# from (ketumbene/ Tanzania 🇹🇿 Mekiyeu ilomon kumok .tunataka tushirikiane tujenge nchi yetu .Na tuimarishe usalama .🚶
@fredrickmbaruku78273 жыл бұрын
Nanukuu maneno ya Rais wetu mpendwa mama Samia "Bango moja linaondoka na mkurugenzi au mkuu wa wilaya mmoja " Asante Sana raisi wetu kauli yako imetoa viongozi maofisini na kufanya mazungumzo na wananchi WA chini
@filmonpeter75873 жыл бұрын
🇹🇿 MKOA WA ARUSHA LONGIDO : mmesikika: Hizi ndio maendeleao ya sasa inayo takiwa kila mtu kila nwananchi asikike Kwa Kero yoyote .ili tuweze kusaidia popote Na kusikika zaidi ndani ya nchi yetu na serikali yetu.bila ubaguzi yoyote.