WAMI: MZAMIAJI ASIMULIA ALIVYOSHINDWA KUMUOKOA DEREVA NDANI YA MAJI "NIMEMUONA BADO YUPO MAJINI"

  Рет қаралды 238,755

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 252
@nelsonchivaula6574
@nelsonchivaula6574 4 жыл бұрын
Mvuvi anajielewa sana ..uwezo tunao na Nia tunayo good brother unatakiwa uingie kwenye kikosi Cha kutoa misaada kwenye matukio Kama hayo.
@janeulomi7398
@janeulomi7398 4 жыл бұрын
Anastaili pongezi
@raziankwassa9221
@raziankwassa9221 4 жыл бұрын
Pongez nyingi kwa kweli,mwili umetolewa muda huku ameharibika vibaya mno
@ayeshal4395
@ayeshal4395 4 жыл бұрын
Sn
@raziankwassa9221
@raziankwassa9221 4 жыл бұрын
Mungu ambariki sn,ameoolewa.muda huu,,tunazika tumbi hospital coz ameharibika sn
@ayeshal4395
@ayeshal4395 4 жыл бұрын
@@raziankwassa9221 mungu a mueke mahli pema peponi
@leahsilau6983
@leahsilau6983 4 жыл бұрын
Mungu awazidishie nguvu wavuvi hongereni sana 👏👏👏
@pericykiko6198
@pericykiko6198 4 жыл бұрын
Mimi nawaomba ndugu zanguni tumpende Sana Mungu tuwe na muda wa Fellowship na Mungu wetu na kujikagua kila mara km tuko sawa na kabla ya Safari weka muda wa kuomba maana wapo watu sirini chakula chao kikubwa ni damu ko wakati mwingine wanatega mitego yao
@tabyhamisi7797
@tabyhamisi7797 4 жыл бұрын
Hongeren wavuvi , mmejitahidi sana kadri muwezavyo mungu awapiganie
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 4 жыл бұрын
Watu kama hawa ni kuwachukua kuwaingiza kwenye kukosi cha zimamoto na uhokoaji vitu vingine sio mpaka vyeti vya shuleni
@claudiangowi9585
@claudiangowi9585 4 жыл бұрын
Kweli kabisa, ufarasa kuna kijana alimuokoa mtoto kutoka ghorofani, akapewa na uraia pamoja na kazi kitengo cha uokoaji
@hassanichuma7833
@hassanichuma7833 4 жыл бұрын
nchii walifanyir kaz swalaa hilii
@fahamnitwahir9249
@fahamnitwahir9249 4 жыл бұрын
Hapa bongo watapeana kwa kujuana wenye ujuz km Hawa wanaachwa walioajiriwa wakija hpo watashangaa shangaa na huenda wngkuwa ni hao ht hao waliookolewa wangshindwa kuwaokoa
@johnsonjohn8590
@johnsonjohn8590 4 жыл бұрын
Kabisa
@omaryrashird7879
@omaryrashird7879 4 жыл бұрын
Nimekuelew kwel kabsa kwa mawaz yak uko vzr
@noelbryson7840
@noelbryson7840 4 жыл бұрын
Poleni sana ndugu zangu waokoaji, Mmejitahidi kwa kadiri ya uwezo wenu!!
@dbrothers4551
@dbrothers4551 4 жыл бұрын
Hawa jamaaa wanastahili ajira kwenye jeshi letu la uwokoaji. Kazi nzuri sana.
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
Pole sana ndugu mliopatwa na ajali hiyo.
@irenemwakalinga4350
@irenemwakalinga4350 4 жыл бұрын
Dah thanks bro na wenzio kwa kuokoa watanzania wenzenu serikari ilitakiwa kuwapa kazi kabisaaaaa
@zaynabali6109
@zaynabali6109 4 жыл бұрын
Poleni sana NA mungu awazidishieni imani.
