Mahojiano Maalum na Rais Samia: Mashtaka dhidi ya Mbowe hayajachochewa kisiasa

  Рет қаралды 415,727

BBC News Swahili

BBC News Swahili

Күн бұрын

Пікірлер: 504
@cathylove8534
@cathylove8534 Ай бұрын
Well done our President (Samia Suluhu Hasan), we are together with you Your Highness. Keep it up! Long Life Dr.Samia Long Life CCM.
@aishamsafiri8875
@aishamsafiri8875 Ай бұрын
hatukupendi
@karloladislaus45
@karloladislaus45 3 жыл бұрын
Mama haijui Marekani kabisa.Marekani kuna vurugu za kisiasa kila siku.
@paulmusa7987
@paulmusa7987 3 жыл бұрын
Sipendi na ninajisikia vibaya sana mama huyu kutumia mifano ya nchi za ulaya na marekani, hapa nchini hakuna vurugu yeyote sema kinachosumbua ni kwamba viongozi wa tz mna mambo yenu fulani fulani tu ambayo siyapendi ohooo!
@sauleetv3681
@sauleetv3681 3 жыл бұрын
Mwisho wa ubaya ni aibu Kama Leo mbowe ni gaidi mungu atakuona na usisahau hii kauli mbowe ni gaidi na ameujumu uchumi Sina la kusema zaidi ya shukrani #freembowewewesiogaidanimtuwawatu
@mohamedrashid4588
@mohamedrashid4588 3 жыл бұрын
Umeshalewa madaraka dada nakuonea huruma uislam unauweka pembeni angalia umat MUHAMAD miaka 63
@neemafrancis3968
@neemafrancis3968 3 жыл бұрын
Huyu baba nilikuwa namwamini Sana kwenye kazi yake lakini kwa hili alishaandaliwa na alishaambiwa usisubutu kuuliza maswali ya msingi, ila mungu yupo mama samia hii serekali unaikosea Sana mwachieni mbowe sio gaidi ishu ni kudai katiba tu
@innosentmdede6107
@innosentmdede6107 3 жыл бұрын
Umefeli sana mama
@salehmdumbwa6181
@salehmdumbwa6181 3 жыл бұрын
Sanaaaaaaaa
@rahmazahor4333
@rahmazahor4333 3 жыл бұрын
Kaza buti Madame President.....
@frankfrancis2195
@frankfrancis2195 3 жыл бұрын
Mungu tusaidiye 😭😭😭😭
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 3 жыл бұрын
Kinakuliza Nini Sasa mungu kashatusaidia rais kafa tumepita salama adi Sasa tunapambana kuijenga Nchi yetu.
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 жыл бұрын
"Wanaongea mpaka wanavuka mipaka saa ingine inabidi Kiongozi uvae ngozi ngumu....". Hongera Mh kwa kukiongezea kiswahili misamiati. Hakika kila mahojiano na hotuba zako walau kiswahili kina vuna kidogo kidogo.
@innocentmsoka3302
@innocentmsoka3302 3 жыл бұрын
Mungu atusaidie Bado Sanaa kupata ukombozi Mbinguni watafika wachache sanaa
@joshuaswai8203
@joshuaswai8203 3 жыл бұрын
Naichukia nchi yangu kwa sasa
@salehmdumbwa6181
@salehmdumbwa6181 3 жыл бұрын
Tupo pamoja Jeshi
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata Ай бұрын
Haupo mwenyewe tupo wengi ni Siri yetu tuu hatuna pakwenda tunge enda hata lebanoni IRAQ ama Yemeni na PALESTINA ila bongo duuuh tuna ishi kama mbwa hadi Ile Bora kuzaliwa 🐕 ulaya
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 3 жыл бұрын
Tozo mbona hujafanyia kazi?
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 3 жыл бұрын
Yaani tozo inatukera sana.
