WACHUNGAJI WAPASUA MBARIKA "WAKRISTO HAWAENDI MBINGUNI WALA PEPONI !!!!"

  Рет қаралды 12,492

Straight Path Dawah

Straight Path Dawah

Күн бұрын

Пікірлер: 158
@mohamedS-yd9wh
@mohamedS-yd9wh 2 ай бұрын
Sheikh wetu Allah akubariki kwa kazi ya Allah unayoifanya, tunakuombea sana Allah akuhifadhi wewe ni tunu ya uislamu, Alhamdulillah
@adanabdulahi8219
@adanabdulahi8219 2 ай бұрын
MashAllah . What a noble work you are doing Sheikh Ramadan. May Allah protect you and all other brothers who are spreading the message of Islam.
@AbdirashidmohamedNoor
@AbdirashidmohamedNoor 2 ай бұрын
Sheikh Rudhwan Mungu akubariki sana❤❤❤❤❤ . Hii si kazi rahisi . Mungu akurahisishe
@AkhyFarqanah
@AkhyFarqanah 2 ай бұрын
Usa 🇺🇸 tupo tunakufatilia sheikh wetu ❤
@salimtiemery8071
@salimtiemery8071 Ай бұрын
Mungu awajalie maisha marefu wanastraight path
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 2 ай бұрын
Maashaallah mungu amuhifadhi sheikh wetu Ramadhan
@MohamedMatata-iu9mm
@MohamedMatata-iu9mm 2 ай бұрын
ALHDULILAH KWAA Allah kunijalia KUWA MUISLAM.YANI MCHUNGAJI ANAPITA KWENYE FIKIRA ZAKE KAMA NDACHA INAONEKANA BISHOP NI MWANAFUNZI WANDACHA .SHEKHE INA BIDI USOME KIBRANIA HUMO KWENYE KIBRANIA WAYAHUDI HUWA NIWAONGO SANA
@habibasalim3092
@habibasalim3092 2 ай бұрын
Subhaanalllaah huyu mzee ,nimempenda japo tu ni vile bado haamini mtume wa mwisho mtume Muhammad salallahu alayhi wasallam,
@FadhiliMagana
@FadhiliMagana 2 ай бұрын
Wallah sheikh ramadhani mm nakupenda Sana Sana tena Sana Allah akupe nguvu na uweza Zaid Sisi wengine pia wallah unafanya bidii Sana na mm nakuombea Mungu uzid na Moyo huo huo wavute uwaingize wakikuyu na wengineo katika Dini ya hak
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 2 ай бұрын
mashaAllah Sheikh Kazi nzuri sana,nimejifunza mengi mno kupitia midahalo hii Alhamdulillah jazakaAllah khairan
@habibasalim3092
@habibasalim3092 2 ай бұрын
Allaah akubariki kila siku Sheikh wetu ramadhan kaguo Aamin
@alyaqdhan5206
@alyaqdhan5206 2 ай бұрын
جزاك الله خيرا
@MussaNgoz
@MussaNgoz 2 ай бұрын
B shop usibadili bibilia acha kuweka lakini soma neno
@Adm9464
@Adm9464 2 ай бұрын
Bishop’s Pressure is definitely over the roof .
@hajiabdulrahmani9204
@hajiabdulrahmani9204 2 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅 umetsiha sana😅😅😅
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 2 ай бұрын
MASHA ALLAH 💚
@trikayoh3684
@trikayoh3684 2 ай бұрын
Studio inangaa MaashaAllah ❤️ kazi nzuri sasa baado Gerison na Ndacha
@JihaadIsmail
@JihaadIsmail 2 ай бұрын
Masha Allah endelea kutangaza dini yetu
@yabdul1782
@yabdul1782 2 ай бұрын
I like it when a Christian proves himself evasive n wrong while he agrees the truth from the verses n makes his own interpretation.
@djhassim_254
@djhassim_254 Ай бұрын
assalam aleykhkum mwalimu Kuria ......mimi naomba Quran ya kiswahili
@mohamednurmohamed8812
@mohamednurmohamed8812 2 ай бұрын
Nafurahi na darsa yenu lakini munapoteza sana mda jaribuni u go straight to question ili tupate faida shukran my brother Ramadan ALLAH Barik insh ALLAH amiin ❤️
@GeraldMswazi-bp2kw
@GeraldMswazi-bp2kw 2 ай бұрын
Mchungaji asiyejua maandiko Ni Sawa Na mbwa walio bubu hawawezi kubweka.kulingana Na kitabu cha isaya.