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 4 жыл бұрын
Daaah! 😥 Poleni Sanaa sehemu hyo hatar Sana serikal yetu ijenge daraja kubwa
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 4 жыл бұрын
Dah, hata njaa imeisha😭😭dereva Allah akupe kauli thabit
@Obia-t9d
@Obia-t9d 5 ай бұрын
Duuh jaman hatari sana Mungu awarehemu hao hao walio tangulia mbele za Mungu, lakini piah wanao jitolea kutoa msaada kama huu bac ni wakuu wa juu hawana budi kuwaangalizia na wao nafac ili waendelee kutoa msaada zaidi Mungu aendelee kuwalinda 🙏🙌🤲👏
@bernardjenga3737
@bernardjenga3737 4 жыл бұрын
Nchi inahitaji watu kama hawa..Mungu akupe maisha brother
@wemakalamu3538
@wemakalamu3538 4 жыл бұрын
Hawa ndio wakupewa ajira kwa kweli wanaokula pesa za sarekali mda huo hawapo mmmmm majanga matupu mwenyeezi mungu atunusuru kwa kila hatua dua yarrab 🤲🤲🤲🤲
@fizybahaj9529
@fizybahaj9529 4 жыл бұрын
Mungu wangu tupe mwisho mwema yarab🙏🙏
@rostapatrick2419
@rostapatrick2419 4 жыл бұрын
Mungu awabariki sana hata kwa hao wawili🙏🙏
@francismwimbe6750
@francismwimbe6750 4 жыл бұрын
Yani nimepata majonzi moyoni. Ila huyu mtangazaji ameniacha hoi aisee. Mwenyezi Mungu amtie nguvu huyo mama na wafiwa wengine wote katika kipindi hichi kigumu. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Africa.
@raiye5621
@raiye5621 4 жыл бұрын
SubhanaAllah Allah atawafanyia wepec kumuokoa na yeye maskin mtihni kwakweli
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 4 жыл бұрын
😭😭😭😭
@juliejaphet2700
@juliejaphet2700 4 жыл бұрын
Mtangazaji haupo professional mpe nafasi mtu ajieleze wacha haraka au unawahi stand🙄🙄🙄
@francismwimbe6750
@francismwimbe6750 4 жыл бұрын
Kweli..anawahi kuuliza hata bado hajamaliza kuongea jaman!
@neematesha5679
@neematesha5679 4 жыл бұрын
Anapaparika kama bisi
@salmirahally7794
@salmirahally7794 4 жыл бұрын
Na mimi nimesema hivl hivo anaboa sana
@josephmbarouk9617
@josephmbarouk9617 4 жыл бұрын
Ndo shida ya waandishi wa kibongo hawana utulivu kabisa
@waluohopaulo2116
@waluohopaulo2116 4 жыл бұрын
Big up to those rescuers they deserve medals
@alfoncejohn2104
@alfoncejohn2104 4 жыл бұрын
Poleni sana waokoaji wavuvi msaada wenu ni mkubwa sana. Mungu awabariki
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 4 жыл бұрын
Daaa jamani poleni sana ndg zetu kwa matatizo makubwa yaliyowakumba na pia poleni sana familia zote zilizowapoteza wapendwa wao ktk ajali hiyo Mungu wa mbinguni aendelee kuwatia nguvu ktk kipindi kigumu mlichonacho.
@annaanyango6510
@annaanyango6510 4 жыл бұрын
Pole Sana Anna kutoka Kenyan
@nasramwalimu2900
@nasramwalimu2900 4 жыл бұрын
Mi nikifikakaga hapo,roho mkononi,naomba mungu sana,
@greenafricatzorganization
@greenafricatzorganization 4 жыл бұрын
Hili daraja bado liko kizamani sana kwa karne hii hatupaswi kua na daraja la namna hii
@janemaya8470
@janemaya8470 4 жыл бұрын
Daaaah BWANA YESU dah
@faridaabdallah7620
@faridaabdallah7620 4 жыл бұрын
Inalilah wainarilahi lajuun polenisana ndungu Jamaanamarafiki mwenyezimungu awape subra polesana
@senyagwajunior9522
@senyagwajunior9522 4 жыл бұрын
Pole sana jaman
@nalyismail9915
@nalyismail9915 4 жыл бұрын
Duu jamanii yanii ukishafikaa hapaa tuu unaombaa munguu mto wamii jamanii uwiih,Kuna ndugu yanguu alinusurikaa kifoo hapoo na mim nishashuhudiaa ajalii mbilii hapooo,tangaa nakupenda Sanaa ilaa hapoo tuu ni changamotoo
@gracetiampati2170
@gracetiampati2170 4 жыл бұрын
Thank you for the news. But You can do more to help the woman get help from the public. By giving us the lady's mobile phone for well wishers who want to help her can be able to reach her please. Do something to help Tanzania.
