No video

WAJUMBE WA BODI WAMCHENJIA MO DEWJ LIVE|HAUDAI SIMBA SIO YAKO HATUTAMBUI USAJILI WAKO WALA HAUTUDAI

  Рет қаралды 32,305

SPORTS MAX

SPORTS MAX

Күн бұрын

KWA HABARI NA MATANGAZO
TUPIGIE SASA
0753393036 CALL
0625466848 WHATSAPP

Пікірлер: 201
@masumbukomoussa977
@masumbukomoussa977 2 ай бұрын
Wanao subiri uchambuzi wa GB64 juu ya hili sakata gonga like hapa
@BilaliBilaliamri
@BilaliBilaliamri 2 ай бұрын
Gb yule njaa tu hana lolote
@bryangeofrey928
@bryangeofrey928 2 ай бұрын
Umeongea vizur mkuu,ww ni msomi kaka..safi
@MichaelMagawa-xn2ht
@MichaelMagawa-xn2ht 2 ай бұрын
NYIE MLIKUA WAPI MPK HAYO MAMBO YAMEFIKA HUKUUUUU??
@bernardndemba2253
@bernardndemba2253 2 ай бұрын
Tunachogomba hapa ni maendeleo ya Team watu wanapoteza maisha Team haifanyi vizuri . unatuletee makaratasi . mataperi wakubwa
@user-nk9zc5il5v
@user-nk9zc5il5v 2 ай бұрын
very smarty man unadeserve kuwa kiongozi
@LorynNila
@LorynNila 2 ай бұрын
Umechambua ila amkutakiwa kusubiri sana miaka mitatu mfululizo tumechelewa sana
@monelayongola419
@monelayongola419 2 ай бұрын
Hamna kitu hapo , kasema pumba tupu. Kama sajili zilikua mbovu na kuwa zinawapa hasara, Jeeeeee Ni Nani hua anasajiri ??. Angesema hapo kwanza . Ni MOO au Nani ??.
@davidsimbeye1548
@davidsimbeye1548 2 ай бұрын
Nilikuwa naamini mashabiki wa Simba wote ni watu wenye uelewa mkubwa kumbe kuna wengine ni mashabiki maandazi. Yaani misimu yote mitatu kumbe Mo alikuwa anatoa hela halafu kila mwaka mnafanya usajili wa hovyo. Tena kaweka zaidi ya billion 20 mnatakiwa mtuambia hizo hela mmezipeleka wapi
@Mpezie
@Mpezie 2 ай бұрын
Kampuni ni yake ndio kwa kuwa hakuna hata boxer moja mmewahi kuweka. Na ndio maana mnaongelea hela za Mo sio zenu. Hamna hela sasa makelele ya nini......!?
@user-tb4gh1sm9k
@user-tb4gh1sm9k 2 ай бұрын
MZEE KILOMONI YULE MZEE ALIYAONA YOTE HAYO NA AKATUASA MO DEWIJI SIO MUWEKEZAJI BALI NI MJANJA MJANJA TUU TUKAMTUKANA MZEE KILOMONI SANA LEO MNAMUONA MO DEWIJI ANAVYO BADILIKA
@josephmihayo6236
@josephmihayo6236 2 ай бұрын
Daaaaah, nimelia sana kumbe anadai Hela za mchicha, boxer na kandambili.