@saumbliz8983
@saumbliz8983 2 ай бұрын
Mmmmmh 😂😂😂
@Nangaikalumekenge
@Nangaikalumekenge Ай бұрын
Andiko lipi?
@KhamisJuma-ni1vk
@KhamisJuma-ni1vk 2 ай бұрын
Walahykum Salahm warahmatullah Wabarakatuh. Alhamdhulilah. Sheikh Ramadhan
@gechtv580
@gechtv580 2 ай бұрын
Mungu hana ndini...anapenezwa na kutia amri zake zote(Sheria na injili)
@isamacharia7937
@isamacharia7937 2 ай бұрын
Sheikh wetu pole pole tu na mwishowe atasilimu huyu Bishop Mwangi inshallah
@jamalalnadhir4058
@jamalalnadhir4058 2 ай бұрын
Sheikh wetu Allah akuhifadhi
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 2 ай бұрын
Masha Allah, camera ziko clear kabisa. Allah awaepushie kila shari na ajaalie kila kheir hapa duniani na kesho akhera wale wote walio jitolea kununua camera Amiin Ya Rabina Alamiin
@Zafarmohamedy
@Zafarmohamedy 23 күн бұрын
Aaanh sana 😂
@samxx411
@samxx411 2 ай бұрын
Nimegundua Bishop mara zote akikutana na wakristo wenziwe anakuwa anapingwa...mara ile na yule pastor pilot kuhusu ndoa bishop amepingwa na leo kuhusu miungu watatu pia amepingwa na hata akikutana na Ndacha atapingwa mana Ndacha ndo mtupu kichwani, sheikh Ramadhan ongeza mic kila mtu awe na yake ni ushauri tu.
@murtalla2826
@murtalla2826 2 ай бұрын
Bishop pressure decreases or increases 😂😂😂
@Zafarmohamedy
@Zafarmohamedy 23 күн бұрын
😂😂😂 hasheem no case
@issackSalah-xh1bg
@issackSalah-xh1bg 2 ай бұрын
Good work ❤❤❤❤
@alphonseziragora5151
@alphonseziragora5151 Ай бұрын
Sheikh anaeongonza hii Chanal ni mjanja kwelikweli. Anaweza silimisha Ibilisi tena.
@jasminmohamed6145
@jasminmohamed6145 2 ай бұрын
SUBHANALLAH LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN KADER WAANNA SAIDINA MUHAMMADIN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MOHAMMADIN WAALI SAIDINA MOHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM Barakallahu Feek
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 2 ай бұрын
unafanya kazi nzuri.....lakini mimi naamini katika Utatu Mtakatifu
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 2 ай бұрын
Ile shukran ya kusema Alhamdulillah alaa neema tul islam wakafaa bihaa bin neema ! Maana yake Namshukuru Mwenyezi mungu juu ya neema ya Uislamu na inatosha kuwa neema! nailiewa zaidi sasa nikisikikiza mijadala hii kupitia maandiko hakika Uislamu ndio haki kutoka kwa Mwenyezi mungu muumbaji wa kila kitu
@badmanno.1650
@badmanno.1650 2 ай бұрын
Moto sana😂
@adrisshagi1255
@adrisshagi1255 2 ай бұрын
ASALAMU ALEYKUM. Üstadı RAMADAN . TAFADALI. KAKA WEANGU. ISFOKU. UME ULIZE JAMO AMBALO VIDEO TIME KU TUMIYA FROM CANADA KANISA HILO. KAMA (ISSA ALEYHİ SALAM). ATA INGIA KANISA İLE AMA MISKITI AKI RUDI??
@faridbashuu
@faridbashuu 2 ай бұрын
Assalam aleykum warahmatullahi wabarakatuh Ramadhan Kuria... Bishop Nampenda sanaa... Straight pathiology iko sawa 😂😂🤣🤣 Bishop anafurahisha sanaa Barakallahu Feek.
