Leo shekh wetu umenifurahisha Kwa mara ya kwanza umeitangaza chanali yetu pendwa 😂👍
@ggv8662 жыл бұрын
Takibir Allah Akbar
@omarratibu97092 жыл бұрын
Ma sha Allah
@jumanjenga76822 жыл бұрын
Masha Allah Ustaz.let the truth be told.
@princesspatra54942 жыл бұрын
HEHEHE....you mean let lies be told??
@hamdishide31372 жыл бұрын
M.a my sheikh but I'm humble request to more video please
@adrisshagi12555 ай бұрын
Na shukuru Allah . Hata kama ni shule tuko na mtihani kama hi. Kila mtu hawezi ku faulu sababu ni. Chora chora hajui alichora .
@nakundwamkubwe78232 жыл бұрын
Shida moja kubwa kwahawa wakristo wanatumia akili zao nasio maandiko. Yani wanafanya kama vile wanasoma hadithi za karume kenge vile babu akihadithia wajukuu zake. Inna lilah waina illah rajiuni
Sheikh mbon sioni vidio za 2023 nikonaona za 2022 sababu nn
@StraightPathDawah Жыл бұрын
Umesubscribe? Kumbuka kubonyeza alama ya kengele
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
Yesu ni kila kitu kulingana na tukio na wakati. kama vile Uhuru ni MTU, ni Rais, ni baba, ni mume, ni mtoto, ni mjukuu, ni mjomba, ni binamu, NK....so Yesu alikuwa anajibu yeye ni nani kulingana na tukio na wakati. Kila jambo Mwenyezi Mungu anafanya, halimshindi Yesu Kristo!! Na usidanganye umma Yesu au manabii wa kale alifundisha/walikuwa uislamu/waislamu.....unless utuambie waliswalishwa shahada na nani?? YESU ANAKUJIBU MWENYEWE RAMADHAN BIN KURIA....KWAMBA NI MWANA WA MUNGU!! Yohana 10:36 itakuwaje mseme ninakufuru ninaposema ‘mimi ni Mwana wa Mungu,’ ambapo mimi Baba ameniteua niwe wake na akani tuma ulimwenguni? USIDANGANYE KUMFURAHISHA BABA YENU SHAITAN ALLAH!! Uislamu ni njia potofu....ya kwenda motoni....nawasikitia hao unaowasilimisha.....lost sheep!!
@pilimusa32172 жыл бұрын
Kumbe Yesu si Mungu ila katumwa na Mungu
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
@@pilimusa3217 Yesu ni Mwana wa Mungu....Kile unacho kijua baba yake anafanya, Yesu pia ana uwezo huo.
@pilimusa32172 жыл бұрын
@@issajumamwinyi6191 Yesu ana uwezo wa kuumba?
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
@@pilimusa3217 Hapo mwanzo, kabla ya kuwapo kitu kingine cho chote, alikuwapo Neno. Huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye alikuwa Mungu. Tangu mwanzo Neno amekuwa na Mungu. VITU VYOTE VILIUMBWA NA YEYE, wala hakuna cho chote kilichoumbwa ambacho hakukiumba. Uzima ulikuwa ndani yake na uzima huo ndio ulikuwa nuru ya watu.
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
@@pilimusa3217 Maana kwake vitu vyote viliumbwa kila kitu duniani na mbinguni, vitu vinavyoonekana na visivyoonekana: Wenye enzi, watawala, wakuu na wenye nguvu. Vyote viliumbwa kwake na kwa ajili yake. - Wakolosai 1:16
@Sal.02 жыл бұрын
AllahuAkbar! Wa Islamu, toweni hata kidogo muki isupporti hii Team ya Allahswt! MashaAllah. SADAKA ni haki ya Masiki na MaFukara, au in short, Watu wasiojiweza! PASTOR aki itiza Sadaka, basi haramu kwake! Yesu na Disciples, hawaku itisha Sadaka, na Yesu alisema, "mume pewa injeeli Buree, basi hubirini BUREE" !!!!! Malachi 3:10 ina fundisha SADAKA ya Chakula, ONCE every YEAR, na ina itwa ZAKA! Na angaleni hapa, BARAKA za SADAKA ya CHAKULA katika Luke 14:13-14!
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
Wapi andiko >> Yesu na Disciples, hawaku itisha Sadaka, na Yesu alisema, "mume pewa injeeli Buree, basi hubirini BUREE" !!!!!? Nami nikupe andiko!!
