WAFANYABIASHARA DARAJANI SOUK WALIA NA RAISI MWINYI

  Рет қаралды 12,100

AL FATAH TV ONLINE

AL FATAH TV ONLINE

Ай бұрын

Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
#AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
#ZANZIBAR​​

Пікірлер: 85
@ZubeirJuma-up7kb
@ZubeirJuma-up7kb Ай бұрын
Hatar maisha haya ALLAH tusaidie waja wako maoovu yamekidhir na hatutaki kuomba toba
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh Ай бұрын
Tatzo la hii nchi wanaotoa tasmini ya kodi za biashara na milango sio wafanya bishara ni watu waliopo tu maofisini hawawezi kujua changamoto tunazopitia wafanya biashara
@rajabmsinzia1715
@rajabmsinzia1715 Ай бұрын
Lipeni kodi iliowekwa na sio kulalamika tu kama hamuwezi si muirudishe milango ya watu na mtengeneze yenu kisha muweke kodi munayoitaka nyinyi au
@nadraiddi8064
@nadraiddi8064 27 күн бұрын
Hadithi "haingii peponi anayekusanya kodi" (imepokewa na imam Abuu Dauud)
@SaidOmar-iw9kk
@SaidOmar-iw9kk Ай бұрын
Allah alikwisha sema dhulma haidumu ikidumu inaangamiza ndo haya Sasa njaa imezid maisha magumu biashara haziendi shida tu
@ArRahman-ih1pi
@ArRahman-ih1pi 24 күн бұрын
Heee subuhanallah iyo pesa kweli nyingi
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh Ай бұрын
Musaraka ni kiongozi mzuri sana na anaguza maisha ya wananchi ila kwa nguvu alionayo hawezi tatua haya ni majukumu ya mkuu wa mkoa yupo wp???
@user-xv4tl8iv4l
@user-xv4tl8iv4l 25 күн бұрын
umesema kweli . maana tumeshuhudia akiwa mkuu wa wilaya akilisha mtama njiwa hapo darajani na kusema hayo ndio maendeleo yanayotakiwa
@user-hy7op6tr8p
@user-hy7op6tr8p 27 күн бұрын
Hapo bdo ZRA hawana hata huruma
@ArRahman-ih1pi
@ArRahman-ih1pi 24 күн бұрын
Ss Kama Iyo serekali isaidie wanachi wake ss apo wanakandamiza wanachi mtihani Kwa kweli
@kassim1262
@kassim1262 Ай бұрын
Kwenye dhulma hkujawahi kutokea maendeleo patajengwaa pafanywe kubwa njaa naumasikini kuzidi hkuna jengine mungu hajawahi kukosea tukimsahau tukienda kinyume nae atatupa viongozi tunaoendana nao
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 29 күн бұрын
Ccm wanapenda sana kuwanyonya wananchi
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh Ай бұрын
Kwa biashara ilivombovu Zanzibar kwasasa Kodi ya milango ya serekali iwe laki mbili kwa mwezi maana unakaa siku nzima hujauza
@rajabmsinzia1715
@rajabmsinzia1715 Ай бұрын
Hata ukiuza Millioni kwa siku utasema hauuzi Wazanzibari kwa kulalamika hampo nyuma
@ibrahimame9805
@ibrahimame9805 Ай бұрын
Ww tunakujua umsenge ndio hujibiwi nn atadili na mtu anae firwa.
