бұрын
Allahu akbar Allah azidi kukutieni nguvu kazi mnayofanya iendelee kwa wepesi daima.
@fatmamuhamad3762
@fatmamuhamad3762 2 жыл бұрын
Asalamu aleikum Allah awaipe kila kheri in sha allah
@hassanimouigni6648
@hassanimouigni6648 Жыл бұрын
Halaf kweki wuyu mtoto ni mkweli mungu amongoze ichaallah
@sadiqmwafrica6759
@sadiqmwafrica6759 Жыл бұрын
MashaAllah, well done Ramadhan
@zainaal-nabhani9034
@zainaal-nabhani9034 Жыл бұрын
Mungu akuhifazi akulinde shehe ramaza mana unamueleza kwautulivu kabisa mungu akuwezeshe zaidi wwe najop lako mumbgu awajaze heri
@user-rc7oi2hp8l
@user-rc7oi2hp8l 9 ай бұрын
Masha Allah tabaraka Allah
@maimunamselemo8427
@maimunamselemo8427 2 жыл бұрын
Unajua kuwakamata ustadhi kwa maswali tu Allah azidi kukuongoza kwenye kheri
@salimbilali5174
@salimbilali5174 2 жыл бұрын
MUITE BILAL NIMEPENDA IYO❤️
@MwasemaMbwana
@MwasemaMbwana 9 ай бұрын
mashaAllah.. shee Ramadhan kuria..
@saeedisa9798
@saeedisa9798 2 жыл бұрын
Asanteni sana
@khadijanigogo698
@khadijanigogo698 Жыл бұрын
Mashallah tabarakallah
@bentybenty2343
@bentybenty2343 2 жыл бұрын
Masha ALLAH ALLAHU AKBAR
@user-ln7bf8gm1o
@user-ln7bf8gm1o Жыл бұрын
Mungu awabariki
@malikdodo5190
@malikdodo5190 2 жыл бұрын
Assalam alaikum warahmatu-llahi wabarakatuh
@sophiajuma6798
@sophiajuma6798 2 жыл бұрын
Mashaallah
@user-nb2tb9zk5i
@user-nb2tb9zk5i Жыл бұрын
Mashalla allahmdulilah ❤😍
@malikdodo5190
@malikdodo5190 2 жыл бұрын
Thanks for the great work of daawa Ustadh Ramadhan kurya may Allah reward you jannah
@minaniyasini7834
@minaniyasini7834 2 жыл бұрын
Allah awalipe kila la kheri kwa jitihada mnazo zifanya
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 2 жыл бұрын
MashaAllah huyo kijana pastor mdogo mmfuatilie in shaa Allah atasilimu
@pungopungo411
@pungopungo411 Жыл бұрын
Mnavyojua kuzusha mambo mko vizuri
@mutomubaya
@mutomubaya Жыл бұрын
Shukrani Sheikh kwa kuelimisha watu kuhusu Mwenyezi Mungu. Ni vyema watu wajulishwe kwamba Uislamu ni Dini ile iliyokuwa ndio Dini ya Baba yetu Adam na ndiyo Dini ya haki ile ilikuwa ya Mitume na Manabii. Dini inahusu kuamini kwamba Mungu ni mmoja. Na kuamini kwamba hakuna mungu wa haki ila Allah. Waroma ndio waliofundisha watu kusema Mungu ni Baba. Je ni ukweli?
@user-gy6xz5xh3f
@user-gy6xz5xh3f 2 жыл бұрын
MASHA ALLAH Tunaombea ALLAH Awape Umri Na Afya Njema Na Awabariki Kwa Kzi Zuri Mnayo Ifanya
@HassanAli-eq8ko
@HassanAli-eq8ko 2 жыл бұрын
Mashaallah jazakumllah kheir amiin kazi nzr sana mola awazaidishi Iman
@bahatikenia39
@bahatikenia39 2 жыл бұрын
Mashaalah
@elpibedeoro215
@elpibedeoro215 2 жыл бұрын
Ma shaa Allah..Ustadh Rama...Daa'wa ina utamu yake..Allah azidi kuwapa subra na afya
@mwanamtotosaid702
@mwanamtotosaid702 2 жыл бұрын
Masha Allah
@sakinahassani1455
@sakinahassani1455 11 ай бұрын
MashaAllah
@majaliwamraba8699
@majaliwamraba8699 Жыл бұрын
Mashallah bring them to our truth religion Ustadhi Ramadhani tell them in Muslims ww don't hate any body but we welcome all
@MussamuidineMuidine-oi6oc
@MussamuidineMuidine-oi6oc Жыл бұрын
Eu gostei tou em Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@Sisterjemi1
@Sisterjemi1 2 жыл бұрын
Jamani yule mzee Yussuf yupo ulikuwa ukifatana nae ? UST Ramadhan
@salmanassor8732
@salmanassor8732 2 жыл бұрын
Yaani mie niliuliza wala sikupata jibu siku nyingi hatujamuona mzee wetu
@doubleminded2079
@doubleminded2079 Жыл бұрын
Ningetamani mutembee meru in shaa Allah
@husnanancyatieno2391
@husnanancyatieno2391 Жыл бұрын
Mashallah Tabarakallah
@mohamedhozi8110
@mohamedhozi8110 2 жыл бұрын
Maashaallah baarakallah..