@Zafarmohamedy
@Zafarmohamedy 23 күн бұрын
😂😂
@faridbashuu
@faridbashuu 23 күн бұрын
@@Zafarmohamedy Na eti ndio ametoka Chuo kusoma 🤣🤣 Je wale hawaja ende shule watakuwaje ?!!🥴
@Zafarmohamedy
@Zafarmohamedy 23 күн бұрын
@@faridbashuu huyu jamaa bado sana Allah amjalie akuje kwa dini ya haki isiyokuwa na utatu
@habibasalim3092
@habibasalim3092 2 ай бұрын
Afathali huyu baba hapa anashukuru Elohim, (Allaah)
@AliHassanAli-jd9ru
@AliHassanAli-jd9ru 2 ай бұрын
bishop wallai nampendea vile akiona haki hapindishi maandiko yuakubali ila moyo tu ndo mgumu inshallah Mwenyez mungu amfungulie kifua chake
@Fumokale
@Fumokale 2 ай бұрын
😮😮😮AMECHANGANYIKAWA...huyu ishop vp...
@habibasalim3092
@habibasalim3092 2 ай бұрын
Yesu alilala kwenye boat ,wakivuka mto, akienjoy usingizi kabisa😅😅
@ZakiyaAnwar-w1r
@ZakiyaAnwar-w1r 2 ай бұрын
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh
@habibasalim3092
@habibasalim3092 2 ай бұрын
Mungu ni mmoja ila sio yesu,hilo pia ulijue Bishop, maana confusion inakuja hapa wanasema mungu ni mmoja na akiomba namuomba yesu hapa ndo nashirikisha
@habibasalim3092
@habibasalim3092 2 ай бұрын
Baba wa whenye amesimama na original old testament anamsingi, anakataa kuhusu hao walio edit Enjeel, na ndio kukorigeka ,baba anasema mungu ni mmoja Ellah, yes
@njurno
@njurno 2 ай бұрын
Allahumma Amin
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 ай бұрын
WalykmMsalamWarahamatulah.wabarakatu.Alhamdulilsh
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 2 ай бұрын
busu jiwe jeusi....utaenda jehanamu na mtume aliyemnajisi mtoto wa miaka sita tu yeye akiwa 53
@aishaarusha894
@aishaarusha894 2 ай бұрын
​@@noahwamalwa4385sasa wewe unataka tumbusu mama yako sasa wewe kina kuuma nini mtume kuowa binti mdogo ulitaka aolewe mdogoako acha makasiriko wewe mwenyewe mama yako kakpata wewe anamiaka tisa habithi
@AishaTabi-e2z
@AishaTabi-e2z 2 ай бұрын
😂😂😂leo ni leo ❤
@chapchap-oz1ou
@chapchap-oz1ou 2 ай бұрын
Mwalimu Geishon akisema Masihi hakufundisha Baba na Mwana na Roho Mtakatifu....atuelimishe kuhusu Matt 28:19
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 2 ай бұрын
5 Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo Yesu; 6 ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho; 7 bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu; 8 tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba. 9 Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina; 10 ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; 11 na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.
@samuelondieki9164
@samuelondieki9164 2 ай бұрын
Asante Kwa andiko Hilo Na ufundize kila siku
@ChadCommaz
@ChadCommaz 2 ай бұрын
This bishop man is very funny the challenge he has is that he never accepts to be defeated
@shukrialisaya1578
@shukrialisaya1578 2 ай бұрын
Those clergy men Ilove them coz they are very sober sio kama ndacha.
@nurki001
@nurki001 2 ай бұрын
Bishop umepigwa na butwaa 🙆🙆🙆🤦🤦
@josemu870
@josemu870 2 ай бұрын
To be a Muslim is a massive from Allah barikiweni sana sana kwa mafundisho bora Allhamdhillah
@adrisshagi1255
@adrisshagi1255 2 ай бұрын
Both are educated lakini . ( quluban qulfan) na ombeya mungu awa ongoze yeye indho ana uwezo .
