"Hofu Yatanda: Daktari Aishi Kwenye Gari Mbeya"

  Рет қаралды 55,466

MbeyaYetuOnlineTV

MbeyaYetuOnlineTV

Күн бұрын

#mbeyayetutv

Пікірлер: 445
@hsometz5356
@hsometz5356 5 ай бұрын
Mzee yupo huru mwacheni afanye maisha yake gari ni geto pia linahama tu😊
@Kachuba-w9p
@Kachuba-w9p 5 ай бұрын
Jamaa yuko Sawa kabisa yaaan iyo gari ni nyumba na ni gari iko shida gani jaman
@mawazoaliselemani
@mawazoaliselemani 5 ай бұрын
8:50 Watanzania kwanza washamba,pili wajuaji tatu wabishi. Tatizo limo hapo kama hajavunja Sheria yanini kumlazimisha alipie guest?
@JonathanZakalia
@JonathanZakalia 5 ай бұрын
Siyo washamba tatzo Asaiv binadamu ni wauwaji kuna watu wana potea na izo gali ndogo watu wana tolwa semu za sili
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 5 ай бұрын
Wabongo washamba sana jifunzeni kutembea mataifa ya watu kuangalia watu wanavokaa na kuishi apa marekani watu wanaishi kwenye magari mengine mabovu mwingine anaendesha kabisa nenda pale Nairobi mkajionee acheni ushamba
@azizayassin3623
@azizayassin3623 4 ай бұрын
😂😂😂hawaoni ndio maana washamba
@elisantemrita9490
@elisantemrita9490 5 ай бұрын
Safi sana docta hata mm nitafanya hivyo ,, sio niwe na Gari afu nikalipe hoteli 10×7=70 bado uchukue maroho ya uzinzi uko na uzee huo
@cosmaslunyembeleka251
@cosmaslunyembeleka251 5 ай бұрын
Uyu jamaa anaakili sana anaishi vizuri sana haina shida Anaishi kisheria yuko sawa.
@nairobitv6161
@nairobitv6161 5 ай бұрын
Maswali ya kiboya sana
@Allyhujjat
@Allyhujjat 5 ай бұрын
Acheni ushamba kulala kwenye gari ni maamuzi yake inawakera nini ajavunja sheria muulizeni tu huduma nyingine anafanya wapi maana kuna huduma za vyoo vya kulipia anaingia ana oga na huduma zoote acheni kufatilia maisha yasio wahusu
@estakapufi7582
@estakapufi7582 5 ай бұрын
Maisha ya sasa kuishi kimazoea hapana mwamba utakuja tiwa moto dunia imeisha imani, ila wananchi wamefanya kazi nzuri sana.
@leinaamos
@leinaamos 5 ай бұрын
Wewe umenena
@PericyKiko
@PericyKiko 5 ай бұрын
Mungu ndie anatulinda km huna hatia basi kufa pia ni faida
@totonata5384
@totonata5384 5 ай бұрын
Maamuzi ni yake yaheshimiwe. Ana haki ya kulala anapotaka .
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 5 ай бұрын
Kweli anahaki ya kulala anapo taka mm naona hawana KAZI yaani anapo uliwa mtu au kudhulumiwa huwa wanapuuza yaani KAZI za muhim hawazifatilii lakini KAZI za kipuuzi haraka yaan eti mtu ukamuingilie maisha yke kwanini kalala kwenye gari yke imehusu jaman mengine aibu hebu mfanye KAZI yenu tafuteni wezi wauwaji wekeni Aman kwa Tanzania acheni kumfatilia dactar anatafuta rizki hajaiba
@moyolameck555
@moyolameck555 5 ай бұрын
Sio kwenye parking ya nyumba za watu.Akapaki mlima kitonga hakuna atakaye mgusa
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 5 ай бұрын
😅😂😂kweliKabisa.akapaki.mlimakitonga​@@moyolameck555
@gfvh7282
@gfvh7282 5 ай бұрын
​@@moyolameck555dah😂😂😂
@wisperfect5320
@wisperfect5320 5 ай бұрын
😂😂😂
@giftaugustine1296
@giftaugustine1296 5 ай бұрын
Kwani s mtanzania au acheni ushamba angalieni kama amevunja sheria
@bonifaceanselmo3626
@bonifaceanselmo3626 5 ай бұрын
Maroli tunalala miezi ya kutosha kwenye gari hawajawahi kuona hicho kitu?
