WAFAA MWARABU KUTOKA MISRI, MAHABA TELE KWA DIAMOND PLATNUMZ

  Рет қаралды 216,560

Gangana Info Channel

Gangana Info Channel

Күн бұрын

Пікірлер: 376
@shadrackjuliuskaboya5239
@shadrackjuliuskaboya5239 2 жыл бұрын
*tujuane tilio kuja kuangalia tulipo ona diamond yumo like*
@cishahayoali1136
@cishahayoali1136 2 жыл бұрын
Tunafurahi sana kwakuonesha umuhimu wa lugha ya Kiswahili na maneno mengi ya Kiswahili yatoka mukiarabu!
@asiyamuscat-oman2283
@asiyamuscat-oman2283 2 жыл бұрын
Tz ni nchi niliyo zaliwa nikaishi na kusoma huko. Nilipo fika umri wa miaka 20 nikaletwa uarabuni. Naikumbuka Tz sijaisahau kabisa na ninaipenda sana. Mungu amlaze pahala pema Baba wa Taifa J.K Nyerere. Mungu aibariki Tz na watu wake.
@ambwenedaniel358
@ambwenedaniel358 2 жыл бұрын
Karibu Nyumbani dadaangu
@emmadominic9601
@emmadominic9601 2 жыл бұрын
Asiya,uko poa lakini?
@kassimshomali790
@kassimshomali790 2 жыл бұрын
nakupenda sana
@franklenard3186
@franklenard3186 2 жыл бұрын
Urudi TZ, Tujenge nchi yetu.
@gonga1986
@gonga1986 2 жыл бұрын
Mmh
@joshuajofrey9832
@joshuajofrey9832 2 жыл бұрын
Tanzania 🇹🇿 is the Beautiful country . Tanzania 🇹🇿 is a Donna Country . I love Tanzania, Tanzania I Love you.
@Saaa235
@Saaa235 2 жыл бұрын
Diamond platnumz ni noma sanaaaaa
@hamisbachu1178
@hamisbachu1178 2 жыл бұрын
mashalaah Allah amfanyie wepesi
@azzamohammed4382
@azzamohammed4382 2 жыл бұрын
Mashallah wafaa umejitahidi Sana hongera
@simonsmithajax
@simonsmithajax 2 жыл бұрын
Hongera dada
@ramadhanmsangi4676
@ramadhanmsangi4676 2 жыл бұрын
😆😆💎💎💎🔥🔥diamond platnumz simbaaaaa mtoto kaipenda simba sababu yako mama dangote uko wapi
@mwandishisaidkaita7.
@mwandishisaidkaita7. 2 жыл бұрын
Hongera Sana. Nimefurahi sana Wafaa kusikia umesema hivyo. Kozi unayosomea (Fasihi ya Kiswahili) ndiyo kozi yangu niliyosomea. Nimefurahi sana kuona kuwa kuna watu kutoka mataifa ya nje wanaamua kusoma Fasihi ya Kiswahili. Furaha kubwa niliyoipata ni kusikia wewe ni MWANDISHI wa vitabu.
@rajabhaji1705
@rajabhaji1705 2 жыл бұрын
Maashaallaahh maashaallaahh inaanza ss lkn kiukwel maashaallaahh amependeza WAFAA lkn akuje kutembelea na zenj bc jmn . Waliko waarab wenzie maan tuna asili ya kiarabu nasis jpo kua jua linawakaaaa (watu weusi) 🤣🤣🤣🤣🤣 waswahil shida bwana lkn akuje tyuuu zenji lnshaallah 🙏🙏🙏🙏🙏🙏.
