Kazi nikubwa katika daawa,Allah akufanyieni wepesi masheikh
@rizikiali328 Жыл бұрын
Hivi jamani mbona hawa watu hawapemdi kuelewa , Allah awahifadhi munakazi ngumu masheikh
@guyogalora2736 Жыл бұрын
Masha Allah barak Allahu feek sheikh wetu salim
@TabuOdhiamboOmiya8 ай бұрын
Mashaaa Allah masheikh wetu Mungu awape kheri nasi pia kwa kusukuma daawah
@salimdaawah1238 ай бұрын
Aamiin amiin amiin
@zainababdulrahmankarisa6273 Жыл бұрын
raha tupu kwa hii street daawah ALLAH awazidishie
@shabamuhidin634 Жыл бұрын
mashikh mnapata wakati mgumu sana,mpaka imefikia mnafundisha kiswahili pia mtu,Allah swt awalipe mema...
@loner_wolf Жыл бұрын
Alafu SALIM hiyo haraka haraka sio mbaya na ALLY ajue cio mbaya ,ni kama kionjo tu .....wala si amri , kimsingi mko vizuri sana , ALLY anasomaga vzuri sana ,hiyo sekta ni yake kbsa ....... Allah awape nguvu inshallah mje na kwetu TANZANIA SIKU MOJA.
@jmsuya7663 Жыл бұрын
Usiwachangaje bhn mungu kwa kikristo anaitwa Jehovah
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Wapi andiko Yesu alisema Mungu anaitwa Jehovah?????
Hatutaki Ayah za shakahola! Leteni Ayah kutoka kwa bibilia ukristo ni dini
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Hawana hawa
@NathanielNathan-m4o Жыл бұрын
Dini ni nini? Jesus Christ taught about the kingdom of God not religions.
@salimdaawah123 Жыл бұрын
@@NathanielNathan-m4o umeulizwa je ukristo ni dini hujaulizwa kuhushu Yesu
@NathanielNathan-m4o Жыл бұрын
@@salimdaawah123 Soma Qur'an Surah an -Nisaa 171 it says O people of the scripture,do not commit excess in 👉your religion 👈 What is religion in kiswahili? Dini.🤪
@Nora-v1m3p9 ай бұрын
Ajaab kw registration unaona region: christian or Islam or Hindu
@fatimahrashid2356 Жыл бұрын
😂😂😂 sisemi kitu zaidi yakufrahi najuw ujumbe umefika wanawake
@abcfisheries2865 Жыл бұрын
Eti Abusai? Hawa Watu wa Nyanza, sijui wanatowaga MaJina kutoka wapi? Hawaelewi cho chote huyu! Hawaku maliza Shule, hawa watu! ESA ndio ORIGINAL name ya KiARAMAIC! TabarakAllah Team!
@sarahronoh540 Жыл бұрын
Bt Ni Mimi Ndio nilie kuambia wampeleka mbio Ustadhi Ali bt si kwa ubaya Ustadhi Salim
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Nilikuelewa tena sana shukuran
@jumahamad9463 Жыл бұрын
NDIO NDUGU YANGU ATAA SIKUMOJA NILISEMA HIVYO JAMBO LAKUSEMA HARAKA HARAKA BORA NIKUSEMA SHEIKH ALI SOMA KULIKO KUSEMA HARAKA HARAKA HARAKA HARAKA HII NI YANINI WAKATI TUPO KWENYE MAFUNDISHO MAFUNDISHO YAWE YA UTARATIBU SIO HARAKA HARAKA YATAKA ROHO BORA LITUMIKE SOMA SIO HARAKA MIMI MWENYEWE NIKISIKIA HIVI HARAKA HARAKA NAKUA NAUMIA ROHONI MIMI NIKISIKIA HARAKA HARAKA
@jumahamad9463 Жыл бұрын
NDIO HIVYO JAMBO LAKUPELEKANA MBIO SIO ZURI KAMA HARAKA HARAKA NI VYEMA NA BORA SOMA TUWENAWATI WAKUUBIRI LAKINI TUSIWE HARAKA HARAKA KWENYE KUFUNDISHA AU MAFUNDISHO KWA KAULI YANGU NI VYEMA SOMAA
@jumahamad9463 Жыл бұрын
SAMAHANI KWA YOTE NAMAOMBI YETU LITUMIKE NENO SOMA KULIKO HARAKA HARAKA NDIO HIVYO TUNAHISI UNAMPELEKA MBIO MSOMAJI
@aishahazary4097 Жыл бұрын
@@jumahamad9463 Ni kweli kabisa na umri umeenda lakini ALLAH kamneemesha macho yako vizuri na sauti maasha Alaah.Hivyo nenda nae taratibu kama shehe Hasan Kaliuki.Uzee huja na mambo mengi.
