Wale wanawake wa Wasafi TV wajifunze kutoka kwako Zamaradi, wanakua na kiherehere mingi sana kwa interview zao.....Irene u made me cry😭😭😭😭😭
@pinahoscar67355 жыл бұрын
Irene napenda the way unavoongea yan sauti yako tamu balaa👏👏👏maswali makini, majibu makini kiujumla bonge la interview hongera zamaradi baby😘
@jailethjosephales88605 жыл бұрын
Nakupenda Sana Irene uwoya Mungu yu nawe pamoja na mwanao.. Pole haya ni mapito ya Dunia everything will be alright 😍😘🙏
@AminaHussein-b9x Жыл бұрын
Pole sana kipenz nskupenda your very strong...umeipenda damu yako we ndo mama ww ndo baba....keep on going pambana mamaang we love u
@TRAVELANDTASTETANZANIA5 жыл бұрын
Bonge moja la Interview....💕💕💕 duh hadi nimelia na Mimi.
@estamapesa3635 жыл бұрын
Dada Yangu mambo uko wapi jmn ckuon miss you much
@hamidafundi-pw1gw5 ай бұрын
Naam! Kweli kabisa,mtoto wako ana busara sana .Wazazi hakuna chochote kikubwa unachoweza kumpatia mtoto wako zaidi ya kumzaa. Hiyo shule ya gharama kubwa sana siyo muhimu sana kama unaona uwezo wako hauruhusu.Elimu ni muhimu ila si kuridhisha walimwengu.Mhimu ni kumfundisha mtoto kuishi vyema duniani kwa kusoma shule zenye kutoa elimu nzuri na ada za kawaida tu.Pongezi Zamaradi kwa mahojiano mazuri, pongezi pia Irene Uwoya.❤❤🎉
@joycedaudi87655 жыл бұрын
Love you uwoya, jitunze sana, pia naona ada ipo juu sana ndugu yangu. Mtafutie shule ambayo itakup una fuu kulipa ada, usiogope wanadam kusema ni kawaida yao. Nakupenda,
@naomimmary38855 жыл бұрын
Bora ata ulimzaaga mtoto wako leo anakuwa faraja kwako, kuliko ungemtoa mungu akulinde umalize mwendo salama
@chunanachu25295 жыл бұрын
Nakupenda sana Irene mungu akutumzie mtoto wako na mungu akupe mwingine
@everlynekakatoi17045 жыл бұрын
Irene,you r a hero,singles mothers r hero's,hakuna mtoto anaishi maisha mazuri katika hii dunia kama mtoto was single mother,keep it up dear
@vitreenandeth34574 жыл бұрын
Nakubaliana nawe
@Angetrida5 жыл бұрын
Zama nlimiss Sana vipindi vyako your the best...and big up to Irene she is a woman and a half 🤗❤️❤️
@neykazungu61845 жыл бұрын
Wow! Asante Dada Zamaradi kwa interview nzuri, Pole Irene kwa mapito uliyopitia, usife moyo endelea kupambana wewe ni mwanamke mzuri na jasiri....Nakupenda sana
@Lawrenciamuhode5 жыл бұрын
Nampenda Sana Irene😘umeniliza stay blessed
@princesssway13965 жыл бұрын
Nampenda pia IRA anamaringo bora wema
@swabrakaisary89605 жыл бұрын
Pole saana Iren kwakweli umenistisha saana nimkasa ambao Mimi napitiaa wakusomesha mtoto ivyo nimeumia saana Munqu akutie nquvu
@dorislelo2875 жыл бұрын
Best interview Irene amefunguka unatendeaga haki zama ila pale alipokua analia ungejaribu hata kumliwaza kidogo kingine mahijiano mengine pasikose angalau maji na tissue
@aishaomary73845 жыл бұрын
Pole Irene hata ivo unaitaji pongezi kwa kusomesha mtoto kwa Ada hiyo mungu akupe maisha marefu
@switbird24love575 жыл бұрын
Irene answered the question accordingly......Big up zama
@brianmbuvi14982 жыл бұрын
Good interview Zama🙏 MUNGU ampe Irene maisha marefu aone uzao wa crishy watching from KENYA
