Ladha mashuhuri za Qasda Zanzibar na Tanzania kwa ujumla.
Пікірлер
@yusuphkilonga8240 Жыл бұрын
Wow! Maa sha Allah. Shule yangu nilipita since primary to form 4. 2011. Nashkuru kwa mlinochonifunza na kunitengeneza kuwa nilivyo sasa.
@OfficialEl-khaify_Production Жыл бұрын
Mashallah mashallah jambo zur na jema Allah azid kukuongoz
@binali38843 жыл бұрын
Pia hongera kwa wote waliosoma pmj na wanafunz wote na walimu kwa ujumla.
@salamaalisaid39233 жыл бұрын
Mashaallah najivunia kusoma skuli ya jangombe toka nussary Hadi secondary wanaotubeza hasara kwao jangombe oyeeeeee wallah jangombe ni fahari kwetu tumejitolea kila fani alhamdullilah
@OfficialEl-khaify_Production3 жыл бұрын
Jambo zur mashallah naamn mumefurahia kua miongon mw wanafunz w jangomb n kwel n fahar mashallah
@abdallahsalum73013 жыл бұрын
Mwalim Muhammed bado yupo
@jumafaki16973 жыл бұрын
Hongereni Sana
@OfficialEl-khaify_Production3 жыл бұрын
Asnte mkal wao
@sitisalum18063 жыл бұрын
Ndio ivy
@nassirhamad94073 жыл бұрын
@@OfficialEl-khaify_Production Kwemaaa kaka.... hongeraa sana kwaa kazii Naombaa biti yaa hiii Kasidaaaa plz
@OfficialEl-khaify_Production3 жыл бұрын
Mm cn
@ahmadsayyeed79103 жыл бұрын
Yallaaaaaaaaaaaaaaaaaa heluwa nimependa sana tunataka tuwajasili muungane nasi Aqaz mloisoma hii kasida✍️👏
@OfficialEl-khaify_Production3 жыл бұрын
Wapo hao hahahaha salam znafik
@khadijamohamed21032 жыл бұрын
Nmeipenda hii mashallah
@OfficialEl-khaify_Production2 жыл бұрын
Asanteeee
@rahmamachano77653 жыл бұрын
Nimeipenda mno ,hongereni sana wanafunzi wenzangu
@OfficialEl-khaify_Production3 жыл бұрын
Mashallah
@nassirhamad94073 жыл бұрын
@@OfficialEl-khaify_Production MASSHAA ALLAH Hongeraa kaka naombaa biti yaa hii kaziii plz nina umuhimu nayoosana
@binali38843 жыл бұрын
Uyo dada wa kati aliesoma beti ya 2 na answer yuko vzr sn MAASHAALLAH kaitendea haki kasida.
@OfficialEl-khaify_Production3 жыл бұрын
mashallah wote mm naon wako saf kbsa
@fahadayoub8503 жыл бұрын
Maalim juma mungu amueke kwa kazi nzuri
@OfficialEl-khaify_Production3 жыл бұрын
Mashallah kazi mashuhuri
@laylaali93323 жыл бұрын
Hongera Jangombe Secondary School Najivua kua miongon mwa Wanafunz waliosom hii Shule
@OfficialEl-khaify_Production3 жыл бұрын
mashallah jang'ombe yenu wenyewe
@alihamad77843 жыл бұрын
Teeena had raha jangombe oyeeee najivunia kusoma jangombe
@mohdhashim16863 жыл бұрын
Nimekubalii kazii director
@OfficialEl-khaify_Production3 жыл бұрын
Asanteee tufany tushut
@OfficialEl-khaify_Production3 жыл бұрын
Brother
@zuhurnassor88213 жыл бұрын
Mashaallah
@OfficialEl-khaify_Production3 жыл бұрын
Asanteee
@shanishamsi95763 жыл бұрын
Pambe mashallah napenda sana
@OfficialEl-khaify_Production3 жыл бұрын
Unapend kitu gani
@shanishamsi95763 жыл бұрын
@@OfficialEl-khaify_Production kasda
@OfficialEl-khaify_Production3 жыл бұрын
Kuimb
@shanishamsi95763 жыл бұрын
@@OfficialEl-khaify_Production eeee
@OfficialEl-khaify_Production3 жыл бұрын
Naaam
@laylaali93323 жыл бұрын
Nmeipend sanaa Najivunia kusoma Jangombe
@OfficialEl-khaify_Production3 жыл бұрын
Mashallah
@zanmedia52253 жыл бұрын
Wamejitahidi sana maashalla
@OfficialEl-khaify_Production3 жыл бұрын
Mashallah asantee bro
@is-haaqfikirini31993 жыл бұрын
Kazi nzur
@OfficialEl-khaify_Production3 жыл бұрын
Mashallah
@aliali-mv9hl3 жыл бұрын
Nimefurahi kuona skuli yangu Jangombe. Najivunia pia mwana Jangombe