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 2 ай бұрын
Ndacha #AbuJahal HAWEZI kukubali hata dakika kukumbambana na Doctor coz ndacha ni tapeli tu
@nabiljumaothman5912
@nabiljumaothman5912 2 ай бұрын
Bishop hoja zake dhaifu mnoo yaani ata hajui nini anatetea
@adrisshagi1255
@adrisshagi1255 2 ай бұрын
Nime poteza nambari ya iskofu kaka and mr Iskofu NAKU salamiya
@habibasalim3092
@habibasalim3092 2 ай бұрын
Hii ndo Allaah alisema wangelijua biniowapa vitabu wangeisoma na lugha yake original, Siku zote nikiwaambia hii kuita tawrat kumbukumbu la tawrat ni kwamba waisahau ,sasa tangu Lini maneno ya Allaah yazeeke,
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 2 ай бұрын
😂 maskin bishop siku zote nimtu wakuelemewa tu
@Adm9464
@Adm9464 2 ай бұрын
It’s very disgraceful that Bishop is not listening to what this Christian pastor is saying .
@mutomubaya
@mutomubaya 2 ай бұрын
Nadhani Bishop anadhani Yesu ni mungu lakini hajui Yesu ni jina lililotungwa enzi ya kufasiri Biblia kwa Kiswahili na hakuna cha ziada katika hilo jina ila kusifiwa kwa sifa mara za Mtume, Isa bin Mariam na mara sifa fulani za kudai kwamba ni mungu.
@MohamedMatata-iu9mm
@MohamedMatata-iu9mm 2 ай бұрын
Bishop anapambana na maneno yake MWENYEWE anayapinga MWENYEWE .na kajasahau HATA YYE ALIKITA MUNGU.SASA NA YYE NIMUNGU YUPI?
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 2 ай бұрын
Bishop ana vituko vya peke yke😂😂😂😂😂
@salamalsawaqi1206
@salamalsawaqi1206 2 ай бұрын
Huyu pwaguzi na mwenzake pwaguzi🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@badmanno.1650
@badmanno.1650 2 ай бұрын
Kama kawaida yake bwana Gichuhi ni story nyingi bila maandiko.😅😅
@AbdirashidmohamedNoor
@AbdirashidmohamedNoor 2 ай бұрын
Eeee anahepa hepa tu . 😂😂
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 2 ай бұрын
Bishop anatetea KAZI yake muda wote anaangalia camera kwa huruma
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 ай бұрын
AnasemaAtaponaKwajinaLaYesu.subhanaAllah.nyieKituko. yaarabb. Tunusuru.DamuImejaaSumuKumuitaMtu. mungu
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 2 ай бұрын
busu jiwe jeusi....utaenda jehanamu na mtume aliyemnajisi mtoto wa miaka sita tu yeye akiwa 53
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 ай бұрын
Na vile kwanza alikunywa dawa ya Eno hapo
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 2 ай бұрын
@@StraightPathDawah unafanya kazi nzuri,.....naona utatu ni ukweli
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt Ай бұрын
Tatizo lako Syo muelewa wamasai wanaoaHataMimba kabla mtoto hajazaliwaAkizaliwa Binti Mkewe akizaliwa Dume AtakuwaRafiki yake akimaanishaAtamchukuwaHuyo bintiAtakapokuwaTayari yahn barekh TumiaAkili syo kuropoka​@@noahwamalwa4385
@martingachanja8145
@martingachanja8145 2 ай бұрын
Bishop kelele mingi 😊
@AbdirashidmohamedNoor
@AbdirashidmohamedNoor 2 ай бұрын
Gricho maneno mengi bila maandiko. Hivyo ndivyo wanaogea sana kanisanai bila maandiko alafu watu wanaamini
@habibasalim3092
@habibasalim3092 2 ай бұрын
Elohim arameic,Allaah arabic,,thats the truth,
@VeronikaJoho
@VeronikaJoho Ай бұрын
Dokta najua wajua ukweli silim
@habibasalim3092
@habibasalim3092 2 ай бұрын
Sasa hio maandishi si ni yale yale tu yaliyoandikwa na watu kui translate enjeel tu
@banyankirubusamarc1727
@banyankirubusamarc1727 Ай бұрын
Usiongee kusema koroani imesema, cakwanza unataka kujua, koroani si maneno ya Mungu, kwanza ujue hio.
@salamalsawaqi1206
@salamalsawaqi1206 2 ай бұрын
Yani pwagu na pwaguziiiiiiiii
@hashim.22kamal27
@hashim.22kamal27 2 ай бұрын
Hakuna.kuenda.mbiguni.wakhristo.mpo.dr.amesema.