@rajunrajun1429
@rajunrajun1429 4 жыл бұрын
Dah dunia tunapita mungu awarehemu marehem wote
@fatumaseleman9870
@fatumaseleman9870 4 жыл бұрын
Poleni sana
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 4 жыл бұрын
Mtangazaji unakera, c utulie asimulie kila kitu. Poleni ndugu kwa ajali hiyo
@enockadam8509
@enockadam8509 4 жыл бұрын
Kanikera sanaaa huyu mtangazaji, hatulii
@salimulaya4113
@salimulaya4113 4 жыл бұрын
Dah nilidhani ni mimi tu anazingua
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 4 жыл бұрын
@@enockadam8509 🤣😂😄😅unatamani hata kumskip ama kumuweka mute
@pericykiko6198
@pericykiko6198 4 жыл бұрын
Kutokana na hali ilivyo yakusikitisha labda na yeye ka punic
@yassinhashim1046
@yassinhashim1046 4 жыл бұрын
Anafel parefuu mno anatakiwa asi interupt
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 4 жыл бұрын
Medal of honor kwa wavivu hawa
@shakirafakhad9979
@shakirafakhad9979 4 жыл бұрын
Mungu amlaze roho ya mama na mtoto
@edinaakinyiapollo150
@edinaakinyiapollo150 4 жыл бұрын
kweli tanzani ni nchi yangu lakini bado iko nyuma sana kimaendeleo yaani siku nne bado hakuna winchi iliyofika kutoa roli duuu!!ni shida
@OmanOman-sm6dv
@OmanOman-sm6dv 4 жыл бұрын
Hili dalaja pia sio zuri serikali ifanye mpango watengeneze dalaja jamani pole wafiwa
@prophetessmsolo981
@prophetessmsolo981 4 жыл бұрын
Poleni sana jaman jumamos wakat tunapita hapo ni mafuta yalikua yametanda kwenye maji ...kiukwel inauma sana
@badrahassan7513
@badrahassan7513 4 жыл бұрын
Serikari hii njia ni nyembamba tunaomba mtuongezee njia inaumiza sana
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 4 жыл бұрын
Tupoe kwa msiba. Mtangazaji pole pole. Unakosea unapodandia masimulizi.
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 4 жыл бұрын
Mpewe kazi kwenda zimamoto na uokoaji ili msaidie taifa ktk majanga.
@ramadhanwilbard4685
@ramadhanwilbard4685 4 жыл бұрын
Serikali yetu inatakiwa kutengeneza upya hapo kona itolewa,daraja lipanuliwe na pembeni liwekewe vyuma vizito kwa maana kwamba hata gari ikijibamiza iziweze kudumbukia mtoni kwa uwezo wa Allah serikali yetu itatusadia kuondoa kelo hiyo
@ismailnamtuma1830
@ismailnamtuma1830 4 жыл бұрын
innalillaah wa inna ilaih raajiun. Ila tusijazane barabarani jaman kushuhudia majeruh,,ni vyema kuondoka,,wachache waendelee na uokoaji
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 жыл бұрын
Kuna haja serikali iangalie,kujengwe daraja namba mbili ili magari yanayotoka upande wa chalinze yapite kushoto na yanayotoka segera yapite kulia iwe tofauti ya mpishano.