@siliakilojasi4388
@siliakilojasi4388 3 жыл бұрын
Amesema. Tumekubari tozo mama. Bhn.. anatisha
@doctorbadal1527
@doctorbadal1527 3 жыл бұрын
Short and clear. True briefly mama
@josephshuma1975
@josephshuma1975 3 жыл бұрын
BBC hujauliza maswali ya msingi au uliandaliwa? Mbowe kashikwa na makongamano yamezuiwa swali fujo imefanyika wapi au maandamano yalifanyika wapi?
@sauleetv3681
@sauleetv3681 3 жыл бұрын
Safi kabisa
@emmanuelchales3665
@emmanuelchales3665 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 28 күн бұрын
Sii unajua baba serikali na mama ni ccm Sasa hapa BBC lazima wampange uliza hivi acha hivi
@washngtonmbedz9137
@washngtonmbedz9137 3 жыл бұрын
Mama maisha yamekuwa magum sana Aisee.tuonee huruma vijana wako
@isayandrew9168
@isayandrew9168 3 жыл бұрын
Ukisema unamtanguliza mungu kwa kila jambo bas unapaswa uwe mkweli pia ila kwa ilipofikia tz bas mladi kunakucha tu kuhusu siasa labda mungu ashuke amuadabishe kila mmoja kwa maovu yake
@timothykifendi4928
@timothykifendi4928 3 жыл бұрын
Bado siasa za vyama vingi Tanzania hazieleweki,kama kiongozi mwenyewe hajui itakiaje kwa wananchi wa kawaida hasa wasio na uelewa mpana? Nchi zetu bado zina safari ndefu sana ya kutoka katika giza hili.
@fredernestonline6011
@fredernestonline6011 3 жыл бұрын
Siku hizi sijivunii kabisa kuwa mtanzania. Nachukia utawala huu usio haki kuliko sjui nn.
@abelianraphili5150
@abelianraphili5150 3 жыл бұрын
Ety.. sijivuniii kuwa mtanzania
@stanleykipingu228
@stanleykipingu228 3 жыл бұрын
Unajivunia kuwa nani?
@erickagwe8841
@erickagwe8841 3 жыл бұрын
Kama Mimi tu
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 3 жыл бұрын
Uchaguzi uliowaweka sure sahii
@mfalmesimba1154
@mfalmesimba1154 3 жыл бұрын
Kweli wewe ndio boya kabisa wewe unatakaje inaonekana we hata shule hujasoma vurugu zikitokea utafaidika nini.!?
@iam_masasila
@iam_masasila 3 жыл бұрын
Hii interview imeandaliwa hiii
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 Ай бұрын
Hahahaaaaa
@eliathomas8446
@eliathomas8446 3 жыл бұрын
Kujishushia heshima madam...
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 3 жыл бұрын
Mbowe kwangu si wa maana sana maana anamanufaa binafsi. Wewe Samia toa tozo za simu maana ni kandamizi kwa wanyonge
@lucassamwel5544
@lucassamwel5544 3 жыл бұрын
Mama lisu nafasi kwenye serikali yako ili tuone uwezo wake na yeye
@nasonimwasakujonga2038
@nasonimwasakujonga2038 3 жыл бұрын
@@lucassamwel5544 saw j
@salehmdumbwa6181
@salehmdumbwa6181 3 жыл бұрын
Mama tatizo huwa hatumii tigo pesa ndio maana yanamtoka tu
@madongojr6249
@madongojr6249 3 жыл бұрын
Yan mm saiv nikiiona bendera ya taifa najikuta moyo unauma nikiliona neno serikali presha inapanda najiuliza cjui leo watapitisha Sheria gani?
@scolarshija3215
@scolarshija3215 3 жыл бұрын
Mama tunakupenda.wasiokupenda shauli yao.wachimbe shimo watumbukie.