@user-pf6yw7vh1p
@user-pf6yw7vh1p 2 ай бұрын
Wapenzi wa Yanga jifunzeni ktk hili na msifurahie hili sbb upande wenu ndio hatar zaid sbb upande wa muekezaji GSM na wanachama Hersi Said mtalijua hili mtakapokosa kombe mwaka mmoja tuu
@johnnymarenge9071
@johnnymarenge9071 2 ай бұрын
Nahawa walikua wanapokeaje pesa bilamaelezo kwanini hakukua namaelezo kabla yakutumia pesa zake haiwezekani mupokee pesa bila maelezo huku mnasema kisheria hatakiwi kutoa pesa nje yaambayo anatakiwa kuweka kamamtaji pia mabango kwenye jezi anawekaje bila makubaliano yamakaratasi hatakama nimwekezaji nyiendio vichwa maji sahivi mnajifanya ooh sijui mo anatakahivi kwanini hamkohoji wakati anatoa pesa nyiemnapokea tu sasa mtalipatu
@godfreymbela8593
@godfreymbela8593 2 ай бұрын
@benadethajohn2696
@benadethajohn2696 2 ай бұрын
point
@mkilwaabdul9230
@mkilwaabdul9230 2 ай бұрын
miaka yote walikuwa wapi mbona hawajujitokeza hadhalani wapuuzi hawa.
@abuuaidh6500
@abuuaidh6500 2 ай бұрын
Nanyi mnataka muwe omba omba Ngojeni Aondoke huyo muone habari yake kuendesha timu si Maneno tu
@user-ex9xv4bl7u
@user-ex9xv4bl7u 2 ай бұрын
Nimemwelewa sana jamaa
@michaeljames403
@michaeljames403 2 ай бұрын
Mo always the hello. Kama mnaweza rudisheni pesa ama la, mpeni team yake kwani tayr amemeet conditions za kununuwa club yenu kwa thamani mliyoweka ya 40b
@RolethaRevelian
@RolethaRevelian 2 ай бұрын
Kuna watu hum hawana nidham ukiwa huna chakuandika acha matusi Wakati hunalolote kisa Kuna na sim kubwa unakuwa kama huna akili . Hiki nikipindi Cha mpito Kila jambo linamwisho Simba itakuwa sawa Bayan na Man u hata wao wamepoa Simba siyo ajabu kutokea hayo ila malekebisho ya ni muhim saana kwenye usajili na management kwa ujumla.
@abdallahmesso7732
@abdallahmesso7732 2 ай бұрын
Inauma kupokonywa Tonge tumieni busara muondoke Acheni habari zenu.aiwaelewi maana hiyo taarifa yenu mlipaswa kuitoa tabla ya hili sakata.kwa sasa mmechelewaaaa
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 2 ай бұрын
Mimi namshauri MO aachane na Simba. Awarudishie timu yao ili watafute mdhamini mwingine au wachqngishane wenyewe wasajiri vizuri wachezaji wanaowataka wapambabe na Yanga ambayo GSM, Kikwete na Ridhiwani wanaishamini😂😂😂
@AfzalShah-gp5oj
@AfzalShah-gp5oj 2 ай бұрын
Timu inachukuliwa na gsm Simba itakuwa tawi la yanga
@allygoodboytzsdoneintanzan3970
@allygoodboytzsdoneintanzan3970 2 ай бұрын
kweli kaka
@user-pf6yw7vh1p
@user-pf6yw7vh1p 2 ай бұрын
hasara zake Mo atalipwa na nani acheni ubabaifu Hamtaweza kuiendesha Simba na hata kama Mtapata muekezaji lkn atakua hana moyo kama Mo acheni ujinga yeye alitoa pesa bila kujali mchakato kumalizika au kutomalizika
@michaelamon2437
@michaelamon2437 2 ай бұрын
Kwani kipindi chote hicho mlikuwa wapi msiseme ndio mnakuja kusema leo 😅😅 na transformation inakaribia kukamilika hivyo, maana tujiandae kuuza timu moja kwa mojaaa yaani au chagua namna kulipa deni ambalo hujakusudia kukopa 😅😅😅
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 2 ай бұрын
Kwani wewe Simba unanufaika na NN? Zaidi ya FURAHA BAADA ya MAKOMBE. NARUDIA HAWA JAMAA NDIO WANATUKWAMISHA NA SIO MO
@SaraJinalangu
@SaraJinalangu 2 ай бұрын
Ila wazeee wa Simba waliliongea hili mapema Pamoja na mzee Kilomoni lkn mashabiki wakawaona njaa Leo Yale Yale Ya mbwa kumuita jibwa
@yustusmalende9263
@yustusmalende9263 2 ай бұрын
Safi sana huyo sasa ndio level ya eng hersi makolo huyu mtu msimuache hazina ya Taifa hii kumbe Watu mnao makolo toeni wazee mbaki na vijana hawa.
