Ramadan na team yake Mungu awalinde.. Mimi hiyo subra Sina. Mabruk
@HamzaAkilimali10 ай бұрын
Inshaallah, polepole mwisho wa siku, kila mtu ataelewa. Mambo mazuri hayahitaji haraka. Sheikh Ramadhani Kuria, Mwenyezi Mungu atakusimamia, Inshaallah.
@seifserenge3340 Жыл бұрын
Mashallah mashehe wetu, endeleeni kutoa elimu Kwa wasio elimu, Allah awaongoe
@AssdfAssd-g3y7 ай бұрын
Sheikh Ramadan mashallah Allah akulihifadh,akuongoze,akulinde Kila mahali unapo ingia inshallah awe pamoja nawe na uzidi kuilingania dini yake ilio ya haki na njia ilionyooka ya uislam❤❤❤❤ Allah atujaalie mwisho mwema
@mariamShaban-e1c Жыл бұрын
Masha'ALLAH . Masheikh wetu mnatoa watu kwenye giza na kuwaonesha Haqi ilipo ALLAH atuingize peponi sote nyinyi na sisi Allahumma Aamiiyn
@shekilamayala423510 ай бұрын
Wallahy shekhe kuwa elimisha viumbe mpaka waelewe na wakubali ilmu ya dini Kwa uzuri yataka subra na hikma ya Hali ya juu sana. Allah azidi kuwapa subra na muongozo.
@OthmanAmeir-u7o Жыл бұрын
Mashaa Allah shekh Ramadhan nawenzio Allah awapekheri awape afya njema muzidi kutoa daawa
@Noorein-ws8wk Жыл бұрын
Alhamdulillah
@rizikiali328 Жыл бұрын
Mungu awape subra masheikh wetu endeleeni musichoke wengi hawajui anayestahili kuabudiwa
@AngoSheriff-be5mq11 ай бұрын
Allah akulipe kile munachokifanya mtanii na elimika sana
@alijuma8543 Жыл бұрын
MASHALLAH,,kazi njema masheikh wetu
@rayaalhabsi1725 Жыл бұрын
Subhana Allah wame oshwa brain vibaya sana laa aisee kwa kweli tuna wa ombea Allah awape subra na awa fanyie wepesi yaarab allahumma ameen. Iko kazi
@hassanmpemba5747 Жыл бұрын
Masha Allah wakenya wanapenda sana kusikiliza maneno ya mungu ishallah mungu atawaongoza wakristo wataujuwa ukweli
@kijakaparare2074 Жыл бұрын
Maashaallah mashallah mungu awaondolee husda na fitna za wanaadam naawaepushe na maradhi na Awape mwisho mwema 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@ggv866 Жыл бұрын
Mashaallah Allah awajalie kila kheri
@jamilaomari2444 Жыл бұрын
Jazakallahu kheir kwa subra yenu masheikh wetu. Kazi kweli kweli!
@chimohassan8499 Жыл бұрын
Masha Allah mashekhe wetu🙏♥️♥️
@ZayyanaBamuni Жыл бұрын
Jazaka Allah lkhair,sheikh Ramadhan na timu yako❤
@khadijanigogo698 Жыл бұрын
Mashallah kazi nzri❤❤
@maryamjuma1980 Жыл бұрын
Allah awazidishie subra ktk kazi zenu maana kazi ya daawa ni nzito mno na Allah atawalipa kheri sababu yeye ni mkuu wa uadilifu
@SaidMgeni Жыл бұрын
Assallam Allaikum warahmatuAllahi wabarakatuhu nawatakia Afya na subraktk kazi hii kwani mitume pia walidhalilishwa sana
@marvelousofzanzibar9556 Жыл бұрын
MashaAllah wanazidi kushika
@sadickkagoma5297 Жыл бұрын
Masha Allah, kazi nzuri sheikh wangu
@mohamedhozi8110 Жыл бұрын
Maashaallah baarakallah apo mkristo uwa amejibu vyema kwamba ukristo c dini kwa maana swali ikiwa yesu wafuasi wake waliitwa wakristo baada ya yesu kuondoka je yesu alikuwa dini gani hawana jibu
@isseamin2017 Жыл бұрын
Masha Allah mungu awadishie elimu
@jimjam-xg7rv Жыл бұрын
❤MASHA ALLAH sh. Ramadan kuria ALLAH akupe furaha kwakuwa kazi ya lkulingania watu yaitaji subra ya hali yaju sana . amin amin YARABI amin.