@rajabmsinzia1715
@rajabmsinzia1715 Ай бұрын
@@ibrahimame9805 mtoto wa kiume una matusi utafikiri Sabri Bachani
@AhmadiMbaraka-xg4yi
@AhmadiMbaraka-xg4yi 29 күн бұрын
Huwezi kumlazimisha mbuzi kunywa maji tukubali tu kwamba maisha yetu ya kimaskini
@ibrahimarmour4711
@ibrahimarmour4711 28 күн бұрын
Tukubali kurudi kwa allha maisha yamekuwa magumu kutokana na matendo yetu sisi wanadamu RIBA imesiri ZINAA ndio usiseme DHULMA kumdhulumu mwenzako asaiv ndio unaonekana mjanja yaani ww ndio mtoto wa mjini tukubali kurudi kwa allha na tuyafuate amri na tuachane na haya mambo yanayoangamiza
@user-zd8nn8ii2g
@user-zd8nn8ii2g 24 күн бұрын
Mtihan hu rais angalia hili c hivo wajane watazid wanaume wakikosa kazi
@SelemaniDowile-mk1wm
@SelemaniDowile-mk1wm 28 күн бұрын
Dah kwakweli Znbr yetu kwisha kabisa kila kitu kinasimiwa na wabongo titaisoma sana namba kwa hali hiii biashara zimekufa kabisa alafu Kodi zipo juuu na Mlima Uhdi
@user-fh3np5yk9g
@user-fh3np5yk9g 20 күн бұрын
Kod nyingi san
@hashimalihamad3477
@hashimalihamad3477 22 күн бұрын
Wengi wenu mumetutowa kwa mlango wa nyuma mumedandia gari ya mbele mulituona tunafaidi
@user-tg3fy3yh5m
@user-tg3fy3yh5m 27 күн бұрын
Afrika Afrika Afrika
@user-by7jo6dk6r
@user-by7jo6dk6r 28 күн бұрын
Alhwa.. Afanyee.. Wepes.. Hilii.. Tatizo.. Si.. LA.. Vyama.. Msitie.. Vyama.. Na.. Wey.. Unosema.. Zanzibar.. Hakuna.. Vyakula.. Tuletee.. Uko.. Kwenu
@ahmadSeif860
@ahmadSeif860 Ай бұрын
MAPINDUZ DAIMAAAAAA.....
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Ай бұрын
Chama na wawekezaji. Hahahahajahajanaan
@aliyaliya1995
@aliyaliya1995 Ай бұрын
Sasa jamani hayondio matunda ya mapinduz
@aliy3303
@aliy3303 29 күн бұрын
Pavunjwe paekwe mall kubwa
@user-gc3ec9wx6z
@user-gc3ec9wx6z 28 күн бұрын
Andamaneni kama kariakoo daaa
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Ай бұрын
Hatar na nusu
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Ай бұрын
Zanzibar Wananchi hawana kipato cha kula watakuwa na kipato cha kununuwa mahitaji wanayo yataka??? Kodi za maduka mnowatolesha Wananchi ni kubwa sana kwa maduka hayo loooh. .Rais Hussein kwanza wafikiriye Wananchi wacho uwazidishiye mishahara waweze kuishi. Siyo mnafikiriya Watalii kwanza na Wananchi wako kwenye mateso.
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Ай бұрын
Haaaa milioni kumi na2 ni kubwa saana kwa mlango 1 3: kila mlango..utapokea zaidi ya gharama ya hapo kwa mwaka tu!
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni Ай бұрын
Sema kimeumana
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 Ай бұрын
Tunahangaika bure kwakweli.ivi kweli znz tunalia eti hatuna nyenzo za kiuchumi ktk kukuza pato la serikali pamoja na serikali kw ujumla? Tuna eneo kubwa la kujenga bandari ya kisasa ya kukaa meli za mizigo cargo ships zaidi ya kumi na kuendelea,lkn pia uwanja wa ndege uliopo na pato linaloingia,tuna viwanda vingapi vilifungwa mpaka ivi juzi vya bakharesa vikafungwa?tusifanyiane km watoto wadogo haya mambo ya kiuchumi kw znz ni upande wa 2 uko ndiko wanayoihujumu serikali ya znz pamoja wananchi kw ujumla nyenzo tunazo tunaoneqna muhali.ivi vilango vya darajani haviwezi kutatua matatizo ya nchi hii
@user-xv4tl8iv4l
@user-xv4tl8iv4l 25 күн бұрын
