UKIONA DALILI HIZI, ANAKUSALITI (HUBBUL HALAL)

  Рет қаралды 26,302

AL FATAH TV ONLINE

AL FATAH TV ONLINE

Күн бұрын

Пікірлер: 44
@bintsalimalbimany287
@bintsalimalbimany287 8 ай бұрын
Jaman.huyu Dada Aaah Jaman Nampenda Mim Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Allah akujaze kher Dada layla Alfattah Allah akujazen kher🤲
@SalmaSukwa
@SalmaSukwa 3 ай бұрын
Asalaam aleykum namshukuru Allah niko vizuri Mimi nashauri sa watu wengi wameuzwa na wameumiza pia. Naomba kama wazo tu. Anxisheni Na Nusra wote waliomizwa huenda wakaowana na wote wana wawili wanaweza kuowana.
@fatumamazul4411
@fatumamazul4411 2 ай бұрын
Mashallah 💞 mashallah ila nimecheka hiyo naenda Kwa hani
@MilesReileigh
@MilesReileigh 6 ай бұрын
1.Dharau.(Hii sana ipo kwa mwanamke) 2.Migogoro 3.Kupenda kujadili kuhusu mtu fulani.(hali inayotokana na kuamiliana sana na mtu huyo) 4.Uongo 5.Ratiba za ghafla. 6.Rafiki wa ghafla ambao hukuwajua mwanzoni. 7.Kuishi kikapera licha ya kuwa katik ndoa. 8.Kuzidi kwa matumizi ya fedha. 9.Maradhi ya ghafla hasa kwa wanawake. 10.Hasira.Hasa kwa mwanamke.
@rosemery3017
@rosemery3017 4 ай бұрын
Hapo kwa uongo waume pia waongo sana
@MohdOmar-v6h
@MohdOmar-v6h 7 ай бұрын
Mungu awefedheheshe hapaduniani na kesho akhera wasaliti wote walowasalit waumezao,na wke zao Ammin
@FatmaOmar-r1t
@FatmaOmar-r1t 8 ай бұрын
Hahah jamani iyo kauli ya kiarabu imenishtua maana mi kwangu kila wakat mke mdogo 😂 ni kweli au ila tuishi tuishivyo tusijaribu kupinga amri za Allah, mashallah kipindi kizuri sana ,madam Leila na ustadh Allah akulipeni kheri.
@bentybenty2343
@bentybenty2343 8 ай бұрын
Jaman hapa pa ALLAH kkuonyesha kwamba mumeo ana anakusaliti mm nlionyeshwa mara kadhaa lkn ckua na dhana wala kufatilia,nlifikiria n ndoto to mume wangu kuchepuka na jirani yangu tena huyo mwanamke alikua mke wa mtu.nlikua naoteshwa wakifanya machafu tena kwenye nyumba yangu..Baadae yakawa wazi hadi leo ndio ndio wako pamaoja na wamezaa waishi pamoja..
@aliy3303
@aliy3303 8 ай бұрын
Pole Allah naamini amekupa ama atakupa mume bora
@bentybenty2343
@bentybenty2343 8 ай бұрын
@@aliy3303 Shukran..Allahumah Amiin.
@youtuberheart1648
@youtuberheart1648 8 ай бұрын
Uliumiaje maskini km nakuona😢pole sana
@bentybenty2343
@bentybenty2343 8 ай бұрын
@@youtuberheart1648 Alhamdulillah nlimskuru ALLAH kwa kila kitu na nakamuomba anizidishie subra..
@youtuberheart1648
@youtuberheart1648 8 ай бұрын
Usijali hupo peke ako ata na mm yamenifika ayo ayo allah atupe subrah in shaa allah
@MariamSaidy
@MariamSaidy 4 ай бұрын
Asante sister Laila nikweli hiko kitu kwa wanaume kipo kweli mm yamenikuta
@JumanneMchezi
@JumanneMchezi 3 ай бұрын
Mwanamke anahitaji upendo mwanaume anahitaji kuheshimiwa
@husseynomar9523
@husseynomar9523 7 ай бұрын
Madini. 🎉🎉🎉❤
@mohamededdi7527
@mohamededdi7527 8 ай бұрын
Wamekwisha wazinifu, hawana pa kujificha. Kwa dalili hizo wamekwisha..
@pilykingo
@pilykingo 8 ай бұрын
Kwa honey khani umetisha
@AnissaMuhammad-z5m
@AnissaMuhammad-z5m 5 ай бұрын
Swadakta
@HumudSalim-b3l
@HumudSalim-b3l 5 ай бұрын
Asalam alaikum vipi hali mimi naomba uniulizie. Dada lela. Jee mwanamke akikwambia kuwa hana hisia nawewe. Halafu annamaliza hisiazake kwa kupiga ponyeto na mmeshaishi myaka 16 na hajawahi kukwambia. Maneno
@fatmahamdoun74
@fatmahamdoun74 8 ай бұрын
Naam unaaga tuu Mie niliaga kabisa siwezi USALITI UNAUMA SANA
@fatmahamdoun74
@fatmahamdoun74 8 ай бұрын
USALITI UNAUMA HASA IKIWA WEWE UMEKAA KWA NIĄ MOJA LOOOH HATARI
