Wali Wangu (Episode 2) - Madebe Lidai (Official Bongo Movie 2020)

  Рет қаралды 377,335

Africha Movies

Africha Movies

Күн бұрын

Wali Wangu |Ukurasa wa 2| - Madebe Lidai (Official Bongo Movie 2020) Madebe Lidai
Watch Part 1 Here: • Wali Wangu (Episode 1)...
CAST: Madebe Lidai, Ochu Kiota, Isiaka Ngokwe, Jumbe Safi, Rehema Chambuso, Pendo Ismail,
STORY/SCRIPT: Madebe Lidai
EDITOR: Master Lee
PRODUCER: LP Media, Madebe Lidai
DIRECTOR: Kayto Kae
Subscribe to Africa Movies on KZbin here: bit.ly/AfrichaM...
Bongo Movies, Tanzania Movies, African Movies, Movie, Comedy, Bongo Comedy, comedy, film #AfrichaMovies #BongoMovies #SwahiliMovies

Пікірлер: 221
@anastaziafabian4574
@anastaziafabian4574 4 жыл бұрын
Hongera sana .......madebe lidai kwa kufikisha ujumbe mungu aendelee kukupa kipawa hicho hicho uendelee kuelimisha wanawake na kufikisha ujumbe kwa jamii inayokuzunguka
@hamisimsunda3692
@hamisimsunda3692 3 жыл бұрын
Kitanda Cha wanandoa ni sehemu pekee ambayo inaweza kumaliza migogoro yote ya wanandoa Kama mutaweza kukitumia vzr kitanda hicho
@Allyjunior4393
@Allyjunior4393 3 жыл бұрын
Ubwabwa bila maharage ni matumizi mabaya ya mchele🤣🤣🤣 walio penda msemo huu tujuane
@KhalfanHabibu
@KhalfanHabibu Жыл бұрын
Niambie mzee baba tuko pamoja.
@sadickkalongola478
@sadickkalongola478 3 жыл бұрын
Kwakuwa umelijua bc ninjia yakujifunzia kupitia msamiati iliyotumika humu au kutumia tafsida hii😁😁😁😁noma Sana kaka madebe
@rehemachedi6615
@rehemachedi6615 4 жыл бұрын
Wali wangu masha Allah nimependa sana move hii 😃💯
@mwanahawasaid1561
@mwanahawasaid1561 4 жыл бұрын
Dunia no shule isiyoisha mafunzo bado naendelea kujifunza...asante kaka kwa mafunzo yako
@amosedward3796
@amosedward3796 4 жыл бұрын
Kiukweli madebe anaelimisha sana yaani ukiwa unazifuatikia mov zake utajifunza mengi sana maana maandiko yanasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maalifa kiukweeli namuombea aendelee kuelimisha kupia kipaji chake cha uigizaji
@abdulsamiumaundu4030
@abdulsamiumaundu4030 4 жыл бұрын
Pamoja na vitimbi vyenu bado mnahitajika kwa mwalim 😄😄😄 LIDAI SALUTE Mswahili wa kusini
@kassimomar7589
@kassimomar7589 4 жыл бұрын
Kama unasoma huku ukiangalia coment gona like
@tonesmatukunya267
@tonesmatukunya267 4 жыл бұрын
hahahahaha nipo hapa
@hafidhichai1148
@hafidhichai1148 4 жыл бұрын
Kungwi mzuri niyule mwanamke alieachika na mwanaume anaetaka kukuowa""". Safi kabisa
@paulkessy5267
@paulkessy5267 4 жыл бұрын
Star ni madebe tu apa Tanzania na ndio anasitaili tuzo zoooooote
@bentybenty2343
@bentybenty2343 4 жыл бұрын
U r right
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 4 жыл бұрын
Hapana ni wengi sema kweli na uogope Mungu
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 4 жыл бұрын
Ni wengi sana
@muniramsati5345
@muniramsati5345 4 жыл бұрын
Jamanii hako ka wimbo katamu😋😋
@shilogilemakoye1846
@shilogilemakoye1846 4 жыл бұрын
Keshauonja utamu wa mhogo hawezi kunyonya tena maziwa
@johnsaimon2352