@StraightPathDawah Жыл бұрын
Allahuma ameen 🤲
@guenterernst5481 Жыл бұрын
Ameen
@hamisimwagarashi9501 Жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah
@saidali29817 ай бұрын
Mashallah Mashallah
@halimahbwelele694 Жыл бұрын
Mungu wa Ibrahim, mungu wa yakobo na mungu wa isihak mbna hua wanabadilisha wanaita Abraham,isac , Jacob, shukran sana kwa kuelewa kua wanapinga bibilia
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Kwa lugha ya kiengereza wanaita hivyo. Wazungu walivyotunga bible wametunga na majina hayo baada yale halisi ya Middle East/kiisilam. Issa-Jesus Mosa-Moses Edris-Enoch Shu’aib-Jethro Dhulkifl-Ezekiel Daud-David Yahya-John Suleiman-Solomon Yunus-Jonah nk
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Lkn ukija ktk Qur-an Allah amewataja kwa majina yao halisi ndio hayo tunayoyajua sisi waisilam. Qur-an imetubainishia.
@zuenazuena5690 Жыл бұрын
Ma sha Allah
@hirewarsame5992 Жыл бұрын
Sheikh Ramadan nowadays you allow them to lecture and preach you bila mandiko.... return your original tactics.... for the last 4 videos 😢 full of rhetorics and incomplete answers..where is your tough and fundamental questions ? 1je una Amani Mungu ama miyungu? 2 je ukristo ni dini ? 3 je yesu ni mwana Mungu ? 4 je maria ni mama ya mungu? 5 je yesu alitumwa kwa nani? I really love you Sheikh Ramadan for advocating oneness of the Almighty Allah ❤
@jacksonnzai1593 Жыл бұрын
Mama ww n mkristo usiefata ya kristo alie neno la Mungu. NENO haliruhusu wanawake kuvaa trouser na vituko. usiuchanganye ukristo.
@UMMYYFATMA Жыл бұрын
Mashallah Mashallah ❣️ ♥️
@NuhuAmasha Жыл бұрын
MashaAllah❤🙏🙌
@EbrahimAziz-l4n Жыл бұрын
ALLAH AKBAR
@abdirahmanjama27239 ай бұрын
Msh allh
@Maryam-h4y1q Жыл бұрын
Mashalla ♥️😍🥰
@hassansharif9216 Жыл бұрын
Masha Allah Brothers
@halimahbwelele694 Жыл бұрын
😂😂😂 ustadh Ramadhan Leo daaaa Kali
@joseealexislenguumeni18 Жыл бұрын
The fact that Napenda dini ya Kislamu but sipendi vile mnafanya uislamu inakaa 100% true and right na kufanya dini zingine zionekana kama hazifai mbele yenu...mbeleni hakukuwepo na dini la kiislamu au ukristo.dini zilikuja na warabu na wazungu..
@mtotompole1040 Жыл бұрын
History about religion Nikama Hauna better unyamaze 2 broo
@Nur-al-islamchannel Жыл бұрын
Aliyekuambia hivo nanii na Ibrahim,Musa,Yesu wote waislam ukitaka andiko kwa biblia nakupa...wewe soma vitabu vyote mbili ndo ujue ukweli
@umazimwambezi8092 Жыл бұрын
Ukristo ni kampuni ya wazungu
@mwanamtotosaid702 Жыл бұрын
Masha Allah 🥰
@mangeraalbert7982 Жыл бұрын
Jamaa haibika, ati leta I'd ramadhan bin kaguo
@sirpleasureb Жыл бұрын
huyu jamaa amevaa blue mungu ambariki sana.anamsimamo na anajua yesu ni nani.
@umazimwambezi8092 Жыл бұрын
Kazi unayo sherk Ramadan hapo lazima uliumwa na kichwa ushindani mwingi nahawayajui maandiko Allah akuzidishie nguvu naujasiri
Ai, hawa watu wa Nanyuki ni kichwa Maji, na wako na fujo sana! Kwani hawa Wa Mt Kenya, hawa jui WaZUNGU walipo kuja kuwa NYAKULIA Ma Shamba zao, na ku wapa BiBLIA na UWONGO wa 'ukristo', badila ya MaShamba!?? TabarakAllah Team mzima!
@symonkariku4396 Жыл бұрын
Nanyi walabu walipokuja na kuchukua biashara zote pwani na kuja na quran na uwongo wa Muhammad si mliamini
@Sal.0 Жыл бұрын
@@symonkariku4396 Muta kufa WAJINGA nyinyi! WaKikuyu walikuwa wana FACE Mt Kenya, na ku abudu Mungu MOJA tuu! Halafu WaZungu wakaku letea Mungu Baba, Mungu ka MTOTO, na kaSpirit, na nyinyi WAJINGA, muka ku Bali!