@kenyachristianapologeticsp9635
@kenyachristianapologeticsp9635 2 жыл бұрын
What a great woman,,,debunk refuse lies on the spot
@malikdodo5190
@malikdodo5190 2 жыл бұрын
There's no any Christian apologist /pastors who can explain the meaning of Begotten son because they know truly it can't fit in God's majesty . It's a kuffru
@kennedyireri1813
@kennedyireri1813 2 жыл бұрын
A name pastor has no monopoly of Godliness but them that are called have the knowledge. I'm not a pastor but I'm privileged to understand.
@nalingarowl7048
@nalingarowl7048 Жыл бұрын
Kuna tofauti Kati ya mchungaji na Mapadre.
@florenceflorence1170
@florenceflorence1170 2 жыл бұрын
Waislam wanabudu Muhammad
@mohamedhozi8110
@mohamedhozi8110 2 жыл бұрын
Soma wwe isije ukaenda motoni kwa kumuabudu yesu...unakosa kumuabudu mungu
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 2 жыл бұрын
Unaona wewe unaabudu miungu yenu mitatu Paulo, Maria na yesu unaona waislam hatujitambui kama nyinyi mnaojiita wakiristo? Usitusemee bali pambaneni na ukafiri wenu
@madetetv6576
@madetetv6576 Жыл бұрын
@@fatumamwalimu5765 au sio tunamuabudu Paulo na Maria ? Quran yenu ndio inawafundisha hivo endelea kuamini hivo mashekh wanakudanganya nawe unapokea tu bila kutumia akili ushakuwa mtu mzima ww jitambue
@Rahima-kv6mn
@Rahima-kv6mn Жыл бұрын
​@@madetetv6576Toa andiko km waislam wanaabudu Muhammad
@pungopungo411
@pungopungo411 2 жыл бұрын
Nyinyi nnafyata watu masokoni eti tuelezee ukristo ukoje. Huko ni kukosa sera. Karibuni neema bado ingalipo kwa yesu kristo. Hao mnaohojiana nao hawana ukriso wowote. Wapowapo tu. Kama mafungu ya bamia mnapoteza mda wenu kuwaulizia habari za kristo
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 Жыл бұрын
Wewe ndiye huna kazi,umeishia ku comment ujinga kwakuwa hutaki kusikia ukweli
@pungopungo411
@pungopungo411 2 жыл бұрын
Usifanye usanii kwenye imani ya mwingine. Wewe amini unachokiamini. Usilazimishe mwingine atoke kwenye imani yake akufyate wewe .hebu jalibuni kuwa wastaarabu jamani. Kawatafuteni wapagani labda watawaelewa .tangu niko tumboni nasikia yesu kristo ni bwana. Leo hii from know were unibadilishe dini. Ukiwa kama nani. Nina wazimu. Kueni wastarabu
@pungopungo411
@pungopungo411 2 жыл бұрын
Acheni ujinga kila wakati mnamkashifu yesu. Hebu muongeleeni yule anaewahusu..mbona mnafosi kuna nini kinaendelea.
@kenyachristianapologeticsp9635
@kenyachristianapologeticsp9635 2 жыл бұрын
Shekh mbona kutumia uongo
@albusaidi5132
@albusaidi5132 2 жыл бұрын
ii sehemu inaitajika kupafanyia mchango kwa kuweka msikiti na markaz itakuwa vizuli kupafanyia alambee
@hassanimouigni6648
@hassanimouigni6648 Жыл бұрын
Shekh Ramadan usimwachie mtafute wuyu pasta mtoto
@pungopungo411
@pungopungo411 2 жыл бұрын
Nyinyi simnaenda peponi. Ninini tena kinawawasha kupitapita kuumuulizia kristo.kama sio uchokozi. Mnatapatapa mini kumchunguza kristo
@pungopungo411
@pungopungo411 2 жыл бұрын
Aheri nyinyi mnapitapita tu kuuliza habari za mokozi babu zenu walikua walitumia majambia. Eti wanaitafuta pepo .hahahahaha walikua mbali sana.
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 10 ай бұрын
wanasema kila siku dini haipeleki mtu mahali,wakati Bibilia yenyewe inataja Dini mara mingi tu,wakijaza form wanaandika Dini,sasa mi nashangaa imani ya hawa wakristo is it brainwashing au mafundisho gani haya
@pungopungo411
@pungopungo411 2 жыл бұрын
Fafanua wachungaji wako aina nyingi. Kuna wachungaji wa ngombe wa mbuzi. Ni wachungaji wapi hao wanaomkana mokozi .jiongeze mwislam. Mnacholwa tu
@janieali5521
@janieali5521 Жыл бұрын
God is one but in three persons ?, that is blasphemy, it does not make sense and till today Christians themselves are saying and admitting that it is mysterious and they cannot explain. They will come with stupendous examples like egg, water etc. Please have mercy on Jesus and stay, believe and follow your master, Paul.