UMESOMA LAKINI HUKUFAHAMU.. YAPO MAMBO MENGI YANAYOIFANYA ZANZIBAR KUFIKIA HAPO ILIPO SI SUALA LA KISIASA. MFANO BANDARI TANZANIA BARA ZIPO 3. SOKO LINALOTARAJIWA LA EAST AFRIIKA MBURUNDI, MGANDA, MRUANDA HAWEZI KUTEREMSHA BIDHAA ZANZIAR ANAKIMBIA DOUBLE SHIPMENT AND HANDLING. HIVYO BANDARI YA ZANZIBAR ITABAKI IPO IPO TU. UKILETA KONTENA MOJA 40' SOKSI 2,000,000 WATU WOTE UNGUJA NA PEMBA WATAVAA NA ZITABAKIA. PANA BIASHARA HAPO. UKITOA SADAKA TSH. 2,000,000 WATU WOTE WATAPATA NA CHENJI ITARUDI
@rahimahamad1016
@rahimahamad1016 Ай бұрын
CCM Oyeeeee😅😅😅😅😅😅
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 28 күн бұрын
Maisha ya wa zanzibar ni kunufaisha serekali na watanganyika
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 29 күн бұрын
Wape Wamasai milango hiyo waeke vinyago hao wazanzibari washazoweya vya bure hamuuzi tatizo lenu ni washirikina munashindana kwa kuzindika majini
@khalifasaidi7001
@khalifasaidi7001 Ай бұрын
Hii ni dhulma rais mwinyi kunawatu wanakuhujumu, angalia sana baazi ya vitu vitafajari haswa vinavyohusu jamii
@user-om7ye5vo1u
@user-om7ye5vo1u 29 күн бұрын
Saiv kodi ya serikal imekua kubwa kulik ya mtu binafsi duh!
@haydarabdallah7914
@haydarabdallah7914 Ай бұрын
Tatizo hatuna uhuru zanzibar na watuu wananjaa
@ahmadSeif860
@ahmadSeif860 Ай бұрын
Wale machinga wa nje wote wangizwe humo ndani
@nassormessi-zk5cz
@nassormessi-zk5cz Ай бұрын
Si alisema ataiweza Zanzbar hyo rais na hao ndo ndugu zake yaanaanza hyo vinyunyu bado mvua
@halimsaidi9567
@halimsaidi9567 28 күн бұрын
Kwan wamachinga hawaingii apo ndani
@nassormessi-zk5cz
@nassormessi-zk5cz Ай бұрын
Wenyewe kwa Wenyewe wanasokotana Serikali yote wanayo wao bdo wanalalamika waunguja tumetulia tunawatizama tu na kujifanya kujua kwao
@user-xv4tl8iv4l
@user-xv4tl8iv4l 25 күн бұрын
HILO NENO. TUACHWE NA KISIWA CHETU KILA SIKU LINAZUKA HILI MARA LILE
@salmaabdu5011
@salmaabdu5011 Ай бұрын
Huyu msaraka ni tapeli mkubwa hata sijui ilikuwaje akawekwa mkuu wa wilaya
@user-sh2os4yh5l
@user-sh2os4yh5l Ай бұрын
Duuh
@eastafricaqualitychickenfa9916
@eastafricaqualitychickenfa9916 28 күн бұрын
Kiduma chama cha mapinduzi
@kassimomar7589
@kassimomar7589 Ай бұрын
Sasa nyinyi mulio huko mwalia je sisi tulip pemba
@user-tg3fy3yh5m
@user-tg3fy3yh5m 27 күн бұрын
pemba ndio usiseme tumevurumishwa ukoo
@user-xv4tl8iv4l
@user-xv4tl8iv4l 25 күн бұрын
Bora kurudi Pemba tuko tulio pamoja na tunyamazishani wenyewe kwa wenyewe
@yasminjuma9146
@yasminjuma9146 Ай бұрын
Rais wetu sikiliza vilio vya wananchi wako kweli ni kodi kubwa
@rajabmsinzia1715
@rajabmsinzia1715 Ай бұрын
Mwinyi hapo hana usemi maana milango sio ya Serikali
@harithwhite589
@harithwhite589 Ай бұрын
Tutafuga mabata umo
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Ай бұрын
Watu wanakata mitaji , et mkakati
@mosaidi2633
@mosaidi2633 Ай бұрын
Ache I kulalamika hameni 😂😂
@rajabmsinzia1715
@rajabmsinzia1715 Ай бұрын
Hiyo ndio hoja Wahame tu kwani sisi hatuitaki hiyo milango ila kwa sababu hatuna hizo kodi ndio tumetulia kama alif so na wao wattulie tu wakatafute iliyo rahisi
@rajabmsinzia1715
@rajabmsinzia1715 Ай бұрын
Hapo wamachinga wasirejeshwe maana usalama utakuwa mdogo ,pia kuhusu maegesho ya magari soon Malindi kutamaliza so ni kuwa na Subra tu kama hamuwezi rudisheni milango halas
@radaonlinetv1922
@radaonlinetv1922 28 күн бұрын
Alfatah angalia isije kua unatumika kisiasa...