@brightonchedego8100
@brightonchedego8100 5 ай бұрын
Daktari mstaafu,pole sana
@lusakaone7782
@lusakaone7782 5 ай бұрын
Wapuuzi sana, mnaingilia maisha ya mtu.
@abelmbijima4324
@abelmbijima4324 5 ай бұрын
Kwani amevunja sheria? Siyo kazi yenu pole mzee wamgu
@nzegeatv6355
@nzegeatv6355 5 ай бұрын
Binafsi mii doctor nakuelewa sana wenye magali tuu ilo watalijua😂😂
@zainabumohamed4763
@zainabumohamed4763 5 ай бұрын
Jamani watu wanakazi zao mbona mnachimba sana,wabongo bwana kama hamjaenda shule vile, mwacheni baba aendelee na mambo yake ,
@mage5371
@mage5371 5 ай бұрын
Uko sahihi boss ila wabongo wanadadavua sana
@MgoriHc
@MgoriHc 5 ай бұрын
Bongo kuna waandishi wa hovyo sana
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 5 ай бұрын
Ukosefu wa pesa hauna chakujiamini mwacheni ni maamuziyake
@leinaamos
@leinaamos 5 ай бұрын
Unajuaje kama yeye ni Mtu mwema?!
@charleslukumai7875
@charleslukumai7875 5 ай бұрын
​@@leinaamoswewe eleza ubaya wake.
@emmanuelmmbaga5209
@emmanuelmmbaga5209 5 ай бұрын
Wabongo bana, wanaenda sana kufatilia mambo yasiyowahusu, mtu ana yake, haja vunja sheria yoyote.... Swala la kuchukua chumba unampangia mtu, na ana gari yake halali kwako, mpk mnaleta waandishi km jambo la kihalifu, aaaah wabongo ni shida sana. 😥🤔🤔
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 5 ай бұрын
Point kaka chukua maua yako🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@harrymakongwa1147
@harrymakongwa1147 5 ай бұрын
Yupo smart sana...Watu wa Mbeya msiwe washamba..
@JosephMchaki-fy5te
@JosephMchaki-fy5te 4 ай бұрын
Katika mikowa yote Tanzania mbeya inaongoza kwa ushamba wanambeya tembeen mjifunze mengi
@ZakayoDionisi
@ZakayoDionisi 5 ай бұрын
Uluya watu wanaishi kwenye gari na familia zao mwacheni mzee wa watu
@leinaamos
@leinaamos 5 ай бұрын
Usalama wa wenzie waeneo Hilo watakujuaje wewe kama ni mwema?
@cesiliajames2803
@cesiliajames2803 5 ай бұрын
Kabisa watu huku Ulaya, wanaishi kwenye magari ni kawaida kabisa
@charleslukumai7875
@charleslukumai7875 5 ай бұрын
Ubaya wake ni kulala ndani ya gari lake?
@ndorobocarworks-dx4pf
@ndorobocarworks-dx4pf 5 ай бұрын
Niliona Marekani wanaweka mahema rod
@ماجكموزجوني
@ماجكموزجوني 5 ай бұрын
CLOSE YOU CHANEL MATE. YOU'VE NOTHING TO TELL US. YOU SHU'D PRAISE DR FOR SPENDING HIS RETIRED TIME CONTINUING HELPING THE ONES WHO NEED MOST. DOESN'T MATTER WHERE HE LIVES/STAYS... WHAT MATTERS IS HE STILL CONTINUING SERVE HIS NATION. HE'S STILL YOUNG AND LOOKS VERY ENERGETIC. BRAVO DR CARRY ON DOING WHAT YOU ARE DOING AS LONGER YOU DON'T BREAK THE RULES
@alfredakabakama2010
@alfredakabakama2010 4 ай бұрын
Well said
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 5 ай бұрын
Alala hotelini mnamlipia?
@leinaamos
@leinaamos 5 ай бұрын
Wewe unaona usalama wake ni mzuri kulala kwenye gari?