@mahdiyusuf3431
@mahdiyusuf3431 2 ай бұрын
We invite both of them to believe Jesus Christ is son of Mary messenger to the children of Israel. Welcome to Islam ☪️
@adrisshagi1255
@adrisshagi1255 2 ай бұрын
Kuna Loyer. 🇮🇱 Jew walahi nime uliza kuna wa Africa kule kuwetu wana Sema muweli na. Moyo tafauti moyoni ni. Jew ame Cheka .
@banyankirubusamarc1727
@banyankirubusamarc1727 Ай бұрын
Binikagu, Leo umebanwa na uongo wako wakupoza watu.
@ChrisMakokha-cy2cu
@ChrisMakokha-cy2cu 2 ай бұрын
Huyu gerishon ako tiktok?
@AthumaniBakari-o6r
@AthumaniBakari-o6r 25 күн бұрын
BISHOP HAJIELEWI BORA HUYU MZEE AFADHALI BISHOP KELELE TU MWEUPE KAMA SANDA
@jahbless4063
@jahbless4063 2 ай бұрын
bishop akiletewa myahudi kwa mjadala sura yake hua nyengine.
@aburaasmedia3682
@aburaasmedia3682 2 ай бұрын
punguza kelele bishop...unataharibia masikio
@mimahmimah1595
@mimahmimah1595 2 ай бұрын
Mm napenda kuskiliza lakin huyu bishop anafanya nishindwe kuskikiza kwa kelele lake sheikh ramadhan uwe unamwambia aongee taratibu anatuumiza vichwa 😢
@habibasalim3092
@habibasalim3092 2 ай бұрын
Na hii kugeuza majina yote kuyaita kizubgu pia sio vyama, Suleiman acha abaki Suleiman na kama ni musa abakie musa sio Solomon na Moses
@tumainmkonyi8459
@tumainmkonyi8459 21 сағат бұрын
Mimi nakukubali masomo yako but bado nabaki nayesu
@VeronikaJoho
@VeronikaJoho Ай бұрын
Stivin acha ubishi silim
@habibasalim3092
@habibasalim3092 2 ай бұрын
Huyu Bishop ni wale wale tu confused people,
@zeharaz4116
@zeharaz4116 2 ай бұрын
Anasema mbio mbio hata hatufahamu nini anasema
@mush337
@mush337 2 ай бұрын
Hoja sio kubatiza watoto ama wakubwa hoja ni kuamini,huezi batizwa eti ju wewe ni mzee, kwa hivyo atuonyeshe kifungu kwamba watoto hawafai kubatizwa,na watoto kwa mjibu wa Sheria ya Kenya ni wasiozidi umri wa miaka 18
@habibasalim3092
@habibasalim3092 2 ай бұрын
Not kumbukumbu,ndio wameikataa original book of Yeshua
@Ally-qi7xo
@Ally-qi7xo 2 ай бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🙏🏾🇧🇮🇿🇦🇿🇦🙏🏾
@wakeshojana
@wakeshojana 2 ай бұрын
Ati kauli ya wachungaji?? ramadhani kuria unachekesha sana 😂😂😂😂😂😂 Tutawasikiliza wachungaji au Mungu? Hebu tuangalie Mungu anasema nini?...marko 9:7 : "Huyu ni Mwanangu, msikieni yeye"!! Tumsikie Mwana anasema nini? ,,,, Yohana 14:6 Yesu akawaambia "Mimi ndiye Njia NA kweli NA Uzima...mtu haendi kwa Baba pasipo kupitia kwangu" MUNGU ANATUAMBIA WAKATI WOTE TUMSIKIE MWANA....SIO MITUME WENGINE WOWOTE WALE AU MARYAM AU WACHUNGAJI GHUSHI.....KAMA VILE YESU ANAVYOSISITIZA KWA YOHANA 17:3 SASA WACHUNGAJI NA MUNGU NA MWANAWE NI WAPI NA WAPI??///
@chapchap-oz1ou
@chapchap-oz1ou 2 ай бұрын
Ati WACHUNGAJI WAPASUA MBARIKA? ni kama hajui maana yake na pia kasoro ya elimu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 ай бұрын
Wamesema wao sijamsemea Mungu
@wakeshojana
@wakeshojana 2 ай бұрын
@@StraightPathDawah Sawa ndugu hata kama wamesema wao mbona unawashabikia???.... Tutawaamini wachungaji. au tuamini ushabiki wako au tuamini Mwenyezi Mungu na Yesu walivosema??? ushauri wa bure....ng'oa pazia kwenye akli na macho yako bro!!
