Hii Sheria watu wasiyo kutwa napesa hawapatiwi haki mweshemiwa Yuko vizuri sana
@Kingsusi7 ай бұрын
Wewe wakili ni Huna akili kweli kweli
@StevenKomba-rz7bm6 ай бұрын
Matapeli wanachukua ardhi za watu na kupeleka watu wahakamani.Waziri endelea kudhibiti hawa watapeli na washirika wao kama hawa
@YazuYazu-w2i6 ай бұрын
Jamani kuweni makini kumsikiza huyu mtu anavyo ongea maneno ya kukanganya
@hamidabarraball31627 ай бұрын
Waziri kumbuka kuna vyombo vya sheria huwezi kujichukulia sheria mikononi mwako kumtia raia hasara kiasi hicho, kwa kuonyesha power yako tu mungu ibariki Tanzania
@YazuYazu-w2i6 ай бұрын
Huyu mtu hata Hana aibu wala haya kwa maneno yake ya uwongo hazarani
@philimonmtweve45227 ай бұрын
Hawa wanasomea utapeli
@monicamwita78656 ай бұрын
Kama mara zote Naomi hajashinda, iwaje waziri abomoe nyumba.
@SleepyCoastalBeach-bg1bj6 ай бұрын
Wakili amechukua chake
@hassanmataula70636 ай бұрын
Nipo pamoja na waziri
@aminaosman33155 ай бұрын
,wenye pesa wananunua haki kama Ansar walivyo nunua haki za mjane mayatima watano WA marehem janjira hiyo nitaasisi inayojiita ya kidini inayoongoza kwa zulma hapa tanga ñamuomba mama samiaraisi wa wanyonge amsaidie huyu mjaneaweze kupa
@barakamwantolwa43366 ай бұрын
Waziri ni Hakimu ? kwa nini atoe hukumu kwny nchi yenye utaratibu? kwa nn asikilize upande mmoja? Hata kama ni matapeli lkn Waziri aangalie maamuzi kama haya.
@StevenKingu-gi4pf7 ай бұрын
Sheria za nchii hii znakandamiza watu.naomi alizdiwa na wenye pesa sio sheria
@isackkivuyo19807 ай бұрын
Hivi mawakili hawa wanafundishwaga na nani hizi sheria?mimi naovyoona hapa inchini kama huna ela sheria na wanasheria hawapo upande wako, dawa ni kufanya mambo kivyako
@nyandaj.ntugwa52436 ай бұрын
Kamati iliyoundwa na Mkuu wa wilaya lazima ije na maelezo pande zote mbili, huyu Naomi ilitokea tu kushitaki bila kuwa na basis ya kiwanja. Hujatueleza?
@kajiakivuyo16456 ай бұрын
Karatasi rundo uongo mtupu. Tuka hapo haraka
@meshasjaguar61367 ай бұрын
Kila siku Naomi ashinde kesi Ebu Kaa utulie.
@josephmchila64676 ай бұрын
Msimlaumu waziri, kwa watu wenye pesa,mahakamani masikini,mmmmmmh,
@JosiasBaneneke7 ай бұрын
Unatafuta kiki achana na siraa afanye kazi yake
@monicamwita78656 ай бұрын
Kweli asante kazi, lkn kubomoa nyumba si suluhisho. Ikitokea umeakaje si kweli itakuwaje? Tuache kuniandikia vitu tusivyofahamu.
@JUSTNEMITOMINGI6 ай бұрын
Jina matata uwakili utata dokomenti mnagushi nani asiye wajua
@AshaMwamba-v2o7 ай бұрын
Sasa kama uliona ivyoo kaka ungechaa ukishaona kiwanja kinamatatizo anaachaa
@ismailmshana28283 ай бұрын
Wakili msomi Yuko kazini
@sturmiusbs7 ай бұрын
Ndivyo ilivyo??
@emmanuelbenedicto5897 ай бұрын
Sasa kwa nini ulinunua wakati kilikuwa na shida?
@ambokileasheengai11407 ай бұрын
HII ISSUE WAZIRI KAINGIA CHAKA
@shabanponera28957 ай бұрын
Hakuna chaka hapo, jamaa mazungumzo yote hasemi hati iko wapi, aeleze hati ina jina la nani?
@selemanisalum76857 ай бұрын
Hakuna chaka lolote tapeli huyo alilingia pesa zake hakujuwa dhuruma inamwisho wake ndio huo wanawatesa sana hawa masikini wakiwa na visenti vyao waziri hawezi kukurupuka tu yeye anavyombo vya uchunguzi mpaka wameridhika ndio uchukuwa mamuzi kama kuwashitaki atawashtaki watendaji wa chini kwenye Harimashauri ndio wamemtengenezea micholo feki lakini wizarani hawezi mcholo utakuwa ule ule .wa zamani
@StevenKomba-rz7bm6 ай бұрын
Aoneshe hati
@StevenKomba-rz7bm6 ай бұрын
Matapeli wanadhurumu watu sana then wanakimbilia mahalamani
@stevenlugojeremia23236 ай бұрын
Waziri Mwenyewe ni mwana sheria ukiona mpaka kufikia hatua ya kubomowa ujue kajirizisha
@YazuYazu-w2i6 ай бұрын
Mahakama siku hizi ni utapeli mtupu
@NawawiItara6 ай бұрын
Kama huyu bwana anadocments halali basi Waziri ana makosa si kila mwenye mali ni tapeli
@ibrahimomari24587 ай бұрын
Waziri wa ardhi anatakiwa mambo mengine awaulize wenzake wakina lukuvi wampe muongozo..lkn akijifanya anajua kiliko watangulizi wake basi anaandaa ajal ya serikal kuja kulipa watu mabilioni kwasababu tu ya ujuaji usiofuata sheria
@2003hintay7 ай бұрын
Watangulizi wake walikuwa wanafumba macho kwa wenye nacho
@godsonmolla15947 ай бұрын
Tulia dawa ikuingie ww
@shabanponera28957 ай бұрын
Tapeli mwingine huyu, hati iko wapi?
@reginaldtarimo-kf1ye7 ай бұрын
Weweee!! Nyie mawakili mnamambo mengi..hapo unaongea tu lkn ukweli unaujua na m,mekuwa na tabia ya kubadili ukweli kuwa uongo kwakuwa mnalipwa tu..