@petermanala6138
@petermanala6138 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 hapo sasa anabajet zake mwenyewe
@OdliaMbengwa
@OdliaMbengwa 5 ай бұрын
Kutibu kwani lazima awe na mahabara au duka la dawa? Atakuongea na mgonjwa si ni tiba? Afande unachemsha
@nurumwenkale7278
@nurumwenkale7278 5 ай бұрын
Majambazi wanawashindwa mna msumbua mtu na maisha yake
@JudithAdonis
@JudithAdonis 5 ай бұрын
Kwa kweli hii ni changamoto
@davidjoel-mk4og
@davidjoel-mk4og 5 ай бұрын
Jamaa Yuko poa sana
@okutebettina2509
@okutebettina2509 5 ай бұрын
😂😂😂😂 Dr ako sawa uchumi mbaya
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 5 ай бұрын
Mwacheni jamani ili mradi hajavunja sheria
@monicaamoni7883
@monicaamoni7883 5 ай бұрын
Tanzania mna roho za ajabu saana 😢😢😢😢😢😢mlipieni sasa gest
@AD-qi3wb
@AD-qi3wb 5 ай бұрын
Mmekosa kazi nyie,hasa mnataka kumchagulia sehemu ya Kulala?
@ColumbaAbelMwendaColumbaAbel
@ColumbaAbelMwendaColumbaAbel 5 ай бұрын
Daa jamani doctor pole na hayo ila maisha yake ni simple sana bahati mbaya alifiwa na mke akiwa kijana mdogo sana na akajilelea wanaye mwenyewe hana maisha ya kujikweza nilimkuta manzese jioni anakula mihogo kwa wanaokaanga bara barani nikamshangaa anabana matumizi musimuhisi vibaya namfahamu jamani
@davidephraim4553
@davidephraim4553 5 ай бұрын
Mbeya mnatudhalilisha acheni ushamba
@TheresiaAndrea-hv9dg
@TheresiaAndrea-hv9dg 5 ай бұрын
Kweli washable wa kutisha
@thexoshowtira
@thexoshowtira 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@AmisseMwenetombwe
@AmisseMwenetombwe 4 ай бұрын
Mbeya ni wambeya !!!!!
@frankphiri9132
@frankphiri9132 5 ай бұрын
Mm nawashangaa sana km analala Kwa gari yake shida ni Nini mbona wapo wanaolala miferejini au stand za mabasi miaka na miaka asbh wanaendelea na shughuli zao nyie vipi ? Kawaibia au kapark ndani kwako SI nje!!!!!
@maswamills3161
@maswamills3161 5 ай бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏waambie.
@naturelle1097
@naturelle1097 5 ай бұрын
Acheni kumwaibisha baba wa watu anatafuta rizki
@tasukutechnologies2573
@tasukutechnologies2573 5 ай бұрын
Siyo kosa kulala kwenye gari yake
@vagashappnecy4850
@vagashappnecy4850 5 ай бұрын
Mbeya ni wapuuzi sana na waandishi wa habari ni viande
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 5 ай бұрын
Yeye yupo sahihi kwani kaiba?
@KamojaAmri
@KamojaAmri 5 ай бұрын
Hivi kulala kwenye gari ni kosa kweli acheni kuwasumbuwa wananchi wenye akili zao
@Veni584
@Veni584 5 ай бұрын
Msilazimishe kosa kwa mtu kulala kwenye gari tena la kwake
@duaelly2206
@duaelly2206 5 ай бұрын
Mwandishi wa habari hujielewi unauliza upuuzi nawala hujui kuhoji na elimu huna mwandishi na sisi tutakufuatilia ufungiwe kwamaana hujui kazi yako inahitaji uweje, husikilizi unauliza uliza tu
@kentz186
@kentz186 5 ай бұрын
Mbeya kuna ushamba mwingi😊
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 5 ай бұрын
Wanapenda kesi kesi
@celinapeter9474
@celinapeter9474 5 ай бұрын
Ahahaha 😂
@wisperfect5320
@wisperfect5320 5 ай бұрын
😂😂😂
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 5 ай бұрын
HahaHAA
@michaelmaziku991
@michaelmaziku991 5 ай бұрын
Angekuwa mzungu wangesema wanaakili san kwan kosa lake nn hata hawo askali wamekosa mambo ya msingi kufuatilia
@TheopistaMuheta-qp1bc
@TheopistaMuheta-qp1bc 5 ай бұрын
Ana bana matumiz baba wawa2 mwechen maamuzi niyake
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 5 ай бұрын
Huyo jamaa anamlazimisha mwenzie ajibu jamani ambayo kiukweli docta nimekuelewa kasema amestaafu hio kazi na sasa anaangalia namna ya kujiwekeza kulingana na taaluma yake,lakini katka safarar yake amekutana rafiki mwenye ndugu mwenye tatizo la akili amemwomba msaada hatakama anaenda kumwona na kumshauri ni msaada pia msimnyanyase ili mumwibie
@jifunzekuhusuwewe7475
@jifunzekuhusuwewe7475 5 ай бұрын
Hapa mbona hamna tatizo kabisa mbona hata mimi ndo zangu kulala kwenye gari
@leinaamos
@leinaamos 5 ай бұрын
Likitokea tatizo ndipo utajua
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 5 ай бұрын
Tatizo gani? Wanaolala mitaroni na chini ya madaraja vipi hawana shida?​@@leinaamos
@FrankEnock-q4q
@FrankEnock-q4q 5 ай бұрын
​@@Joe-tr2vk ndo hapo sasa ,nmeshangaa sana ,ila nmegundua watu wa hotel waltaka akalale kwao ili wapate maokoto 😂😂, hata ningelkuwa mimi nicngefanya ujinga wakutupa pesa kizembe kiivyo.