@seifserenge3340
@seifserenge3340 2 ай бұрын
Kinachonishangaza kwa hawa wakristo wanapoeleza kuhusu Yesu au Mungu hawanyooshi maneno huwa wanajizonga tu. Wanaleta maandiko tele ya kuunga unga. Hii nikuonyesha kushindwa kwao na biblia yao kuwa ni ya kupangwa pangwa tu
@aliseif2691
@aliseif2691 2 ай бұрын
Dankan jeshi la mtu mmoja.
@habibasalim3092
@habibasalim3092 2 ай бұрын
Hii trinity ilikuja na hao baada ya yesu kuondoka,kwahio waliitengeneza wenyewe, na ndio maana sisi waislamu tunasoma original arabic qur'an how it was revealed,
@habibasalim3092
@habibasalim3092 2 ай бұрын
Jesus didn't claim divinity
@SwahibuAthuman-yv2mn
@SwahibuAthuman-yv2mn 2 ай бұрын
Apo hakuna parsta
@sanaf8367
@sanaf8367 2 ай бұрын
Sio kweli kwa mujib wa quran mkristu anaweza kwenda mbinguni ikiwa wataamini Mungu 1 na wa katenda mema na kuamini siku ya mwisho hio ni quran sio maneno yangu by the way mie pia ni muislam.
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 ай бұрын
Mkristo lazima ASILIMU na atakuwa sio mkristo tena Bali Muislamu. Kama kuna Pepo ya Wakristo basi hatuna kazi
@wakeshojana
@wakeshojana 2 ай бұрын
@@StraightPathDawah KUSILIMU NI UKAFIRI >>>> Kumkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo.- Yuda 1:4
@sanaf8367
@sanaf8367 2 ай бұрын
​​@@StraightPathDawah2:62 "Hakika Waumini, na Mayahudi, na Wakristo, na Masabii, 1. wanaomuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, na wakatenda mema, watapata ujira wao kwa Mola wao Mlezi. Wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika." Ustadh usiongeze maneno yako kuwa lazma wasilimu na hapo ukija na hoja kuwa hio aya wamekusudiwa waliopita kabla ya Mtume Muhammad nitakupa andiko jengine linalothibitisha hoja yangu. Wala sikusema kuna pepo ya wakristo ila kuna exception kwa watakaokuwa na vigezo ktk hio aya na wapo na wataendelea uwepo japokuwa ni wachache mno.
@Bahati47
@Bahati47 2 ай бұрын
Umeambiwa mpaka uamini aliyokuja nayo Muhammad swali ni mkristo gani anemuamini Muhammad?
@Bahati47
@Bahati47 2 ай бұрын
​@@wakeshojanahivi wanaotumia jina mola kwenye vitabu vyao na maongezi yao ni kina nani? Na kina nani wanaamini MUNGU ni mmoja?😂
@salumkagame509
@salumkagame509 2 ай бұрын
huo jama kihebrania kinacukuwa mda awage anaongea kiswahili bila kupoza mda
@kennodhiambo
@kennodhiambo 2 ай бұрын
Here you go again 4:171... God is saying "do not say three" when it implies that Christians believe in "three" gods? God cannot be speaking in the Quran. You better study to understand who is speaking in it.
@samxx411
@samxx411 2 ай бұрын
Sheikh Ramadhani mimi nna imani kwamba huyo Dr. Garithon ni kwamba anatumia biblia iliyotafsiriwa kwa israeli tu lakini sio injil ya asili ya Nabii Issa (Yesu) ya kiebrania, kwasababu injili ya asili ya Nabii Issa, Torati ya Nabii Mussa na Zaburi ya Nabii Daudi, Allah (SW) ameziondoa baada ya kutiwa mikono na watu (waandishi) baada ya kuondoka manabii husika...Baada ya miaka kupita watu waliacha mafundisho na wengine kufuata maandiko yaliyochafuliwa ndipo Allah akaleta qurani kuja kurekebisha, kuelimisha na kuonya watu.......sasa muombe bwana Garithon atupatie taurati ya asili ya Nabii Mussa kama ni mkweli.