@neemajumanne9588
@neemajumanne9588 3 жыл бұрын
Wewe ni mama lazima ujuwe wajibu wa mama ,lakini weww unakubali watoto wako kuitwa gaidi hivi Tabzania kuna gaidi hii enakuingia vizuri kweli,,ila Mungu yupo na hili Analiona sana ,sasa muwe na hofu ya Mungu
@gracerosi6179
@gracerosi6179 3 жыл бұрын
Jambo kama nibaya kwako usimfanyie mwenzio
@korekalukumay7197
@korekalukumay7197 3 жыл бұрын
Katiba ya marekani ni clear tofauti na ya tanzania
@elianifaaluka4790
@elianifaaluka4790 3 жыл бұрын
Haki huinua Taifa bali dhambi ni aibu ya wote mbona tuzo haingelewi
@josenyambeo3587
@josenyambeo3587 3 жыл бұрын
Like uliza miaamala bwana
@pmctv787
@pmctv787 3 жыл бұрын
Daah tumekwishaaaa
@awadamu
@awadamu 3 жыл бұрын
Asante mama Samia Suluh Hasan M,Mungu akulinde na akupe Maisha marefu afya na akubari wewe na wako I love so much.
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist 3 жыл бұрын
sina furaha na tanzania
@godfreymbwambo4460
@godfreymbwambo4460 3 жыл бұрын
NENDA MSUMBIJI KWA ALSHABAB!
@jumamrisho143
@jumamrisho143 3 жыл бұрын
Unalinganisha malekani natanzania we unapenda kuig yanjee we kwer hakuna kitu
@kondeboykhaji1046
@kondeboykhaji1046 3 жыл бұрын
huyu mama nani arimpa hii nchi
@gadfadykivambe9934
@gadfadykivambe9934 3 жыл бұрын
Katiba
@mohamednteziryayo3127
@mohamednteziryayo3127 2 жыл бұрын
Uyuu Bibi muongo sana, ninashaka nahiyo hijdabu namuomba amwokope mwenyezi Mungu.
@mussanganda505
@mussanganda505 3 жыл бұрын
Kikeke na kaenda kuuza sura,ungeuliza ana mpango gani na tozo za miamara,
@sele2507
@sele2507 3 жыл бұрын
Ameuliza tafuta interview zote
@kisokimhagama9526
@kisokimhagama9526 3 жыл бұрын
Tanzania itajengwa na wa Tnzania. Majinga nyie.
@roseshayo9022
@roseshayo9022 3 жыл бұрын
Hongera kwa uthubutu , ila umeuliza maswali mepesi sana na ulivyokuwa unajibiwa hata kama unajua sio kweli hukuuliza tena.
@salehmdumbwa6181
@salehmdumbwa6181 3 жыл бұрын
Angeng'oka alishapangwa maswali ya kuuliza na asirudie viva magufuliiiiiiiiiii hakuna Kama mjomba
@dianjophfrey5389
@dianjophfrey5389 3 жыл бұрын
Mama tunaomba utusaisdie huku simanjiro maeneo yamsitu wa tembo barabara mbovu kabsa miondo mbinu sio tukumbuke na as mama yetu mlezi was tanzania
@abelianraphili5150
@abelianraphili5150 3 жыл бұрын
@@dianjophfrey5389 Hahahaha.. 😂😂😂😂.. OLE SENDEKA na kitambi yake Yuko wapi.. asije wasaidia
@geraldmarero3936
@geraldmarero3936 3 жыл бұрын
Mungu tulinde kwa changamoto hizi.
@isabellaipopo9165
@isabellaipopo9165 3 жыл бұрын
Safi sana mamaaaa mwenyezi Mungu akupe afya na ulinzi tele
@salehmdumbwa6181
@salehmdumbwa6181 3 жыл бұрын
Acha ujinga
@pienciafrancis3434
@pienciafrancis3434 3 жыл бұрын
Ongera mama kazi nzuri tunakupenda Sana mama yetu
@abelianraphili5150
@abelianraphili5150 3 жыл бұрын
Mmmh.. mbn hii hongera tuna wasiwas nae
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 3 жыл бұрын
Duuuh nchi imekodishwa unaburuza ulimi na maneno ya uongo
@joakimlotho6117
@joakimlotho6117 3 жыл бұрын
tatizo Tanzanian unakuka kiongoz mkubwa ni muongo sanaa
@the_white_43.