@johnsaimon2352 3 жыл бұрын
Nimeiskia hiyo
@juliusjiseph7716
@juliusjiseph7716 4 жыл бұрын
Brother madebe unamafumbo ambayo ya nafundisha nimependa san movie hihi iko poa
@kombojuma3837
@kombojuma3837 3 жыл бұрын
Asante sana madebe lidai kwa muvi mzuri
@bilombelekilozodieudonne123
@bilombelekilozodieudonne123 4 жыл бұрын
brother madebe anaweza kweliii kbs
@ruebenwanyonyi1788
@ruebenwanyonyi1788 3 жыл бұрын
Akujalie Maulana kaka madebe lidai
@tinamboya6033
@tinamboya6033 4 жыл бұрын
Uko vizur Kaka hongera
@alleyhemedy6994
@alleyhemedy6994 4 жыл бұрын
Kazi nnzuri bro kwani unahakikisha utoki kwenye uhalisia wetu heshima kwako
@omaryahmed5197
@omaryahmed5197 4 жыл бұрын
Shata ana ukarb na surual lbd kwa xbb y rika,, dah madebe umetumia busara xan kupitia huo mxamiat ,mana picha uliiona ila hukutak kuxema,aixee mungu akuongezee kipaji kaka
@omanoman-zd2dq
@omanoman-zd2dq 4 жыл бұрын
Mi nakupa zote 💯
@akramahassani4978
@akramahassani4978 4 жыл бұрын
Nimesoma koment sifa kibao kuwa anaweza hata mie naunga mkono madebe lidai fundi lkn watanzania tuache unafki mie nahakika kwenye kugombea tuzo pendekezo huwa letu kwa kupiga kura lakini je mnapiga kura au ndio wote tunaosubiri matokeo yatoke tuanze kulalama bila kupiga kura ili unaempenda ashinde tuzo kwa kipengele husika
@ezekielevarest9215
@ezekielevarest9215 4 жыл бұрын
Cjawahi jutia MB zngu kuangalia movie yyote Ile aliyoekti madebe lidai
@abubakarihtarimo7660
@abubakarihtarimo7660 4 жыл бұрын
Raha sana kutizama na kuelimika sasa waisha muendelezo tafazali tunasubiri sana
@athumanijuma6089
@athumanijuma6089 4 жыл бұрын
Mmmnh
@salummburu2146
@salummburu2146 4 жыл бұрын
Fundi wangu madebe
@wilsonkassano8250
@wilsonkassano8250 4 жыл бұрын
Madebe huna kz mby team lidai gonga like yako ap
@bernadetanyendo1650
@bernadetanyendo1650 4 жыл бұрын
Mwenzako kashehonja utamu wamuogo unazani atarudi katika maziwa hahah like this fido dido😃😃
@magembesamson9141
@magembesamson9141 4 жыл бұрын
Kazi nzuri kaka ila ongeza kasi walau Mara moja kwa wiki
@rukiaomar3369
@rukiaomar3369 2 жыл бұрын
Shukran madebe kazi nzuli inaelimisha
@hamisikokota1748
@hamisikokota1748 4 жыл бұрын
Kazi safi madebe akoseagi
@francismkenyi9309
@francismkenyi9309 4 жыл бұрын
Hongrera mwalimu madebe
@saadasimeo2412
@saadasimeo2412 4 жыл бұрын
Nzuri Sana ira ongezeni kasi
@fatumaselemani661
@fatumaselemani661 4 жыл бұрын
mashallah asantesana mkojuu sana tenasana mzee baba madebe😍😍😍😍
@fatumaally3444
@fatumaally3444 4 жыл бұрын
Swadakta twasubir muendelezo...mafunzo telee mashallah
@africannprince6735
@africannprince6735 4 жыл бұрын
wali wangu motoo sana iiiii🙌🙌🙌
@josephelias9997
@josephelias9997 3 жыл бұрын
Madebe naomba akaunt yako niwe napata move kilahis nazipenda sana zinafundisha hasa mabint na wanandoa
@mariadaudi8729
@mariadaudi8729 4 жыл бұрын
"wali bila maharagwe ni matumiz maby ya mchele😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅nabi anajua hadi umuhim wa ndondo😊😊.