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 5 ай бұрын
Wabongo wanapenda kukuza mambo
@Visit-tz
@Visit-tz 5 ай бұрын
Napenda Mtindo Wake wa Maisha.Hajavunja Sheria yoyote ila.Watu waache ushamba
@HusseinHamisi-sg9ph
@HusseinHamisi-sg9ph 4 ай бұрын
Nice
@KelvinAlex-x2i
@KelvinAlex-x2i 5 ай бұрын
Waty wa mbeyah tunawaweza wana mbeyah 😂😂
@tinertv1382
@tinertv1382 5 ай бұрын
Shida iko wapi?mbona mnamnyanyasa?
@eliabeliud490
@eliabeliud490 5 ай бұрын
Ndio tatizo la mbeya n mjiii wa kichoko sanaaa wanaishiii kwa mashaka roho mbaya kusaidiana n Kaz kwa dar watu wanalala nje na hamna kelele lkn mbeya wanakuza mambo
@darhustler
@darhustler 5 ай бұрын
Baba nanii yupo mbeya kumbe 😂 mmemcholesha mstaafu 😅
@liboriusbabile1197
@liboriusbabile1197 5 ай бұрын
Tunataka kujua kero za umeme, maji, na variations za matumizi ya bima za afya utatuzi ni upi,,, sio kusumbua raia ambao ni genuine kabisa tena wamestafu ,hata huruma hamna.
@aulamongi2020
@aulamongi2020 5 ай бұрын
Kwan amevunja sheria gani kulala kwenye Gari lake mwenyewe?
@estakapufi7582
@estakapufi7582 5 ай бұрын
Ajavunjabshelia yupo sahihi kabisa sawa ila sasa wenyeji kumuelewa haraka inakuwaga ngumu siunaona mpaka wameita polisi, sasa kama anapata tatizo usiku mpaka ujielezee watu wakuelewe sehemu ujulikani nishida sana icho tu ila yupo shihi.
@carolinerubeya7817
@carolinerubeya7817 5 ай бұрын
Watanzania wanampangia mtu aisha vipi so sad,mtu si mhalifu anabana matumizi yake shida inakuja wapi kama si udhalilishaji 😢
@dominickyona3766
@dominickyona3766 5 ай бұрын
Mbeya 😂😂😂😂siwawez hata sharia...zake Ngumu sana unakuta mtu baki anazuiahata bajaji abiria shukeni et kiongozi wa bajaji ...😅😅😅mkoa noma
@frankmwinuka6298
@frankmwinuka6298 5 ай бұрын
Jamani
@mwananganzi
@mwananganzi 5 ай бұрын
Kazi maalum
@samsonkivuyo9548
@samsonkivuyo9548 5 ай бұрын
Watu acheni ushamba, mtu kajieleza vizuri lakini hamtaki kumuelewa mnalazimisha kile mnataka kusikia. Gari ni lake kwa hyo anaruhusiwa kufanya chochote anachotaka hata akiamua kuoga huko ndani
@ma4lio
@ma4lio 5 ай бұрын
Acha usenge we mwenyewe kiti
@chogaissa1619
@chogaissa1619 5 ай бұрын
Mwaxhen bhana
@Worldunite
@Worldunite 5 ай бұрын
Yuko kazini huyo,mwacheni tu ndo mambo ya maisha,au labda masharti ya mganga
@octavinaalphonce6898
@octavinaalphonce6898 4 ай бұрын
Huyo mwandishi vp
@susanrichard5351
@susanrichard5351 5 ай бұрын
Ako sawa kabisa❤ pia mm nishawai kaa
@AnithaMlay-s2q
@AnithaMlay-s2q 5 ай бұрын
Wewe uliza maswali ya msingi
@mwalagokache375
@mwalagokache375 5 ай бұрын
Watanzania bado sana huko Amerika ni jambo la kawaida ktk kubana matumizi
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 5 ай бұрын
Achen ujnga huyo Yuko sawa Kwan kunatukio baya kafanya?
