❤Love u Viongozi w chadem hivyo n vitisho tu hukumu ya ccm iko kw Mungu😅
@bernadetamushiАй бұрын
Asante wakili Mungu akulinde sana
@dorcasmruma9001Ай бұрын
Tanzania nchi yangu 😢😢😢😢
@MzeewaslowHusseinAndrewАй бұрын
Viongozi wa ccm na viongozi wa nchi watahukumiwa na mkono wa mwenyezi Mungu tuseme amen kunaposoma coment hii mwenyezi Mungu atende kwa wakati kwa uonevu huu asikali wa TZ na viongozi wa nchi!!!!!!.
@dicksonEmillianАй бұрын
Sema ccm tunaipa kibur sisi wmenyewe watazania tumekuwa kama mazombi hivyo.
@bernadetamushiАй бұрын
Wateteze wa haki Mungu awakinde
@godwinnkya2023Ай бұрын
Mbowe,Lissu na Lema msiogope,simameni tu,mkauone wokovu wa Bwana,haki haizikwi!!!
@RajabuDangi-qv2uoАй бұрын
Kaka mungu akubariki sana
@prospermalala6636Ай бұрын
IQ kubwa sana ndani ya kichwa chenu
@JaphetMulunguАй бұрын
Haya ya usafifi ni ya kweri? Mbona kuzuwia madamano gari zilikua nyingi?
@merrynancesimon1562Ай бұрын
Daaha Tanzania 🇹🇿 please change please it’s sad kuona hamtendi haki 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@bernadetamushiАй бұрын
Wapinzani wanateswa sana
@OmanIbri-hj8ssАй бұрын
Ccm na serikali yke sjui wanafkiria nn juu y hii nchi
@BarakaSimon-xy9mpАй бұрын
Kuna watu hawajawah kwenda Nyumba za ibada... Ila mate do yao yanathawabu kubwa kwa mungu na watapata kibali... Hongera mawakili kwa kusimamia haki
@YohanaMwakajeАй бұрын
Viongoz wa ccm ni wahuni tu Sasamefaidika na nini police ndo watumwa wakwanza ktk nci hii
@RobertMagesa-g7qАй бұрын
Ukweli ,utawala uliopo hawajiamini..wanaona kuwatisha wapinzani kwa misuko sumo ndo dawa ,kaeni mtafakari mnachokifanya
@sadickissa1600Ай бұрын
Serekali haina dini,kwahiyo watawala wote hawana dini, sasa ndiyo nanayo jitokeza kutokua na dini,
@KawaduAmadaАй бұрын
Wanachadena atuchoki kutafuta haki
@aminahamad3428Ай бұрын
Aameen
@sadickissa1600Ай бұрын
Penye nia na njia ipo
@yohanamabula7088Ай бұрын
Mbowe mmoja police mia duh
@jamesmasome359Ай бұрын
Gaidi...
@MohamedKitenge-o9jАй бұрын
Kutakucha dalili ipo
@KhadijakassimMwaipayaАй бұрын
Hii dunia ya mwisho
@gerevasliyunga9831Ай бұрын
Ccm 4r iyoooo inafanya kaz 😢😢😢
@DominikiChristianАй бұрын
Tufute chama tuwache waende kula mihogo na chai
@DastanRiteАй бұрын
😂
@Jal210Ай бұрын
Acha ujinga wewe
@OdethaAndreaАй бұрын
Kila mtu anapambania ugari wake
@TonnyMamkweАй бұрын
Afadhali kunyamaza
@RobertMagesa-g7qАй бұрын
Ukweli ,utawala uliopo hawajiamini..wanaona kuwatisha wapinzani kwa misuko sumo ndo dawa ,kaeni mtafakari mnachokifanya