Wafanyakazi wa hoteli Zanzibar waomba mafao ZSSF waweze kujikimu

  Рет қаралды 1,001

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Baadhi ya wafanyakazi wa hoteli visiwani #Zanzibar wamemuomba Rais wa Zanzibar kuangalia uwezekano wa kuushauri mfuko wa hifadhi ya jamii ZSSF kuwapatia walau asilimia chache ya mafao yao ili wajikimu kimaisha baada ya hoteli nyingi kufungwa.
#AdhuhuriLive #AzamTVUpdates #AzamNews
Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Пікірлер: 3
@kizungasalum2230
@kizungasalum2230 4 жыл бұрын
Serkali iangalie kwa jicho la pekee sana ili swala la wafanyakazi wa sekta binafsi mahotel ktk kuwalipa haki zao japo kwa miezi hii ya maafa wanawakati mgumu sana kwa kipindi hiki tunacho kabiliwa na janga hili la korona
@karyori69
@karyori69 4 жыл бұрын
hii akili inatoka wapi?
@shidasalum208
@shidasalum208 4 жыл бұрын
Sawa sawa lazima ituangalie maana hii sector ya utalii watu hawakupewa chochote kazini zaidi ya mshahara wao
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 15 МЛН
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 4,5 МЛН
怎么能插队呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:12
火影忍者一家
Рет қаралды 24 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
MAANDALIZI YA KUMUAGA DKT. MAGUFULI UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR
5:07
UN news conference on this year's Nobel Peace Prize winner
17:31
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 15 МЛН