@Gmalen5 жыл бұрын
Dada Irene maisha yako ni fundisho kwa akina dada wengi mno na hata sisi akina kaka , tunashukuru sana kuwa muwazi Honestly Nakupenda sana dada ❤❤❤
@saraaswile8865 жыл бұрын
Saf
@saraaswile8865 жыл бұрын
Gmalen HappyZone Paradise
@asiaafreka34805 жыл бұрын
Nikweli kbc ndugu yang
@عبداللهالبلوي-غ2ل5 жыл бұрын
😥😥😥😥😥😪😪😪😪😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Umeniliza pia irene Mungu akulinde💖
@saidahj25435 жыл бұрын
Huwa naumia nikiona mwanamke akilia especially single moms ...pole irene..God will see you through darling
@maryamoman59265 жыл бұрын
Atamimi kwweli kabisa
@naftalkileo52245 жыл бұрын
Wasanii mi naonaga kama wanatoa vile
@neemammary59855 жыл бұрын
Hongera zama nimependa kabisa interview yako Ireen pole umeniliza
@mariamissa47654 жыл бұрын
Daah nmeumia kweli kuona machoz yako ,Irene mungu akuongoze dada katika safar ya maisha yako na mwanao
@sakinakamagi59385 жыл бұрын
mdogo wangu Irene Nakupenda sana ninavyokusikiliza Na nilovyokuchukulia nimejifunza sana, hongera Naomba Na Mimi uniialiike uko vizuri mama Na mungu akusimamie ktk kazi zako
@SandraSalomeAngolorctr5 жыл бұрын
Dada Zama..you are doing a great job but a nice table between those chairs with a box of tissues and some cute flowers would be nice. Love from Ug🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@neemaelias70225 жыл бұрын
Vp
@dignaerasto66995 жыл бұрын
Nakupenda Sana madame Irene na zamarad Uko vizuri Sana
Kitu nimependa kiswahiliglish hamn had raha zama na Irene mpo vizur wote muuliza na muulizwa nimewapenda
@hadijahassan94265 жыл бұрын
Dah hii interview nimeipenda sanaaaaaa hongera Dada zama kwakuuliza vzr maswali❤hongera Irene umejibu vzr maswali❤Leo umepona Irene moyo wako utapoa Kwa machungu yaliyopata sababu umeongea utajisikia vzr sana ❤
@zuhurasaidy10225 жыл бұрын
Hee we mtu shetan sikwakucha hizo
@SB-li5qv5 жыл бұрын
Irene mzuri mnoo....Big up Zama.
@bettykim1465 жыл бұрын
Congratulations sister zama I like the way you put your interview in order more love from Kenya 💕💕❤
@mwanakheriseleman31065 жыл бұрын
Hongera zama kwa interviews nzuri, na Irene umejibu vizuri kiasi tumeelewa maumivu unayopitia pole sana.
@emmanuelmichael71304 жыл бұрын
P0lisana
@michelinemapendo66525 жыл бұрын
Pole sana Irene wangu mungu yupo 🙏🙏❤️
@norahmtemi11433 жыл бұрын
Naelewa maumiv unaypitia mom
@ansilaulotu71785 жыл бұрын
That's what we call absolutely mother's heart, mother's love, mother's everything!!
@zennakailo81065 жыл бұрын
Pole sana Irene hayo yote ni mapito Thanks so much Sister Zamaradi 😘
@NdanoIsmaill-vo9ym Жыл бұрын
Nakupenda Sana Iren Mungu akubariki Sana na akulelee mwanao na akue KATIKA maadili mema Insha,Allah🙏
@ladymashaallahilikeuaadvis9975 жыл бұрын
Irene ni mwanamke mrembo Masha ALLAH, na unajiamini pia wewe ni mwanamke wa shoka ALLAH akutanguliye katika malezi ya mtoto
@divinebernard26244 жыл бұрын
Namimi nampenda
@theresajohn-go8ko Жыл бұрын
Hongera dada zamaradi love you...I like the way she is strong and fighter...