@the_white_43. 3 жыл бұрын
Hiz ndio tabu za kuongozwa na wezi wa kura
@hasankasam5576
@hasankasam5576 3 жыл бұрын
Mashallah mama allah akupe afya, imani, nguvu, hekma na uwezo inshallah utuongoze vizuri wtt wako katika njia ilionyoka..
@salehmdumbwa6181
@salehmdumbwa6181 3 жыл бұрын
Fala ww
@kaimuulongo868
@kaimuulongo868 3 жыл бұрын
Amna kitu hapa
@mbogosodebella8907
@mbogosodebella8907 3 жыл бұрын
Tozo ziko juu Sana, hivi mbona tulifanya maendeleo kipindi Cha jpm bila misaada Sasa huu utawala na misaada juu na tozo juu na mafuta juu , mbolea ya mkulima juu, jamani wananchi atutaki siasa tunataka haki.
@khadijachembela5946
@khadijachembela5946 3 жыл бұрын
Hivi unajuwa Kama ali ngumu lakini hata siku kusikia kwa nini mnapandisha vitu onyo hatusikii dah.
@sofiakhan9706
@sofiakhan9706 Ай бұрын
Kwahiyo hiyo mbolea au mafuta akiingia chadema vitakuwa bei poa ???maana hata ulaya mafuta bei juu sana ???na mbolea hawana shamba wanabarafu wanasema wataleta bure ??? Maana mama kasema karibu wawekezaji wataanza kuzalisha mbolea na tutapata kwa bei poa kwa sasa vinatoka nje sasa tukiandamana tutapata mafuta bei poa ?na mbolea au ????😅😅😅😅
@chiefzumo1688
@chiefzumo1688 3 жыл бұрын
Hatutaki vurugu za kisiasaa Sjui mumeelewaaaaaaaaaa
@ebraniacosmosy2072
@ebraniacosmosy2072 3 жыл бұрын
Mimi ni tozo tu,, kuhusu Mboe sina cha kupinga maana mboe siwezi mwamini ngoja tusubiri mahakama tu..
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 3 жыл бұрын
Mama Mimi naamia Burundi kama alivosema mwigulu nchemba so naenda kuwa mkimbizi Burundi
@pungopungo411
@pungopungo411 3 жыл бұрын
Mheshimiwa raisi uhuru wa habari sio kumtukana mtu hayo matusi yao ni kama chuki binafsi. Hata maskini asiejua leo nitakula nini huwezi kumtukana akakubali.ni lazima kieleweke kwamba kwa nini unanitukana kwa nini unanikashifu. Uhuru wa vyombo hivyo sio kuvunjia.viongozi heshima. Sasa kama hawawataki viongozi wetu basi wawalete baba zao watuogoze kama wana hizo sifa zakuongoza .uongozi ulitoka kwa mungu
@MaritinMereka
@MaritinMereka Ай бұрын
asante sana rais wetu
@abuusahya6130
@abuusahya6130 3 жыл бұрын
Sikupende ww mamá mungu atakuazibu
@ramadhanisihaka5352
@ramadhanisihaka5352 3 жыл бұрын
Raisi gani haelewek maguli hakua Kama huyu mamA
@danielmatondo6042
@danielmatondo6042 3 жыл бұрын
Pole
@privashirima6903
@privashirima6903 3 жыл бұрын
Mh Rais tuone na sis ambao hatuna chama...💯
@jumongjr5837
@jumongjr5837 3 жыл бұрын
Nkikumbuka Mahubili ya mchungaji #Lolinga nabaki nkiililia Tz
@sagilododomamedelipeter1893
@sagilododomamedelipeter1893 3 жыл бұрын
Kama mmemkamata mwenyeketi wa chama kwa ugaidi tafsili yake chama Cha chadema ni magaidi? mnalichulia kawaida swala la ugaidi lakn uko nje tunatia doa taifa na tunaenda kupoteza watalii 😭😭
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 3 жыл бұрын
yani tumepata rais wa hovyo ambae ajawahi kutokea, huyu mama ni hovyo kbs
@kisokimhagama9526
@kisokimhagama9526 3 жыл бұрын
Wa hovyo alikuwaMeendazake. Uhovyo wa Mama ninini?. Jinga sana, halafu mnasema hakuna demokrasia,wakati wa Mzee Mwenda zake ungeongeahivo?