@bahatinassorali5222
@bahatinassorali5222 8 ай бұрын
Kweli kabisa
@mobilezainodini-q1s
@mobilezainodini-q1s 27 күн бұрын
wachawee😂kwa hny haswaaa😂😂
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 4 ай бұрын
Wengine hata hawana michepuko mambo hubadirika huwezi kufananisha ujanani na miaka sabini hiyi haiapo lakini wengine wapo asilimia kubwa
@mussaissa4447
@mussaissa4447 5 ай бұрын
Dah inauma saana dalili zote ulizozitaja zipo mpaka inafikia mke asema namfanyia visa aniache lkn hofu ya mungu kuichukia taraka japo karuhusu lkn ukiwa nae asema anakupenda unyumba mpka ajisikie yeyee mmmh Hali hii ni wachache sana
@AminaSalim-i6j
@AminaSalim-i6j 3 ай бұрын
Naomba kuuliza tu sikwaubaya. Mumewangu hana mipango yyte, tumeowana miaka4 hajawai ata siku1 kuniambia mkewangu tukijaliwa kupata pesa tutafta kitu flani😢 isipokua siku1 aliwahi kuniambia nkipata pesa ntaowa😢 , jamani nisaidieni ushauri
@AishaMohamed-q3l
@AishaMohamed-q3l 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@AishaMohamed-q3l
@AishaMohamed-q3l 3 ай бұрын
Usinichekeshe mm
@laylasuleiman10
@laylasuleiman10 5 ай бұрын
Usaliti upo upo hawepukiki hasa kwa wanaume umezid ili uwe mwema basi uwe mume majukumu yake humuulizi basi mtawelewana
@FatmaOmar-r1t
@FatmaOmar-r1t 8 ай бұрын
Mwanamke vijisafiri safar vinakuwa vingiii
@NanaHassan-s8x
@NanaHassan-s8x 7 ай бұрын
Hapo kwa utani dada yani mtu anakutusi hadi mamako ukiuliza waambiwa n utani
@MamahetuChikuti-mp5lj
@MamahetuChikuti-mp5lj 4 ай бұрын
Na km mume yuwakusaliti na hana pesa ya matumizi kila kitu ni mke moaka watoto yaani kila kitu ni mke lkn yy anamchepuko na ushamshika wakiongea mpa video call na pia picha ya uchi akajipiga akatumia uyo hawara
@kingofjungle510
@kingofjungle510 4 ай бұрын
Same part, she lies
@rashidomar2771
@rashidomar2771 8 ай бұрын
Kuna wengine hawapokei simu au anablock namba kwa muda anaojiskia,,hii hua ni dalili za nini
@aminakassim7486
@aminakassim7486 7 ай бұрын
Hiyo hiyo😂😂
@JohnnyDepp-m4j
@JohnnyDepp-m4j 5 ай бұрын
​@@aminakassim7486😂😂 kama kweli hiyo hiyo
@mussaissa4447
@mussaissa4447 5 ай бұрын
Dah inauma saana dalili zote ulizozitaja zipo mpaka inafikia mke asema namfanyia visa aniache lkn hofu ya mungu kuichukia taraka japo karuhusu lkn ukiwa nae asema anakupenda unyumba mpka ajisikie yeyee mmmh Hali hii ni wachache sana
KUMNYIMA HAKI YA NDOA NI UKATILI PIA (HUBBUL HALAL)
29:07
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 10 М.
HUU NDIO WIVU UNAOWEZA KUJENGA MAPENZI KWENYE NDOA (HUBBUL HALAL)
20:36
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 14 М.
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
HII NDIO DAWA YA MWANAUME MWENYE GUBU (HUBBUL HALAL)
23:22
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 9 М.
ZIFAHAMU AINA ZA HURUMA KATIKA NDOA. | JAN 21/2025 (HUBBUL HALAL)
23:45
HIVI NDIVYO SIMU ZINAVYOVUNJA NDOA (HUBBUL HALAL)
19:09
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 17 М.
UPWEKE ULINILETEA MSONGO WA MAWAZO | NILIKUA NATAKA KURUDI TANZANIA TU
48:51
Official Dating Assistance
Рет қаралды 15 М.
HILI NDIO LILILOWAFELISHA WENGI KATIKA NDOA ZAO
35:26
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 12 М.
MWANAMKE MAKINI HUMDAKA MWANAUME HIVI
19:55
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 19 М.
Mkeo akifanya haya muache - Leilah Aboubakar
13:14
Kalamutz
Рет қаралды 60 М.
Akikusaliti Fanya mambo haya matatu - Madam Lailah Aboubakar
20:48