@moizjohnston3841
@moizjohnston3841 2 ай бұрын
Hii board ilipaswaa kutueleza wao walikua na mipango gani ambayo imekwamishwa na Mo?
@houmdmajid-ur9dp
@houmdmajid-ur9dp 2 ай бұрын
Nyote nyny tokeni hatuwataki wanafki t siku zote izo mulikwa wapi mpka yanafkia hy team inapotea washenzi nyii tokeni acheni ngazi hatuwatkiii
@shabanihamisi115
@shabanihamisi115 2 ай бұрын
Siwezi kutoa maoni yangu kwa sasa mpaka nisikie upande wa pili wa Mo mwenyewe. Kwani wakati anatoa hela na nyinyi mkipokea, kwanini hamkumhoji kuwa anawapa hela za nini?
@CareenJulias-iu7tf
@CareenJulias-iu7tf 2 ай бұрын
Wewe Ni usichezee akili za watu, hapo hakuna mantiki yoyote ukilinganisha na Hali ya wakati uliopo sasa. Je, NYIE Kama wajumbe wa bodi mlichukua hatua gani kutoka nje na kuwaeleza Watanzania Hadi Hali inakuwa Kama hivi ilivyo? Kwani Mo. anakosa gani kutoa hiyo hela? Na hata Kama anaiomba Ni halali yake kosa liko kwenu. Basi mtuambie vyanzo vyenu vya kuiendesha club vilikuwa Ni vipi tofauti na hela ya Mo. NYIE wote Ni wapiga dili tu wazuri. Mwondoke bana Mnazidi kutuchafua tu. HAKUNA LOLOTE NYIE.
@user-mg1yl2rl8s
@user-mg1yl2rl8s 2 ай бұрын
Sasa watu kama hawa wenye madini na nondo za kutosha ndo wawe wanaongea sasa yaani anaeleweka mpaka basi sio mashabiki mbumbumbu wale oya oyah kina gb sijuwi 4 yaani utumbo na uharo mtupu..utamkuta mishipa imemtoka kama anajisaidia mapera.....anapiga makelele hata anachoongea hakieleweki yaani kila akiongea yeye ni historia tuuu sijuwi nani kamfunga yupi mara Manara angekuwepo sijuwi ingekuaje mara viongozi wajiuzuru yaani kama wehu vile😏
@BakariHassani-wr4hj
@BakariHassani-wr4hj 2 ай бұрын
Kabla mashabiki hasira hazijapanda mnatakiwa muondoke kabla hatujafanya maamuzi magumu sana nyie ndiyo mnao iharibu Simba 🦁 simuondoke mbona Ving,Ang,anizi mjue mnatupandisha hasira
@CareenJulias-iu7tf
@CareenJulias-iu7tf 2 ай бұрын
Kamilisheni utaratibu wote wa kumkabidhi Mo. timu halafu ndo mtueleze makosa yake, Mo. hana baya lolote. NYIE wote Ni wakutoa wote.