@neemajumanne9588
@neemajumanne9588 3 жыл бұрын
Mie naona kama vituko tuu Tazania ,daa
@godblesskessy5516
@godblesskessy5516 3 жыл бұрын
mtamfunga mbowe Ila ukweli ni kwamba upinzani hauwezi kuisha kamwe
@bongomastory791
@bongomastory791 3 жыл бұрын
Kikeke katika interview alizoboronga ndio hii
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 3 жыл бұрын
Salim Tozo mbona umezisahau au wewe hufanyi miamala kwenye simu.
@ezekielmbazi.8687
@ezekielmbazi.8687 3 жыл бұрын
R.I.P MAGUFULI
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 3 жыл бұрын
Mh Rais unajishushia heshima kabisa haitakiwi kuhojiwa na wenye maswali kama hawa
@josephshuma1975
@josephshuma1975 3 жыл бұрын
Mama mwogope MUNGU!!!
@eddykibar8243
@eddykibar8243 3 жыл бұрын
Hakika
@michaelpasipanofu5920
@michaelpasipanofu5920 3 жыл бұрын
Huwezi kulinganisha Marekani
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 3 жыл бұрын
Mungu tunaomba utusaidie watanzania tunakutegemea.Mjalie rais wetu mama Samia Suluhu Hassan uwezo wa kutosha kuisimamia nchi hii na watu wote waridhike na kuifurahia nchi yao.tuondolee manunguniko kila kona, tujalie roho ya kuomba na kuiombea nchi yetu kwa moyo wa upendo.usituache maana tutaangamia bila wewe Mungu wetu.katika jina la Yesu Kristo Wanazareti AMEN.
@abdallahmsaka6794
@abdallahmsaka6794 3 жыл бұрын
Inna lillahi wainnailaihi rajiun.
@samwelmasoya3536
@samwelmasoya3536 3 жыл бұрын
Mungu hapendi mwongo
@ibrahimgabriel4828
@ibrahimgabriel4828 3 жыл бұрын
Neno nadhani.. Limeniachia mfadhaiko sana nafsini mwangu ila mungu ni mwingi wa rehema. Na dunia ni njia
@babaghostwawatengwaemanuel8164
@babaghostwawatengwaemanuel8164 3 жыл бұрын
Amen atajibu soon
@johnbuya965
@johnbuya965 3 жыл бұрын
Mama uko vizuri unafaa sana kuiongoza nchi mawazo yako ni mazuri
@elianifaaluka4790
@elianifaaluka4790 3 жыл бұрын
Mama kama unahitaji Mungu ebu fanya kitu katiba mpya mengine baadae
@mwanahawabakari718
@mwanahawabakari718 3 жыл бұрын
Yupo sahihi
@joaneskailembo4485
@joaneskailembo4485 3 жыл бұрын
Mweshimiwa Rais unajenga nchi ambayo maisha ya Watanzania yanazidi KUINGIA Gizani? Uchumi unaujengaje law mfano, watangulizi wako wote MFUPA (uchumi) uliwashinda ....! Umetathimini maisha ya wakulima yalivyo... ? Kwa tathimini ndogo tumekwenda mbele au tumerudi nyuma ? Sera yako ni ya maendeleo ya vitu au ya watu ? Nchi hii mfumo wake ni wa ujamaa au ubepari? Daaah naona maswali ni mengi bila majibu
@kulwajuma3029
@kulwajuma3029 3 жыл бұрын
Sijaelewa Ila itabd tuforce kuelewa
@amosisack2738
@amosisack2738 3 жыл бұрын
Mama mtoe mbowe kwenye kesi hizo
@jumakapesa5289
@jumakapesa5289 3 жыл бұрын
Fursa hizi zilimfaa sana Tido Muhando. Kikeke habari za michezo.