@Sal.02 жыл бұрын
@@issajumamwinyi6191 We Ndacha, tangu lini unaitwa Issa Juma! WeNugu hau somi Biblia ya Wazungu? Soma Kitabu ya Master wako na utaipata hapo! Labda niki ongea KiNyaani uta elewa "hehe huhaha nda cha cha nugugu"! Mathew 10:5-8 These twelve Jesus sent out with the following instructions: “Do not go among the Gentiles or enter any town of the Samaritans. 6 Go rather to the lost sheep of Israel. 7 As you go, proclaim this message: ‘The kingdom of heaven has come near.’ 8 Heal the sick, raise the dead, cleanse those who have leprosy, drive out Demons. FREELY YOU HAVE RECIEVED; FREELY GIVE". 9 “Do not get any gold or silver or Pesa" huhu haha heheheeee nda chaNugu?( ume elewa Ndacha?)
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
@@Sal.0 Hehehe....watoto wa ibilisi wanapenda matusi kama baba yao shaitan allah!! nakuelewa bro. Ndacha ndio mnyama nugu au vipi? ni tusi ndani ya korani natumai. Hayo maandiko umetoa hayajakanusha mafikira yako kwamba Yesu na wanafunzi wake hawakupokea sadaka... Biblia haisomwi kimsikiti kuridhisha mawazo yako ya kishetani bro... Yohana 12:6 Yuda alisema hivi si kwa kuwa aliwajali sana maskini bali kwa kuwa alikuwa mwizi. Kama mtunza fedha, alikuwa mara kwa mara anaiba kutoka katika fedha alizokabidhiwa.
@Sal.02 жыл бұрын
@@issajumamwinyi6191 Nawa ita WaNyaani kwa sababu mwa fuata Biblia la WAZUNGU, bila ku shtukia ya kwamba hilo SIO Maneno ya MUNGU, bali ni Maneno za WAZUNGU! HAMUNA Bongo, kama WaNyaaaaani! Hata muki kumbushwa ya kwamba Nabi Essa alitumwa kwa Kabila12 za Uzaa wa YAKUB, huwa hamu siki, kwa sababu nyiye ni Ma Nyaaaani! SIO MATUSI! NI UKWELI! Nyiye HAMUNA husiano yoyote na Nabi Essa, BALI husiano yenu ni na WAZUNGU na BIBLIA lao walioi andika na kuiTUNGA in 1611AD, kule ENGLAND! MBONA HAMU ELEVI HIVYO? What is wrong with you? Si basi, mume kuwa MaNyaaani, by default? Halafu una sema, "Mbona una tusi"???? NYOTE muta kwenda MOTONI kama muna fikiria Storybook ilio andikawa na WAZUNGU ita wa Save!! Hehe huhahaaaaa ma nu gugu!
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
@@Sal.0 UNA AKILI LAKINI HAUZITUMII BRO....KUNA MSEMO NYANI HAONI KUNDULE UNAKUFAA SANA.. WEWE MBONA WAFWATA KITABU CHA WAARABU? KITABU CHA MAJINI NA SHAITAN ALLAH?? kWA KORANI UKIONA "sema"...UJUE NI MAJINI YANAONGEA!! Quran 2:97. Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini. Aya hapo juu ipo wazi kabisa kuwa aliye iteremsha Quran kwa Muhammad ni adui wa Jibril. Sasa anza kujipanga maana unasoma kitabu cha adui wa Jibril.....ibilisi allah Ndio maana huwa nasema kuwa "UISLAM NI DINI YA KUJITUNGIA TU".
@samxx4112 жыл бұрын
Sheikh huyu kijana mwenye mkokoteni anaonesha hamu ya kutaka kusoma na kujua ukweli Mungu amuongoze
@nooroman25352 жыл бұрын
Shelkh Ramadhani babu hajambo sijamuona kipindi nisalimie AsalamAlaykum
@naimaabuualii5782 жыл бұрын
Duu uyo wa mwanzo yeye hapana t mswiba huu 😭hata Rafiki pia hana
@mussahaji9052 жыл бұрын
Napenda Kiswahili cha Kenya..inakua unapanda mlima mrefu kuokota kuokota kitu kilichopo miguuni
@mutomubaya2 жыл бұрын
@ Mussa Haji..hebu lete mfano..
