Huyu jamaa wa shirt la white hua nisumbua tu nikama anatumwa kusumbua ili watu wasielewe
@abdallasuleiman878523 күн бұрын
Kila wakati yuko hapo kwa ajili ya ubishi wala sio kujifunza.
@oopsm357423 күн бұрын
Sheikh Ramadhan bora deal na mtu mmoja tu mpaka umalize naye kushinda kuruka ruka.
@SheeMaryam.M24 күн бұрын
Wenye wakusema ooh "mbona umekata video " 😂😂😂 where are you.
@StraightPathDawah23 күн бұрын
Kumbe uliwaona watu hao😅 Hao ndio wenye fitina na majungu.
@Marim-qp8gs15 күн бұрын
Awa wa kristu wakubali tu ata swala kw Bible Alhamdulillah
@AbdirashidmohamedNoor23 күн бұрын
LAU hawa wakiristo wangeelewa hicho kitabu chao mafundisho chake wangeelewa dini ukweli ya dini ya islamu. 😢 hata wakionyeshwa ukweli bado wanaendelea kusema .. lakini...😢
@geofreyngero944923 күн бұрын
Kuslim ni kufanya nini wenzangu coz sijawahi jua??
@StraightPathDawah23 күн бұрын
Ni kujisalimisha Kwa Mwenyezi Mungu ukamwabudu yeye peke yake.
@geofreyngero944923 күн бұрын
@@StraightPathDawah kujisalimisha tena?? 🤔
@ibruzah00122 күн бұрын
Kusilimu ni kukubali mungu ni mmoja tu, naye ni ALLAH. Na pia kukubali Muhammad ni mtume wa Allah, na Yesu ni mtume wa Allah, na watume wengine wote.
@Marim-qp8gs15 күн бұрын
Awa wa kristu wakubali tu ata swala kw Bible Alhamdulillah