@godwinmamkwe9825
@godwinmamkwe9825 3 жыл бұрын
Kikeke umetuletea balaa. Bora ungeondoka na documentary yako ya Mt.Kilimanjaro, bado ungeenda kupata posho ya kazi kuliko hii vurugu ya kisiasa uliyotuibulia kwenda lkulu. Hivi kwa nini haukuwahi kumsogelea JIWE kwa haya uliyoyataka? ona wt wanavyomlalamikia rais wao. Haukuwa muda muafaka kwako kuja kikazi lkulu yetu kwani bado kuna mengi tulikuwa hatujamuelewa mama na safu yake bado alikuwa anaendelea kuipanga kukidhi matamanio ya wa TZ na kuuimarisha uchumi. Tulikuwa tumenyamaza kuhusiana na TOZO hivyo majibu yalikuwa ni matokeo yake kwa lile alilokusudia,asimame siku moja atuoneshe. Kikeke ulikosea kuomba mwaliko wa kikazi Ikulu wakati huu.
@jumanneclement7359
@jumanneclement7359 3 жыл бұрын
Hapa wwe mfisd tuu
@geraldrobert1801
@geraldrobert1801 3 жыл бұрын
Sheria ya vyama vya siasa haisemi hivyo Samia, inasema vyama vinayo haki ya kufanya vikao au mitutano yao ya ndani pasipo kuomba kibali cha polisi, haisemi kwamba wafanye tu vikao vilivyoainishwa na katiba ya chama husika, wanaruhusiwa kufanya mikutano kwa lengo la kuongeza wanachama wao . Uchaguzi unapomalizika, ndipo vyama vilivyoshindwa vinaanza kujiimalisha kwaajili ya uchaguzi ujao , ikiwa ni pamoja na kuongeza wanachama wapya.
@salumumussa2504
@salumumussa2504 3 жыл бұрын
QQQQQQ
@salumumussa2504
@salumumussa2504 3 жыл бұрын
QQ
@emanulyamuya9966
@emanulyamuya9966 3 жыл бұрын
Sawa mama kazi iendelee tunaitaji eshima kwenye nchii
@valenakomba4453
@valenakomba4453 3 жыл бұрын
Kweli kabisa mama. Lamuhimu, mama achana nao. Wasikutie pressure. Ukiwafuatilia sana hawa watakuwa da kichwani. Jaribu kuwa mkali. Wasikupotezee dira yako ya uongozi. .
@sagilododomamedelipeter1893
@sagilododomamedelipeter1893 3 жыл бұрын
Kama ningekupata nafasi ya kusaidia kutoa maoni kuhusu kesi ya mboye mama ni Bora ungesema hiyo kesi iko mahakama,tunasubili maamuzi ya mahakama lakn kusema upelelezi polisi amekamilisha mi cjawahi ona Wala sikia kesi ya ugaidi wakadili nayo polise wakt polisi ni wizala ya Mambo ya ndani nijuavyo Mimi ugaidi ni wizala ya ulinzi polisi na ugaidi wapi na wapi jamani.😭
@fadhilijuma1676
@fadhilijuma1676 3 жыл бұрын
Kiukweli kama ni uongo sasa umekua wazi kabisaaaa. Kufanya mikutano ni vurugu za kisiasa. Ni bora angekaa kimya. Ila kipengele cha yeye kuapishwa kilikua sawa. Vyama vinafanya vikao, mikutano, pamoja nakudai katiba ni kwa mujibu wa katiba. Imeeleza hvo. Ni aibu sana.
