Straight Path Da'wah katika Da'wah mashinani na mitaani katika eneo la Kibingoti, County ya Kirinyaga. Please subscribe to our channel for more videos. Tel: +254722600533 +254777600777 TILL number 558297 (Straight Path Association)
Пікірлер: 54
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Please remember to subscribe, like, comment and share.
@raiyaaaraiyaa60542 жыл бұрын
MashaAllah Tabaraka Allah, Allah awalipe kila la kheri IshaaAllah
@alimatambwe34022 жыл бұрын
InshaAllah MaSheikh wetu Allah awasimamie
@hassangaucho40842 жыл бұрын
A,alaykum warrahmatullah ... MASHA ALLAH SHEKH WANGU RAMADHAN, M/MUNGU akubarik sana ala kulli hali
@hassangaucho40842 жыл бұрын
Watu wengi na zaid ni wakristo hawajui kwamba MUNGU sio muhitaji wahitaji ni sis, wakat wew upo dunian uhai bas n8 jukumu lake MUNGU kumruzuku kila mmoja awe mbaya au mwema ALLAH hana kinyongo nasisi, bali sis ndio tunakosa kurudisha shukran kwa MUNGU wetu.
@salmanassor87322 жыл бұрын
Mashallah shehe ramadhani na timu yako Allah azidi kutuongoza katika njia waja wake
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Ameen
@mifunga34142 жыл бұрын
Mashallah sheikh Ramazan Mz Mungu amilipeni wote Dunia na hahera
@salmasalim60552 жыл бұрын
Mashallah mashallah
@maherzain6152 жыл бұрын
Kura kwa sheikh Ismael
@fardoshnassor7847 Жыл бұрын
Mashallah Allah ❤
@daudb26092 жыл бұрын
Masha Allah
@mariamkhaikachitechi65522 жыл бұрын
Maashallah tabarkallah
@mufid7072 жыл бұрын
Jazakallah kher Sheikh Ramadhan na wezako.
@ambarnelly63042 жыл бұрын
Kazi nzuri sana walimu wangu yani nafarijika sana kuona watu wanaingia katika dini ya haki
@myoutubecom-gg7sb2 жыл бұрын
MashaAllah
@hassanmpemba57472 жыл бұрын
Masha Allah sheikh Ramadan Allah akulipe kheyr ishallah
@nooroman25352 жыл бұрын
MashaAllah shelkh Ramadhani nakupata vizuri Allah hakupe afya njema kwa kazi unayoifanya
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Ameen
@Zainab-gs4mz2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@kawtharalbarwani13372 жыл бұрын
MashaAllah Allah awabariki masheikhe wetu
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Ameen
@fatumjumaa55632 жыл бұрын
jazakallah Allah awahifadhi na awafanyie wepesi
@asiaphilmon22332 жыл бұрын
Mashallah
@maherzain6152 жыл бұрын
MashaAllah. Sheikh Ramadan Umerudi kwa ground. Allah awazidishe nguvu na awahifadhi.
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Naam alhamdulillah nimerudi
@jumanjenga76822 жыл бұрын
Masha Allah Ustaz.good job.watching from Boston USA
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Thanks brother may Allah keep you safe
@faridahussein86322 жыл бұрын
MashaAllah ustadh Ramadhan na team yako Allah tabaraka awazidishe afya maisha marefu amiin amiin
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Allahuma ameen
@saidhamad5332 жыл бұрын
Watu wengi wapo gizani subhanallah
@mwanzomwisho69682 жыл бұрын
Watu wengi wameigia gizani siku hizi. watch out! Arabian prophet a.k.a Christian prince he is making a lot of apostates, do something about him and refute his arguments.
@ndetim70432 жыл бұрын
1.6 billion, imagine, who can never ask question about their religion. Evan believing that the earth is flat🤔🤔🤔🤔
@mosesnyangige19512 жыл бұрын
Napenda niwe muislam hiii ndio dini ya haki
@ahmedzahor29752 жыл бұрын
Fanya haraka ndugu yangu
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Karibu sana
@nyawebabu56442 жыл бұрын
Mwalimu Ramadan wachanganye na kiyumbani
@abdur-rahmanmuhammad69002 жыл бұрын
Wa-alaykum salaam warahmatullah wabarakatuh Masha Allah
@kingsdaughter20402 жыл бұрын
Ebrahim hakuwa na dini mungu hana dini kunyenyekea hata Paulo alinyenyekea jeremiah isaiah but haikuwa imekshikanishwa na dini
@hamdishide31372 жыл бұрын
M.a
@adrisshagi1255Ай бұрын
Na iji ulizanga sana. Wakati Kenyan ana sema Kiswahili si wezi English ??
@kingsdaughter20402 жыл бұрын
Isaiah:43.7 everyone who is called by my name, whom I created for my glory, whom I formed and made." Isaiah:43.8 Lead out those who have eyes but are blind, who have ears but are deaf. Isaiah:43.10 "You are my witnesses," declares the LORD, "and my servant whom I have chosen, so that you may know and believe me and understand that I am he. Before me no god was formed, nor will there be one after me.
@Sai.Mo692 жыл бұрын
Well read from Storeybooks written by a MZUNGU called King James, and his 46 Mzungu writers who were ALL inspired the unholy spirits called Whiskey. Ezekial 23.
@kingsdaughter20402 жыл бұрын
@@Sai.Mo69 that's your knowledge mine comes the Torah ok
@bookmarkersmatchers2571 Жыл бұрын
the problem with your justifying islam is .......why do you assume that adam was a prophet sent by who to who yet he was the first man on earth ...you are really confusing christians but religion is a scam
@morrismulowayi21528 ай бұрын
Bro, watch how you talk sometimes. Honestly, you are always disrespectful. God remember, we all come from God, so if He says God is our Father, there is no problem.
@fatmazullu49332 жыл бұрын
Binti hajielewi kabisaa! Eti Jesus is not a prophet!!! Khaaa
@ndetim70432 жыл бұрын
Vile wewe ujielewi ukisema Mohamed was a prophet. Know that John the Baptist is the last prophet
@raiyaaaraiyaa60542 жыл бұрын
MashaAllah Tabaraka Allah, Allah awalipe kila la kheri IshaaAllah