WANANCHI WAGOMA KWENDA KAZINI ARUSHA, WAITAKA SERIKALI IINGILIE KATI...

  Рет қаралды 15,383

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

WANANCHI WAGOMA KWENDA KAZINI ARUSHA KISA KUFUNGWA KWA BARABARA WAITAKA SERIKALI IINGILIE KATI
Wananchi wa Matevesi Magorofani Jijini Arusha wameiomba Serikali Kuingilia Kati Barabara wanayo ipita isifungwe na mmoja wa watu anaedai kuwa ni eneo lake....
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 39
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 2 жыл бұрын
Alikuwa anawatetea saana wanyonge matokeo yake mkamuona mbaya na mtusi kibao baada kutangulia mbele ya haki sasa tieni akili mtamkumbuka tena kwa huruma yake na mazuri
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 2 жыл бұрын
Mwenyekiti yupo vizuri mno
@zachariafilberty2209
@zachariafilberty2209 2 жыл бұрын
Arusha mnaakili nyingi sana ila ingelikuwa no kanda ya ziwa yanakwambia kwani mm yananihusu ila kaskazini bigapu sana 🙏🙏
@jonaspatrick2871
@jonaspatrick2871 2 жыл бұрын
Sasa kama anamiliki kisheria sasa wa kulaumiwa ni nani? Serikali yenu ndio inafanya madudu yasiyoeleweka.
@abdulazeezuae2442
@abdulazeezuae2442 2 жыл бұрын
Raisi hanajenga kwanza 🤣🤣🤣
@jacksonerasto3696
@jacksonerasto3696 2 жыл бұрын
Zacharia ana uwezo mdogo sana wa kufikiri 🤔🤔🤔iv unaelewa maana ya comment?....toa mawazo ya msingi nin kifanyike na je; kama eneo hilo limefanyiwa upimaji sahihi na mipango miji kuelekezea barabara sehem nyingine pamoja na huduma nyingine za kijamii jamani mambo hubadilika kulingana na wakati mwaka 1950 hapakuwa na mipango miji.
@seneu.2128
@seneu.2128 2 жыл бұрын
Maeneo yote hayo yameuzwa na wamasai kiholela Leo nao wamegeuka kulialia.
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 жыл бұрын
Barabara haifungwi mwambie asiwazibie riziki zenu kwa pesa zake😭😭 Eti atawaongezea kumbe anawafungia nje🤔
@seneu.2128
@seneu.2128 2 жыл бұрын
Kwa maelezo yenu Dr. Swai anamiliki kihalali hivyo mfateni mumuombe mumlipe fidia na sio kuleta siasa wakati mtu ana umiliki halali.
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 2 жыл бұрын
Akiitwa ofsini imeisha imeisha hiyoo, tz akili nyingi mwisho mmiliki anashinda
@ulaweboy9826
@ulaweboy9826 2 жыл бұрын
Tatizo watu wa arusha wanauza viwanja wanaenda kula nyama morombo
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 Жыл бұрын
Mpeni hela zake
@fraviansweetbert2703
@fraviansweetbert2703 2 жыл бұрын
Harusha nawapendea misimamo mkihamua mnahamua ila sasaiv amna mtetez
@hanspetro2298
@hanspetro2298 2 жыл бұрын
Tanzania Sheria Badoo ipoo chini sanaaa maana yake ni kwamba mpaka imefka Kwa mkuu wa mkoa bdooo hakuna hatua yyt mm naona hapooo ipelekweee Kwa wanajeshii tuanzane nane
@vikimartin9441
@vikimartin9441 2 жыл бұрын
Ni haki ya swai kumiliki kibali si amenunua kwa hela yake.ingekuwa ni wewe ungekubali kirahisi kuachika barabara,na je? Kwenye ramani inaonyesha kuwa ni barabara?
@zuhurambonde1982
@zuhurambonde1982 2 жыл бұрын
Yaani Arusha bhana ukimkosea tu ukafanya hisani wakazi wapite eneo lako umekwisha wanasema ni njia Yao duh!!
@sdeshnjwetr6707
@sdeshnjwetr6707 2 жыл бұрын
Afungue barabara .. mboni yeye anapita sehemu zisizo zake watanzania wakarimu.
@timothymoshi5800
@timothymoshi5800 2 жыл бұрын
Anazopita , na tunazopita, zilitengwa kama barabara. Hazikutengwa kama maeneo binafsi ya watu. Kinafanyika hapa , wanadai barabara kwenye eneo binafsi la Dr Swai analolimiliki kihalali. Hata Hivyo mazao yake anayolima hayako salama .