@dynachriss5126
@dynachriss5126 3 жыл бұрын
Kwa ushauri tyuu sehemu zenye matukio kama haya siyo ya kusimama kushangaa kwa kujiachia lolote laweza kutokea lenye madhara zaidi😭
@anisetiswai4711
@anisetiswai4711 4 жыл бұрын
Dha poleni sana jaman mungu awe nanyi🙏
@ndamayapejr7725
@ndamayapejr7725 4 жыл бұрын
Daaah msimuliaje a.k.a Mukoaji no moja yuko Vzurii
@goldenhearts2192
@goldenhearts2192 4 жыл бұрын
POLENI SANA ndugu zetu, serikali ifanyie kandarasi Hio Daraja kupanuliwe litafutiwe namnaa kuokowa ndugu zetu, (Mimi kutoka Saudia)
@joleenmasha
@joleenmasha 4 жыл бұрын
Jamani jamani jamani Mama na mtoto wake 😭😭😭😭mbona imeniuma jamani
@jacksonjosephkungunde6337
@jacksonjosephkungunde6337 4 жыл бұрын
Mtangazaji umefeli sana bro
@nasramwalimu2900
@nasramwalimu2900 4 жыл бұрын
Kaka anajieleza viur mungu awasaidie,Tangu ijumaaa,yuko ndani ya maji!!!!!!
@aloyceiluminata3650
@aloyceiluminata3650 4 жыл бұрын
Huyu mtangazaji wa ayo TV..ni mbovu sijawahi kuona aisee..poleni ndugu
@hassanlubola414
@hassanlubola414 4 жыл бұрын
Polen sana ndg
@Ibrah287
@Ibrah287 4 жыл бұрын
Naona Semi la Howo SinoTruck hapo kwenye ajali, Gari mbovu sana hizi, takataka za mchina...
@HASASON
@HASASON 4 жыл бұрын
Ndio hizo za mradi wa maji arusha nini?
@Ibrah287
@Ibrah287 4 жыл бұрын
Hapana, hilo naona lilikua na Route yake tu, Ila ni gari za hovyo sana tena bora hizo Howo kuna zile FAW ndio trash kuliko..
@josephmakau7322
@josephmakau7322 4 жыл бұрын
Uwezo,tunao nania tunayoooo dah wekaka Unafaa uingiyee kwenye,kikosiii
@aishaabdi5637
@aishaabdi5637 4 жыл бұрын
Innalillah wainnailaih rajuun.....
@mwanakomboomar5624
@mwanakomboomar5624 4 жыл бұрын
Innalillah wainnaillah rajiun
@husnahassan6289
@husnahassan6289 4 жыл бұрын
Mungu wape kauli thabit marehemu wote Ameen
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 жыл бұрын
Inna lillahy wa inna illayhi Rajioun,Poleni Sana.
@rahabwaseykarim1507
@rahabwaseykarim1507 4 жыл бұрын
Poleni
@komboomar8275
@komboomar8275 4 жыл бұрын
*Hio sio daraja tena kwa dunia hii ya magari mengi na makubwa makubwa ijengwe ya kisasa ya 2lines bila hivo kila cku msiba... poleni ndugu muliopata msiba wa ndugu zenu Allah awape subra wakati huu mgumu*
@zaitunmaarufu3371
@zaitunmaarufu3371 4 жыл бұрын
Halafu watu wengine hawajielewi. Ss swali gani la kuuliza? Ushaambiwa wavuvi wanavua we unauliza wanavua nn? Uyo ndio Mwenyezi Mungu akipanga lake huwa. Inallillah wainailahi rajiun.
@mozasaid3869
@mozasaid3869 4 жыл бұрын
Dah! Inasikitisha sana!
@salummpala4176
@salummpala4176 4 жыл бұрын
Kiswahil Kaz Sana
@janemaya8470
@janemaya8470 4 жыл бұрын
Jamani daaaah siku ikifika imefikaaa.
