WAKONGWE wa MUZIKI wa Bongo Fleva warudi kazini, Waandaa FESTIVAL yao, Historia kuandikwa upya

  Рет қаралды 15,238

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 56
@golden3202
@golden3202 2 жыл бұрын
Nimefurahi sana hii si ya kukosa💯🔥🔥
@nussah3158
@nussah3158 2 жыл бұрын
Nimefurahi sana kuwaona wote wapo wazima wa afya. Yaani walotangulia mbele ya haki si wengi kama nilivyodhani. Sauti zao kama zamani. Nimeamini kipaji hakizeeki
@frankjonas5941
@frankjonas5941 2 жыл бұрын
Nammwona man x hapo.... Big movements.. We still listen to yr music brothers
@adamhamisi2638
@adamhamisi2638 2 жыл бұрын
Weka bizman, weka sir nature, weka rich one, weka dullysykes, temba, chege, ras simba mjaruo🔥🔥
@miketzee806
@miketzee806 2 жыл бұрын
George George! Good to see OG together, I wish to be there
@peninashungu6633
@peninashungu6633 2 жыл бұрын
Nilitamani Sana hii hikitu, Jaman Hao ndo walikuwa wanamziki, nyie noma sana
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Safi sana bila kuwa sahau wakali kwanza 💕
@abdulrahmanhassan9254
@abdulrahmanhassan9254 2 жыл бұрын
Kweli kabisa njoeni muwafundishe kizazi kipya kuwa unaweza hit bila kuimba matusi
@sabrinamustafa8554
@sabrinamustafa8554 2 жыл бұрын
Ohh my God!!!😊😊😊 This is huge👏👏👏
@frankmsigwa153
@frankmsigwa153 2 жыл бұрын
Yani ttzo la Bongo baada ya kujenga fikra njema wao wanaanza vijembe vijembe hupelekewa msipoklewe vile mnavoaamini ila kikbwa ni kushow love kwote
@hilalmohd8941
@hilalmohd8941 2 жыл бұрын
very good mawazo makubwa sana
@francissimbangulu8048
@francissimbangulu8048 2 жыл бұрын
Ushauri wangu ningependa tamasha hili walifanyie uwanja wa mkapa mana tutakuwa wengi sana
@ibraimoissiaca6058
@ibraimoissiaca6058 2 жыл бұрын
Nimeikumbuka Ngoma ya nay wamepanda wameshuka
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
Squezer🔥🔥🔥🔥
@nellymatalanga5033
@nellymatalanga5033 2 жыл бұрын
You did good music time yenu no doubt about it bt you need to acknowledge pia time ime change and you guys need to keep up with the game or else...... mtabaki kulalamika
@jabalimikechi7750
@jabalimikechi7750 2 жыл бұрын
Umenena vema broo
@nellymatalanga5033
@nellymatalanga5033 2 жыл бұрын
@@jabalimikechi7750 They can still do it sio lazma amapiano etc but thy can do it. I grew up listening to Mr. blue since akiwa 16year old still touring malindi, msa na bado ako game tangu wimbo wa maria with Alikiba,mapozi nawe, tabasamu,to date aki imba collabo na Kiba tena -mboga,with Aslay,baba kyla,jux ,bright,wengi tu mmmh 🙄 so Hawa waache kuwa wazembe aki. #mtazamowangutu
@nellymatalanga5033
@nellymatalanga5033 2 жыл бұрын
@Humai_d8 it's ok kushuka kupeana nafasi but still do something side hustle hivi, sio kuteta Prf.J ni mbunge ,he still produces music once in a while,Mwana FA, AY does part time music n biz ,deals ,even funny ommy was sick for a while but bcz he's a brand amejitahidi amerudi game .if one can not keep up with the pace just do something else but sio kuishi kulalamika eti new artist don't call them for gigs. Why would someone call you fr gigs while your brand is low , nasio makosa kufanya kitu tofauti . Thy had platforms they still have the power to hv those platform ni wao wajitume tu. Ona kina mobeto after fame kuzaa na Diamond alitumia hiyo Kiki like a stepping stone kupanda she couldn't sing bt anajaribu, brand Zina mpa deals,bongo movie etc just to stay relevant
@peninashungu6633
@peninashungu6633 2 жыл бұрын
Mmezeeka jaman mpaka atari
@kikundahassani8149
@kikundahassani8149 2 жыл бұрын
asantenisana nasitunawa misi sana
@salomeraymond2051
@salomeraymond2051 2 жыл бұрын
kwahy mzk wa asahv matus? ii itakuw vit ss kizaz Ch muzk w ss n zaman 🙄🙄uku ni kutafuta pakutokea khaa! game imechange imben new hips z kizaz kpy bhn kaz zen zilikuw nzul shida time anyway big up💪