@user-ex9xv4bl7u
@user-ex9xv4bl7u 2 ай бұрын
Wanasimba wengi Mo anatwaminisha kuwa ni bora lkn msikilize vizur huyu jamaa ana point sana
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 2 ай бұрын
Ana hela huyu unamsikiliza maskini we vipi
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 2 ай бұрын
Viongozi wa bodi mipango sahihi washabiki ushindi mo achukue timu mangungu naye mseveni bila mtutu hatoki
@user-ob8ez6kw6q
@user-ob8ez6kw6q 2 ай бұрын
Namkumbuka hamisi kigwalala ujue lile jamaa ubongo wake zahabu nakumbuka aliposema mo hafai kua kiongozi wa mpira sababu yeye ndo chanzo cha migogoro watu wakapiga makelele Kigwangalla mamluki, leo yanawakuta miwani kama fundi saa
@mohammedhimba1647
@mohammedhimba1647 2 ай бұрын
Huyu jamaaa Wanasimba mumuunge mkono Mo ni tapeli
@robertphilip385
@robertphilip385 2 ай бұрын
Siyo tapeli tu Mo nijambazi
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 2 ай бұрын
ACHE KUJICHANGANYA .. HAWA JAMAA WAONGO WAMESHINDWA KAZI SAHIVI WANATAKA KUJIFANYA HAWAHUSIKI. MO AMEJITENGA NA SIMBA BAADA YA HAWA JAMAA KUMUKWAMISHA KWENYE UWEKEZAJI
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 2 ай бұрын
HEMBU JIFIKIRIE ANAYEIUWA SIMBA NI MO AU NIHAWAJAMAAA?.
@ChiefMsenya
@ChiefMsenya 2 ай бұрын
Mbona jamaa kaongea vizuri Sana,mo anataka Ela alizotoa zote ndo ziwe mtaji,hivi hapo tunashindwa kuelewa nani ni tatizo
@BilaliBilaliamri
@BilaliBilaliamri 2 ай бұрын
Uyu jamani watu wanampuiza ila ndo mtu alieweka wazi kuliko mjumbe yoyote .
@rubensamson8681
@rubensamson8681 2 ай бұрын
Sasa Hawa ndio waliokuwa wanaikwamisha Simba japo wapo sahihi ila hii vita ya wenyewe kwa wenyewe ndio tatizo kubwa ndani ya Simba haikuwa mbovu kama inavyozungumza
@marokazungu3165
@marokazungu3165 2 ай бұрын
Sis tunataka ushindi
@Frolianagabito3000
@Frolianagabito3000 2 ай бұрын
Nyie walala hoi njaa zinawasumbua😅😅
@novartusmushi6572
@novartusmushi6572 2 ай бұрын
Usajili mlikuwa mnapata wapi ela za kusajili
@musalucas3490
@musalucas3490 2 ай бұрын
Tutoleeni ujinga wenu mbona mwanzo mlikuwa mnamsifia MO saivi mmekuja nahoja za hovyo mtuachie timu
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 2 ай бұрын
Wameminywa sehemu ya mapato wanasimba hawa ndo walikuwa wanaikwamisha simba
@OmarMwamlongo
@OmarMwamlongo 2 ай бұрын
Ww mm nakuina mpuuzi tu unaleta usaliti kwenye leongo lenye tijaa
@AbduAlly-bt2vi
@AbduAlly-bt2vi 2 ай бұрын
Huyu jamaa anaupeo sana anakifaam anachokizungumza elimu muhimu sana
@frankmwinuka3413
@frankmwinuka3413 2 ай бұрын
Sasa miaka yote hii mmeshindwa kukamilisha mabadiliko, Yanga wemekuja nyuma wamekamilisha mnafanya nini? Kipindi hiki ni kipindi cha usajiri. Ilikuwa ni muda mzuri wa kujipanga kwa msimu ujao. Timu ikifanya vibaya sijui kama mtabaki
@andreamwaikena9588
@andreamwaikena9588 2 ай бұрын
Sasa nyie wa asilimia 51 miaka minne yote mmetoa bilioni ngapi au ni kelele hii timu muachieni mo