@AminMasoud-rc7si
@AminMasoud-rc7si Ай бұрын
Ayo yote yasingetokea kama si amani karume mlevi ndio aliendoa freeport sasa munategemea wateja watatokea wapi? Tanzania bara yote ilikua zanzibar, ngazija,kenya,uganda, zambia, Malawi,wote zanzibar, ilikua kituo cha biashara,ikipita sikukuu zanzibar madukani watu wanainga nzi tu,laana yote ni uyo karume leo amekua upande wa upinzani na wenyewe wanamkubali kua ni mkombozi wao
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Ай бұрын
Basi wewe rudisha hiyo freeport
@user-xv4tl8iv4l
@user-xv4tl8iv4l 25 күн бұрын
karume hana kosa lolote.nenda KASOME kitabu kimeandika east AFRICA ports cha mwaka 1964 haya yanayotokea yameelezwa humo. wacha ujinga!
@ahmadSeif860
@ahmadSeif860 Ай бұрын
Hapana biashara hapo kwa sasa, mwinyi Kapatia sumu
@rajabmsinzia1715
@rajabmsinzia1715 Ай бұрын
Biashara haipo kwako Ila hapo Biashara kama Kawa tatizo mmezowea umbwanyenye mnataka vya rahisi tu
@user-xv4tl8iv4l
@user-xv4tl8iv4l 25 күн бұрын
RAIS ASILAUMIWE. HAPO HAPANA BIASHARA ONDOKA KAWEKE KWARARA, FUONI, KINUNI, KIJICHI MILANGO HUKO ELFU 50'000 IKIWA BIASHARA YAKO NA VITU UNAVYOLETA VIZURI WATU WATAKUFUATA HUKO HUKO USISUBIRS IRUDISHWE STAND KWANI HAO WANATOKEA HUKO HUKO UTAWARAHISISHIA USAFIRI
@rajabmsinzia1715
@rajabmsinzia1715 25 күн бұрын
@@user-xv4tl8iv4l Wambile ndugu maana Hao ni ndugu lawama kila siku
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni Ай бұрын
Kodi Inatakiwa isizidi laki mbili
@rajabmsinzia1715
@rajabmsinzia1715 Ай бұрын
Hahahha kwani milango ya Familia ile hahaha Wazanzibari bhana
@khalifasaidi7001
@khalifasaidi7001 Ай бұрын
Sisi tunakujuwa wewe rais ni mtu wa watu wawekee stend punguza kodi darajani irudi kama zamani zanzibar ni njema yanini mizengwe?
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 Ай бұрын
WAMACHINGA WARUSI KWA TANGANYIKA!
@khamisali5978
@khamisali5978 Ай бұрын
Na wazenji walio Dar na wao warudi kwao 😅
@rajabmsinzia1715
@rajabmsinzia1715 Ай бұрын
@@khamisali5978 fresh taratibu tu zifuatwe mbona fresh sana wa Tanganyika kwao Wazanzibari kwao atakae taka kwenda upande wa pili ni kufuata taratibu tu mbona Wazanzibari kibao wapo mambele na wanaishi?
