Waliofariki kwenye mafuriko mai mahiu wafikia 60

  Рет қаралды 5,202

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Ай бұрын

Idadi ya watu waliofariki katika mkasa wa mafuriko Mai Mahiu imefikia watu sitini baada ya miili mingine miwili kuondolewa kwenye matope wiki moja tangu maporomoko kutokea.
Kamishna wa kaunti ya Nakuru Loyford Kibaara amesema kuwa watu 23 kati ya 112 waliokuwa hospitalini wanaendelea kutibiwa huku shughuli ya kuwasaidia wakaazi walioathirika ikiendelea. watu 30 bado wanatafutwa huku maafisa wa kijeshi na wale wa Huduma kwa taifa NYS wakiendelea kushirikiana katika shughuli hiyo. Kibaara pia anasema kuwa juhudi zaidi zinafanywa ikiwemo kufuata mkondo wa maji ambao sasa umefikia kilomita sitini kuelekea katika kaunti jirani ya Narok. Ibada ya wafuu inatarajiwa kufanyika siku ya Alhamisi.

Пікірлер: 9
@leonardsang387
@leonardsang387 Ай бұрын
Poleni sana
@HusseinKagesho
@HusseinKagesho Ай бұрын
asanteni kwa moyo wenu mkarimu lakini bwana maina jenga usadizi wenu umeleta picha nzuri kama Mungu amewajalia Mavuno saidieni wengine na huu uwe mfano mzuri kwa wengine waige sio kuachia serikali majukumu yote asantum asantum nawapenda nyote wakenya jina Hussein kagesho mombasa🇰🇪🇰🇪✌❤✌❤🇰🇪✌❤🇰🇪✌❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤✌✌✌✌✌✌✌❤❤❤❤❤❤✌ kaunti yenu saidieni wadhiriwa wengine wakenya kwa jumla
@shabbyofficial_
@shabbyofficial_ Ай бұрын
Watu wanakufa kama wadudu wallah may their souls rest in eternal peace 😢
@itsTheTruthTeller
@itsTheTruthTeller Ай бұрын
Pia wewe utakufa tu
@shabbyofficial_
@shabbyofficial_ Ай бұрын
@@itsTheTruthTeller pia wewe utakufa tu
@itsTheTruthTeller
@itsTheTruthTeller Ай бұрын
@@shabbyofficial_ exactly, you can't live forever
@shabbyofficial_
@shabbyofficial_ Ай бұрын
@@itsTheTruthTeller yes exactly ..I never said that tho so was wondering why your reply sounded harsh as if I said anything wrong
@itsTheTruthTeller
@itsTheTruthTeller Ай бұрын
@@shabbyofficial_ it only sounded harsh in your head bruh. Read my comment again but calmly and you'll see there's no harshness in it. Take care 🍻
Kanitha kuheana Kihunjio Kia marakara na maruru, Kioi Junior agithikwo .
40:25
Stupid Barry Find Mellstroy in Escape From Prison Challenge
00:29
Garri Creative
Рет қаралды 12 МЛН
World’s Deadliest Obstacle Course!
28:25
MrBeast
Рет қаралды 61 МЛН
Citizen TV LIVE
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 5 М.
Athari za mtetemeko katika daraja la Mai Mahiu kaunti ya Nakuru
5:42
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 45 М.
Mwanamume anayefanana na rais Ruto apata umaarufu Samburu
3:26
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 255 М.
Dhiki ya wakazi wa mtaa wa Runda, makazi yao yamefurika na kujaa maji
5:16
Familia zaidi ya 200 lazimika kuhama makwao kutokana na mafuriko Bomet
1:51
Stupid Barry Find Mellstroy in Escape From Prison Challenge
00:29
Garri Creative
Рет қаралды 12 МЛН