Wakazi is the realest .... sema wabongo hatuoni mabadiliko kwa jicho la tatu, nje ya box wabongo fikra sio pevu kbs ... mtu kama wakazi ni lulu, experiences knowledge skills zimejaa ila wabongo haoni hcho!
@kwisa4899 Жыл бұрын
kabisa wakazi yupo vizuri sana,Tatizo ana deal na industry ya watu ambao awajaenda shule na ni maskini wa fikra na material.
@frankjoseph2984 Жыл бұрын
Yeah so realistic speech, Only wise minds with deep thoughts will understand.