Wafanyabiashara wa Maduka Jijini Mbeya Wagoma Kupinga Manyanyaso ya TRA

  Рет қаралды 4,432

MbeyaYetuOnlineTV

MbeyaYetuOnlineTV

Күн бұрын

Baadhi ya Wafanyabiashara wa Maduka Mwanjelwa Kata Ruanda na Kabwe Kata ya Iyela Jijini Mbeya wamefunga maduka yao kwa kile walichodai kunyanyaswa na watumishi wa Mamlaka ya Mapato(TRA)Mkoa wa Mbeya.
Wakiongea kwa nyakati tofauti baadhi ya wafanyabiashara na wanunuzi nje ya maduka wamesema hupata usumbufu kutoka kwa wafanyakazi wa TRA.
Kwa upande wake Musibu Shaban Meneja Mamlaka ya Mapato(TRA)Mkoa wa Mbeya amesema wao kama Mamlaka wanatekeleza majukumu yao zaidi wakidai baadhi ya wafanyabiashara hutoa stakabadhi kinyume na malipo.
Hivi karibuni akiwa Mbeya Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Ashatu Kijaji amepokea malalamiko na kuagiza malalamiko hayo yafanyiwe kazi.
Mgomo huo wa wafanyabiashara umeleta usumbufu mkubwa kwa wateja wanaotoka nje ya Mkoa na nje ya nchi ambao wengi wao hupata mahitaji yao maduka ya Mwanjelwa na Kabwe.

Пікірлер: 21
@PaulKabungo
@PaulKabungo 4 ай бұрын
Safi Sana mbeya
@imanimwaijumb4934
@imanimwaijumb4934 4 ай бұрын
hata huku kwetu vijijini maduka yamefungwa..! hongereni sana kwa mashikamano
@hurumalunda2490
@hurumalunda2490 3 ай бұрын
Nisikilizenii watanzania TRA sio tatizo tatizo ni wawekezaji wa kihindi na kichina ndio wameharibu biashara tunashindwa kusimamia bei kwa sababu Yao wawekezaji Hadi wateja wamekuwa na kiburi kutokana na uhorela wa bei zao kibiashara
@regnethmtemanyongo2237
@regnethmtemanyongo2237 4 ай бұрын
❤❤❤
@AliMkumbukwa
@AliMkumbukwa 4 ай бұрын
Mku w mkoa makonda tu awa wengine ni waafuas tu
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 3 ай бұрын
Mkuu wa mkoa bora ni katiba mpya tu ndio ambayo haina makosa ya kibinadamu huyo makonda ni mwanasiasa anakosea na anaweza kupendelea Chama chake cha mapinduzi hataenda kinyume na msimamo wa chama chake
@EliezaRichard
@EliezaRichard 3 ай бұрын
Tra wakikwambia mapato halali yanakuwa mkubwa inakuwa Tena bola rushwa selikali inachezewa mchezo mchafu na watu wake iliowaamini kusimamia vyanzo vya mapato wasimamizi wa mapato wanaropoka bei kubwa kutengeneza mazingila ya rushwa selikali inatakiwa iwe ina walipa vizuri watu wake hakuna shida Kwa mfanyabiashara
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 4 ай бұрын
Kiukweli tunako elekea tutawaachia wao wafungue maduka waone ugumu wa kufanya biashara,sisi tuwe tunawakadilia ili waone wenyewe,servic red😂😂😂🤣
@AshaJuma-s7l
@AshaJuma-s7l 4 ай бұрын
Mama yetu mpendwa Samia Suluhu tunaomba Utuletee Makonda 🙏🙏
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 3 ай бұрын
Makonda ana nini nawewe ningekuona wa maana kama ungesema mamako Samia wakuletee katiba sio wakuletee mtu
@Lady_dragon-vy2th
@Lady_dragon-vy2th 4 ай бұрын
Kivumbi leo
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 4 ай бұрын
Hii ya risiti ni kweli na sio Mbeya tu Tanzania mzima janja janja nyingi
@MirriamHaonga
@MirriamHaonga 4 ай бұрын
Jamani nichangamoto
@regnethmtemanyongo2237
@regnethmtemanyongo2237 4 ай бұрын
Mfikemo yangu dah
@AliMkumbukwa
@AliMkumbukwa 4 ай бұрын
Akuna fact apo,ww shenz kvsa mamntilie akuow rst
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 4 ай бұрын
wenye thamana ni bunge
@hebronmwamwaja7660
@hebronmwamwaja7660 4 ай бұрын
Kweri tuta ishi 2
@winnerjudith2007
@winnerjudith2007 4 ай бұрын
mbavu zangu mimi😂😂😂
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 4 ай бұрын
mbeya kijijini bado hajasema
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 4 ай бұрын
Selikali hainapesa inazidi kuingiza majambazi
@winnerjudith2007
@winnerjudith2007 4 ай бұрын
ila umeeleweka mama, serekali mtusaidie mwee
ЭТО НАСТОЯЩАЯ МАГИЯ😬😬😬
00:19
Chapitosiki
Рет қаралды 2,2 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 14 МЛН
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 25 МЛН
"Hofu Yatanda: Daktari Aishi Kwenye Gari Mbeya"
11:14
MbeyaYetuOnlineTV
Рет қаралды 55 М.
ЭТО НАСТОЯЩАЯ МАГИЯ😬😬😬
00:19
Chapitosiki
Рет қаралды 2,2 МЛН