@Michael001-u2z
@Michael001-u2z Ай бұрын
BBC please 🙏 mungilie kati hizi vitisho favya police kuwakamata viongozi wetu wakisisa 🤔 wanawasalilisha mbele ya wanana lnchi 😂😂😂😂 🇹🇿 Dear God please remember people of Tanzania 🇹🇿😂🇹🇿 lnauma sana Tumechoka na ufisadi
@abuushuraim397
@abuushuraim397 2 жыл бұрын
Nakukubali mama
@simonkisumo7004
@simonkisumo7004 3 жыл бұрын
Kiukwel mama nnch huiwez kanyoneshetu maana Kila kitu mmepandisha Bei wanawake umejizihilisha kabsa hamuwez kutuongoza
@laupetpet7779
@laupetpet7779 3 жыл бұрын
Nimemussi Raisi Magufuli maana alituonea huruma sisi wa hali ya chini
@omarymkundi5881
@omarymkundi5881 3 жыл бұрын
Mama yuko vizuri big up sana
@rashianboy3499
@rashianboy3499 3 жыл бұрын
Kama ww ni mwanaume unaonekana ushaolewa ww
@juliusmagunila6308
@juliusmagunila6308 3 жыл бұрын
Mama bure kabisa
@magrethmallya7728
@magrethmallya7728 2 жыл бұрын
Mhhh Mungu anakuona, Mbowe sio gaidi, na unajua vizuri. Ila umeamua kumtesa Mungu atakulipia.
@aneth520
@aneth520 3 жыл бұрын
Mungu tusaidie
@Ba63828
@Ba63828 3 жыл бұрын
We love our prezidaa
@mrmtulinga7865
@mrmtulinga7865 3 жыл бұрын
chapa kazi mama
@benjaminmtebe5009
@benjaminmtebe5009 Ай бұрын
Mbona watu wanapotea, wanapigwa risasi, wanauawa Hakuna mtu alikamatwa wala kaupeleka mahakama nchi iko kwenye mtetemo Mhe Rais Samia
@charlesmkisi8052
@charlesmkisi8052 Ай бұрын
Asante mh raisi kwakuturudisha darasani
@delekalxon7221
@delekalxon7221 3 жыл бұрын
Aise🤔
@PrincePaulIowa
@PrincePaulIowa 3 жыл бұрын
Mambo ni magumu kwa wapinzani lakini kawaida mwanzo wa marekebisho kawaida ni mgumi. Mwaka 1990 tulimpa Mzee yule kura ya ndio, hakukuwa na upinzani lakini mambo yalibadilika. Kwa hiyo ndugu zangu wananchi miaka 20 ijayo wapinzani mtapata sauti safi sana labda na madaraka! 🖖🤣🤣 tuombe Mungu abariki Jamhuri yetu ya Muungano! Bwana Asifiwe, Inshallah! 🥰🇹🇿
@chapaboyclassic3907
@chapaboyclassic3907 3 жыл бұрын
Wapinzani hawapo tayariii kushika nchi bado hawajasoma mchezooo, labda chama kingine cha upinzani kije na sera bora za kushawishi na sio matusi na marumbano kama chadema badala waseme watafanya nini tukiwapa madaraka wapo kupiga kelele tu na majungu, kumuondoa mbaya ni kuahidi mazuri
@PrincePaulIowa
@PrincePaulIowa 3 жыл бұрын
@@chapaboyclassic3907 hayo yote kweli! Tuombe dua tupate maendeleo kwa wote!