@Nur-al-islamchannel Жыл бұрын
Wachana na yeye kwa maana hawatumii maandiko
@symonkariku4396 Жыл бұрын
Nani amekataa nyinyi nani alisema muwe mnaface maca, na kwa kusema kwenu wapy mmeamlishwa muabudi muhamad na mface maca
@Sal.0 Жыл бұрын
@@symonkariku4396 Wewe, Mjinga, Mtu yeyote aki ABUDU Prophet Muhamed, ata kwenda MOTINI. Na MTU yeyote aki Abudu yesu, PIA yeye, ata CHOMWA vizuriiii sana!
@zohramariga6678 Жыл бұрын
Mashala asalamu alakumu
@faudhiasaidi3669 Жыл бұрын
Jazaakallah khayrii ❤
@fatmazullu49333 күн бұрын
Sasaa hata kusoma tu ni shida na ni biblia je ingekuwa ni Quran ungesomaje wooii! Pole sana Ramadan Kuria kwa usumbufu huu, Allah atakulipa tuu unafanya kazi kubwa sana!
@azizashiundu5778 Жыл бұрын
Now days nafika kwa haraka sana Alhamduililaahi Alhamduililaahi Allah Akbar ❤😂
@StraightPathDawah Жыл бұрын
Shukran jazeelan 😊
@MussamuidineMuidine-oi6oc Жыл бұрын
Masha Allah 🇲🇿❤️
@SalimOmary-w8j Жыл бұрын
Ukristo sio dini
@fatimahrashid2356 Жыл бұрын
😂😂😂😂 sisemi kitu 💞💞💞💞
@hythamhashiem4458 Жыл бұрын
Waislamu hawatokwenda mbinguni lakini watakwenda peponi
@jumahamad9463 Жыл бұрын
Mmmmh MAMBO Yakitambulisho Renault Kwahio SHEIKH RAMADHAN Wanakudhania Unatoka UwaArabuni Ambaye Jamaa Amekuuliza Ujitambulishe Kwa KITAMBULISHO KWA MOMBASA ASKARI WAKIKUKAMATA WANADAI EPO WAPI YAKWAMGANGA YAANI EPO WAPI KITAMBULISHO YAKO
@jumahamad9463 Жыл бұрын
SHEIKH RAMADHAN USINYONGE KWAKUTOPOKELEWA SALAAMU SALAAM ZIMEPOKELEWA NAMALAIKA NASISI WAUMIN ALIKUA AJAPOKEA SALAAM NIKASUMBA ZA WAKOLONI NA MAFUNDISHO YA WAKOLONI SAWA NAKUSEMA AME BRAIN WASH NAKOLONI NAKUPOKEA SALAAM
@jumahamad9463 Жыл бұрын
USINYONGEKE AU KUWA MNYONGE KWAKUTOPOKELEWA SALAAM
@rizikiali328 Жыл бұрын
Sio mtumwa ni mtume nabii wa Allah
@HisMajesty64 Жыл бұрын
Ukaidi wao na fujo lao ni kwa sababu ya kusikia na kujua ukweli kwa hiyo ni bora kwao waharibu utaratibu na mada ile wengine wasiyasikie maneno ya ukweli. Hizo ndio hila zao wakosapo hoja. Allah awahifadhi walimu wetu
@mwanaidiissa10 Жыл бұрын
Mwanasiasa mbishi
@hythamhashiem4458 Жыл бұрын
Makristo toeni maandiko! Musitoe vichwani mwenu
@joseealexislenguumeni18 Жыл бұрын
Na kabla mnihukumu,mimi nilikuwa mkristo mkatoliki.infact nilikuwa nataka kusomea upadre...but nilipokutana na marafiki wangu wa kiislamu na nikafungua macho...na hapo ndio nilikataa dini yeyote ila naamini kuna Mungu MOJA aliyeumba mbingi na ardhi
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Kuamini Mungu mmoja tu aliyeumba mbingu na ardhi bado hujawa kwenye haq
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Kwa sbbu hyo Mwenyeezi Mungu unayemuamini ameleta Mitume ili kukufundisha vile ambavyo yy anataka kuabudiwa, kushukuriwa na kuombwa. Na kila Mtume alikuja na mafunzo yake kulingana na wkt alokuepo. Ssa ww inamaana utakua hufanyi ibada yyte just unaamini tu??? Hio si imani na wala si kuamini huko ni shaitwani Ana kudanganya tu.
@Nur-al-islamchannel Жыл бұрын
Soma tafsir ya Quran ya kiswahili kwa sababu wanaoamini Mungu Moja ni waislamu ndio ujifunze vizuri..