@aabdelmohsen2894
@aabdelmohsen2894 2 жыл бұрын
اللهم احفظك وبارك فيكي ووفقك انت تستحقين كل التقدير
@seifseifmohamed7118
@seifseifmohamed7118 2 жыл бұрын
Ameen. Yahafidhhaa
@josephmollel4526
@josephmollel4526 2 жыл бұрын
Good bless you my sister uko sawa na kiswahili na bado nakupongeza kwa kumpenda diamond platnamuz simba baba lao
@williamkabelege1250
@williamkabelege1250 2 жыл бұрын
Karibu na hongera kwa kuchagua Kiswahili
@mariaalbanus3937
@mariaalbanus3937 2 жыл бұрын
Wewe dada wafaa nimeipendaa tu vile unatabasamu Sanaa my dear ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ nimekupenda bure
@alhmdulilah1187
@alhmdulilah1187 2 жыл бұрын
Wafaaa mashallah na hata mtangazaji ni mcheshi Sanaa😍😍
@BUSARAYAUONGOZI_1
@BUSARAYAUONGOZI_1 2 жыл бұрын
Wooow uko vizuri sana rafiki yangu. Hii imekaa vizuri sana
@abbymagospel6904
@abbymagospel6904 2 жыл бұрын
woooww🥰 una kiswahili kitamu sana wafaaa yan menishinda hata mm mtanzania... ongeraa sana dadaaa i feel proud for your competent 🔥🔥
@janethjohn6868
@janethjohn6868 2 жыл бұрын
l
@ramadhanikimweri1240
@ramadhanikimweri1240 2 жыл бұрын
Mimi nimefurahi sana kuona mtoto wa kiarabu kuona anasoma kiswahili kafanya vizuri sana manawengine wanakizarau sisi waisilamu tunasoma kiswahili kwasababuyadiniyetu yeye anasoma kujua kuongeanawatu nimempendasana mtoto huyo munguambarikisana
@aabdelmohsen2894
@aabdelmohsen2894 2 жыл бұрын
اللهم احفظك وبارك فيكي ووفقك انت تستحقين التقدير
@aubreychuma5449
@aubreychuma5449 2 жыл бұрын
Loud & clear beib 💞
@hamiduhamdun1858
@hamiduhamdun1858 2 жыл бұрын
Tanzania nchi moja nzuri sana ambayo kila mtu aweza kupenda kuishi hapa kama atafika hapa
@niyonsabaalbert5422
@niyonsabaalbert5422 2 жыл бұрын
Diamond ni inspiration tosha
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 2 жыл бұрын
Mashallah tabarak Rahman allah akuhifadhi ukhty wafaaa ❤❤🥰🥰🥰🥰🇴🇲🌹
@abumuhammad2572
@abumuhammad2572 2 жыл бұрын
Fatma Salim nakusalimia
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 2 жыл бұрын
@@abumuhammad2572 shukran akhuyi jazak allahu kher nami nakusalimia
@mhojaisackmwigulu
@mhojaisackmwigulu 2 жыл бұрын
Woooow. najivunia sana wewe Rafiki yangu. Hakika umekuwa ukifanya vizuri sana katika Lugha hii ya kiswahili na Kwenye interview hii umeupiga mwingi sana
@simbiradani9692
@simbiradani9692 2 жыл бұрын
Nakupenda sana malkia wng mrembo
@nabawyeissa4438
@nabawyeissa4438 2 жыл бұрын
دعواتى القلبية بالتوفيق دايما..وكل الشكر لاخواننا فى تنزانيا.
@jumanasoro8903
@jumanasoro8903 2 жыл бұрын
حياكم الله
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 жыл бұрын
اهلا و سهلا يا أختي وفاء
@martymcfly9232
@martymcfly9232 2 жыл бұрын
Mwarabu pure kiswahili ni mwarabu asili
@shadluckjoshua3167
@shadluckjoshua3167 2 жыл бұрын
Hongera dada, uko vizuri sana. Karibu Tanzania!.
@omarisarai9805
@omarisarai9805 2 жыл бұрын
Mashallah, Kweli we we balozi wa Amani kweli,kama ume kubali kuolewa Na mbonho,Allah akupe kila la kheri Inshallah
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Maskini amepotea mjnga
@halfanisudy4702
@halfanisudy4702 2 жыл бұрын
Hongera Sana Wafaa..
@jimyjastini9995
@jimyjastini9995 2 жыл бұрын
Kwakuwa unampenda simba diamond Big hatamim nimekupenda kama shabikiwa diamond ❤💎🦁🙏🔥🔥🔥
@bugybuster5788
@bugybuster5788 Жыл бұрын
Safi sana kwa kuipenda tanzania
@ishaqamorag9973
@ishaqamorag9973 2 жыл бұрын
Vipi mimi na wewe tusijivunie lugha yetu, hakika kiswahili ni lugha nzuri sana.