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@trecyeddie4064
@trecyeddie4064 4 жыл бұрын
Maria Daudi noma sana
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@OmanOman-hr6cb
@OmanOman-hr6cb 4 жыл бұрын
😀 😀 😀 😀 😀 😀 Maria daudi Fala Kweli yaani nimecheka mno
@buluush9741
@buluush9741 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣weeemaria kweli ulitega sikio🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@dantudantushehe3748
@dantudantushehe3748 4 жыл бұрын
Mhhh madebee kaka endeleaa kutufunza sisi Wanawakee
@mwangimwangi5888
@mwangimwangi5888 4 жыл бұрын
Nyie vp kwani mliambiwa Kuna kuku anataka kupandwa" kama usikia huo mstr gonga like hapa
@nibigiramwajuma7925
@nibigiramwajuma7925 4 жыл бұрын
Bgp sana madebe na washirika
@lawrencesemzaba5849
@lawrencesemzaba5849 4 жыл бұрын
Aaaa madebe hakik unajua ongezjuhud tu utafk mbal zaid ya hapo 🙏🏽🙏🏽
@wangagirl3508
@wangagirl3508 4 жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@beverlykadenge2095
@beverlykadenge2095 4 жыл бұрын
Wabongo mko na majina fanny ati suruali😂😂😂😂😂😂😂😂
@jaypeace5090
@jaypeace5090 3 жыл бұрын
Umuite mwanao hilo jina 😂😂
@stevenmauya3867
@stevenmauya3867 3 жыл бұрын
Mambo
@bernadethasamson9943
@bernadethasamson9943 4 жыл бұрын
Asante madebe kwa kaz nzur
@umisidi1816
@umisidi1816 4 жыл бұрын
Madebe na kupa hongera
@DrNick-hg6il
@DrNick-hg6il 4 жыл бұрын
Kawimbo tuu
@bintihassan6534
@bintihassan6534 4 жыл бұрын
Shukran kwa washiriki mumeweza sna ongezeni kasi plz🤝
@munnababygal8460
@munnababygal8460 4 жыл бұрын
ni nzuri sana asanteni washirika wote
@asinatjuma8088
@asinatjuma8088 4 жыл бұрын
Shukrani sana kkaka kwa mafunzo mazuri
@fatumaselemani661
@fatumaselemani661 4 жыл бұрын
mashallah asantesana madebe mwendelezo bwana
@allymuamudoally9328
@allymuamudoally9328 2 жыл бұрын
Ni kweli mku lindão, Kama unge tá Aki, unge waita na wakosewa.