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 2 ай бұрын
YANI HAWA JAMAA NI WAJINGA SANA
@mckobatz5861
@mckobatz5861 2 ай бұрын
Halafu kajamaa kanafanana na Ali kamwe kiaina kwenye uongeaji
@monifrank347
@monifrank347 2 ай бұрын
Ukimuona mtu anakuja na makaratasi ujue huyo kanjanja 😂
@emanuelkilinga9196
@emanuelkilinga9196 2 ай бұрын
Cpa msomi, usimamie simba nakuelewa vizuri
@williamreuben4866
@williamreuben4866 2 ай бұрын
Shida sio uelewa,shida wangapi wanamuelewa
@OmaryJuma-ss1ks
@OmaryJuma-ss1ks 2 ай бұрын
Namwelewa vizuri ila walikuwa wapi kwenye maslahi ya Simba yetu mpaka inayumba hivyo Kwa ajili ya MO,tunanyasika sana
@user-rg4vd9fu8s
@user-rg4vd9fu8s 2 ай бұрын
Kinachotakiwa nyinyi nikuiacha Simba na sio porojo mo katoa bilion3 mmemsajili nani? Mmekula hela y usajili sas inawatokea puan kenge maji
@simonzelote5998
@simonzelote5998 2 ай бұрын
Mimi naona Kama Ni hivi mo try again mangungu waachie timu Hali ya Simba mpaka hapo Ni mbaya na inaonyesha mo Hana uchungu na club
@aliceniyungeko2279
@aliceniyungeko2279 2 ай бұрын
Mooh nitapeli nawashukuru kuona mumesima kiume mungayataja kwa mihemko team ingesambaratika hata nafasi ya 3 usingekuwepo wajinga wasio elewa hao waswahili fujo tu mitaani wanachama wanamuakopa Moo ndio maana hawamusemi naye ndio chanzo yote tisa kumi wanachama cangieni team aceni maneno
@jamesmartin7026
@jamesmartin7026 2 ай бұрын
Mbona hamumuulizi huyo muwekezaji tapeli alikuwa wapi mnawauliza hawa wajumbe tu
@egbertruhasha6841
@egbertruhasha6841 2 ай бұрын
Huyu jamaa mnaweza msimwelewe ila kuna point ktk Yale anayoyaongea
@ezzepuritykamwene2121
@ezzepuritykamwene2121 2 ай бұрын
Kupitia hizi clip hta wachezaji wazuri hawawezi kukubali kuja kuchezea tim yenye karba hii,hapa tunazd kuiua simba
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 2 ай бұрын
Shida ni matokeo mabaya. Wangekuwa vizuri tusingeyasikia
@sarahmathias3518
@sarahmathias3518 2 ай бұрын
Huyu jamaa analeta siasa kwenye simba.alikuwa wp kubwabwaja hv!!!????
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p 2 ай бұрын
Motapel yuko kibiashara zaid
@geofreymongi5403
@geofreymongi5403 2 ай бұрын
Siyo tapeli ila anacheza kwenye eneo lake wanachama ndio hawajitambui
@mwitajohn4882
@mwitajohn4882 2 ай бұрын
Kumbe mo mjanja,alijua kuna wajanja humo ndo maana akatoka inje ya nchi,hayo yote mbona haukuyasema kabla ya kujisuru
@sarahmathias3518
@sarahmathias3518 2 ай бұрын
Mlikuwa wapi kuweka wazi hayo mda?mmeona kitumbua kimeingia mchanga ndo mnabwabwaja.
@jamesmartin7026
@jamesmartin7026 2 ай бұрын
Mbona humuulizi Mo alikuwa wapi
@user-hf1yo9yv3n
@user-hf1yo9yv3n 2 ай бұрын
nafikili mo anashida sana lakin mlikuwa wapi kuzungumza aya mapema mpaka mgogolo utokee ndo mseme
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 2 ай бұрын
Unahitaji kuwa mjinga kuwa mjumbe wa body nyie wote wahuni tu. Mnapaswa kujiuzuru kwanza kwani mmefeli kuisaidia timu.