@nelsongeorge6756
@nelsongeorge6756 5 ай бұрын
Nyie machizi sana, yan unamshangaa anayelala kwenye gari lake nendeni kariakoo mkashangae wanaolala mitaroni
@swahiliforex
@swahiliforex 5 ай бұрын
Its not an offence
@IBRAHIMCHALLA
@IBRAHIMCHALLA 4 ай бұрын
Yupo sawa kwani kunashida
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 5 ай бұрын
Wazambia kulala kwenye gari ni kawaida. Nguo anapeleka dry cleaner. Humo kwenye gari amegeuza kuwa kitanda. Safi kabisa yuko vizuri
@rashidjuma1969
@rashidjuma1969 5 ай бұрын
Yani nyinyii mnataka alale wapi
@neziajoseph9726
@neziajoseph9726 5 ай бұрын
Yuko sahihi kbs na sio yeye tu bali watu wengi Sana huwa wanalala kwenye magari tena hadi week mbili ili kubana matumizi...ila hasiyejua shida au maana ya maisha bas hauwez kumuelewa huyu mtu...wengine wamefirisika na tabia yao kulala kwenye magari baadae wanauza na wanafirisika kbs na pia wengine wamepata pesa ya mkupuo guess hawatak kutumia kwa fujo ili kupata mtaj
@sarasaraz-vn1vl
@sarasaraz-vn1vl 5 ай бұрын
Yaaan nchi yetu inavisheria vya kipuuzi sana ndo mana hatuendelei mtu anaepuka ghalama je hilo ni KOSA na kama hilo ni KOSA mpenzi nyie hiyo pesa achen upuuzi jamani
@shamzone388
@shamzone388 5 ай бұрын
Watanzania hawana kazi za kufanya ndio maaba wanafuatia maisha ya watu kila wakati Kama mmeona amelala hakuamka mna haki kutoa ripoti kituo cha usalama Tembeeni nchi za wenzetu au angalieni kwenye youtube mtapata habari zoote za dunia nzima
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 5 ай бұрын
Mimi sioni kosa la mtanzania raia mwema na ndio maana ya uhuru !
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 5 ай бұрын
Watu tunawaona wanafanya magar mpaka danguro na hawaulizwi kwanini huyo mnamsumbua?
@PericyKiko
@PericyKiko 5 ай бұрын
Si ni mtanzania na hana mabunduki acha atagute maisha
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 5 ай бұрын
Kwani ni lazima sasa 😂😂😂😂maisha ni yake !!point haipo kabisa !!hajaiba ,hali kwenu😂😂aiseeeh
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 5 ай бұрын
Sijui mtaendelea lini kwenye kiti wee yanayo wahusu hamuyafatilii watu wanauwana wanajinyonga nyie kimya sasa hiyo kulala kwenye gari lake kafanya kosa ?mh
@NnalaNsangalufuMwangati
@NnalaNsangalufuMwangati 5 ай бұрын
Hii nchi shida sana mbona mnachokonoa sanaaa huyu mtu hana kosa kabisaa ila mnataka mumtengenezee kama anakosa tujirekebishe watanzania kajielezea vizur tu bado vichwa vigumu kuelewa ni hatarii sana kwakwel
@hamismabula9934
@hamismabula9934 5 ай бұрын
Wanaoohoji hata hawajui kusikiliza hoja. Daktari na huyo mwenyeji wake mbona wanaongea wanaeleweka vizur kbs!!!