@pungopungo411
@pungopungo411 Жыл бұрын
Vingependeza mkaenda kuwashawishi wahidi na budha .huyo mtume wenu alizaliwa ameukuta ukristo ndio kawaambia muupige vita ukristo yeye mwenyewe hajui chimbuko la ukristo mnakurupuka tu .kama machizi
@pungopungo411
@pungopungo411 2 жыл бұрын
Neno limesema kila goti litapigwa mbele ya yesu na kila ulimi utakili kuwa yesu kristo ni hakimu. Acheni kutapatapa. Siku inakuja mtakapotapatapa vizuri
@mrjagenmuuz5704
@mrjagenmuuz5704 2 жыл бұрын
Nyie ndomtakao tapa kwani yesu atawqkana nyote mnaosema kua yeye ni mungu
@madetetv6576
@madetetv6576 Жыл бұрын
@@mrjagenmuuz5704 Dini zishakuwa kampeni za uchaguzi saizi wanafatwa masokoni
@jumabaj5149
@jumabaj5149 Жыл бұрын
Mungu wa haki ni Allah (s w) na Dini ya haki ni uislamu na mtume muhammad (s.a.w) ni mtume wa allah na ni mtume wa ulimwengumzima Allah akuongoze uijue haki kabla ya kukufikia umauti
@munawwarbashir2680
@munawwarbashir2680 Жыл бұрын
Nyny ndio Yesu atawakana siku hiyo na kuwaambia yeye sio Mungu wala sio mwana wa mungu sasa tafakari vizr
@pungopungo411
@pungopungo411 Жыл бұрын
@@munawwarbashir2680 sisi tunamgoja yesu nyinyi viziwi mnangoja nani?mmelalia masikio
@zaburi2386
@zaburi2386 2 жыл бұрын
Wislam muda wa kurudi masihi YESU KRISTO umekaribia achanane na mambo ya kukazania din uislamu uislamu kumbekeni YESU ndie ufufuo na uzima yeye anachombo Cha kuchujia nafaka
@aishahazary4097
@aishahazary4097 2 жыл бұрын
Zabur 23....Usiwe mvivu wa kusoma kitabu chako na usikubali kusomewa..Ungemjua Yesu vizur ungejisalimisha kwa ALLAH .
@lovemwantiti8130
@lovemwantiti8130 2 жыл бұрын
@@aishahazary4097 mwambie huyo ajue aside ijutia nafsi yake
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 2 жыл бұрын
Haya lete andiko linalosema yesu ni chombo chakuchujia, sasa ikiwa yesu hakufundisha huo ukiristo wenu mlioletewa na Paulo mbona msifunguliwe macho wakati mmekua kondoo waliopotea na wachungaji wenu waliwapoteza ,yesu anakuja kuwakataa wale wanaojiita wakiristo na atavunja misalaba
@madetetv6576
@madetetv6576 Жыл бұрын
@@fatumamwalimu5765 mbona unamponda Paulo wewe alikuchomeka penyewe nini?
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Жыл бұрын
@@madetetv6576 kumbe Paulo alikuchomeka!!! Sasa huo ndio ushetani wenyewe, acha kuchomekwa penyewe
@fatumjumaa5563
@fatumjumaa5563 2 жыл бұрын
Mashaallah
@malikdodo5190
@malikdodo5190 2 жыл бұрын
Assalam alaikum warahmatu-llahi wabarakatuh
MTOTO WA MRASTA ASILIMU BAADA YA KUONA UBISHI WA MSABATO
1:04:35
Straight Path Dawah
Рет қаралды 10 М.
WAKRISTO WAUPOKEA UISLAMU KWA ROHO SAFI HUKO CHEPNYOGAA
1:21:18
Straight Path Dawah
Рет қаралды 22 М.
This Dumbbell Is Impossible To Lift!
01:00
Stokes Twins
Рет қаралды 36 МЛН
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
MORARA OR HUSSEIN, WHO IS LYING?
15:28
Iko Nini
Рет қаралды 1,9 М.
BIBLIA YAFUNDISHA MSIKITI NI NYUMBA YA MWENYEZI MUNGU
1:17:09
Straight Path Dawah
Рет қаралды 14 М.
KUITWA PASTOR SIO KAZI RAHISI 😂 || ALIYEDAI KUWA PASTOR APATA DOSE YAKE
1:02:30
WACHUNGAJI WAPITIA WAKATI MGUMU
1:02:24
Straight Path Dawah
Рет қаралды 19 М.
The Destruction of Madinah and The Greater Israel | Ustadh Wahaj Tarin
51:59
OnePath Network
Рет қаралды 1,2 МЛН