Diamond platnumz ni Moto wa Tanzania na Africa ❤❤❤❤❤
@RickMediatanzania6 ай бұрын
Yeaah
@StivemarleyBaruswage-sx6gd6 ай бұрын
Mungu amlinde sana huyu jamaa coz kiukweli platnumz ndio msanii anaetupigania east africa nzima
@belitomanuel62406 ай бұрын
The guy is another Man ♂️❤❤❤❤
@elizabethchabluma-zw5qz6 ай бұрын
Mashaallah diamond mwenyezi mungu akulinde❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@KidalosMafumbula6 ай бұрын
Miye njo wa kwanza nipe like zangu kama unamupenda Simba diamond champion
@RickMediatanzania6 ай бұрын
Nakupa na comment kabisa
@KidalosMafumbula6 ай бұрын
@@RickMediatanzania asante sana rick mpaka kita eleweka bado vidéo njo itakuwa dunia nzima comasava
@Ibrahim-ne3in6 ай бұрын
Yan unapohic Diamond platinum anapotea mwamba anaibuka na hit song ya hatar✈️✈️✈️✈️
@Princekenzie_2546 ай бұрын
Sitawahi kumdoubt simba tena
@channyanjen90476 ай бұрын
Allah akuzidishiye kila laheri inshaalah diamond akulinde nahsuda za mwanadamu akuzidishiye riski ameen
@HunchoQuavo-di4os6 ай бұрын
Mimi wa mwisho nipeni like za diamond ❤❤🎉
@ShukruMakoko6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@BHALEEALI6 ай бұрын
DIAMOND PLATNUMZ aliwahi sema Mungu akimpa uhai na uzima kwenye muzik wake hawez kustafu kama GRAMMY haikuja TANZANIA na hii ndio nathibitisha kauli yake ITAKUJA TU kwa uwezo wa MOLA wetu sote
@patrickkaite38226 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥mpaka waseme
@SandreAlhlwah-bv1cx6 ай бұрын
Huyo ndo simbaaaa dagote ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@jamilaathumani54816 ай бұрын
Apo Sasa daimond awachukue miso misondo na criss brown na samata mchezaji kwenye iyo video na Daimond awachukue wasanii wake wa wcb awashilikishe kwenye video ya komansava ya rimix na criss brown 🇱🇷🇹🇿.. Tanzania to the world 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇱🇷🇱🇷🥰🥰❤️📌
@RickMediatanzania6 ай бұрын
Good idea though
@MamboSuper6 ай бұрын
duu jamani Mr kitorondo kajaza arena
@RickMediatanzania6 ай бұрын
Hatua moja huleta nyingine
@paizinhosaide-cv9pm6 ай бұрын
Diamond platnumz🙏🙏🙏
@hoseanobocka71406 ай бұрын
Vipi wale mnaosubiri Diamondplatnumz apotee kimuziki habari gani, How are you??? Kunjani , Assalamualaikum 😅😂😂😂😂😂
@georgejohny64226 ай бұрын
Simba la masimba dangote
@rahelclement42986 ай бұрын
Simba🙌🙌
@aishaomar18456 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿Cris Nerve
@emmanuelcharles46006 ай бұрын
Brown Anadharau Sana Watz Hawajui kbs dharau Aliyoionyesha brown!.. Ndo Maana Wanasifia bila kujua!😂😂
@HeriRamadan-qx2hk6 ай бұрын
Daimond mwenyewe ni dancre balaaa , hiyo dance ni mondi mwenyewe
@festusabramary-bz4ef6 ай бұрын
angel nyigu anausika vipi hapo jumamako
@Tanafa-j9q6 ай бұрын
Lamasimba dangote haujui
@SmartVicenzo6 ай бұрын
Mbona misi misondo walipostiwa na amuku sherekea
@RickMediatanzania6 ай бұрын
Tuli share. Ila hii anacheza kabisa
@MagrethShija-bt4nn6 ай бұрын
wasio mkuli watasubili sanaaa ,😂
@samwelfundi15276 ай бұрын
Hacheni uongo nyinyi ihizeni wasanii wenu wafanye nyimbo za bongo fleva comasava ni sounds ya amapiano
@dankhany33856 ай бұрын
🇹🇿
@RomanMwinyi6 ай бұрын
Nyie acheni ushamb kwa misomisondo mbona alipostiwa au nyinyii machawa
@JumanneFaustin6 ай бұрын
Inaitwaje nyimbo ya Hao miso Misondo?? Ya Diamond inaitwa Komasava
Ushabiki tu mbona kawaida tu Eti meekmils amjui konde boy toeni ujinga mbona Kina Rick ross waliplay single again na wasani wengine wakubwa tu amkuongea kitu kisa ka challenge dance eti meekmils amjui harmonize sura baya toka apa
@Tanafa-j9q6 ай бұрын
We mmakonde umefata nn humu masikini kafee mbele uko
@chrispinmkanda60976 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣 inauma eee!? Sasa harmo mavi kafata Nini hapa wakati hata meek mill kasema hamfahamu
@hoseanobocka71406 ай бұрын
Kwahyo una force mickmill amjue harmonize kwa lipi, basi kama umeumia basi tufanye mickmill uwe wewe ufanye collabo na mmakonde inatosha hyo
@samwelfundi15276 ай бұрын
Nyinyi watanzania kweli wajinga Sana siasa ya mziki duniani hamjui wamsrekani Wana juwa gisi ya kuwa kuwatawala ila anajuwa misomidondo?