@AbeidyMashamba
@AbeidyMashamba 2 ай бұрын
Wew nawe nitapeli kingwangala alisema aliyaona haya wew ulikuwa wapi nawew nimpgaji umekosa chajuu tu ndo maana umetoka kutuaminisha hatukuamini
@user-tg7vq3ty8p
@user-tg7vq3ty8p 2 ай бұрын
CPA KATAFUTE KAZI USIKALIE KULABILALABILA WENYE TIMU HAWAKUTAKI
@nshaijatedy5512
@nshaijatedy5512 2 ай бұрын
Nyote mmeusika kuiumza Tim mnaongea haya kwakua mmeambiwa mjiuzuri mtoke mlizokula zinawatosha, mgekua waungwana mgeongea kipnd Tim inafanya vibaya mdaule tungekua mnauchung na Tim ila mmeona upepo umebadilka mnaaza kuongea hayo mlikua wap
@bedomgwalupogo2652
@bedomgwalupogo2652 2 ай бұрын
Wabongo sisi ni tukuwa wabinafsi bila kujali maslahi ya jumla.... wajumbe bila kujali mafanikio ya timu, tunajali maslahi ya timu yenu
@omaryh.mohamed4480
@omaryh.mohamed4480 2 ай бұрын
YANGA BINGWA TENA NA TENA NA TENA, MUHINDI NA MPIRA WAPI NA WAPI, . ?
@user-tg7vq3ty8p
@user-tg7vq3ty8p 2 ай бұрын
CPA MBONA HUSEMI NI NANI ALIWAKASIMISHA HUO UONGOZI WA HIYO BODI. SASA WENYE HISA 51,000 (WANACHAMA) KWENYE HIYO KAMPUNI HAWAWATAKENI.MUONDOKE. HIVI CPA ANAKOSAGA KAZI NCHI HII?
@ObedMoreli-qt3bj
@ObedMoreli-qt3bj 2 ай бұрын
Mlikua wap siku zote mpaka tim inafanya vibaya acheni maneno yenu ya kihuni hayo
@user-xr2rp2vx4g
@user-xr2rp2vx4g 2 ай бұрын
Aisee kuna sheeda Unyamani,embu wekeni mambo sawa
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 2 ай бұрын
Wewe ni msomi mjinga leo ndo unakuja kuzungumza mlikuwa wapi wakati wote huo. Elimu yako haisaidii timu.
@patrickkilongo3214
@patrickkilongo3214 2 ай бұрын
Moo alisema Kuna watu wanao chelewesha mchakato na ipo siku atawataja 😂😂,,,, sasa wamejitokeza ndio hawa wana 😂😂
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 2 ай бұрын
Wamedanganywa ndo waanguke vizuri nipo palee
@BakariHamisi-ke6zv
@BakariHamisi-ke6zv 2 ай бұрын
Kwani siku zote mlikua wapi
@GavyoleJonas
@GavyoleJonas 2 ай бұрын
Mbona huongelei hela zinazotolewa na nyie wa upande wa wanachama ni kiasi gani? Na zimeisaidiaje club? Acheni ujinga wa kutengeneza migogoro kwenye club,muda wote mlikuwaga wapi? Mlipoambiwa mjihuzulu ndo mnasema muonekane wa maana acheni,
@modestussanga7610
@modestussanga7610 2 ай бұрын
All days kwanini hamkusema ,na kama mliona hamfiki makubaliano watu wenye busara mngeachia ngazi mapema kulinda professional zenu
@lucasshirima2880
@lucasshirima2880 2 ай бұрын
Huyu Masoud jeuri kaitoa wapi hana hata hofu....khaaaa...
@karimambosanga4290
@karimambosanga4290 2 ай бұрын
Ajabu sana mtu mwenye heshima yake kama MO anaendesha mambo kijanja jana halafu hii mpaka lini?
@user-yz6ds9hn9l
@user-yz6ds9hn9l 2 ай бұрын
Wewe cp itakupata aibu umesoma sana, unakubali vipi kulubuniwa na msenge injini kufirwa mpaka unachanganyikiwa, hatukutaki hatukutaki wewe na machawa wenzako ukimaliza kubwabwaja ondoka ondoka
@dicksondkaganga1290
@dicksondkaganga1290 2 ай бұрын
Very smart!