@rizikiali328 Жыл бұрын
Muheshimwa hajui na hataki kujua
@jumahamad9463 Жыл бұрын
HIVI KAMA UJUWE BIBILIA SIUSEME TU SIJUWE WAKOLONI WAMETULITEA MAMBO YA AJABU AJABU ZAMANI TULIKUA NAEMANI KWAKILA MTU SIKWAKUBAGUWANA LAKINI WAKOLONI WAMEFUNDISHA TUWE NA ROHO MBAYA NAKUTOSAIEDIANA
@hythamhashiem4458 Жыл бұрын
Wewe mwana siasa toa maandiko wacha kutoa maneno kichwani mwako
Asalam alaikum sheikh Ramadan watu baadhi ya wakristo wameanza kusanuka ya kwamba ukristo sio dini
@comarcabdall1564 Жыл бұрын
Naona unawakanda 😂😂😂
@AhmedMwaipopomazinge Жыл бұрын
MUMEGUNDULIWA >>>>>> Waislamu sasa wamebadilisha mbinu >>>>>>kzbin.info/www/bejne/i3KnmJRnbZKib80
@hythamhashiem4458 Жыл бұрын
hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia. (Wale walo mfwata yesu walikuwa waislamu)
@andallaathman3856 Жыл бұрын
Ramadha unawapa nafasi kuhuburi hao bila maandiko bwna
@StraightPathDawah Жыл бұрын
Naam ili uwongo wao udhihirike
@fatumamwalimu5765 Жыл бұрын
Huyu mwenye amevaa blue ni mbishi,anajifanya mjuaji na hajui chochote
@guenterernst5481 Жыл бұрын
Mbishi sana lakini naubishi wake hauwezi uislam
@fredrickgitonga1972 Жыл бұрын
Je wayaudi walikuwa wa dini gani
@badmanno.165011 ай бұрын
Next time msiwape nafasi watu kama hawa.. Wamewapotezea mda tu.. Hawa ni watu wanalipwa na pastors kutetea makanisa.. Hawataki kujifunza wala kutafuta ukweli.. They aren't sincere.
@jamilajamila4572 Жыл бұрын
Uyo mheshimiwa anafujo
@salhkasmm558 Жыл бұрын
Huyo pembeni nimshangiliaji wa maovu kama mpira
@SalmanMughal-lq5lt4 ай бұрын
Astaghafilulah..huyomama...nanguoYake
@azizashiundu5778 Жыл бұрын
Mombasa😂😂😂😂
@charlesgasper-wo9hc10 ай бұрын
Mnalazimisha waumini kwa nguvu...
@Educatedmind-k9r8 ай бұрын
Uislam hauwezi lazimisha waumini, haijawahi tokea na haitatokea. Uislam ni elimu ndugu
@aishaally6602 Жыл бұрын
Huyu mwanasiasa anajifanya anajua ila anazunguka tu ilimradi ukweli ujifiche
@hythamhashiem4458 Жыл бұрын
Ni nyinyi wakristo wa Africa mulo ingia kwa siri,sababu yesu hakutumwa kwenu, bali mumejingiza kwa siri
@nasramusaro Жыл бұрын
Huyo dada anajitahidi kutumia nguvu ya roho mtakatifu au maana povu linamtoka hatari
@Adm9464 Жыл бұрын
Wakristo Ajabu, they say something but there’s no proof, always watajiandaa
Jamaaa kuitikia hata salam kaona kashatolewa ktk dini yake dahhh so sad
@rizikiali328 Жыл бұрын
Kama aliuwawa basi mbona wasema amekuja kufa kwa ajili yao
@mohamedbaridhwan3017 Жыл бұрын
1:14:18 na ni kitabu gani iliandikwa na yesu?
@Zainab_salat Жыл бұрын
Jamaa mbona anaongea sana hataki ukweli ujulikane
@khammadjeffa5157 ай бұрын
Unabishana na watu ambao hata hicho kitabu chao hawakujui
@adanabdi5249 Жыл бұрын
Poa poa.
@yia73 Жыл бұрын
Ati yeye anasoma tuu bibilia? But in reality hata hafati bibilia. Paul sio mungu or jesus. Na anadanganya ati skirt imekatwa because tight? Seriously 😅😅😅
@yia73 Жыл бұрын
Kama yesu kama hanadini? 😅😅😅
@Adm9464 Жыл бұрын
Mheshimiwa can’t even read or say one verse from his own scripture. Very sad . He is jumping up and down
@benin9773 Жыл бұрын
😂😂😂wasokuwa mombasa wako gizani watu wa bara wako gizani !