@neemaerasto18425 жыл бұрын
sister zamarad ur a super woman i lov very much big up and ur interview session very sorry irene uwoya let God be with u in ur hard time ur passing through
@lucymsensemya46505 жыл бұрын
very nice interview hongera Zama,pole Mama Krish najua unayopitia I'm a single mother too
@zeyleedsuleysh26885 жыл бұрын
❤❤❤❤💖💖
@marckgft97645 жыл бұрын
Kwl leo hy dda ndo kaongea nkamuelew na nmejifunz kit blessed Irene
@leoniabeda27115 жыл бұрын
Nakupenda Sana Irene wangu, ucjal Mungu akupe maisha marefu umsomeshe kaboy wetu Krish
@mudahogoradaella3857 ай бұрын
The way she is beautiful 😍 may The Lord wipe ur tears hun
@goodluckkitomari28095 жыл бұрын
Zamaradi unajua sanaaaaa kumfanyia mtu interview mnooo ww ni no 1 yang toka take one mpka leo❤️ sanaaaa
@mariamwazir11255 жыл бұрын
Mpole sana
@julianamuga3895 жыл бұрын
Million waaattt😳😳😲😲😲😲😲😲😯😯😮😮😮😮doh unaela niamini Mimi
@MARY-bt1zm5 жыл бұрын
Nakupenda da Irene na sijutii maana sote wanadamu na kila mmoja wetu ana mapungufu yake..😍😍😍
@lovennesclement12915 жыл бұрын
Dah umenitoa machoz Irene wangu,usjali Mungu akutie nguvu ili mwanao apate elimu bora
@alimashaban63185 жыл бұрын
Ma sha Allah irine uwoya you are a strong woman keep it up,umeniniliza ulipolia na ukanichekesha kwa maneno ya krish eti acha zako mm wee huna hela😂😂😂afadhali yako ww unajuwa mzazi wake alifariki!sisi wengine tunapambana na wazazi wa watoto wetu wapo ila hawashuhulikii watoto wao🙉🙉
@sifamugwaneza11785 жыл бұрын
Nakuelewa sana mpenzi #IreneUwoya asiejua uchungu wa mwana aende #Leba ataelew why unalia! Ila hongera san mamii unajitahid kbs na Mungu azidi kukupa nguvu na maisha ili umuudumie Mtoto.
@rahillhamidu25445 жыл бұрын
Umenitamanisha TAKE ONE, hongera Sana zamaradi maswali mazuri na majibu mazuri, Irene uko Sawa always
@uwasecharlotte13675 жыл бұрын
Kweli kbsa maisha ni safari ndefu sana,Pambana Mama krish.
@marthampalanzi887 Жыл бұрын
jomon irene tunakupenda ur so strong as a woman and my inspiration...usilie🥺😔
@TheSalma19995 жыл бұрын
Awww mtoto anaakili sana mpeleke shule ya kawaida usijitese Irene huyo mtoto yuko kama mwanangu anavyonipaga moyo your beautiful mama kaza buti mamaa
@monicaisaya61434 жыл бұрын
Hongela Sana Irene kulea mwanao kitoto chako Cha kinyrwanda kishangazi changu ❤️❤️
@keits2555 жыл бұрын
“ Tanzanian Oprah “ people Seem to open up with you Zamaradi . You’ve got that connection with people ! Good interview!
@dr.sarupendoTV5 жыл бұрын
Kate Semiono kzbin.info/www/bejne/j3rSdISbhZlrr80
@annabawili16264 жыл бұрын
uko vizuri dada nakupend
@hassanovajunior69725 жыл бұрын
Zama wee dada unajuwa aisee sikutaka hii interview iishe wallah yaani uko makini na unajuwa unachofanya kweli wew kichwa Nakuona mbali sana Dada angu Much respect Irene Uwoya Umejieleza Vizuri Sana ila next time Zama uwe unawekaga Tishu karibu❤❤❤👏👏👏👏
@mariajonas91935 жыл бұрын
mmh
@winfreygodfrey43395 жыл бұрын
Hongera IRENE MIMI NAKUPENDA BURE NA UMENI INSPECTOR
@elikareuben26495 жыл бұрын
Irene ni smart sanaa
@hamisimwawa69265 жыл бұрын
No Chanel ya mia na ngapi sijuwi nijuzeni!