@ZakariaMohamud-s7g Жыл бұрын
Original name ya yesu ni yeshua,,,issa n ya kiarabu..pbuh
@salhkasmm558 Жыл бұрын
Wameelewa hao lakini kama kawaida Yao ya ubishi wakikafiri.
@SalmanMughal-lq5lt4 ай бұрын
NimechekaEti.ubishi.wakikafiri.SbhanaAllah
@loner_wolf Жыл бұрын
OMBI MOJA SALIM , NAOMBA MKRISTO AKIULIZA SWALI NAWWE MUULIZE ANAWAJUA WANAFUNZI WA YESU ...? KAMA HAJAKUTAJIA MAJINA YA HIZO CHAPTER UJE UNIKATE KICHWA .....😂😂😂😂😂😂 na ninawasiwasi hata chapter ya YOHANA hakuandikabYohana yule MBATIZAJI KWA MAANA YA YAHAYA ....😊😊😊 ni Yohana mwingine tu rafiki yao Paulo na Luka.😅
Hawawezi kujibu because hakuna ila kazi yetu tumefanya ya kuwafikishia
@fatimahrashid2356 Жыл бұрын
@@salimdaawah123 💕💕🇰🇪
@NathanielNathan-m4o Жыл бұрын
Hayo sio maswali ya msingi.🤣🤣.
@salimdaawah123 Жыл бұрын
@@NathanielNathan-m4o wewe jibu ulichoulizwa kiwe ni cha msingi au sio Wacha kuhepa
@NathanielNathan-m4o Жыл бұрын
@@salimdaawah123 Ni wapi imesema nisiwe mkiristo Kwa Bible?
@Sal.0 Жыл бұрын
Huyu Kijana wa Green anawa potezea Wakati! Huyu ha elewi chochote! Kicha Ngumu sana! Musi waste time juu watu kama hawa! Hawa Watu wa Western ni Kichwa Ngumu sana! WaZungu wa nchi Bandia ya israel, hawana TORAH ya Musa! Hawa WaZungu wanao ji ita 'jews', wame COPY the KingJames VERSION Bible ya 1800AD, katika LUGHA yao ya Hebrew, NA...kui ITA: "The Hebrew Bible"! Hii King James VERSION Hebrew Bible, ndio ina tumiwa na WaIsraeli! HAWANA the TORAH ya Musa! SAWA, ma Ustadi? TabarakAllah Team
@Sai.Mo69 Жыл бұрын
Swadakta! Waisrael wana tumia COPY ya King James VERSON Bible, ambayo WaZinoisti walio PRODUCE in 1800AD, na baadaye, Wakai COPY into the Hebrew Language, khususan, the Old Testament! Baada yaku COPY Biblia into Hebrew Language, dhehebu la JUDAISM, ika anzishwa hapo hapo, in 1800AD!
@NathanielNathan-m4o Жыл бұрын
Do you people understand your Qur'an and hadiths? Who are "People of the book" according to your Qur'an?