@awadhiismail3154
@awadhiismail3154 4 жыл бұрын
Hivi ukiwa unaenda mkoa gani ndio unapita huu mto hatar Sana
@nkumbimnyamwezi2728
@nkumbimnyamwezi2728 4 жыл бұрын
Naijua hi seemu nikiwa naelekea dar nikifika wami bridge uwaga napiga dua sana nipite salama hi seemu sio mchezo mungu atawasaidia
@abdulkheri7322
@abdulkheri7322 4 жыл бұрын
Tupo wengi
@subiraboi9397
@subiraboi9397 4 жыл бұрын
Subhana Allah
@dennischarles8524
@dennischarles8524 4 жыл бұрын
barabara kubwa kama hii inahitaji double road ama sivyo ajali hazitaisha,magari makubwa yana stopping distance na sio kwamba brakes zime fail
@beatricesanga7856
@beatricesanga7856 4 жыл бұрын
Mmmmh kwahiyo waokoaji wanalipwa
@modestamavura8291
@modestamavura8291 3 жыл бұрын
Jamani poleni wafiwa.
@twaariqahmad7249
@twaariqahmad7249 4 жыл бұрын
Daraja halina nafasi ya kutosha na hata kingo zake si madhubuti Na huyo mvuvi anafaa kuwa katika kikosi cha uokoaji kwakweli
@ridhiwangdkhuuitki904
@ridhiwangdkhuuitki904 3 жыл бұрын
Hivi hapa wami imeshindikana kabisa kutanua daraja ua
@allyzayumba7624
@allyzayumba7624 4 жыл бұрын
Kumbe mkanda wakati mwengine unaponza sana Hugo dereva alovaa mkanda kashindwa kujitetea kwa aababu ya mkanda wenzake wametoka halafu tunalazimishwa kufunga.mikanda mmh
@onlytecna9498
@onlytecna9498 4 жыл бұрын
Ally Zayumba kuna ajali nyingiii sana watu wanakufagaa kisaaa mikandaa wanashindwa kujiokoaa muda mwingne mikanda inagoma kufungukaa
@davidcurtis8556
@davidcurtis8556 4 жыл бұрын
Mkanda unasaidia asilimia 70 hizo zilizobaki ni bahati mbaya sana, kama wewe unadrive kimbia speed 60 tu halafu funga breki kwa ghafla ukiwa umevaa mkanda baada ya hapo kimbia tena speed hizo hizo ukiwa hujafunga mkanda baada ya hapo kimbia speed 120 kwenye smooth corner ukiwa hujafunga mkanda baada ya hapo utapata bajibu maziri sana, mkanda unasiadia sana sana.
@richie2544
@richie2544 4 жыл бұрын
Lakin isikuzuie kuvaa mkanda unasaidia sana
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 4 жыл бұрын
Mm nahisi cku yake imefika hata acngelikuwa na mkanda ndo hapana budi
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 4 жыл бұрын
Innalillah wainaillah rajiun 🙏
@vero57
@vero57 4 жыл бұрын
POLENI SANA jamani
@noeljoseph7638
@noeljoseph7638 3 жыл бұрын
Wame hapana jamani huyo shetani aliye piga kambi hapo atuache anamaliza sana watu!!
@mudylivigha521
@mudylivigha521 4 жыл бұрын
Uyu achukuliwe na jeshi la zimamoto atafaa sana
@rabiuntouchable
@rabiuntouchable 4 жыл бұрын
Lijengwe daraja kubwa hiyo sehemu imekaa vibaya sana!!
@vascostanleymbisse4477
@vascostanleymbisse4477 4 жыл бұрын
Mtangazaji mbona unahoji huku unajibu mwenyewe....
@imaryvitandavizurisanaimar7920
@imaryvitandavizurisanaimar7920 4 жыл бұрын
Daaah
@nassornurdin1290
@nassornurdin1290 4 жыл бұрын
Kwahiyo wavuvi wasio somea uokoaji nibora zaidi kuliko walioajiriwa kwakazi yauokoaji.
@victorchampion1513
@victorchampion1513 4 жыл бұрын
duuuh, mbali na kuepuka Corona bado yanatutokea haya!!!!