@chapaboyclassic3907
@chapaboyclassic3907 3 жыл бұрын
@@PrincePaulIowa , ilo ndo jambo tu, siasa za Tanzania 🇹🇿 za kuiga wanataka kisa USA 🇺🇸 limetokea hili nawao iwe hivo, sisi tuwe na sera zetu tena za amani na maendeleooo kama kuna mazuri tutaigia na sio kila kitu. Asili yetu ni kumsikiliza kiongozi anasema nini na sio kuzomea , na tupinge kwa hoja
@abelianraphili5150
@abelianraphili5150 3 жыл бұрын
Hahahaha.. naona wasukuma.. mnabadilishana Mawazo bhna
@PrincePaulIowa
@PrincePaulIowa 3 жыл бұрын
@@abelianraphili5150 mimi! Mangi! Lakini wote ni Watanzania! Chadema/CCM end of day tujenge taifa 🇹🇿 bora! Hooray 😁
@kobelochamanga9757
@kobelochamanga9757 3 жыл бұрын
Sasa mbona tunakamatwa
@madongojr6249
@madongojr6249 3 жыл бұрын
Jaman mm naomba mwenye namba ya mbunge wa chalinze(RIZIWANI KIKWETE) anitumie nataka nimuulize hv kweli Hawa wananchi wa chalinze walikubali aunge mkono hii Sheria ya tozo za miamala??? Km hawajamtuma bas naomba ajitokeze na apinge,Mana ckuhiz hatuwatumii ela wazee wetu tunazigiza kweny tashrifu.BRAZA HALI NI TETE wadogo zako tunalumiwa hatutumi hela za kusagia
@mgayasarya3579
@mgayasarya3579 3 жыл бұрын
Mama ni mwislam kweli jamani duuh maisha ya dunian yataumiza wengi sana
@amanikafonogo9695
@amanikafonogo9695 3 жыл бұрын
Ask critical questions on next interview with expect iwe hot talk
@NM-yl2uw
@NM-yl2uw 3 жыл бұрын
unazan maswali ya kikeke hayo? hayo kapangiwa maana hawawez kukuacha ukauliza uliza tu
@lwihurazakayo3864
@lwihurazakayo3864 3 жыл бұрын
Kumbe !Al Jazeera ni kiboko kwa BBC!
@chidjosh6056
@chidjosh6056 3 жыл бұрын
Kikeke, unapoteza uweledi wako wa uandishi habari
@geraldenos5416
@geraldenos5416 3 жыл бұрын
Uongo kwa issue za mbowe
@pendocoster4170
@pendocoster4170 3 жыл бұрын
Tuna lalamika sana kuhusu tozo hatuja kubali jmn msidanganye kwa Hilo na kuhusu mbowe mungu yupo atamtetea
@esauedison8136
@esauedison8136 3 жыл бұрын
Bado sijaelewa kabisa
@imeldasamwel539
@imeldasamwel539 3 жыл бұрын
Hamna ulichokijibu hapo unajenga au unaangamiza watanzania
@MelisaMerdad
@MelisaMerdad Ай бұрын
Sema
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:11
BBC News Swahili
Рет қаралды 6 М.
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 110 М.
ROSÉ & Bruno Mars - APT. (Official Music Video)
02:54
ROSÉ
Рет қаралды 146 МЛН
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 25 МЛН
Rais Samia ‘’Nashukuru sana Watanzania kwa tozo wamekubali’’
15:05
Masoud Kipanya: “Mimi simchori Rais nachora urais”
10:56
BBC News Swahili
Рет қаралды 237 М.
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,6 МЛН
SPIKA TULIA AFOKEA WAZUNGU ULAYA “NIHESHIMUNI MIMI SIYO MUNGU”
8:51
SALIM KIKE NDIO  MMILIKI WA CROWN FM
18:28
Dizzim Online
Рет қаралды 163 М.
Mbarikiwa ahoji. Je kikwete atakamatwa na simu yake...
20:02
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 448 М.
ROSÉ & Bruno Mars - APT. (Official Music Video)
02:54
ROSÉ
Рет қаралды 146 МЛН