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 2 ай бұрын
Kwani Quran illiposema ilikuja kuthibitisha maandiko yaliyokuweko kabla ya Quran hukusoma ukaelewa? Someni Quran muelewe before uongee
@samxx411
@samxx411 2 ай бұрын
@@NathanielNathan-m4o wewe qurani unaijuwa au unaijuwa tafsiri ya Quran na ndio mnajuwa biblia ya waandishi lakini injil alliyoshushiwa yesu huijui...
@mobutu3884
@mobutu3884 2 ай бұрын
Nafurahi sana ninapoona umefungua hii studio kwa ajili ya kuleta wakristo wafunzane pale wanapo tofautiana, ila umewatenga waislamu kabisa kwa kuwaaminisha kuwa hawana tofauti ila ukumbuke wanatofautiana saaaana ingawa unawaficha ulitakiwa uwe unawaleta sunni, shia, hamadia n.k ili waelezee tofauti zao pia usiwatenge bwana waislamu 😂 au unadhani hatuwaoni mitandaoni wakijibizana au wakitofautiana? Tunaishi na waislam mtaani ambao pia mnawachanganya katika imani zenu Walete waislamu hapo wanaotofautiana wajielezee hapo ili watu wajue ukweli ni upi Hongera kwa kuendelea kumtukuza kristo kupitia hii studio watu wanamjua kristo kiundani zaidi.
@softymoha5484
@softymoha5484 2 ай бұрын
waislam hawatofautiani...ibada yetu ni moja...maana Quran ni moja dunia kote. wakiristo...mnatofautiana sababu ibada zenu sio moja...kila kanisa iko na utaratibu zake...ili hali mnasoma bibilia moja....kwa nini? sababu msabato....hawezi ingia katoliki,,,mkatoliki...hawezi ingia hizi kanisa za mangoma.....wengine hawaweki msalaba kama Sabato....wala hawasherehekei christmass....na kanisa zingine zinafanya hayo yote. waislam ibada ni moja,,,dunia kote...lugha moja ya kuabudu....hiyo utafouti unasema...ni kwa vitabu za hadithi za mtume....bt Quran no
@mobutu3884
@mobutu3884 2 ай бұрын
@@softymoha5484 Kwa hiyo hizo sio tofauti au? 😂 fanya utafiti wa kutosha utajua tofauti zenu katika dini ya uislamu sio lazima tuanze kuelezea hapa tukajaza page,. Achana na mambo ya sisi tunatofautiana hili ila lile hatutofautiani, 😀 huko ni kujitetea tu tofauti zipo katika dini zote ikishakuwepo madhehebu. Hivi unadhan hatuoni wanatofautiana hata katika quran zao? Au hujui kama kuna wengine wanaamini Yesu alikufa na kufufuka. Fanya research acha ushabiki
@wakeshojana
@wakeshojana 2 ай бұрын
@@softymoha5484 Unaonekana hujielewi.....kuna madhehebu zaidi ya 70 ya kiislamu....na hayo yote hutokana na kutofautiana. Kwa mafano kuna wale wanaosherekea maulid na wengine hapana... watu sio wajinga buanaa
@samxx411
@samxx411 2 ай бұрын
@@softymoha5484 Yeah umemjibu vizuri...ameona wapi waislamu wakatafautiana katika qurani ambao ndio muongozo? au wakatafautiana katika mtume wetu au Mungu wetu...wakati wapo wakristo wanaamini yesu ni Mungu, wengine ni mwana wa Mungu, wengine ni Mungu na Mwana wa Mungu, wengine ni nabii, aidha wakristo hata biblia wametofautiana kuna biblia nyingi na zimetofautiana. Hivi tuangalie mfano mmoja, qurani ipo katika asili yake ya kiarabu na inahifadhiwa kifuani yote na mamilioni ya watu.....duniani kuna vitabu vingi sana vilivyoandikwa je kipo kitabu ambacho kimehifadhiwa kifuani mwa mtu chote ...jibu hakuna ni wazi qurani ni maneno ya Mungu ametuwezesha yeye mwenyewe kukihifadhi katika vifua vyetu..
