WADAU WAWAKA/MKUTANO WA VYAMA VYA SIASA WAPAMBA MOTO SHERIA ZA VYAMA VYA SIASA..

  Рет қаралды 3,765

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 18
@ziyadanyandwi2908
@ziyadanyandwi2908 9 ай бұрын
Watu washachoka tatizo hamtaki kuambiwa ukweli😂😂
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 9 ай бұрын
Meza kuu yamejaa MACHAWA tu, PUMBAVU KABISA!!
@frankremishoy5778
@frankremishoy5778 9 ай бұрын
Duuh.freedom of speech inaminywa.uchawa kila mahali
@Yussuph-r2c
@Yussuph-r2c 9 ай бұрын
Kweli kabisa mh Hashim viongozi wa ccm walioshika dola hawako sirious hapo ni kupoteza muds tu, ,,,unaona wakiambiwa ukweli wanakunyanganya MIKE , ,DAA TAIFA HILI MPAKA KATIKA MJADALA WA KITAIFA WANAKUKATIZA KAMA UKO BUNGENI CHAWA KAINGILIA KATI, ,,HATARI, ,HONGERA MH HASHIM yaani umetupa RAHA RAHA KWELI
@yussuphsaleh767
@yussuphsaleh767 9 ай бұрын
Sasa kwani hapo ni bungeni munamkatisha ,muacheni atowe mchango wake mpaka amalize ,,inaonesha kweli hii nchi si ya vyama vingi ,,AIBU HONGERA MH HASHIM HONGERA CHADEMA ,WATANZANIA TUKO PAMOJA NA NYINYI
@ChristerShao
@ChristerShao 9 ай бұрын
Taarifa bungeni hacheni upuuzi kudumaza mjadala kuchanganya watu.
@saadune
@saadune 9 ай бұрын
Total waste of time hence public funds
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 9 ай бұрын
Migogoro ya kisiasa znz huchangiwa Sana na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa wapinzani kwa kuungana na ccm katika kuibamiza znz, Hamutaki kabisakabisa kuiona znz inakuwa huru kimamlaka
@userwalterreal
@userwalterreal 9 ай бұрын
Hahahahahahaha iinchi nyie ndo mme mvuruga huyo
@yusufkambale2825
@yusufkambale2825 9 ай бұрын
Jamani vyama jitahidini kuwaelimisha wanachama wenu angalau kuwa na Awareness nini maana ya sisa ikisha wawe nakujengewa uwezo kujua nini mjadala.hii hali inatia aibu!!
@saulmwalubunju1076
@saulmwalubunju1076 9 ай бұрын
Mkiona wananchi wenu wanabeza mijadala yenu au hoja za wabunge mjue Kuna walakini ndani ya mioyo yenu Bora kuvaa maginia kuliko suti zenye walakini
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 9 ай бұрын
IT'S PROPAGANDA..MACHAWAAAA HAWAWEZI KUKUBALI.
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 9 ай бұрын
Viongozi wenye asili ya Tanganyika sio wakweli kila inapohusu znz kudai haki yao ya mamlaka kamili ya kujitawala Ndio unaona unaafiki hutokea × kwa × kila baada ya chaguzi kuu za znz Uongozi huu vyama vya siasa hauna tija yoyote kwa maslahi ya demokrasia ya watu wa znz Watanganyika acheni nyuso 2
@saadune
@saadune 9 ай бұрын
Bungeni taarifa hutolewa kwa mzungumzaji siyo meza kuu au spika, na mbunge aweza kuikubali au la , hapa mbona mambo ni shaghala baghala tuu ??$$!!??!!
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 9 ай бұрын
Propaganda of ccm cover opposition plan buy time but is not what Tanzania population want
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 9 ай бұрын
HASHIM 😢😢😢😢😢😢
@saadune
@saadune 9 ай бұрын
8:24 8:24 8:24 8:24
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 9 ай бұрын
Anachosema ni ukweli mtupu hizo kamati spend money for nothing
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 9 МЛН
MBOWE ATWANGA MASWALI MAZITO,KUHUSU KANUNI ZA UCHAGUZI MBELE YA KABUDI
14:14
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН