VIJANA wa ARUSHA (WADUDU NGAA) WAMZIKA MWENZAO kwa KUMFUKIA kwa MIGUU na MIKONO POLISI WAKIWASIMAMIA

  Рет қаралды 87,499

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

VIJANA wa ARUSHA (WADUDU NGAA) WAMZIKA MWENZAO kwa KUMFUKIA kwa MIGUU na MIKONO POLISI WAKIWASIMAMIA...
Mazishi ya Kijana Amani Laizer wa Arumeru Mkoani Arusha amezikwa nyumbani kwao baada ya kupata ajali ya kugongwa na Gari...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 94
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 Жыл бұрын
Poleni sana watoto Filiman Mbowe kijana wetu Mungu ampumnzishe kwa amani. Emen
@SelemaniMadeha-dn4ih
@SelemaniMadeha-dn4ih Жыл бұрын
Nawakubali sana Hawa jamaa hawanaga shida kabisa👍👍👍👍
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 8 ай бұрын
Wanashida sana hawa jamaa ,wanamzika mwenziwao lakini haioneshi na wala hawana nidhamu kama wapo sehemu ya mazishi itafikiri wapo sokoni au kwenye kijiwe cha kuvuta bangi .wewe unasema hawana shida inawezekana hata wengine wangekuja mbele za watu ungesema hawana shida .
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 Жыл бұрын
Mmh ee Mungu watoto wetu wa kiume sasa hv ni mtihani kweli Mungu awasaidie tuu
@MatonangeMathias
@MatonangeMathias 4 ай бұрын
Hiyoooo noma
@aronmtui597
@aronmtui597 Жыл бұрын
Bangi mbichi vijana wa Arusha Mungu anawaona
@AbdillahMassoud-b2r
@AbdillahMassoud-b2r Жыл бұрын
Ameishi n wadudu vzr wadudu n nani wadudu ni watu duh 😢😢
@bahatibushiri1610
@bahatibushiri1610 Жыл бұрын
Nyie me mazishi ya Arusha nayapenda 🤣🤣yaan Arusha km nchi nyingine
@HighzackMichael
@HighzackMichael Жыл бұрын
Arusha hata hvyo Ni nchi nyingine kabisa ✓ Kama vyuo vipo Arusha university,makumira university,st Augustine university ✓ imeshatoa mawaziri wawili Eduardo lowasa,na Eduardo sokoine ✓ Arusha tunamlima wetu mlima meru ✓ Arusha tunayo special school ilboru,kisimiri ✓ Arusha Kuna international schools mfano Arusha international school,st Constantine international school,braebun international school ✓ ukitaja manabii 😂 Arusha usipime Wala siwataji mnawajua
@blackeagle4441
@blackeagle4441 Жыл бұрын
😆😆😆😆🤦🏽‍♂️apo kwenye manabiii
@maryjackson1054
@maryjackson1054 Жыл бұрын
Eti anaelewa show zangu😂😂😂😂
@blackeagle4441
@blackeagle4441 Жыл бұрын
Arusha 🙌🙌huwaga wanakuaga na love flan hv huwez pata mkoa mwingine wowote
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Napia wakolofi utopatakoa mwingine
@ndamezerevocatus1078
@ndamezerevocatus1078 Жыл бұрын
Poleni wadudu !! Nimefurahia hiyo lugha! Kati ya maneno kumi, mtangazaji anaelewa maneno 2
@joshuamuro9494
@joshuamuro9494 Жыл бұрын
😄😄
@bonnypasko4177
@bonnypasko4177 Жыл бұрын
Maneno 200 utaelewa matatu😂😂😂 arusha soon naja
@petercostakisoka
@petercostakisoka Жыл бұрын
Kweli wadudu ni wengi chalii ya arusha ana bonga fresh sn
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
Mkoa gani una furahisha Kama ARUSHA???🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!!!Lugha adimu🤣🤣🤣🤣🤣!!!!!
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Жыл бұрын
Aisee hakuna chali wangu..
@leganmichael6148
@leganmichael6148 Жыл бұрын
Hawa jamaaaa duuu, kama Colombia
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Жыл бұрын
Aisee poleni sana M/MUNGU ilazerohoyamarehemahalipema peponi msamehe kwa mabaya aliyofanya
@robisondickson-qt5ro
@robisondickson-qt5ro 5 ай бұрын
aisee ila
@maryjackson1054
@maryjackson1054 Жыл бұрын
Siri gani😂😂😂😂😂
@salimuselemani308
@salimuselemani308 Жыл бұрын
Chuga one
@jumabisale9974
@jumabisale9974 Жыл бұрын
Huu mji hapana daaah.
@cecygeorge4443
@cecygeorge4443 Жыл бұрын
Chuga sijui hizo bangi au ninini duu sina kaka lakini mmh rip. Chali
@shadrickmwanjabalaMwanja-vi8fe
@shadrickmwanjabalaMwanja-vi8fe Жыл бұрын
Dah vijana tunahitaji rehema za Mungu maana niatar duh awo watu wanafanya vitu kibangi bangi
@panafricanmawesa2555
@panafricanmawesa2555 Жыл бұрын
Angalau kauli yako tena
@DinaAlly-r7v
@DinaAlly-r7v Жыл бұрын
Jamani hajabonya
@eliabuurio4384
@eliabuurio4384 Жыл бұрын
Siku wakichimba kwa mikono ata wakifukia na mikono aina kabaya
@saluten5926
@saluten5926 Жыл бұрын
Rest in peace chalii yangu
@brayo001
@brayo001 Жыл бұрын
Hawa ndio watu tuaneza waelewa kama wakenya....machali wa maana sana
@MariaMagele
@MariaMagele 7 ай бұрын
Sijabonya aisee huyu anae sema ilikua anaishinae sielewi anauchungu au anafulaha maana dah poleni sana vipenzi😢
@pendomalisa9308
@pendomalisa9308 Жыл бұрын
Wewe mbona unauliza maswali ya kitoto kama hujui kichuga achana
@johnmeshack4431
@johnmeshack4431 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 Жыл бұрын
Much love, ma niggas
@sabatodaniel3051
@sabatodaniel3051 11 ай бұрын
Haha
@HusseinNkuna
@HusseinNkuna Жыл бұрын
Kweli hapa bila tafsiri hatotoboi mana sisi huku mbeya hatuelewi kabisa Hawa jamaa wa Arusha Wana kadunia kakwao peke yao😅
@namsamson3443
@namsamson3443 6 ай бұрын
Ni kweli Tanzania customer service ni zero
@fransiscafransisca3883
@fransiscafransisca3883 11 ай бұрын
Anayesema chuga washamba mshamba mwenyewe
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Mbajulangu 😂. Ruga ya wadudungaa. Azifanani na za binaadam.
@marshallmansour592
@marshallmansour592 Жыл бұрын
Mbajo langu!!!
@shufaaabdallah-vb4dn
@shufaaabdallah-vb4dn Жыл бұрын
Yan awo wachuga ih nchi ingekuw wap wao wana nguv kama wazalam tanzania ingekuw south afric wamezid usela
@severinatyphone6122
@severinatyphone6122 Жыл бұрын
Sasa hive tunaangalia kwa mzaha watanzania wenzetu wakiwa ktk hali kama hii , ipo siku mtaanza kuwazuia kwa kutumia nguvu nyingi.
@aronmtui597
@aronmtui597 7 ай бұрын
Hivi ni bangi au ni nini
@EdgarLema-qi9or
@EdgarLema-qi9or Жыл бұрын
Chalii kadata😂
@richytarimo4656
@richytarimo4656 Жыл бұрын
lugha za wahun wa chugaa unaweza usielewe
@lilianmartin5075
@lilianmartin5075 Жыл бұрын
Mtaani kwetuu😮
@happynelson1180
@happynelson1180 Жыл бұрын
Yaani hapo wote wapo high na bangi
@shijamasuka9717
@shijamasuka9717 Жыл бұрын
Wadudu shazi
@ibrahimmuhama1461
@ibrahimmuhama1461 Жыл бұрын
Duuuu jamaa ana lugha ngumu ya kitaani acha kabisa
@prosperitymaarifa3324
@prosperitymaarifa3324 Жыл бұрын
Ganja bana😊
@boscoboyamchafu
@boscoboyamchafu Жыл бұрын
Tamu karibu kwetu chuga
@jamessichimata36
@jamessichimata36 Жыл бұрын
Hata kaburi wachimbe kwa mikono
@nixonjohnson4908
@nixonjohnson4908 Жыл бұрын
Hivi kweli unaweza kuwa raisi wa hawa watu ukawa na ulinzi ...hii si sawa na kuongoza kuku na wewe kuwa binadamu..
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!!!
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
😂
@ZaharaHassan-e8s
@ZaharaHassan-e8s Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅
@vincentnyabuto4605
@vincentnyabuto4605 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@slimpeewee1426
@slimpeewee1426 Жыл бұрын
chalii alikua Mbogaaa....
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@richytarimo4656
@richytarimo4656 Жыл бұрын
lugha za kijanja hzo,
@vincentnyabuto4605
@vincentnyabuto4605 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@IsackMsafi-vf6ls
@IsackMsafi-vf6ls 6 ай бұрын
Alale Pema uyo chalii aliyefariki.
@ikungasyamwakitalu6540
@ikungasyamwakitalu6540 Жыл бұрын
DAa msalimie magufuli
@annamachaki3644
@annamachaki3644 Жыл бұрын
Lugha za ganja mh
@SalimRashid-cq2pi
@SalimRashid-cq2pi Жыл бұрын
Hawa wachuga washamba sana
@FemaleDirector
@FemaleDirector Жыл бұрын
Sawa we mjanja ujanja wako umekupeleka wapi
@SalimRashid-cq2pi
@SalimRashid-cq2pi Жыл бұрын
Kaliwe uko
@FemaleDirector
@FemaleDirector Жыл бұрын
@@SalimRashid-cq2pi kahemewe huko mmbo yq chuga yaache hayakuhusu
@mussamc641
@mussamc641 Жыл бұрын
Mh
@JacklineJosia-qs5hb
@JacklineJosia-qs5hb Жыл бұрын
Tuombe😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@jorampaulo7008
@jorampaulo7008 Жыл бұрын
Columba acha kuripoti hizi habari za hovyo kwa jamii ,unajishusha Sana kaka habari zenu Huwa tunazifuatilia ila kwa habari hizi unatukera unaripotije tabia za kishenzi hivyo?.
@captenndunga6745
@captenndunga6745 Жыл бұрын
Usiseme unatukera sema UNANIKERA mana ukisema anatukera unamaanisha anakera watu wote unashindwa kujua kua hizi ni habari kama habari zingine kumpangia muandishi cha kuposti ni kuingilia taratibu za ofisi za watu wewe hujalazimishwa kuangalia hii habari hata hizo unazotaka aposti wapo watu hawazifagilii ukitaka hayo unayosema fungua YOU TUBE chaneli yako alafu upange cha kuposti alafu umezingua.
@phinaswai4718
@phinaswai4718 Жыл бұрын
Unakereka wewe kwaiyo tulia
@joramkimario9321
@joramkimario9321 Жыл бұрын
Wala hujaambiwa uangalie ni umbea wako tu
@hallin9561
@hallin9561 Жыл бұрын
mshenzi ni wew, jitahid uitambue Tanzania vzr, unataka aUpload mapambio tu ya ccm wakizindua ikulu. hii ndio hali halisi ya nchi yetu ulitaka apost kenya
@jorampaulo7008
@jorampaulo7008 Жыл бұрын
@@hallin9561 ngiri wewe usiyejitambua fala wewe
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 19 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 46 МЛН
SPIKA TULIA AFOKEA WAZUNGU ULAYA “NIHESHIMUNI MIMI SIYO MUNGU”
8:51
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 19 МЛН