@shakirashabby33065 жыл бұрын
nampendaa sana irene
@jeygelgerald6745 жыл бұрын
Usimuilze maswal yakumliza nampenda sana uwoya she's my twin
@openmindtz5 жыл бұрын
nimependa show ni nzuri n very creative kwanza ni mtu kuwa Open zaid na mahojiano yaliyo tokea huko nyuma na Tvshow zingine....ila changamoto iliyopo ni juu ya sauti kutosikika vizuri mfano dakika ya 27 sauti inaanza kuyumba na kusikia vby....i hope next more show we wil have gud n great One....i bless the show
@ahmedali15525 жыл бұрын
Million 30....wabongoo kwa kuongezaa mazerooooo
@sheylasaidi24465 жыл бұрын
Pole IRene unaniliza historiayako inafafafa nayangu Nina watoto Baba hayupo tena duniani lakini ninalia kilasiku kwaajili yamaneno ya watoto kiukweli inaliza 🙏🙏 pole Sana mugu atakusaidia mpendwa
@getrudejuma33545 жыл бұрын
The only high valued professional journalist, wengine wanatafuta udaku tu!
@zaikarori59984 жыл бұрын
Pole Sana alini
@ruthnandwa70225 жыл бұрын
From +254 Irine am proud of you......am really shedding tears coz of your story......may the almighty God shower his blessing unto you and your son Chrish....keep going gal. ...don't loose hope
@angelitajmbuya93905 жыл бұрын
Wooo i like ur question dada zama 😘😘😘🔥🔥 Unaweza ona mtu anakula bata lkn anayoyapitiaa anayajua mungu Keep it up sister uwoya
@siyangasamson79635 жыл бұрын
Waonyeshe na hizo struggle
@angelitajmbuya93905 жыл бұрын
Siyanga Samson si ndo kazisema apo jmn
@josephineshayo33225 жыл бұрын
Safi sana Irene big up mumy
@tuonhfhgf16055 жыл бұрын
N kweli!
@upendosanga93585 жыл бұрын
Kabisa
@zainabumtubwi2635 жыл бұрын
Iren hii itervwe amefunguka sana .zamaradi anaijua kazi hii kiundani.kajibu maswali yote tena bila dharau kabisa maana uyu anakuaaga na dharau saana ya majibu yake kila swali yeye uqananjibu no comment.lakini hii kaweza kujibu kisawasawa.hongera sana zamaradi mtetema.
@lidaroserutaguza39875 жыл бұрын
Nakupenda sana Irene hakuna kama mama I believed in that just be strong my dear 💖😘😘😘😘kila kitu kinatokea kwa sababu just believe in God
@mustaabdalla57545 жыл бұрын
leo imeniuma ii
@hawawaomary8345 жыл бұрын
Da Zama hongera saana Nakuombea uendelee kupiga hatua
@WendoJuma5 жыл бұрын
Irene....she is very emotionally
@severinemabirika22495 жыл бұрын
U can't say she is very emotionally .....but say she is very emotional
@ShaniceNdunge8 ай бұрын
So smart indeed from top to bottom 😘💋💋
@rahillhamidu25445 жыл бұрын
Zamaradi hongera Sana Irene ana kuheshimu Sana kwa kujibu hayo maswali yote
@saumusaid70025 жыл бұрын
Pole mwaya
@asiamohamed78295 жыл бұрын
Nimeipenda iyo mtangazaji katulia mpaka maswali unajibu bila kutegemea hongera zenu
@petroprenge87165 жыл бұрын
Technical advice: Kuna Mwangwi unasikika ambao sidhani kama ni necessary, fanyia kazi hilo @Zamaradi
@tanzaniaoman64235 жыл бұрын
Wow asante sana kwa kipindi kizuriii sana 💕💕💕💕
@asnalially67995 жыл бұрын
Yaan bonge la interview zama anauliza maswali kiakili sana mpaka irene kaongea ukweli wote sijasikia NO comment 😄😄😄👍👍
@lubenomaxanssichilya51193 жыл бұрын