@amosimussa3360
@amosimussa3360 5 ай бұрын
Waandishi muwe mnasikiliza watu kwa makini kasema hafanyi kazi za kitabibu hospital yeyote ila ana mambo yake binafsi .mmesomea wap huo uwandishi toka hapa
@benjaminf361
@benjaminf361 5 ай бұрын
Kabisa! Huyu mwandishi sijui ni wa udaku? Na wasiwasi na elimu yake
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 5 ай бұрын
Tz hkuna waandishi sahv
@LucsdPita
@LucsdPita 5 ай бұрын
Mbea mnazingua mjue
@HusseinHamisi-sg9ph
@HusseinHamisi-sg9ph 4 ай бұрын
Safi
@EsterMfoi
@EsterMfoi 5 ай бұрын
Huyu tunamjua ni Dr Hana shida anaishigi kama mzungu yangu zamani ni WA iringa yupo sawa
@adrianmnzava8165
@adrianmnzava8165 5 ай бұрын
waandishi wenyewe maswali ya ajabu ajabu,wajifunze taaluma ya uandishi vizuri
@neemamwanga5447
@neemamwanga5447 5 ай бұрын
Bei ndogo 15,000 mzee ujue Kuna mtu anatafuta mtaji wa 15,000 anakosa maisha jamani magumu mpaka nahisi kuchanganyikiwa
@LucsdPita
@LucsdPita 5 ай бұрын
Mbea mnazingua
@amanisaid9863
@amanisaid9863 5 ай бұрын
Mm nishafanya hayo maisha sana ila kila nikiienda shambani maana hanna hata gest alafu kuna nyoka sana kwa hiyo niliish maisha hayo japo kulikua na vibanda vya kulala
@AmisseMwenetombwe
@AmisseMwenetombwe 4 ай бұрын
Unajua minga kwake kilakitu ni tatizo kwake kkkkkkk
@frankraphael7546
@frankraphael7546 5 ай бұрын
Muacheni jamn
@jayjay4313
@jayjay4313 3 ай бұрын
Wazungu wasingeulizwa, na wengi ni kawaida yao kusafiri na kulala kwenye magari. Na kila siku magari nyumba yanauzwa kwa kwenda mbele. Na baadhi ya sehemu kuna vijiji vya magari nyumba. Makondakta wenyewe wanalala kwenye magari. Mbeya bwana, umbea tu, hebu wasafwa tembeeni muone maisha muelimike. 😂
@jacobelisha8432
@jacobelisha8432 5 ай бұрын
Waandishi ni hewa na wananchi wa eneo hilo ni hewa pia huku Arusha kuona mtu akilala kwenye gar ni kawaida kwa kuwa ni mji wa kitalii lkn huko kwenu mbeya bado nyie ni mazuzu mtu ka kuambia angalia ndani ya gari pakoje alafu bado mnamshangaa hahahaha ushamba mwingi mnao
@freeworld2369
@freeworld2369 5 ай бұрын
Mbeya washamba sana sa apo nini cha ajabu?
@JoseHaule-tx7lu
@JoseHaule-tx7lu 5 ай бұрын
Mi cjaona tatizo
@ephraimndelwa4073
@ephraimndelwa4073 5 ай бұрын
Kwani ni daktari wa nini?
@hannahathanas895
@hannahathanas895 5 ай бұрын
Happy mar Kanu watu wa naishi kwenye magari Yao hakuna shida yeyote
@mwijagenelsoni357
@mwijagenelsoni357 5 ай бұрын
Elf 10.mnaiona ndogo eh watu tunalala kwenye gari mwezi sembuse siku 6 nenda wazo ,tanga cement au depo yoyote mkaone madreva au Congo wanaishije kusevu gharama
@fabianmahenge2949
@fabianmahenge2949 5 ай бұрын
Wote sio waelewa hata askari nao hawana uwelewa kazi maalumu huyo
@bettymuks7072
@bettymuks7072 5 ай бұрын
He's okay and right 👍
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 59 МЛН
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 81 МЛН
Wafanyabiashara wa Maduka Jijini Mbeya Wagoma Kupinga Manyanyaso ya TRA
14:30
Top U.S. & World Headlines - September 30, 2024
12:56
Democracy Now!
Рет қаралды 186 М.
KOMANDO MADAFU AWEKA WAZI KILA KITU BAADA YA KUTOKA IKULU
10:59
Wasafi Media
Рет қаралды 48 М.