@allansk1035
@allansk1035 2 жыл бұрын
Lugha yenu
@aabdelmohsen2894
@aabdelmohsen2894 2 жыл бұрын
اللهم احفظك وبارك فيكي ووفقك يا بنيتي الصغيره الرقيقه
@emmanuelbarnabas2577
@emmanuelbarnabas2577 2 жыл бұрын
Tunampenda sana
@J4UPro
@J4UPro 2 жыл бұрын
Shukrani
@jumahshabani4467
@jumahshabani4467 2 жыл бұрын
Allaha akujaalie ukitangaze kiwahili zaidi Ishallah
@ummylahlove3418
@ummylahlove3418 2 жыл бұрын
Ohw🥰🥰🥰she's cute and so adorable soul...av loved her
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 2 жыл бұрын
Hongera sana kiswahili kizuri
@rehematawalani733
@rehematawalani733 2 жыл бұрын
Maashalla mcheshi sana
@ambakisyemwanjemba5787
@ambakisyemwanjemba5787 2 жыл бұрын
Anajua Sana kiswahili huyu dada
@Mono-jx4cp
@Mono-jx4cp 2 жыл бұрын
Mashaallah nimempenda sanaa wafaa
@careenpatrick2759
@careenpatrick2759 2 жыл бұрын
Daahh,, Wafaaa salute nimekuoenda mnooo,🔥🔥🙏💯
@tehillahwillence9196
@tehillahwillence9196 2 жыл бұрын
Hongera Wafaa🥳♥️
@nooor1120
@nooor1120 2 жыл бұрын
Good job dear wafaa .hapo kwa dar hupati shida na zahma na mazingira yamefanana na cairo nilikwenda nikasema daah km tuko bongo,lkn vijana wa masr wazuri sana sana nimewapenda.
@swalehesaad2692
@swalehesaad2692 2 жыл бұрын
Kuna watu wanaumia pale anapomtaja mondi wao hawapendi kabisa roho mbayambaya
@nassoursalum7982
@nassoursalum7982 2 жыл бұрын
Hata mimi pia bora amtaje alikiba au harmonize
@nassoursalum7982
@nassoursalum7982 2 жыл бұрын
Mbosso akihama wcb au akitoka wasafi nitampenda zaidi
@petermadoweka4039
@petermadoweka4039 2 жыл бұрын
Waoooo
@jumalakers7832
@jumalakers7832 2 жыл бұрын
Mashaallah anta Kalam Swahili hello
@assanetuair6274
@assanetuair6274 2 жыл бұрын
Fantastic
@polytarimo324
@polytarimo324 2 жыл бұрын
Wafaa Eissah kweli wafaa sana kuwa mtanzania balozi wa amani sambaza upendo Karibu sana Tanzania
@didasmwaya1168
@didasmwaya1168 2 жыл бұрын
Safi sana Wafaa, karibu Tanzania, jisikie upo nyumbani
@zoab2699
@zoab2699 2 жыл бұрын
هلا حبيبتي وفاااااء ما شاء الله انتي مزة جميلة حبيتك انتي امر ١٤ 😘🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@user-pj8ed9kn6g
@user-pj8ed9kn6g 2 жыл бұрын
Mashaallah hicho chuo nakijua ain shams chuo kizuri Sana❤️❤️❤️🇪🇬🇪🇬🇪🇬
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Sio vizuri mwanamke kuzurura bila mahram kwa ktafuta elmu misri huko kuna elmu NA elmu ya dini ni bora halafu sio vizuri kuwapenda watu wahuni au waembaji NA lazima mwanamke lazima ajisitiri kadri awezavyo NA uslamu dini ambayo amepa mwanamke heshma yake kusema kuna amani sithani hio wakati fulani huko tulishambuliwa NA wazi tukapigwa
@ismodocts
@ismodocts 2 жыл бұрын
Umefika misri hapa bi zainabu Ally abdallah
@ranaeissa735
@ranaeissa735 2 жыл бұрын
Mashaa'Allah😍 I'm so proud of you,. God bless you always and forever😍😌🎉🎉🎉
@amehassanrehaniznz737
@amehassanrehaniznz737 2 жыл бұрын
Good Swahili is big laungauge in Africa I love swahili
@kaumosara1810
@kaumosara1810 2 жыл бұрын
Nimecheka kwafuraha sana hongera.
@panganitanzaniatv9575
@panganitanzaniatv9575 2 жыл бұрын
Simba for Really, probably being appreciated 😁👍
@saidimzagulakinyua8739
@saidimzagulakinyua8739 2 жыл бұрын
Ma sha allah allah akutimizie ndoto zako
@abuushaymaatz
@abuushaymaatz 2 жыл бұрын
Wafaa kuwa makini Sana, Allah akuhifadhi sister.
