WANAFUNZI KUISHIA DARASA LA SITA ?, WAZIRI MKENDA AFUNGUKA “WARAKA UKIPITA TUTAANZA”

  Рет қаралды 12,012

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 24
@Direct-0000
@Direct-0000 Жыл бұрын
ushauri wangu elimu iwe mpaka darasa la nane pa siwe na elimu ya mpaka form 4, mifumo ya ufundishwaji iundwe upya ,watoto wanapoteza muda mwingi shule,wapunguze madarasa, na hata masomo ni mengi yasiyo na msaada kwa maisha ya mtaani, pia elmu iwe ya kuwajenga watoto kwa masomo ya elimu ya kujitegemea
@rodamakalwe57
@rodamakalwe57 Жыл бұрын
Shida sio kukomea la sita shida watoto wanafundishwa nini kama ni bado masomo ni yale yale bado tutakuwa nyuma na wakati mm ningeshauri tu mtoto afundishe kusoma na kuandika na hesabu ya matendo manne kujumlisha kuzidisha kutoa na kugawanya halafu afundihswe vitu vinavyohitajika kwa karne hii ili tupate mavumbuzi na watu wenye uwezo
@Direct-0000
@Direct-0000 Жыл бұрын
Kabisa upotevu wa muda tu
@frankjackson9016
@frankjackson9016 Жыл бұрын
Safi sana
@jtheophil5499
@jtheophil5499 Жыл бұрын
Idea ni nzuri lkn watoto wanaenda hawajui kusoma na kuandika
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 Жыл бұрын
Sio tu kuishia la sita,mfumo wa elimu ubadilishwe masomo yawe kwa kingereza kuanzia nusary mpk hiyo lasita,watoto wanamaliza shule hawajui kusoma,kuandika,Wala Hilo somo English ,wenzetu Kenya mtoto akimaliza la nane Yan yuko mbali mno,Zanzibar tu hapo watoto shule ya mcngi wako vzr kwnn TZ
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 Жыл бұрын
Haina maana yoyote hata kipindi kile kutoka dalasa la nane kuishia la saba elimu ikawa chini
@fredmbossa-kc3qn
@fredmbossa-kc3qn Жыл бұрын
hata huku primary mitaala ibadilike masomo yafundishwe kwa kingereza kasoro somo la kiswahili tu
@mrh2812
@mrh2812 Жыл бұрын
hapo itakua vizur
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Жыл бұрын
Apana Mimi siungi mkono kabisa ktk hilo Bora ibaki darasa la Saba tu,7,
@issotv1736
@issotv1736 Жыл бұрын
Kiazi kwelikweli
@simbamkali5334
@simbamkali5334 Жыл бұрын
Hata sera hiyo bado inswapotezea watoto muda mwingi wa shule Hali pia hawana hakika ya ajira.Mbona wafundishwe masomo yaleyale miaka saba Kwa kiswahili Kisha Tena miaka minne Kwa kiingereza, Kwa Nini kama kiingereza ndiyo universal language wasianze nalo Moja Kwa Moja?.
@magretkijanga6038
@magretkijanga6038 Жыл бұрын
Viongozi mulione hili,kw ukaribu,mtt anatoka la kwanza mpk la 7,kwa kiswaili ,inawapa shida sana wanakuwa fm 1,wakichanganywa na wa shule binafsi,awaelewi kitu kwa mda mrefu
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 Жыл бұрын
Tanzania mnavuruga sana elimu. Kila waziri anakuja na mambo yake.
@MasudiMikidadi-gp1us
@MasudiMikidadi-gp1us Жыл бұрын
Tatizo kubwa ni Lugha ya kufundishia tuchague kufundishia Lugha ya kiingereza au kiswahili kuanzia elimu ya awali mpaka chuo kikuu.Mfumo wa Sasa unwachanganya wanafunzi.Elimu ya msingi kiswahili,elimu ya juu kiingereza.
@rehemajuma2202
@rehemajuma2202 Жыл бұрын
Mi naunga mkono hoja waishie drs la sita tu.
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 Жыл бұрын
Wanaenda kujifunza kusoma na kuandika tu,kama wanafundishwa vitu vitakavyowasaidia ktk uvumbuzi sawa tofauti na hapo hakuna elimu
@stevenmilton2504
@stevenmilton2504 Жыл бұрын
Tulichelewa wap
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Sawa na masomo yawe English kasor kiswhili tuu bila hivyo itakuw Yale Yale tuu
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Жыл бұрын
Huo utaratibu haufai hata kdg
@issotv1736
@issotv1736 Жыл бұрын
Shule ya msingi iwe nikusoma na Juanita tu
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
Mh
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 Жыл бұрын
Masomo yafundishwe kwa kingereza na vitendo isipokuwa kiswahili..bila hivo elimu ya tanzania itakuwa bado ipo chini
Waziri Mkenda afafanua sakata la Walimu kufanya mitihani
8:05
Mwananchi Digital
Рет қаралды 4,3 М.
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
EVA mash
Рет қаралды 8 МЛН
Trapped by the Machine, Saved by Kind Strangers! #shorts
00:21
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 34 МЛН
Wait for it 😂
00:19
ILYA BORZOV
Рет қаралды 11 МЛН
Amazing remote control#devil  #lilith #funny #shorts
00:30
Devil Lilith
Рет қаралды 13 МЛН
"Mimi NITAJIUZULU, Waziri TUSIJIBIZANE" Mbunge Shangai akiwasha Bungeni
10:00
MBUNGE KISHIMBA ALIAMSHA BUNGENI LEO SAKATA LA MFUMO WA ELIMU
10:38
HISABATI DARASA LA V - - VII;  KUTAFUTA  K.K.S NA K. D.S
21:14
SYLMAS VISION FOR SCIENCE
Рет қаралды 28 М.
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
EVA mash
Рет қаралды 8 МЛН