@user-lq4cm4rq6z
@user-lq4cm4rq6z Ай бұрын
Kitwana hili lako watatulie hii changamoto
@rajabmsinzia1715
@rajabmsinzia1715 Ай бұрын
Haina kutatuliwa hiyo asiweza kulipa kodi arudishe mlango tu halas
@user-xv4tl8iv4l
@user-xv4tl8iv4l 25 күн бұрын
HILI SI LA KITWANA NAMTETEA HILI LAKE MTU MWENYEWE KABLA YA KUAMUWA KUFANYA BIASHARA LAZIMA UFANYE UTAFITI WA KUTOSHA NA UANGALIE RISK GANI ZIPO KTK BIASHARA HIYO WEWE USITEGEMEE GOOD RETURNS TU . MNAINGI KUFANYA BIASHARA BILA KUSOMA BIASHARA UNAYOTOKA KUFANYA.
@user-lq4cm4rq6z
@user-lq4cm4rq6z 25 күн бұрын
@@user-xv4tl8iv4l nani mgeni wa biashara pale kwani ndo kwanza wameanza pale tatizo lipo Mkuu wa mkoa aende akawasikilize na awatatulie kma si lake la nani lako ww unayajuwa lakini majukumu ya Rc au ndo kila kitu ashuke Rais .
@AbdulRahmanHajrah
@AbdulRahmanHajrah 29 күн бұрын
Inaumiza Sana kwa kwel hii Kodi kubwa Sana halaf hii changamoto ya wateja waliangalie Sana serekali dah mtihan
@user-lp1gh7im3f
@user-lp1gh7im3f Ай бұрын
Musilie na Mwinyi lilieni na chama cha mapinduzi ccm hichi ni chama cha matapeli ccm mtapeli
@kassim1262
@kassim1262 Ай бұрын
Mwinyi anachama chake pekeake au co yeye c makamo mwenye kiti kwaznzbar mwinyi ndio kiongozi mkuu wccm ss waende kwenye ccm ipi umerogwa au😂😂😂
@user-lp1gh7im3f
@user-lp1gh7im3f 29 күн бұрын
@@kassim1262 aje mufti kutoka makka akijiunga na ccm basi amekwisha afuata sera za ccm ili Nchi itulie kiongozi atoke chama chengine
@HalidMuhammad-gi9qy
@HalidMuhammad-gi9qy Ай бұрын
Kodi sio kubwa hta kidogo iongezwe kodi msimsumbue raisi wetu ccm oyeee
@ibrahimame9805
@ibrahimame9805 Ай бұрын
Wwe unarais. Ulimsumbua mamako kuku bebea mimba .hd kukua asiambie km nani .bc mlete mkeo tumwambie shida zetu.
@SubiraOmar-ld5bx
@SubiraOmar-ld5bx 28 күн бұрын
😂😂😂​@@ibrahimame9805
@user-gc3ec9wx6z
@user-gc3ec9wx6z 28 күн бұрын
Uyu halid ni mwana kharam ndio kajitokeza mbwa mkuwa ww
AMIR FARID AMWELEZA RAIS MWINYI IPI ARAFA SAHIHI
18:07
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 59 М.
HUU NDIO WIVU UNAOWEZA KUJENGA MAPENZI KWENYE NDOA (HUBBUL HALAL)
20:36
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 4 М.
OMG🤪 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:50
Potapova_blog
Рет қаралды 11 МЛН
New Gadgets! Bycycle 4.0 🚲 #shorts
00:14
BongBee Family
Рет қаралды 19 МЛН
MAAJABU YALIOMO NDANI YA AL QAABA |  SIRI 8 USIZOZIJUA
4:07
AQ ONLINE TV
Рет қаралды 36 М.
MTOTO  wa MWINYI AMLIZA RAIS AZUNGUMZA KWA UCHUNGU,ATOKWA MACHOZI
10:15
UKIONA DALILI HIZI, ANAKUSALITI (HUBBUL HALAL)
29:25
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 5 М.
MUUZA SAMAKI ANUSURIKA KUUWAWA ZANZIBAR
8:07
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 65 М.
DAKIKA 19 ZILIZOMUANGUSHA SULE NA WAPIGA RAMLI WENZIWE || Muhammad Bachu.
19:15
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 21 М.
Vyovyote wanavyotaka wao, sisi tuko tayari, asema OMO
56:01
Weyani Tv
Рет қаралды 6 М.
KIJANA ALIYELAWITIWA NA WATU 60 ZANZIBAR ATOA USHUHUDA (Episode 02)
15:46
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 80 М.