@siwajalikayanda1969
@siwajalikayanda1969 4 жыл бұрын
Naiomba serikali iliangalie hili daraja kwa mapana (ni jembamba pia si imara ukilinganisha na mto wenyewe)
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 жыл бұрын
mwenyezi mungu atatufanyia WEPESI
@annachuma247
@annachuma247 4 жыл бұрын
Yesu wangu
@fririchikara
@fririchikara 4 жыл бұрын
Omyy so so heart breaking. Who else is a young KZbinr? Let’s keep the positive vibe and support each other❤️🥰
@successonlinetv2621
@successonlinetv2621 4 жыл бұрын
Millard ayo apa mtangazaji huna... Yani ana haraka kama yeye ndio anaehojiwa
@mwanaidimuhindi6671
@mwanaidimuhindi6671 4 жыл бұрын
Inasikitisha sana adisahii bado hajatolewa 😭
@csato9415
@csato9415 4 жыл бұрын
Kwa kweli inasikitisha sana hawa waokoaji wa kawaida tu wamefanya sehemu kubwa....je ina maana mpk sasa waokoaji wenye vifaa na wenye kazi hiyo (professional) hawana taarifa au hii habari ni ya wakati wa tukio.
@venstonvedasto
@venstonvedasto 4 жыл бұрын
Yaan😢😢😢😢
@loner_wolf
@loner_wolf 4 жыл бұрын
Kwanini Hilo daraja libaki hivyo muda wote .... Hapo nafikir inatakiwa daraja kubwa Kama la kigamboni maana hata hiyo dawasco na kituo Cha polisi haviko sehemu salama panapotokea mafuriko eneo Hilo..... Serikali yetu inabidi ilione Hilo wakati huu .... Wabunge wote wa Tanga wanapita hapo wanaona , Nini tatzo mmeshindwa kujua Kama hapo hapako sawa ? Au mkipita huwa mmelala usingizi 😂😂😂😂
@samanthaali873
@samanthaali873 4 жыл бұрын
Mtangaji mapepe kweli tulia ila hongereni yote mliossidia
@leverimlaki5667
@leverimlaki5667 4 жыл бұрын
Solution ni hili daraja kuongezwa ukubwa
@dechaggagirl1614
@dechaggagirl1614 4 жыл бұрын
Jmn mungu ilinde tz yangu😱😱😭😭😭
@mohachibu0017
@mohachibu0017 4 жыл бұрын
Duh mwandishi unaongea fastaa😳😳😳
@saleheabdalah7283
@saleheabdalah7283 4 жыл бұрын
HV hamna mamba hapo poleni kwa yooote yasiwakute makubwa zaidi ya hayo
@subiraukindo954
@subiraukindo954 4 жыл бұрын
Serikari iliangalie hilo daraja wami, ni jembamba sana
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 4 жыл бұрын
Kuna daraja jipya linajengwa pembeni labda likikamilika tunaweza kuepusha ajali mungu atatusaidia
@pericykiko6198
@pericykiko6198 4 жыл бұрын
@@homeboybeyondtheborders4935 Amina itakua Jambo jema sana
@naomiandrewandrew7685
@naomiandrewandrew7685 4 жыл бұрын
Na limeshachoka sana
@iffahbahet1499
@iffahbahet1499 4 жыл бұрын
Ajali inatokea popote hakuna wakupinga kauli ya muumba wetu sote
@nasriicarter4565
@nasriicarter4565 4 жыл бұрын
Dada yangu na mjomba angu pumzikeni kwa amani
@عليعسيري-س8ه5س
@عليعسيري-س8ه5س 4 жыл бұрын
Poleni sana jamani
@linnamlay3643
@linnamlay3643 4 жыл бұрын
Daraja jipya limalizike tu maana wami inamaliza watu jamani
@mjombamjomba1887
@mjombamjomba1887 4 жыл бұрын
Allah awahifadhi walio tangulia
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 26 МЛН
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
Sigma baby, you've conquered soap! 😲😮‍💨 LeoNata family #shorts
00:37
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Cinewatch
Рет қаралды 76 МЛН
How Power Transformers work ? | Epic 3D Animation #transformers
21:06
The science works
Рет қаралды 336 М.
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34