@shumesaalhabsi1722
@shumesaalhabsi1722 2 жыл бұрын
Masha ALLAH nty hilwa ya hilwa
@abuswabirmohammed8396
@abuswabirmohammed8396 2 жыл бұрын
Wafaa muache huyoo njoo kwangu mie mm nakupenda sanaa
@aminamohamed3916
@aminamohamed3916 2 жыл бұрын
izaik wafaa mashallaah
@gcoxmwalyoyo9723
@gcoxmwalyoyo9723 2 жыл бұрын
Masha Allah😊😋🥰
@mrrajjy
@mrrajjy 2 жыл бұрын
Mmm mwarabu wakiswahili nyoooo #rahaaaaa
@habibylozzy9344
@habibylozzy9344 2 жыл бұрын
Mash Allah 🥰🥰🌹
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 2 жыл бұрын
Mashallah ALLAH barik
@dotogiving9293
@dotogiving9293 2 жыл бұрын
Beautiful
@aaa64sa13
@aaa64sa13 2 жыл бұрын
MashaAllah!!!
@alexmihayo5723
@alexmihayo5723 2 жыл бұрын
...we jamaa mtangazaji TBC wakuongezee posho kwny mshahara, Upo vizur saana Mzaz✌️
@kalaitapetro8293
@kalaitapetro8293 2 жыл бұрын
Ni mzuri sana na ongea yake nzuri pia, napeleka ng'ombe aje umasaini
@benardsemen646
@benardsemen646 2 жыл бұрын
Mamamamamaaa
@mohdahmed5389
@mohdahmed5389 2 жыл бұрын
Mtangazaji jifunze lugha za kistaarabu(waarabu koko)hili ni tusi ukiwa hujui maana yake
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 2 жыл бұрын
Wewe pia itakua ni mwarabu koko tu
@mohdahmed5389
@mohdahmed5389 2 жыл бұрын
@@ganganainfochannel tatizo letu watu weusi tunaangalia upande mmoja mmoja mzungu akikwita niga unasema mbaguzi ila sisi wenyewe tunabaguwa wengine sio wabaguzi.usihangaishwe na jina mimi ni mweusi kuliko wewe pengine ila natunza heshima ya wengine.jiheshimu bwana mdogo inawrzekana kabisa hujui hata unaejaribu kumjibu ana umri gani dhidi yako.tujifunze kuwa na lugha za kiistarabu watanzania
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 2 жыл бұрын
@@mohdahmed5389 umeshindwa kutumia umri wako kujua maana ya mwarabu koko .Tafuta maana yake kwanza, sio tu kwenye public hata private hairuhusiwi kutukana, unatukana vipi kwenye chombo cha habari? Umri uendane na maarifa.
@mohdahmed5389
@mohdahmed5389 2 жыл бұрын
@@ganganainfochannel unajua nini mimi siwezi kubishana na mtu kama wewe.hata mwalimu nyerere aliwahi kusema tabia ya watanzania ukimuuliza suali hajibu suali bali huuliza suali juu ya suali.mwandishi wa habari msg imemfika wewe endeleza kupasuka kichwa
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 2 жыл бұрын
@@mohdahmed5389 karibu tena
@ramayonline2281
@ramayonline2281 2 жыл бұрын
🦁
@mugema9813
@mugema9813 2 жыл бұрын
Diamond platinum noma.
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 2 жыл бұрын
Alafu, wakenya hapa bado tuna ng'ang'ana na lugha ya mabeberu... waafrica wengine wanajitahidi kujifunza kiswahili....
