Asalam alykum mashaa Allah ustadh Ramadhani napenda njia unayotumia unapozungumza na wasio kuwa waislam kwanza huna haraka unasikiliza hoja kwa makini .Allah atakulipa kwa kazi kubwa unayoifanya jazak allah kheir
@hassanmpemba57472 жыл бұрын
Masha Allah sheikh Ramadan unawafundisha vizuri sana Allah akupe umri mrefu uzidi kuwafundisha
@naimaabuualii5782 жыл бұрын
Amin
@mutomubaya2 жыл бұрын
Shukran Sheikh Ramadhan kwa kuongoza Waislamu katika njia muhimu sana ya kuwafikishia ndugu zao ujumbe wa Allah. Allah awabariki. Ni muhimu tukumbushane kwamba ni jukumu la kila Muislamu kuwafikishia ndugu zake ujumbe wa Allah. Na wawaelimishe watu kwa kutumia hikmah na maneno mazuri. Watu wakimjua Allah watampenda na wakimpenda watamuabudu
@maryamjuma19802 жыл бұрын
Allah awalipe kheri masheikh wetu awazidishie afya njema na umri mrefu muzidi kutufunza na atukutanishe peponi pamoja na mtume wetu Muhammad s. a. w
@HassanAli-eq8ko2 жыл бұрын
Mashaallaah yarab tuhifadhie mashk wetu na uwape elimu waweze kutanganza dini ya kislam
@LockedNot2 жыл бұрын
Allah awaonyeshe njia ya haki na awawezeshe kuifuata na waepuke ya batili
@naimaabuualii5782 жыл бұрын
Masha Allah nili miss sana jaman mungu awalipe zaidi na zaidi Kwa kila hatua
@husseinmwenja43982 жыл бұрын
MASHALLAH IBN KAGUO JITIHADA ZA DAAWA KILA SEHEMU ZITUE VILIVYO KWA WAHUSIKA KWA NJIA YA TARATIBU ALLAH IBARIQ WA YAHFADHUQ
@عبداللهباحميد-ت7ج2 жыл бұрын
MASHA ALLAH SHEKHE RAMADHANI Na Group Yko Hongera Kwa Kzi Yenu Na Mna Taratibu Zuuriii Sana Mko Na Subra Hii Kzi Ngumu
@ashrafissa7782 жыл бұрын
Mashallah mashekhe wetu Allah awalinde nakila shali mnatupa mafundisho mazur
@عبداللهباحميد-ن4ق2 жыл бұрын
Salam Aleikum Jamaa Hema Hema Kwa Ndugu Zetu Wenye Uwezo Tuumalize Mjengo Huu Kwani Ni Mambo Ya Kheei Kwa Dunia Yko Na Siku Qiyama Jazakum ALLAH KHEER
@jumajabiri99752 жыл бұрын
napenda mawadha yako mungu akubaliki kazinzuli
@ushifenesi41682 жыл бұрын
''Alhamdulilah'' Allah awalipe kher aamin
@xiishkhaliifcadecade15342 жыл бұрын
Masha Allah sheikh Ramadan bin kuria munafanya kazi nzuri sana Mungu awa linde zaidi kwa hiyo kazi munao endelea jazakumullahu khayra
@عبداللهباحميد-ت7ج2 жыл бұрын
ALLAH Atawabariki YAARAAB
@salmasalim60552 жыл бұрын
Mashallah mashallah tuliwamiss
@fardoshnassor78472 жыл бұрын
Mashallah Allah 💕
@yusufali30762 жыл бұрын
MashaAllah sheikh Ramadan
@jumakumala13372 жыл бұрын
Masheikh na Maustadi mulioko mjini msiokuwa na nafasi ya kufikisha daawah mitaani, sokoni na vijijini , tuungane tuwaenue na tuwaenue masheikh wetu na kuwasapoti pamoja na channel hizi angalau zifikishe neno la ALLAH kote
@jamalathman62192 жыл бұрын
Mashallah jazakallah kheir
@habibasalim30922 жыл бұрын
MaashaAllah siku nyingi sijawaona
@maherzain6152 жыл бұрын
Duh Allah awalipe khery hio sehem mumefanya jambo la maana kufika. Watufananisha na wahindu. Eti waislamu waabudu ng'ombe niwapi na wapi uislamu na shirk
@muminaroba91222 жыл бұрын
MashaAllah
@andallaathman38562 жыл бұрын
Mashaa llah
@jamilaomari24442 жыл бұрын
Safi!
@mariamkhaikachitechi65522 жыл бұрын
Maashallah mubarikiwe sana
@alibaya26852 жыл бұрын
Mashallah
@nasty56122 жыл бұрын
Mashaallah brother may Allah bless u
@millicentwawira1779 Жыл бұрын
Uyo mama Kwan amesikia mtakula Jana lake mmmmmmmmmm..........
@agnesmwangi78622 жыл бұрын
Mimi nime soma quran lakini what i know is that unaeze ndanganya watu lakini huezi jindanganya tuabiane ukweli
@abdulhakimhasan76732 жыл бұрын
Thank you Agnes , the Holy Koran teaches well . " you can talk to people and cheat , but you can't cheat yourself "
@benjaminkimathi94892 жыл бұрын
Kumbe huyu njamaa nimkikuyu huyu wa straight path ngaii msaidiye he is against money be paid utashangaa broo Jesus is the moster utampata siku moja
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Against money how?
@أختي-ض7ص2 жыл бұрын
Mashallah sheikh ramadhan
@thelastwarning50322 жыл бұрын
Ndugu waislamu wacheni kuwapotosha wakristo ....Je Uislamu ni dini ya naniii???
@abdulhakimhasan76732 жыл бұрын
Uisilamu ni dini ya Mungu , ametuma kitabu Koran , baada ya kutuma injili ( Bible), ili kufafanua ukweli na upotofu .
@thelastwarning50322 жыл бұрын
Andiko Uislamu ni dini ya Mungu...hayo ni maneno ya Muhammad yaliandikwa kwa mabano....sipingi Uislamu ni dini...Bali si dini ya Mungu...Muhammad anapigia debe dini yake....... ii ni dini ya Mtu ndugu zangu.....achaneni na ii dini...kujeni kwa Yesu ambaye ni Dini ya haki ....
@abdulhakimhasan76732 жыл бұрын
@@thelastwarning5032Yesu alikuja na dini ya haki , inayo fuatwa na waislamu. Yesu si mtoto wa Mungu au Mungu mwenyewe , ni upotofu. Mungu ni Mkubwa Zaidi , hana matamanio ya viumbe alizo chengeneza kama mwezi , jua au binadamu. kisha matamanio ya mke ili apate mtoto bila kuzidisha watoto. Kisha ni Mungu dhaifu sana , anaye kaa ndani ya tumbo ya Mary , miezi tisa na kuzaliwa na uchafu wa damu. Mungu ambaye sasa anakula na kunywa maji ,na bila aibu kwenda chooni . Kisha biblia ya uongo inasema alikufa , na kuwa Yesu ali lia kwa Mungu , " lima sabactani " kwa nini umeni acha . Upotofu wa hii biblia , ndani ya Koran Tukufu . Yesu ali anguka chini na kusujudu kama waislamu katika sala maombi mbele ya Mungu .
@abdulhakimhasan76732 жыл бұрын
@@thelastwarning5032Biblia ya upotofu ina maandiko , ya Yesu kuuliwa kwa makosa ya wengine , hali ni dhahiri alikuwa mwema mzuri bila kukosea mtu au amri za Mungu . Badala yake Mungu amuache na kumrudishia ubaya. Nieleze akili ina fanya kazi namna gani ?