Nakupenda sana ayilini kutoka moyoni
@lubenomaxanssichilya51193 жыл бұрын
Na kuomba uni elewe
@marycruzzrichie68005 жыл бұрын
Yaaan had nimelia irene uwoya nakupenda bure na wewe ni mwanamke jasiri sana mwenyez Mungu akutie nguvu na abariki kazi za mikono yako
@miriamcheya31365 жыл бұрын
Km ulishawah kufwatilia interview za irene nahukuona machoz sponges kwa zama km umeona hilo gonga like twende sawa
@messinakidodi5795 жыл бұрын
Pole Sana daa Irene uwoya ...haya n maisha ...akuna maisha rais ...kuwa n subra kila kitu kitakuwa Sawa inshallah..😰😰😰
@asinathasinath50905 жыл бұрын
Unaniliza dada uwya❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢
@najmaally75562 жыл бұрын
Nakupenda iren sana yaani unajitambua sana umekuwa mama mzuri sana Kwa kijana wako
@malisemagasper16855 жыл бұрын
Hongera sana zamaradi unahoji kwa step lkn pia maswali yako ya heshima sio ya hovyohovyo yan unajua kuuliza kwa hekima
@nusurasalumnusura11065 жыл бұрын
Kabisa
@fatumamurshid5685 жыл бұрын
Fact
@janethmwambona43866 ай бұрын
Zama as usual
@getrudacharles57975 жыл бұрын
pole mamy mtegemee mungu utashinda mungu akukuzie mwanao ktk kimo na maarifa usikate tamaaa
@charlynmasai21645 жыл бұрын
zamaradi is the best his interview is of high level
@justvirgo7616 Жыл бұрын
My introverted fellow… beautiful Uwoya❤❤❤❤
@ivythequeen58204 жыл бұрын
What a heart touching interview ,it gat some lesson too
@victorpaulmalatu50365 жыл бұрын
Mungu anipe maisha marefu kwakweli,nimeuona uthamani wangu kwa wanangu nikiwa kama baba,god bless me.
@Neemakilimba3 жыл бұрын
Victor paul malatu ,Hilo jina la malatu mbona nilababu yangu
@joanalfred10745 жыл бұрын
Zama please lighten the stage imepoa sana make it classy , otherwise it’s dope! You know you are the best! Irene thanks for sharing
@zuhurazubery50885 жыл бұрын
joan alfred
@ramadhaniayubu61035 жыл бұрын
Dada Zamaradi una maswali mazuri sanaa kwa kwerii penda sanaa
@asiakomba10565 жыл бұрын
Daaah nimejikuta ntokwa Na machozi pambana Dada kwa ajili ya mtoto WK krish love
@faridabakari85115 жыл бұрын
Nice interviews...... love you Irene uwoya mama krish utafaulu na mtoto atakuwa
@angelmwandata22335 жыл бұрын
Irene mbna unatuliza wenzio huku pole dada😭❤❤
@neemaramadhani19815 жыл бұрын
Cant wait ya wema..🤗🤗🤗
@neemamayco32385 жыл бұрын
Jaman acha tuu
@kadungulu111 ай бұрын
Hugs dear you are a great mother and God loves you
@arabellakibella45595 жыл бұрын
Nice interview Wanawake wa nguvu nawapenda sana Zama and irene😘
@joank55505 жыл бұрын
Irene u're a fighter. Wewe ni mama wa mfano wa kuigwa. Ila unajinyonga sana. Million 30 ni gharama sana. Mbona zipo shule nzuri tu za gharama nafuu.
@tinas.60585 жыл бұрын
Good interview 👌need tissues and some drinks for next time 😊love you Irene 🥰
@devybernardlaizer77135 жыл бұрын
Nimekuelwa Irene love you be strong mamii 😘😘
@vailethywalter56745 жыл бұрын
lrine nakupenda sana wewe ni mwanamke mzuri na jasiri sana 😘
@janetulumimboye92255 жыл бұрын
Irene kaza buti mdogo wangu, me binafc nakupa big up kubwa pia nakupenda wote tu na zamarady