@jayjay4313
@jayjay4313 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wapeeee vidonge vyao wakomeeeee🤣🤣🤣
@yahyamajidyahyahilalal-har8762
@yahyamajidyahyahilalal-har8762 2 жыл бұрын
Badilikeni sasa
@jayjay4313
@jayjay4313 2 жыл бұрын
@@yahyamajidyahyahilalal-har8762 Hao kubadilika labda wazungu wawanunie kwa kosa la kutengeneza lugha inaitwa englikijalu. Uwakute wanaimemena hiyo kijaluengli yao mpaka mzungu anatoa macho tu.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@maimunamussa91
@maimunamussa91 2 жыл бұрын
@@jayjay4313 😂😂😂😂😂dah
@shyboetz2669
@shyboetz2669 2 жыл бұрын
Duuh be blessed Dr u made Swahili language so proudly ❣️❣️❣️❣️
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 2 жыл бұрын
Nimcheshi sana hongela cheka na watu uvae viatu
@chavidamtulo9639
@chavidamtulo9639 2 жыл бұрын
Mashaalah
@saudangalleni388
@saudangalleni388 2 жыл бұрын
Hongera unajua lugha yetu vizur
@jumammanga0297
@jumammanga0297 2 жыл бұрын
Nakupa pole sana dada yangu
@haclarelukuwi3778
@haclarelukuwi3778 2 жыл бұрын
Diamond wewe hatariii
@someimasai7559
@someimasai7559 2 жыл бұрын
Mashaa Allah 😂karbu sana tanzania
@fuadshell5188
@fuadshell5188 2 жыл бұрын
Love on air
@dannydollard7
@dannydollard7 2 жыл бұрын
Full lov
@psuccess6045
@psuccess6045 2 жыл бұрын
Diamond Platnumz 🔥🔥🔥🔥👉 👉👉👉👉👉 kzbin.info/www/bejne/q5C2p3ulmq2Yi6s
@subirajohn728
@subirajohn728 2 жыл бұрын
Wafaa❤️❤️❤️❤️❤️
@chavidamtulo9639
@chavidamtulo9639 2 жыл бұрын
Hongera sana wafaa
@rsbjvjdjgh2181
@rsbjvjdjgh2181 2 жыл бұрын
Asalam aleykum Wafaa karibu Tanzania 🇹🇿 tunawependa wageni
@uaeuae1871
@uaeuae1871 2 жыл бұрын
Safi 💙
@gynae8407
@gynae8407 2 жыл бұрын
Twaha Kiduku ndie mwalimu wake
@abdulmpunjo1241
@abdulmpunjo1241 2 жыл бұрын
😀😁😂
@hilalmohd8941
@hilalmohd8941 2 жыл бұрын
mungu ampe nguvu ya bongo
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 2 жыл бұрын
Muogope ALLAAH aliekuumba
@htx1873
@htx1873 2 жыл бұрын
Nimekwambia mambo ni Moto 🔥🔥🔥🔥
@frankdominic664
@frankdominic664 2 жыл бұрын
Be blessed sadio mane for real
@zuhura.suleimanmwamwari3083
@zuhura.suleimanmwamwari3083 2 жыл бұрын
Mashallah
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 2 жыл бұрын
Habibti Wafaa Tanzania ni nchi nzuri lakini uwe makini sana
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Ameshapotea
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 2 жыл бұрын
@@mohtermathia9864 insha Allah biidhini Allah shukran habibti jazaka Allah kheir
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 2 жыл бұрын
@@mohtermathia9864 masha Allah tabaraka Rahman mimi na itwa Raya kutoka Tanga Kwa sasa niko Oman
@shabaniiddi510
@shabaniiddi510 2 жыл бұрын
Unajua watazanzania bhna dah hata uarabu tu unauzungumzia kama utajir vile embu tuacheni ushamba bhna hiyo rangi tu kama yetu tu msiwafanye mapaka watoto wetu tunaowazaa waje Kuba aina na ujinga warangi uo ni ushamba wachen ushamba mwarabu kabisa mwaraba kabisa ww nn ww
@salamaseif4183
@salamaseif4183 2 жыл бұрын
Mtangazaji umetisha Sana
@rsbjvjdjgh2181
@rsbjvjdjgh2181 2 жыл бұрын
Mashaa Allah kama kawa
@EmanuellVictoria
@EmanuellVictoria 2 жыл бұрын
she made my day
@Kiswahilinaladhayake
@Kiswahilinaladhayake 2 жыл бұрын
Safi sana
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 2 жыл бұрын
Wafaa love sana
@eshyndibalema1529
@eshyndibalema1529 2 жыл бұрын
Khalid usitukane wenzio kuwaita warabu koko sema chotara inatosha na unaeleweka
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 2 жыл бұрын
Haya
@bablee0016
@bablee0016 2 жыл бұрын
Mashallah..Aya Ndugu TZ Mdaa utaskia wegine wkijitaa Wafaaa ...🤣
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 14 МЛН
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 27 МЛН
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,3 МЛН
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 15 МЛН
TAMBUA TABIA ZA MWEZA WAKO KWENYE NDOA
48:19
BUSATI ONLINE TV
Рет қаралды 204
Mama anayedai ametumwa na Yesu apambana na sheikh Hassan kariuki
39:12
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 679 М.
LYDIA ELIKANA:KISA NG'OMBE 30/NDOA IKAVUNJIKA #NIPE5 TBC
35:32
Gangana Info Channel
Рет қаралды 59 М.
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 14 МЛН