@fikirikiwike4909
@fikirikiwike4909 4 жыл бұрын
safi leteni namba 3
@mesabendo7581
@mesabendo7581 4 жыл бұрын
Hongereni wahusika ila jitahidini kuwahisha mashabiki tunasahau
@naomymbuyu9303
@naomymbuyu9303 4 жыл бұрын
Wanawakeeee pamoja na vitimbii vyenuu
@noreenwaa2087
@noreenwaa2087 4 жыл бұрын
Nimechekaa Sana sana Jaman Eti Pamoja Na Vitimbi Vyenu
@mariamagenda149
@mariamagenda149 Жыл бұрын
Ety kama kawaida yetu utadhani wa kike
@anethben5979
@anethben5979 4 жыл бұрын
madebe tufikirie na ile shupa shupaza
@paulmadeit2
@paulmadeit2 4 жыл бұрын
kweli bhanaaa
@mfaumeomary5082
@mfaumeomary5082 4 жыл бұрын
Mwalimu:: uyo katambuga fund ndio watu staik tunaowaitaji kwenye bongo mover yetu
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 4 жыл бұрын
Asaalam alykum kaka Madebe . Ww na group yako muko vzr sana nimejifunza mambo makubwa.Hongera sana kaka.👍👍
@abdimaulid258
@abdimaulid258 4 жыл бұрын
Sema kaka unazingua unakaa muda bila kutoa series nyingine inatufanya tusione thamani ya hii kitu
@richardefrem4043
@richardefrem4043 4 жыл бұрын
Daaah madebe we kiboko 😂😂😂
@khadijakhamisi1864
@khadijakhamisi1864 4 жыл бұрын
Nzurii mnoo
@humudiali8223
@humudiali8223 4 жыл бұрын
Ni vizur uweke sub ya english kwa chin ili iweze kupenya zaid nje ya milaka ya tanzania NI MAWAZO YANGU TU
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 4 жыл бұрын
Kweli
@dehacom941
@dehacom941 4 жыл бұрын
Bonge la move
@yusuframadhani444
@yusuframadhani444 4 жыл бұрын
mapenzi ni hisia yenye kuleta hamu mwilini
@muhammedbizo495
@muhammedbizo495 4 жыл бұрын
Kweli nakubadia ananamaneno yko
@mauwarashid4823
@mauwarashid4823 4 жыл бұрын
Kwakweri mjomba madebe umeweza na unaweza ongerapia kwakua mwarimu na muerewa
@tzboyclassic9596
@tzboyclassic9596 4 жыл бұрын
Madebe lidai comment kwake❤️❤️
@zakiasuleyman8529
@zakiasuleyman8529 4 жыл бұрын
Shukran madebe
@salmamasoudy6842
@salmamasoudy6842 4 жыл бұрын
Asante kungwi lidai nitayafanyia kazi
@dantudantushehe3748
@dantudantushehe3748 4 жыл бұрын
Kungwii hhhhh
@buluush9741
@buluush9741 4 жыл бұрын
☝️☝️🤣😂matuc ayo😂😂☝️☝️☝️
@saidally368
@saidally368 4 жыл бұрын
Leten mwendelez
@abumoyo5341
@abumoyo5341 4 жыл бұрын
Wali wangu tusikizaneee
@CSWafrica
@CSWafrica 4 жыл бұрын
nazingatia sana uandishi..... mazungumzo yapendeza mno. script writter nikupe nini?
@joyousmakata8602
@joyousmakata8602 4 жыл бұрын
Napenda sana movie za madebe.
@aliykibabe9033
@aliykibabe9033 4 жыл бұрын
Kazi nzuri xna lp media
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 4 жыл бұрын
Asante kaka kaz nzuri Sanaaa 🙏
@idrisajuma5984
@idrisajuma5984 4 жыл бұрын
Kaz nzur madebe
@isackobadiah484
@isackobadiah484 4 жыл бұрын
Iko Poa Sana, tatzo inachelewa sana kutoka sehemu inayofuata!!...
@mamramsey3186
@mamramsey3186 4 жыл бұрын
Mashaallah wallahy cjawah fikiria kama nitakua addicted na movie za kaka madebe..BG up brother maisha marefu kwako mpendwa endelea kutufunza
@daudamohammed3020
@daudamohammed3020 4 жыл бұрын
Ikobomba sana nimeipenda kiukweli umelimisha endelea kuwaelimisha
@fredrickbilaury7466
@fredrickbilaury7466 4 жыл бұрын
Ninavyomjua mwanao anavyopenda sifa ,kashaliwa huyo..!!