@alyaqdhan52062 жыл бұрын
*Wanachuoni wa Kikristo *wanasema yakuwa maandiko yalio kuja kwenye John 14:6 na John 8:58 sio maandiko asili, yamepachikwa. Wanauliza kwanini maandiko muhimu kama haya yanayo toa ishara kama Yesu ni Mungu au ana Ungu hayapatikani kwenye Bibilie 3 zilizo tangulia Mark, Matthew na Luke? Je sababu nikuwa hawakujuwa kama habari hizi zipo ndio mana hawakuzirekodi? Au walijuwa lakini wakaona sio muhimu ndio mana hawakuziandika? Jawabu: Hapana, habari hizi hazikuwepo kabisa kama wanavyo sema Wataalamu , John kazitunga mwenyewe, zingekuwa ziko zisinge wapita Mark, Matthew na Luke, kwa hio msemo maarufu wanao upenda Wasabatu kuutangaza kwenye mijadala yakuwa Yesu alikuwapo, milele kabla haija umbwa Dunia si wa kweli, umri wake sahihi ni 33 according to references. Sikilizeni mjadala huu wa Wanachuoni kuhusu mada hii kzbin.info/www/bejne/bHu4an1mjbufsLM
@samxx4112 жыл бұрын
Hawa wakristo hata aje mwenyewe yesu awaambie mie si Mungu basi watakataa " kumbuka Mungu ashawaita ni vipofu, mabubu na viziwi na washapigwa chapa usoni mwao, ila wapo watakaomkubali. Hawajijui kuwa wao ni wapinga kristo ila wanajiona wanampenda sana ila hawamfuati mafundisho yake. Wanasema yesu ni njia kwenda Kwa Mungu ila hawataki kupita njia hiyo, anawaambia Mungu mmoja hawataki, tusinywe pombe hawataki, tusile nguruwe hawataki, tuingie msikitini hawataki, tuwe waislam hawataki wakati yote haya yesu aliwaambia lkn wanampinga na wanamsikiliza Paulo ambae sawa na Mimi hatujamuona yesu wakati wake. Yesu anasema jitieni NIRA yangu na mjifunze kwangu kwa kuwa Mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo". Unyenyekevu Kwa kiarabu islam, yesu anasema muislam wa ndani moyo
@alyaqdhan52062 жыл бұрын
@@samxx411 Asante sana kwa maelezo yako, nina swali: kuna maandiko yoyote ndani ya bibilie yanaongea kuhusu siku ya Kiyama na mambo ya kutisha yatakayo tokea, kama mtetemeko wa ardhi kama ulivyo kuja kwenye surat الزلزلة na mambo mengine, na hatima ya kafiri kwa muujibu wa imani yao ya Kikristo na kuhusu neema za Pepo watakazo pata waumini, je ndani ya bibilie yako haya yote?
@samxx4112 жыл бұрын
@@alyaqdhan5206 hamna hivyo vitu kwasababu Quran imeletwa kuonya na ni muongozo kwa watakaoamini
@alyaqdhan52062 жыл бұрын
@@samxx411 Sawa
@Fm-MornStar20142 жыл бұрын
To understand trinity is not easy unless you understand we can experience Effects without Experiencing the Cause. Again 1+1+1=1 can't be true when arguing with someone who already knows the answer is three. Neither 4 mins, one day nor a week, nor a month.... you can fully explore the mystery of the Trinity.
@Mar-dk3mp2 жыл бұрын
Why abduls according to the quran 22:52 muhammed is the only prophet to have spoke shatain words??? Why many muslims look like so👹? How come the most powerful and allmighty god, called allah kebab, could not prevent for centuries to be worshipped as a pagan idol, surrunded by so many pagan idols (359)??? Why smart black stones kisser???
@Mar-dk3mp2 жыл бұрын
According to the quran Allah kebab was in a bush and in the heaven at the same time. How much is 1+1?????
@Mar-dk3mp2 жыл бұрын
According to islam you have 1 Mind, 1 Soul and One Soul yet you are considereted 1 person. Why you can be what God can not do, black stones kisser shatanic worshiper????
@jumanjenga76822 жыл бұрын
Trinity is a Greco-Roman belief borrowed/influenced by Hindu/Buddha and adopted by Uncircumcised pagans to form Christianity.Jesus was never Christian and never stepped in Church.
@Fm-MornStar20142 жыл бұрын
@@jumanjenga7682 just the way Islam is not African, it has borrowed so many Arabic cults, traditions, practices... Jesus was not a Muslim too. Judaism was before Islam, Christianity was before Islam.... Another thing: what do you understand by the term "pagan" etymologically?
@mutomubaya2 жыл бұрын
Mama huyo anasema jambo muhimu kilfahamu kwamba kuna watu wanaudhi watu kwa kuwa wanajifanya Waislamu kumbe wao sio Waislamu. Baadhi ya Watu, kwa kuwa wanajua Waislamu ni waaminifu, hujifanya wao ni Waislamu ili kuwahadaa watu. Kwa hivyo ni muhimu viongozi wawataje matapeli kama vile waganga wanaoweka mabango na kujipatia jina kama vile, Sheikh, Maalim, Sharifu fulani nk.
@Mar-dk3mp2 жыл бұрын
Why abduls according to the quran 22:52 muhammed is the only prophet to have spoke shatain words??? Why many muslims look like so👹? How come the most powerful and allmighty god, called allah kebab, could not prevent for centuries to be worshipped as a pagan idol, surrunded by so many pagan idols (359)??? Why smart black stones kisser??????
@hafsakirao3982 жыл бұрын
😂😂😂😂😂wakristo huu ni msiba mkubwa . Allah awafungue bongo zao. hio John 3:16 ingekua hakuna kwenye bibilia sijui wangefanya mini??