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 2 жыл бұрын
Hapo mlitakiwa kuwa na Sabaya Sasa mama hataki kumwachilia Matokeo yake ndiyo hayo
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 2 жыл бұрын
Eti nini?
@musajuma298
@musajuma298 2 жыл бұрын
Ingekua wakati wa magu angenyooka
@MSILUTV1994
@MSILUTV1994 2 жыл бұрын
Samia anatosha Sana na Wakuu wake waliyopo Relax
@antonylaizer1250
@antonylaizer1250 2 жыл бұрын
Huyo dawa yake anakotokea kuingia site kwake bs afungiwe, tuone kama atapaa, Ila serekali yetu hasa Ccm inayo watumishi wahovyo ambao siyo waadilifu nasiyo waaminifu, Sasa kuusu hiyo miundo mbinu inayotegemewa nawatanzania 250 kama kibaraka mmoja anaweza kua nahaki kuliko wananchi 250 mweeshimiwa mkuu wawilaya mtanda uwe makini juu ya hili,
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 2 жыл бұрын
Shida arusha watu waananunua na kuuza viwanja kiholela sana, na kila mtu arusha ni dalali wa viwanja!
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 2 жыл бұрын
Yuko sahihi nchi yetu hatutaki uzembe
@jozeeshirima9231
@jozeeshirima9231 2 жыл бұрын
Kuna kitu nimejifunza,tujifunze kitu kuusu wageni wanao milikiswa hardhi tujifunze south africa
@jumbeojaso5767
@jumbeojaso5767 2 жыл бұрын
Serekali iko wapi hadi bomba la maji linatobolewa na huyu mwenye kiburi cha pesa?
@timothymoshi5800
@timothymoshi5800 2 жыл бұрын
Ndugu, Tanzania , mtu anaruhusiwa kupitisha nguzo ya umeme au bomba la maji kwenye eneo la mtu mwingine kiubabe bila kibali chake ???
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 2 жыл бұрын
Tumieni hekima mkamwombe sio kumtishia kuwa kafunga barax2 wakati ndio hamkufuata utaratibu
@kaayakitomary1233
@kaayakitomary1233 2 жыл бұрын
Serikali hii bhana
@godfreymasele8853
@godfreymasele8853 2 жыл бұрын
Busara itumike huyo kama anafunga barabara atengeneze barabara mbadara. Cha kwanza katika eneo lolote la mipango miji ni miundo mbinu, barabara, maji, umeme. Ndo majengo Hosp,Shule Nk
@pialashayo4519
@pialashayo4519 2 жыл бұрын
Viongozi was serikali za mitaa mnakiwaga na akili gani upuuzi kabisa
@tangaoldtv1067
@tangaoldtv1067 2 жыл бұрын
Anajifanya nahela KIBURU ANAKIOATA KWA UONGIZI WA SERIKALI ZA JUUU KAMA HAWAJAPENDA VIONGIZI WA JUU WAMPOKONYE LESENI AU KAMA NI MTANZANIA ZIPO SHERIA ZIFUATwe
@timothymoshi5800
@timothymoshi5800 2 жыл бұрын
Yeye kosa lake ni nini ?? Yeye Hana kiburi. Eneo ni la kwake. Mnamfanyia fujo. Uharibifu mlioufanya kiubabe, muajibishwe kisheria. Wallaumuni wale wanaopaswa kuwapa njia, na hawajafanya hivyo Kwa sababu ya mapungufu kwenye ofisi husika.
@demicratia4071
@demicratia4071 2 жыл бұрын
Dr Swai hana makosa huwezi kupitisha barabara kwenye Ardhi ya MTU ALIYOPEWA KIHALALI NA ANALIPIA
@jonaspatrick2871
@jonaspatrick2871 2 жыл бұрын
Waache tu wasiende kazini ukifika mwisho wa mwezi ndio watajua kwamba hawajui.
@alexjackson5960
@alexjackson5960 2 жыл бұрын
Suala la maji NI bahati mbaya. Kikubwa ni barabara tushushe jazba utemi yatakaa sawa ndg zangu MUNGU ni mwema na awasimamie wananchi na mmiliki pia
@neema_mollel
@neema_mollel 2 жыл бұрын
Aachie barabara haraka
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
MSANII 20% AFUFULIWA , MASHABIKI WAPAGAWA UPYA - GeorDavie TV
10:39
DC WA MUNDULI AFUTA MGOGORO WA MIAKA MITANO KWA LISAA LIMOJA
28:08