@bakariuzima5121
@bakariuzima5121 4 жыл бұрын
Nazipenda kazi zenu hamjawahi kuniangusha homgereni sana Kikubwatunaomba mtuwahishie Muenderezo
@esterelia9670
@esterelia9670 4 жыл бұрын
Jaman asanten kwa mafunzo mazuri
@tamnamohammed7874
@tamnamohammed7874 4 жыл бұрын
Kaka unahekima sijawahi ona hilo neno shata na suruali umejua kuficha ukali wa maneno
@martinwesonga6931
@martinwesonga6931 4 жыл бұрын
Shukurani kwenyu wote mlioshiriki made be asante sana
@rehemaausy6015
@rehemaausy6015 2 жыл бұрын
Nzuri sana
@arafatimakalanga822
@arafatimakalanga822 4 жыл бұрын
Uko sawa Madebe kwa kle unachokifkisha kwa watanzania
@mudially3884
@mudially3884 4 жыл бұрын
Aina mambo mengi ila tamu kama kachumbali nyanya kitungu chumvi wali unaliwa
@amynamsomaly3315
@amynamsomaly3315 4 жыл бұрын
Wali wangu episode 3
@hawahawa6915
@hawahawa6915 4 жыл бұрын
Shukuran
@papyhk-qv8lq
@papyhk-qv8lq Жыл бұрын
Anajua San huy
@graceshansila
@graceshansila Жыл бұрын
Asante madebe
@amourseif6801
@amourseif6801 4 жыл бұрын
Vizuri xana madebe lidai
@richardefrem4043
@richardefrem4043 4 жыл бұрын
Mimi hii nyimbo tu
@angeljasson4376
@angeljasson4376 4 жыл бұрын
Kazi nzur hongera sana madebe na team yko
@ahmedgascan9297
@ahmedgascan9297 4 жыл бұрын
Hapo kwenye neno Wali badala ya Wari twende kazi
@zakayolyaumi2891
@zakayolyaumi2891 4 жыл бұрын
nicee sanaaaaaa madebe inafundishaaaa
@oscarwafula3376
@oscarwafula3376 3 жыл бұрын
The episode is so educative
@sheyllahramah7462
@sheyllahramah7462 4 жыл бұрын
Nzuri mno
@user-nn5sq8ol4g
@user-nn5sq8ol4g 4 жыл бұрын
Madebe hoyee
@miriammicka3226
@miriammicka3226 2 жыл бұрын
Wali bila maharage n matumizi mabaya ya mchele
@cosmaskenanguzi9271
@cosmaskenanguzi9271 3 жыл бұрын
Ukweli bisa
@swaumuabdallah4547
@swaumuabdallah4547 4 жыл бұрын
😂😂Utamu wa muhogo
@peterikanda9487
@peterikanda9487 3 жыл бұрын
Ndugu yangu madebe hongera sana bwana mkubwa
Wali Wangu (Episode 3) - Madebe Lidai (Official Bongo Movie 2020)
27:48
NGONDO Sehemu ya Kwanza
19:51
Madebe Lidai
Рет қаралды 278 М.
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 903 М.
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 22 МЛН
Mwiko Part 1 - Madebe Lidai, Anwar Nassor (Official Bongo Movie)
50:38
Africha Movies
Рет қаралды 232 М.
BAD FAMILY episode 1. ni movie nzuri ya kisasa Haijawahitokea Tanzania.
27:46
Sidano Part 1 - Madebe Lidai & Hamisi Kufinya (Official Bongo Movie)
52:02
MBILINI Sehemu ya Kwanza (1)
13:20
Madebe Lidai
Рет қаралды 289 М.
MKINDA episode 1-Starring MADEBE LIDAI
21:20
MALI MEDIA
Рет қаралды 200 М.
MWAKATOBE na RINGO  MCHAWI FULL MOVIE 4k
59:54
JOJOHFACE films
Рет қаралды 101 М.
Wali Wangu LATEST |Ukurasa wa 7| - Madebe Lidai  (Official Bongo series)
27:55
Madebe Lidai Movies
Рет қаралды 102 М.
Кто тоже не хочет? 😜 #рэп #жиза #бабуля
0:14
Patricia Diallo
Рет қаралды 2,6 МЛН
Что то на богатом..😅
0:44
Lukyanov_life
Рет қаралды 9 МЛН
Finger Family Song | Balloon Finger Family 🎈 Babanana Shorts #shorts
0:31
Посмеялся над бойцом UFC! 😬 (@thеjеnsеndеаn on IG)
0:27
I tricked the cops 👮😎 #short
0:26
Yousef UG
Рет қаралды 6 МЛН
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
0:12