@gaudencehaule7398
@gaudencehaule7398 2 ай бұрын
Swali la kujiuzila hawa wajumbe sku zote walikua wapi?? Kwann walikua kmya MO Sawa amekua anatoa pesa, wao wamechangia nn?? Upande wa wanachama na mashabk hadi leo tumechangia nini
@patricklaiton8939
@patricklaiton8939 2 ай бұрын
MAMA SAMIA MTEUE HUYU JAMAA ANAFAFAA KUWA KATIBU MKUU
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 2 ай бұрын
Kwani ndio hao wa board mlikuwa wapi timu imevurundà ndio mnajitokeza kusema
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 2 ай бұрын
Ondokoni wanachama hahataki simba siyo ya kufungwa na timu yoyote hapa tz goli 5 hakuna hili
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp 2 ай бұрын
Nyinyi ni wahuni hatuwa taki acha siasa nyinyi ndio muna ihalibu kilabu mulikuwa wapi muda wote tokeni nyinyi mko hapo kwajili ya masilai
@joelmichael9752
@joelmichael9752 2 ай бұрын
Waandishi ni wachonganishi tu,mmetumwa au?
@CharlesAlly-jp1ms
@CharlesAlly-jp1ms 2 ай бұрын
Kwa nini hiyo mikataba isiandikwe kwa kiswahili wanachama wengi siyo wasomi ndiyo maana wanaburuzwa hawana wanachoelewa
@janefadhili8384
@janefadhili8384 2 ай бұрын
Huyu jamaa mbona alipokuwa ktk madaraka hakuwa anayasema haya watu wanalalamika walikuwa kimya sasa wameona mo kawaondoa wanaleta majungu na unafiki hapa wanataka tuwasikilize na kuwaonga mkono hilo jambo haliwezekani ondokeni ninyi ndiyo mlisababisha tufungwa tano (5) natumeshuka mpaka nafasi yatatu (3) halafu mnataka tumchukie Mo? kwanini msiwajibike bila ya kelele?mkumbuke yeye ndiye aliye waweka halafu mkamlia hela mnatuletea wachezaji madunduka tunapata aibu ondokeni na unafiki wenu Mo miaka minne (4) tumechukuwa mfululizo Mo ametuwezesha kujilikana Afrika leo simba ni ya Tano kimataifa, na wewe Try Again achiya ngazi sisi hatukuamini tena kwani hujui kusimamia umeshindwa msituharibie simba yetu waachieni wengine wanaoweza na wewe kingwangwala tunajua ugomvi wana na chuki zako kwa muwekezaji tulia tuachie simba yetu
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 2 ай бұрын
Wanafiki tokeni wote mlikuwa wapi
@omarymtotela3751
@omarymtotela3751 2 ай бұрын
Ujielewi
@MaguguStore
@MaguguStore 2 ай бұрын
Yaaan simba mnaenda kuiyanika kwa watu na kibali cha kwenda kwenye media kutoa mikataba ya simba mmepata wapi?
@rigobertdimoso6637
@rigobertdimoso6637 2 ай бұрын
Tafuteni kazi nyingine..nyie hatuwataki
@JundikiFoodproduction
@JundikiFoodproduction 2 ай бұрын
kwani wakati mnapokea pesa hamkujua hizo habari hizo kuwa kuna muda mtabanwa
@alexmwandagane9858
@alexmwandagane9858 2 ай бұрын
Mo mpigaji tu apo ikiwezekana atoke,namangungu anakaz gan apo
@simoncmatanda5135
@simoncmatanda5135 2 ай бұрын
? Wanafiki hawa , wanatoka leo walikuwa wapi mwanzoni,,,
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 2 ай бұрын
Mo ni TAJIRI lakini ni TAPELI tusipokuwa Makini ataichukua Simba Mazima
@karimally8716
@karimally8716 2 ай бұрын
Mlikuwa wapi mpaka leo
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 2 ай бұрын
Nyie wote wapumbavu mnaona mnakalibia kutumbuliwa ndo mnajitokeza na hoja zenu hizo mlikuwa wapi kuhoji mapema. Ondokeni kwanza. Walafi nyie.
