Wakazi wavamia kituo cha polisi cha Gachocho Murang'a

  Рет қаралды 21,893

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Hali ya taharuki imetanda katika eneo la Kigumo kaunti ya Muranga baada ya wakazi kuvamia kituo cha polisi cha Gachocho na kumuua mshukiwa wa mauaji aliyekuwa akizuiliwa na polisi. Wakazi wa eneo hilo waliojawa na ghadhabu waliwashinda nguvu polisi waliojaribu kuwatawanya kwa kutumia vitoa machozi kabla ya kuingia ndani na kumuua richard maina anayedaiwa kuhusika na mauaji ya nduguye

Пікірлер: 46
How El Salvador Destroyed Their Brutal Gangs Changes Everything!
26:48
Crime Dynasty
Рет қаралды 6 МЛН
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН
All Battles from - Storm Gate - (Military dir. Andrey Malyukov 2006)
33:19
ThundeRMomenTWar
Рет қаралды 1,3 МЛН
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Cinewatch
Рет қаралды 72 МЛН
Jicho Pevu yaangazia saa kumi na mbili za mwisho za mwendazake Jacob Juma
36:26
7 Signs That Someone Dislikes You and is Hiding it | STOIC PHILOSOPHY
27:50
Koox loo diyaarinayey inay Falal argagixisanimo ka geeystaan Goballada Woqooyi ee Somalia.
26:31
Ndoto ya mkazi yaelekeza kugunduliwa kwa maiti eneo la Kware, Nairobi
4:43
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 7 МЛН
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН