Mbona iko wazi tanzania ili upate haki mpaka upigane na kama unakula na kulala bure lazima unipinge ila kama ni mpambanaji lazima ugonge like hapo chini
@evancykashaga6576Ай бұрын
Ila kwakweli mpaka apo inasikitisha sana ivi mtu mwenye dola majeshi mnawezaje kuwaogopa watu wasio na dolo mbona inashangaza jamani
@owenbonfanceАй бұрын
ahsanten mawakili kwa kupambania haki za watu mungu atawalipa
@NikasiMbuyaАй бұрын
Mungu tusaidie watanzania tunaongozwa na watu wabaya
@GervassNjauАй бұрын
Tuache uwonevu Kuna dada amekamatwa akifanya maombi amefanya kosa gan Kama siyo uwonevu
@abuumuhammad7133Ай бұрын
Alikuwa anataka kuandamana alivyotaka kutiwa mkononi akajifanya anatoa maombi sasa wacha akatoe maombi kituoni luck up itakuwa bora zaidi
@HassanWasiwasi-lq1khАй бұрын
Acha kudhalilisha jina ulilopewa na wazazi wako hivi unajua tafsiri na sheria ya maandamano? Siku yakikukuta haya yanayoendelea ndio zitakaa kichwani vizuri@@abuumuhammad7133
@zephaniasirikwa7495Ай бұрын
Mambo ya hovyo kuwahi kutokea.nguvu hizi hizi zitumike kuwakamata wasiojulikana!
@geofreybowden5477Ай бұрын
Viva chadema
@PaulSeme-vk1nvАй бұрын
Mwenyezi Mungu tuondolee mabalaa hayo Nchi itulie na watu waishi kama enzi hizo Nazozijua mimi DaresSalaam yetu Amen
@GervassNjauАй бұрын
Tunaomba mfatilie kwa kina wote haijalishi anayo cheo au la tunaomba
@NeemaElisante-zd2dtАй бұрын
Mwambieni Mungu amemkataa mama abduli Amekataliw na Mungu hataongoza kipindi kingine hata atumue nguvu nyingi vipi na watanzania watashangaa jinsi ukuu wa Mungu ulivyo na wote wanaotumia mabavu na kuteka sikieni sauti ya Mungu damu za ndugu zetu zinalia zimefika kwa Mungu hivyo laana iko juu yenu .. MUNGU AMEMKATAA SIKIENI HATAKUA RAIS
@walidmgonja3644Ай бұрын
@NeemaElisante-zd2dt Wewe ni taahira kweli uliyeingiwa na roho mtakavitu, biashara ya kujiuza imekushinda sasa unataka uingie kwenye maandamano,unadai nini?
@HassanKibwana-h3wАй бұрын
Ipo siku mungu atatenda Tanzania yawote madalaka yanamwisho wake
@saidmc8206Ай бұрын
Vipi sasa mambo magumu, walianza kwenye Bandari kidogo kidogo sasa wanataka kuja mwilini 😂😅
@alimomade2712Ай бұрын
Mafala
@DENISURIO-r3vАй бұрын
Kila goti litapigw mungu tusaidie tumeshindwa wewe ni mtetezi wetu😢😢
@AdamMohamed-i1eАй бұрын
Hakuna nchi hapa ni utopolo tu kazi ni kusifiwa tu kwenye mabango sifa za kinafki
@billgussy6099Ай бұрын
Ili samia aweze kuuza bandari na mbuga zote za wanyama lazima wakamate wanao pinga ili wauze bila kupingwa
@walidmgonja3644Ай бұрын
We nadhani hata hujui kinachozungumzwa na haya ndiyo matokeo ya kuishia darasa lapili
@MiriamAziz-z5tАй бұрын
MWENYEZI MUNGU MTUKUFU WABARIKI MAWAKILI WAZALENDO WA KWELI WA NCHI YETU.
@barakanatus5676Ай бұрын
HAWA NDO MAWAKILI SASA WENGINE NI NJAA TU
@Lundege_HipsАй бұрын
HAPA NDIO TUINGIE AKILI TUIKATAE CCM KATIKA MASANDUKU YA KURA
@thomaszacharia6442Ай бұрын
Mmmh sanduku ni ngumu ndg
@MohamedKalatulaАй бұрын
Uonevu mtupuuu iposikutuuu
@HilaryKinyikaАй бұрын
Mbowe ni mwamba hakika kina Mungu ambaye Yu hai
@mirajially9178Ай бұрын
Au hawa mawakili wote n chadema je wanaweza kumtete mwanachama wa ccm
@cheiknamouna2058Ай бұрын
Kwanza tuache ushabiki hivi kwenda kumkamata mtu hadi nyumban,mwingine kafatwa kanisani,mwingine kafatwa hotelin hilo swala kisheria limekaaje kuwakamata tu kila siku kama sererkali haitambui upinzan ingekataa ibaki ccm yao wenyewe
@andrewIzdory-sk4cuАй бұрын
Mi ni mwana ccm ila kwa hili na mengine yanayoendelea nimeanza kuichukia ccm na serikali yake.
@jafarieliyakim6Ай бұрын
Jama alikua anapita nakabaskeli kake wamepita naye pale boma duh huu mcheso hauhitaji hasila😀😀😀
@eliasmedutieki7578Ай бұрын
Michango kwa ajili ya kuendesha kesi tupo tayari
@ramzsule7678Ай бұрын
Mtihani huo Kwa wenye mamlaka Mimi langu jicho
@HassanWasiwasi-lq1khАй бұрын
Tukio la leo limeonyesha ni jinsi gani uelewa wa siasa na mambo ya nchi ulivyomdogo kwa vijana wetu, Ila naamini tutafika.
@GideonLenardАй бұрын
Tanzania imekwisha
@DaudSuday-v5cАй бұрын
Hakuna watu wanafiki kama polis wanasema kunaviachilia vauvunjifu waanani huyo ntelejesi yao isizuiye watu wanatekwa wanauwawa wapo wapi kuzuiya huyo intelejesi ipo upizani tu
@SaidyAhmedyАй бұрын
Mbona tu serikali isielewe kwamba wananchi wake wanataka nini?
@HilaryKinyikaАй бұрын
CCM mbona mnamwogopa mbowe
@salumbujjo2320Ай бұрын
Nchi ya hovyo sana wanapambana na upinzani badala ya kusimamia haki .
@stephanokayega2792Ай бұрын
.
@fauzseif7344Ай бұрын
Mnatetea wahalifu ujinga huo
@ryobanchagwa2499Ай бұрын
KUNA DADA AMEKAMATWA AKIFANYA MAOMBI NAOMBA ATOKE
@walidmgonja3644Ай бұрын
Unamuomba nani humu mtandaoni?
@RamadhaniKitala-gx6wcАй бұрын
Yaan ile imeniuma sana wallah
@nikodemmwahangila3334Ай бұрын
Mnamkolofisha mama wenyewe Mungu ibariki Tanzania
@KisinzaNewtonАй бұрын
Mbona unakuwa mpumbavu?
@justardzelphine6526Ай бұрын
Jinsi watu wanavyouliwa unaona hawastahili kuishi?
Kwani maandamano ni haramu nchini Tanzania?Mbona polisi wanayachukulikuwa ni kitu kibaya sana.Yafuteni kwenye katiba.
@cyprianpetetmbonde6374Ай бұрын
Kwa hiyo ile katuni ya masoud kipanya ya kipindi kile,, na alivyosema ATL kwamba tuache hushangilia ni kweli!
@emanuelurio-ok8ylАй бұрын
Ukijiondos ubinadamu unafanya mambo ya ajabu sana
@KenedyThabitiАй бұрын
Lete ushaidi kama Kaiba kura unaongea kama mlevi
@golden_ThinkerzАй бұрын
Tanzania Nchi Ya Kijinga Sana
@mirajially9178Ай бұрын
Hawa mawakili mbona wako kichama zaidi kuliko kazi yao
@Dd-mu4fjАй бұрын
Mhhh
@christophermarwa1538Ай бұрын
Nyie ndio mnaoongeza idadi ya watu wa hovyo nchini. Yaani machawa mmekuwa ni wengi kuliko watu.
@kasumnirashidi1468Ай бұрын
Shame on them
@clemencemkondya8561Ай бұрын
Hamna kazi yakufanya ninyi mawakili .mmepata kazi yakufanya sasa mnajifanya mnalalamika uwongo
@issakazi2758Ай бұрын
Hawa vichaa wapo Kwa kuwatetea viongozi wa genge la magaidi
@KisinzaNewtonАй бұрын
Uongo up mshenzi wewe?
@GodfreyOswardАй бұрын
Clemence na wengine. Bible inasema moto ukikosa mchochezi wa Kuni uzimika, na fitina ikikosa mchongezi nayo ukoma. Mchongezi halisi ni nani? Mfitini halisi ni nani?. Kama hatuondoi tatizo halisi. Haya mambo yanaweza kufikia ngazi ndogo ya maisha ya Jamii. Hata hivyo tunashukuru sana Raia ni wavumilivu sana. Mfano watoto wakipotea na kufa Jamii inaghafirika. Tukubaliane kupambana na hili tatizo. Uone kama hao Chadema kuna mtu atawashabikia. Yesu alisema mkiwazuia hawa mawe yatapiga kelele. Kilio cha watu kupotea kinapiga kelele kuliko tunavyo jipachika kumtetea kiongozi. Upendo upi kwake huku mauaji reja reja yakitia doa Dola na chama tawala . Dhamana ya CCM ni kulinda na kuhifadhi. Kama CCM imechoka kutawala itwambie wana CCM wake wa kawaida. Raia na wanachama hatupendi upuuzi huu. UTU na haki tangia huko mwanzo ni nguzo ya CCM na serikali zake. Hacheni upuuzi. Hapa mtaani CHADEMA na CCM na vyama vingine ni ndugu. Tunazikana , tunaona, tunasadiana. Wengine kama tumetoka Sayari nyingine?.
@taaonlinetv1820Ай бұрын
gaidi mama yako aliyekuleta dunian takataka kama wewe@@issakazi2758
@issakazi2758Ай бұрын
Tls wamo genge la wahuni
@ommaromary4828Ай бұрын
Haki haiombwi hupiganiwa msife moyo M/mungu ana waona waovu na wauwaji wakubwa madhulumati saana hawa Ma CCM
@GideonLenardАй бұрын
Kaka ni kweli kabisa tanzania iliupate haki mpaka upigane
@AlfanMwiruАй бұрын
Ila sheria ifuate mkondo maana wamezoea hao
@AndalileMwalubalileАй бұрын
Hiv kwa nn wapinzani wanakuwa sio waelewa wameambiwa kusiwepo maandamano 😂😂tumechoka nao
@TwahaSheheАй бұрын
Hayaja kukuta mbowe anashida gan ukiangalia anatetea hak za mtu Kama wewe usie jielewa
@walidmgonja3644Ай бұрын
@@TwahaShehe wewe ni choko kweli,hata hujui Mission ya mbowe unatumika tu kama mshumaa,wewe Mbowe anakujua?
@taaonlinetv1820Ай бұрын
we mjinga unatudharilisha sana watu mbeya pumbavu kabisa
@AndalileMwalubalileАй бұрын
@@taaonlinetv1820 hata utukane haisadii mm sio wa mbeya nipo tanga endelea kutukana nitamwomba mungu kusema watii maagizo ya mkuu wa nchi ni kosa Acha ushabiki
@MiriamAziz-z5tАй бұрын
NDUGU ANDALILE...KASOME KATIBA NA SHERIA ZA TANZANIA NA UMOJA WA MATAIFA....MAANDAMANO YA AMANI NI HALALI DUNIANI....SOMA UELIMIKE!
@saidmc8206Ай бұрын
Chadema na washirika wao walitaka kumpima Samia huyu si mwanamke tuu tena mzanzibari kama wanavyosema wenyewe (sio mtanganyika)😂😅😅
@philemonsnyanda9450Ай бұрын
Acha kushabikia ujinga maandamano ni haki ya kikatiba
@walidmgonja3644Ай бұрын
@@philemonsnyanda9450Sawa,kwanini hujajitokeza kuandamana kutumia haki yako kama wewe sio choko?
@AndalileMwalubalileАй бұрын
@@saidmc8206 sweka ndani
@chandechande9642Ай бұрын
yaani kwakua raisi ni mama munaoneshadhsrau dah aibu chadema
@philemonsnyanda9450Ай бұрын
Aibu kwako ndugu, kwani katiba inasemaje?
@walidmgonja3644Ай бұрын
@@philemonsnyanda9450mh!na wewe siku hizi unaijua katiba!kweli umeendelea
@KisinzaNewtonАй бұрын
Haujitambui
@RamadhaniKitala-gx6wcАй бұрын
Na wale waliotekwa kuuwawa au kubakwa hivyo vitendo waliofanyiwa kipindi gani familia zinaumia sana usuimba lilikute ndugu
@HanafiZayumbaАй бұрын
Wanatumwa na mashoga wasome alama za nyakati sela zadunia zimebadilika
@erasmuskwayu5643Ай бұрын
Kuna Mtu alishakulalamikia anealazimishwa kutoa Mkundu wake au wewe ulishawahi kulazimishwa kutoa Mkundu wako wakufirambe au una matatizo ya Akili 7:06
@issakazi2758Ай бұрын
Kwa hiyo mpo tayari kutetea wahaini wa nchi yetu?
@songombingo108Ай бұрын
Mpumbavu wewe. Hakuna kesi ya uhaini hapo.
@KisinzaNewtonАй бұрын
Nenda hospital ukapime
@saidmc8206Ай бұрын
Yule wengine eti mwambukusi kwani yeye ndio nani, mlifikiri yeye akiwa bosi TLS ndio mngefanya mtakavyo, kura zenyewe kaiba halafu eti anatetea haki 😂😅
@gililwiseАй бұрын
Akili za isosoro
@neemanziku5403Ай бұрын
Akili zako ziko miguuni
@songombingo108Ай бұрын
Heshimu Taaluma za watu
@NikasiMbuyaАй бұрын
Tulia tutakupigania
@maggiehiza5884Ай бұрын
Nchi hii ni shida tuu!!!
@NikasiMbuyaАй бұрын
Mungu tusaidie watanzania tunaongozwa na watu wabaya
@walidmgonja3644Ай бұрын
@@NikasiMbuya nenda Kenya,kunguru wewe
@OscarGregorymoshaАй бұрын
@@walidmgonja3644ikiwa unaweza kumuita kunguru mwanadamu mwenzio aliye umbwa kwa sura na mfano wamungu basi hata mungu umemtusi wewe ni mwamba kweli kweli hongera sana