@thechurchoftheedgeministry4325
@thechurchoftheedgeministry4325 2 ай бұрын
Allah ako na utatu my friend sisi utatu watu uko sahihi
@mobutu3884
@mobutu3884 2 ай бұрын
Ramadhani acha kutafsiri Biblia unavyotaka wewe sio kila kitu unahoji wakati hata quran ipo hivyo hivyo mfano limetumika neno UTAOKOKA wrwe umekazania ni wakati ujao kisa neno "UTA" ila unasahau kuwa katika quran 39:30 mohamad anaambia "Kwa hakika wewe utakufa, na wao watakufa" So unataka kuniambia mohamad bado hajafa sababu ilitumika neno UTAKUFA? Au baada ya Mohamad kufa hilo neno utakufa kwwnye quran halitumiki tena? Kubali kujifunza Biblia endapo huijui ili uweze kutafsiri maneno kiusahihi, vitabu vitakatifu havitafsiriwi kama unavyotaka. Jifunze maandiko kwanza na hayo ndio yanayowafanya muwe wagumu kuelewa sababu mmekaririshwa na sio kueleweshwa.
@samxx411
@samxx411 2 ай бұрын
Kinachosemwa na qurani ni sawa, mfano uliotoa Muhammad alikuwa bado hajafa ndio akaambiwa "UTAKUFA" na hata hata Yesu na yeye imetumika future kwasababu hajafa bado ila kufa ni lazima arudi na atakufa hilo halina ubishi.
@mobutu3884
@mobutu3884 2 ай бұрын
@@samxx411 kwa hiyo hilo andiko katika quran kwa sasa halitakiwi kusomwa utakufa kwa sababu mohamad alishakufa?
@samxx411
@samxx411 2 ай бұрын
@@mobutu3884 qurani haibadiliki na andiko linabaki vilevile kuwa lilimuelezea Muhammad katika uhai wake na kwa upande wa yesu bado andiko lipo hivyo na linabaki kuwa hivyo kuwa atakufa no doubt...saivi sote waislamu na wakristo tunamsubiri yeye arudi ikisha ili qurani itimie neno lake.
@wakeshojana
@wakeshojana 2 ай бұрын
Ramadhani amezibwa akili na macho na mungu wa dunia hii.....kazi ya mpinga kristo!! 2 Wakorintho 4:4 "Kwa upande wao,(makafiri) mungu wa dunia hii ametia giza akili za wasioamini, ili wasione mwanga wa Injili ya utukufu wa Kristo, ambaye ana sura ya Mungu".
@Alithoya-qr7di
@Alithoya-qr7di 2 ай бұрын
Kama Kuna watu wanapinga christo ni nyinyi juu ata hamfati yenye alifundisha​@@wakeshojana
PASTOR NDACHA AKUBALI KUWA YESU SIO MUNGU MKUU. (PART 2 B)
1:00:23
Straight Path Dawah
Рет қаралды 14 М.
NDACHA AKUBALI KUSOMA MADRASSA
1:00:22
Straight Path Dawah
Рет қаралды 26 М.
CAN YOU DO THIS ?
00:23
STORROR
Рет қаралды 41 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 27 МЛН
UFC 308 : Уиттакер VS Чимаев
01:54
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 742 М.
MCHUNGAJI ASHANGAA KUONA MAKATAZO YA ULAJI NGURUWE KWENYE BIBLIA
1:00:32
Straight Path Dawah
Рет қаралды 12 М.
WAKRISTO WA MADHEHEBU TOFAUTI WAHITILAFIANA JUU YA BIBLIA
57:21
Straight Path Dawah
Рет қаралды 17 М.
Mbona mwaenda  na kufanya hivyo mwijiristi auliza limeonekana lafaa kimeeleweka leo
1:19:04
WAKRISTO WASILIMU KISUMU BAADA YA KUONA HAKI YA UISLAMU.
1:40:44
Straight Path Dawah
Рет қаралды 13 М.
YESU MRASTA AJITOKEZA KENDU BAY
1:02:14
Straight Path Dawah
Рет қаралды 4,3 М.
"MUNGU HANA MKE." PASTOR NDACHA AKIELEZEA YESU NI NANI.
1:25:25
Straight Path Dawah
Рет қаралды 60 М.
MWANASIASA AUKANA UKRISTO MARA TATU || WEWE KURIA TOA KITAMBULISHO
1:35:56
Straight Path Dawah
Рет қаралды 25 М.
CAN YOU DO THIS ?
00:23
STORROR
Рет қаралды 41 МЛН