@marcelpaulbiste5268
@marcelpaulbiste5268 2 жыл бұрын
Sura personal
@yangma2404
@yangma2404 2 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏🤸🤸🤸
@jonassilveter2415
@jonassilveter2415 2 жыл бұрын
Dah yani wamechoka kweli
@jacksongidion5170
@jacksongidion5170 2 жыл бұрын
Wamechoka had huluma
@sevystaronedancer1785
@sevystaronedancer1785 2 жыл бұрын
Ntakuwepo na mimi
@benezethbwikizo3158
@benezethbwikizo3158 2 жыл бұрын
Gud idea
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
Duh hii si ya kukosa
@prettynayally2177
@prettynayally2177 2 жыл бұрын
Leo ndo nimeamini wasanii wa zamani walikuwq walitawaliwa na unga na bangi
@roi2554
@roi2554 2 жыл бұрын
Tatizo waliona South Africa ni sehem ya maana
@prettynayally2177
@prettynayally2177 2 жыл бұрын
@@roi2554 🤣🤣
@hamisially8463
@hamisially8463 2 жыл бұрын
Big up
@peninashungu6633
@peninashungu6633 2 жыл бұрын
Bia zinazeeka
@rashidbendera3110
@rashidbendera3110 2 жыл бұрын
Kilakitu mama tu
@eunicethoya6021
@eunicethoya6021 2 жыл бұрын
Nmemjua bwana Misosi 2 hapo
@eliasmwanawima1129
@eliasmwanawima1129 2 жыл бұрын
Inapendeza
@xmaramoja362
@xmaramoja362 2 жыл бұрын
Hawa kuwaita wakongwe ni kuwakosea heshima, Jina liwafaalo ni Wasanii waliopotea. prof j ni mpya? Alikiba ni mpya? mr blue ni mpya? Dully ni mpya? Wapo wengi tu wazamani bado wanabamba Hawa ni wale waliopotea, mtu kama pnc et wazamani jaman ebu waitwe tu jina lao maana walishindwa kukaza kwenye game wakapotezana sasa wanaishi kuwalalamikia vijana walioshika hatamu.
@adamhamisi2638
@adamhamisi2638 2 жыл бұрын
Wapi sir nature?😳
@sakayonsakihunga3496
@sakayonsakihunga3496 2 жыл бұрын
Nawaunga mkono kwa sapot yoyote karibuni mikoani
@dullahtechtz3422
@dullahtechtz3422 2 жыл бұрын
Nakubali
@funsimple_ke3034
@funsimple_ke3034 2 жыл бұрын
Kizazi
@fj8317
@fj8317 2 жыл бұрын
wapige shoo ila wasilete yale mambo mikono juu twende kulia kushoto piga kelele
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 2 жыл бұрын
Yeah bro 😂😂😂😂😂😂😂
@meshakinelisoni1176
@meshakinelisoni1176 2 жыл бұрын
.ivi wanataka nn ..kama wako fiti siwatoe maiti Singi yakusato
@leoniapaulo7752
@leoniapaulo7752 2 жыл бұрын
Saafiii…
@stevewanga957
@stevewanga957 2 жыл бұрын
Yaani kuna ngoma za kitambo nimeskia zimenigusa...yaani ngoma wakati huo zilikua za maana...hamna cha matusi
@wilsonjaphet5547
@wilsonjaphet5547 2 жыл бұрын
😂😂😂 yatakuwa dhahabu Kweli
@teddymatisha6781
@teddymatisha6781 2 жыл бұрын
🔥
@khadijambuya794
@khadijambuya794 2 жыл бұрын
😄😄😄😄KWELI WA ZAMANI SURA ZIMEWAKOMAA HATARI POLENI SNA 😄😄😄 Lakini mmesikia kma siku hzi tuna simba tembo chui yni muwe makini tyuu mjini jua kali 😄😄😄
@jacksongidion5170
@jacksongidion5170 2 жыл бұрын
4
@rjb31
@rjb31 2 жыл бұрын
💚📌💚
@mussajackson783
@mussajackson783 2 жыл бұрын
Niliwazaga hii kitu uchumi ukanikwanisha
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
@emmylyaruu5385
@emmylyaruu5385 2 жыл бұрын
Yupo wapi zombi wa mob just
@mudriqhamidu871
@mudriqhamidu871 2 жыл бұрын
Duniani kote mziki umegawanyika, upo wa matusi na wa kufundisha, na kukosoa, ss wacheni kupiga madongo , kuwa mziki mayusi, huyo munaempiga madongo ndio aliyefanya mziki kuwa na thamani na kuwa,na pesa ambapo nyie mulishindwa mukawa munalipwa show 500,0000/= yy mziki matusi alilipinga hilo na kuji9ngoza wacheni choyo cha kijinga 🙏✌
@emmylyaruu5385
@emmylyaruu5385 2 жыл бұрын
Tunamtaka na zombi awepo
Não sabe esconder Comida
00:20
DUDU e CAROL
Рет қаралды 51 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 275 #shorts
00:29
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 354 М.
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
TAJIRI YANGU HUYU HAPA 🤑‼️ CHIEF GODLOVE
7:35
CHIEF GODLOVE Fan Page
Рет қаралды 832
Não sabe esconder Comida
00:20
DUDU e CAROL
Рет қаралды 51 МЛН