@jamesmartin7026
@jamesmartin7026 2 ай бұрын
Anachosema huyu bwana yuko sahihi. Ni sawa na mtu awe anakusaidia halafu baadae anakugeuka, anakwambia zile pesa nilizokupa sasa nataka yawe malipo ya kununua nyumba yako! 😂
@user-nz5fm9gz8d
@user-nz5fm9gz8d 2 ай бұрын
Acheni aweke Hela jihudhuruni mnang'ang'ania kwann?hayo mnayaweka tu mbwa nyie,
@HassanomariEmanuel
@HassanomariEmanuel Ай бұрын
Ww Malaya watafuta bwana mkundu unawasha bloo alaf Kam co shoga bahat
@mkubwakasim1470
@mkubwakasim1470 2 ай бұрын
Ni kufuatilia maoni ya washabiki wengi hapa kama hawaelewi anacho ongea huyu
@fatumasaid558
@fatumasaid558 2 ай бұрын
Jaman kutafutwe mtu apewe hizo bilion 20 mo atuachie timu kila siku kunatokea jambo jipya
@juliusmsegu3347
@juliusmsegu3347 2 ай бұрын
Cha kwanza hawa wote waondoke sababu wameifelisha simba kwa misimu mitatu mfululizo uje uongozi mwingine watakaokua na uwezo wa kushughulika na matatizo ya muwekezaji mapema zaidi ii kuepusha hasara na fedhea ya team kushuka viwango vya mpira na hivo kushusha hadhi ya kibiashara ya club. Wangekua ni viongozi bora wasingesubiri mpaka misimu mitatu team imepuyanga ndio wanakuja na lawama za kipumbavu. Ni wajinga pekee ndio wataona huy jamaa ana akili lakini kwa mtu makino utagundua kua hapo hayupo kwaajili ya simba bali anatetea nafasi yake ya uoungozi baaada ya kelele nyingi za kua viongozi wajiuzulu. Hata kama team ingekua haina mgongano wa kimamslahi kati ya muwekezaj na team lakini kwa kitendo tu cha kuporomoka kwa ubora kw a miaka mitatu viongozi wote walitakiwa kuwajibika kwa kujiuzuru nafasi zao kwa kushindwa kuiongoza club viizuri katika misimu mitatu mfululizo.
@salummakadi311
@salummakadi311 2 ай бұрын
Mlikuwa wapi muda wore hayo msiyaseme?kwakuwa mmeambiwa mjiuzulu Hanna uwezo wa kuongoza Simba nyie ni wajaza tumbo mnammaliza no kwa tamaa zenu achieni ngazi beans wapi wenye uwezo kuliko wewe Kama kweli uliyaona hayo toka mwaka juzi ilipo Anza kukosa ubigwa na makombe mwengine achieni ngazi walaji nyie
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 2 ай бұрын
Simba hatuna imani na bodi hii ni mamluki. Mjiuzuru kwanza.
@user-ex9xv4bl7u
@user-ex9xv4bl7u 2 ай бұрын
Mo ni tapeli sasa matangazo yake pale yalikuwa yanafanya nn kama alikuwa hajaweka mtaji
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 19 МЛН
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,4 МЛН
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 24 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 7 МЛН
Mangungu Awataja Wasaliti Wa Simba | Alikana Tawi la VIP
15:52
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 65 М.
MZEE KILOMONI AIBUKA, AWAJIBU SIMBA HADHARANI "MNAROPOKA TU"
28:56
Global TV Online
Рет қаралды 55 М.
"ACHA CHOKO CHOKO, MIMI NAKOSA BILION 20?"- MO DEWJI
4:42
Millard Ayo
Рет қаралды 294 М.
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 19 МЛН