Sasa mbowe anauwezo gani wa kumzidi lissu? Wanangu wa lissu tujuane kwa like
@samwelmatemu88739 сағат бұрын
Lisu ana uwezo gani .anapesa kiasi gani wewe unafikiri makelele yake Kama ya mwanamke Malaya ndio kuongoza chama.
@1961nungwi9 сағат бұрын
Kuongoza chama sio una hela kiasi gani. Ni maono na uzito wa hoja. @@samwelmatemu8873
@wiliamkatala9 сағат бұрын
Uongozi sio pesa ww,Rudi shule.@@samwelmatemu8873
@BARAKALUKUMAI-h7t11 сағат бұрын
Lissu your the best no one like youuuuuuiiii,
@JoelSanka-u3n11 сағат бұрын
Lissu ni wa muhimu kwa sasa
@raymondsekabigwa59079 сағат бұрын
Sasa tunajua Hakuna demokrasia Chadema. Waongoooo
@yonazimpombe11609 сағат бұрын
MIMI SIPENDI SIASA LKN LISSU NI MSEMA KWELI, SIO MUOGA, ANAONYESHA NJIA IWAPO KAMA AKICHAGULIWA NAOMBA NIWE WA KWANZA KUKABIDHIWA KADI YA CHADEMA NA LISU
@JoelSanka-u3n11 сағат бұрын
Lissu muhimu
@EmmanueNzilano15 минут бұрын
Lisu ❤💪✌️
@malackedson770610 сағат бұрын
Tunataka tundu lisu.
@josephmantago283711 сағат бұрын
Sisi tunamhitaji mh Lisu
@7stianPius11 сағат бұрын
lisu yuko juuuuuuu sana
@paulojohn960811 сағат бұрын
Majungu hayana faida mbowe msipo angalia mtauwa chama
@hectorgold14710 сағат бұрын
jamani anastahili kuwa wapi acheni kumusema vibaya lisu sio vizuri mungu hapendi aheni lisi aiongozi chadema mbowe umechoka
@mosesmacha10809 сағат бұрын
Hiyo Kamati kuu inakaa vipi bila Lissu
@AllyKija10 сағат бұрын
Kumbe hiki chama ni Cha mtu mmoja Bali c chama Cha wanachama
@samwelyesaya12028 сағат бұрын
Mtahangaika sana Lisu atashinda uchaguzi
@7stianPius11 сағат бұрын
lisu apewe uenyekiti tafadhali,huyo wenje na mbowe wamekula hela za abduli
@DiwaniMwafongo9 сағат бұрын
Mbowe Hana issue!! Akakojoe, alale!!
@allyshaban40611 сағат бұрын
Tena wafanye hivyo haraka sanaa kama taarifa hizo ni za kweli. Lissu tutampigia kura za nje mbowe apigiwe za wajumbe.
@michaelmshighati84329 сағат бұрын
Mbowe amechangia Mchango Mkubwa sana ila Agombee Uraisi atamshinda Samia ila uenyekiti ni LISU Uraisi Mbowe anahekima za Kuongoza NCHI ila CHAMA pumzika LISU akuingize Ikulu.
@adamsanga06215 минут бұрын
Mbowe know brother heshima yako ipo mwachie lieu tunaipenda chadema
@ignasmahundi473412 сағат бұрын
Hawana.jeuri hiyo
@mfwimiekayuki86925 сағат бұрын
Kifo cha CHADEMA itakuwa Mbowe.
@masijamajogoro72318 сағат бұрын
Yeriko ndio kitu gani.. pitapita kule Lissu ndo habari ya mjini
@josephmchila646710 сағат бұрын
Kibajaji my best MP
@SalmaAthuman-hp3en3 сағат бұрын
Ukiwa mkweli utaonekana hufai mbowe ni mla rushwa na vichawa wake walamba asali mbowe ashazeeka apumzike ashalamba sana asali za samia mbowe hana nguvu tena kwenye siasa
@naftalsigwejo62310 сағат бұрын
Hivi makamu wa sasa anatofauti yoyote na zelensky ktk misimamo na mtazamo. Zelensky anaua watu wake kwa faida ya magharibi. Huyuu ni hatari. Mbowe!!! Huraaaàaaaaasa
@michaelmshighati84329 сағат бұрын
Niwakati wa LISU Enough is Enough Tunamtaka LISU mpende msipende ni LISU.
@osmannassor18458 сағат бұрын
@@michaelmshighati8432 kisha naona hamna kazi, nchi hiyo ni ndoto za mwendawazimu kuchukua nchi,
@jumamnumbwa94836 сағат бұрын
Cdm ni chama cha mafisadi wa awamu wa serikali ya kwanza msimamizi wa pesa zao walizoweka nje ni mbowe
Chadema kwisha na muaji wa chama hiki ni mbowe kwa nini akae miaka yote hiyo alikuwa asigombee tena Good bye chadema
@rebekakulwa61593 сағат бұрын
Apewe lisu mbowe abaki na maridhiano yake ya uongo
@RamsonBosco9 сағат бұрын
Kwenye chama lisu nijuu
@RichardLyamuya11 сағат бұрын
Lisu hana uwezo ,siasa zake ni za mihemko ,Mbowe ni mzee wa siasa za mikakati ndie anaefaa
@EphraimMwandemange11 сағат бұрын
Muongo wewe acha kuwachanganya watu
@SalambaPeter11 сағат бұрын
Toa hoja tujagiri sio kubeza mtu , hivi kugombea kwa mujibu wa katiba wazifa wowote ndani ya chama au lisu amefanya kosa kugombea?
@josephwilliammnyune546411 сағат бұрын
Hapo sasa. Kumfukuza Lissu, ni sawa na kung'oa goli.
@AndrewChilua10 сағат бұрын
ENDAPO mtasubutu kufukuzalisu NDIO mwisho WA CHADEMA ukwelinihuo
@ramajuma562010 сағат бұрын
Hizi media zingine zinatafut kujikuza kwa mambo ya kipuuzi to
@ShaibuAwadhi8 сағат бұрын
Miaka ishirini ni mwenyekiti duu inanipa shida hiyo
@youssefsanje87438 сағат бұрын
Chadema imekula upande
@gracekagoma32318 сағат бұрын
Chadema shida yenu ni utawala tu.Hamuongelei sera mtusaidieje.Mnaongelea kuwa Lissu awatishe CCM ili mpate madaraka.Vitisho vyake ni kupeleka ujumbe kwa vibaraka ili tusipate mikopo😢.chizi. Chadema tunawaamini.nyie hamjafanya lolote zaidi kelele ugonmvi matusi😢usaliti nk Chadema mjitambue😢
@Chungueni9 сағат бұрын
Hicho chama cha mkwe wambowè mzee mtei yaani mbowe kuachia hicho chama mpaka MUNGU apende wezangu namimi tunashabikia tusichojua luzuku ni zafamilia kn lisu kutetea chama kote leo mnaona hafai atafute chama chenye katiba na miongozo
@NicholausVedasto7 сағат бұрын
Nyoko kabisa na channel yako
@zebedayokatamaduni96763 сағат бұрын
Liongo sana
@andreahongole933210 сағат бұрын
Umeitoa wap hii boss wang
@JoelSanka-u3n11 сағат бұрын
Sion uongo niuwazi mtupu
@JohnKatwanga-l1gСағат бұрын
Iisu mwamba
@gracekagoma32318 сағат бұрын
Lissu a n a uwezo gani kumshinda Mbowe au kwsa kakaas U b eljiji au vipi😮😢
@nasramusaro8 сағат бұрын
Hata kusoma hujui
@OmaryHeri-c3h10 сағат бұрын
Ndio maana hua tunakataa kubonyeza alama ya kengele ya tv zenu kwa ujinga huu
@RubensaroSaro-ip6by11 сағат бұрын
Watajuana wenyewe , chadema chama kuzur lkn viongozi wake wote n wapenda fujo hawana matendo kazi fujona makejeli pamoja na uchochezi wa vurugu, hawana chochote kwanza hawaaa
@Selemlaki13210 сағат бұрын
Wazee wanataka kuchafuana hawa
@RajabuMandia11 сағат бұрын
Sakata hili SISI wapenda amani tukae mbali tuone hatima ya uongozi chadema
@JohnS.mwafubo9 сағат бұрын
Ww ni ccm acha uchafuzi
@mage53716 сағат бұрын
Yote ya Nini tusubiri kura zitaongea
@osmannassor184511 сағат бұрын
Huyu lisu hafai kbs kuwa kiongozi, kwanza anaropokwa bila kujua anasema nn, ukifuatilia hotuba zake ni za uchochezi na ubaguzi, hivi karibuni nanukuu, akisema Raisi Samia ni mwizi na uislamu wake,imehusu nn uislamu? Kwsni chama hicho hakina waislam?
@iddykivu05011 сағат бұрын
Kwaiyo Huo ndo Uwezo wako wa kufikili Ulipoishia
@7stianPius11 сағат бұрын
wewe ndo hufai Kennedy wewe,lisu viva
@JoelSanka-u3n11 сағат бұрын
Anafaa lissu sanaaaa
@YohanaMasebo8 сағат бұрын
Mkundu wewe mzee wako ndo hafai
@7stianPius8 сағат бұрын
@YohanaMasebo wewe ndo mkundu,akili huna,utakua una msapoti mbowe,tako weee
@MariamMussa-u2c11 сағат бұрын
Aanzishe chama chale wasigbane
@geraldleger579311 сағат бұрын
Nani ?
@magesadani905810 сағат бұрын
Acha uongo na uchonganishi
@habibunguvumali333110 сағат бұрын
Mimi nitamchagua Mbowe
@HafidhMaalim15 минут бұрын
HUO NI UONGO
@punnamalaba444510 сағат бұрын
Nani amfukuze, wewe muongo huyu mwandishi hela za kuhongwa na mbowe zinakutesa, atakuja ccm hababaiki
@JacksonKavana10 сағат бұрын
No
@leodgardotmar719810 сағат бұрын
Yeriko hufai kabisaaa
@AthanaseKiyoja9 сағат бұрын
Uimara wa chama ni wanachama.Chadema mlikuwa na muda mfupi kujulikana,Sasa tumewajua .chama kina wanachama wa ovyo sana.mwanachama na akili zake unampa uongozi lissu !! Mtu ambaye mpaka leo hajui ni akina nani wamempiga risasi,anatumia ulemavu kuhurumiwa na kuuchafua uongozi uliopo madarakani.
@abdullramadhanii62611 сағат бұрын
Wacha umbea
@samwelmatemu887310 сағат бұрын
Lisu afukuzwa kwenye chama
@jumakilinja63418 сағат бұрын
Kwa sasa twende na Lisu,lisu ndiyo mkombozi
@SmithJacob-f2r9 сағат бұрын
Mbowe ww ni konokono
@OlobikooTobikoo11 сағат бұрын
Lissu anatosha
@MalemboMarc7 сағат бұрын
Swali 1 kwa Wana chadema: CHADEMA kama Chama cha Democratia na Chama kikuu cha upinzani, munalifikia je! Kuhusu ukomo wa madaraka? Sababu Chama tawala na mpinzani mkuu wa chadema ni miaka 10 tu. Je mukipewa urais wa nchi ninyi ambao tayari kuongoza miaka 20 na bado kurudhika, hamta poromosha nchi?
@RichardLyamuya11 сағат бұрын
Lisu atimuliwe mara moja ,kanunuliwa na wapinzani wetu
@7stianPius11 сағат бұрын
lisu na mbowe nani kanunuliwa?wewe utakua team mbowe,akili huna
@geraldleger579311 сағат бұрын
Unaota mchana au ?
@vincentjohn204110 сағат бұрын
Uongo mtupu huo
@joshuaswai820310 сағат бұрын
Lissu kanunuliwa ndio sababu anaongea maneno hovyo sana akae kushoto