WANANCHI WANAOISHI KARIBU NA KAMBI ZA WAKIMBIZI KIGOMA WALALAMIKIA CHANGAMOTO ZA KIUSALAMA

  Рет қаралды 8,583

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 19
@Changuboymuzarendotz
@Changuboymuzarendotz 10 ай бұрын
Hongela diwani lost makele kasulu kigoma kwazinzuri reported the problem and challenges we face in our village makere continues to be the best leader in tanzania❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@-zj2zd
@-zj2zd Жыл бұрын
Wakimbizi ndowalifanya makere ionekana
@Changuboymuzarendotz
@Changuboymuzarendotz 10 ай бұрын
Hongela diwani poteza makele kasulu kigoma kwakazinzuri yakuliipoti tatizo na changamo zinazoweza tukabiri kijijini kwetu makere eendeleea kuwakiongozi bora tanzania🎉🎉
@KolamuWabene
@KolamuWabene 3 ай бұрын
Waliyo mpiga tundu Lissu masasi ni wakimbizi? ,mbona mnakosa hutu sana ninyi, kwanza tukihangalia vizuri ni raia WA Tanzania ambao wanahenda kupora wakimbizi Mali zao pale kambini ,mnapenda kila kitu kiwekwe wazi tu,hayo mazingira ambayo Anaya hongelea ,kama mkaa hunapatikana kambini Sini Waha ndo wahuleta pale kambini,ni mkimbizi gani ambaye anachoma mkaa pale kambini,wakimbizi awakupenda wawe vile nawao,walikuwa wanapenda inchi yao na wao,tutambuwe kwamba fimbo hiliyo mpiga jirani yako usisubutu kuhiweka uvuguni,hipo siku nawewe hitakupiga,ninyi siyo wazuri sana au ninyi wakwanza kuwa na amani,unacho kitumika Leo ni akiba ya kesho
@issakellykalonji6059
@issakellykalonji6059 Жыл бұрын
Hali sio poawh kiukweli tunaishi ki Mungu Mungu tu
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
Waende wapi hapo ndio wamefika, Nchi zao zina changamoto kutuzid, Mwenyezi awape nguvu na maarifa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama waepushe ualifu huko Kigoma
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 3 жыл бұрын
Mzee wewe unaona faida yako lakini hufikirii Amani ya waTZ wote pamoja n'a Maraia bila kusahau madui waTZ ambao wataweza kuwatumia watende uhalifu namabaa nchini TZ
@alexntahiraja2974
@alexntahiraja2974 Ай бұрын
Mimi nimeishi tanzania kwenye kambi ya wakimbizi Mkugwa. Nilitekwa na majambazi ila siyo wakimbizi walioniteka. Ni watanzania. Sikatai kuna baadhi ya wakimbizi wanaojihusisha na ujambazi ila hawawezi bila kusaidiwa na wenyeji. Na siyo wakimbizi wote ambao ni waharifu.
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 3 жыл бұрын
Burundi hakuna vita waondoke
@frankgeorge3214
@frankgeorge3214 3 жыл бұрын
Nawah wa namchango kibiashala jamani tusiwatenge
@daynesakulu3169
@daynesakulu3169 Жыл бұрын
Ndio
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 8 ай бұрын
Wakongomani sio wezi ila huyo Mzee aliye Ongeye wa Kwanza nikama iko na Ubanguzi kabisa kuhusu wakimbizi .kwani hao jambazi wanashikwa leo kesho ni wakimbizi ama ni Mwenyeji watanzania?
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 3 жыл бұрын
wakongo nihatari sana sirikali waifanikie kazi kwa uharaka
@sikitu8957
@sikitu8957 3 жыл бұрын
Acha bifu wewe kwanza ujui istoria ya inch yako ao wakongo unao wa tukana ndo wame kufanya upate uhuru TZ kama ujui chukuwa iyo
@KolamuWabene
@KolamuWabene 3 ай бұрын
Huyu mzee yawezekana aliwahi kukosa kazi kambini ndo maana anahongea Hilo,kwasababu hata kabla ya wakimbizi awajahingia Tanzania ujambazi hulikuwa hupo,Kijiji cha nyamidahu palikuwa apahikaliki kwasababu ya ujambazi ukiwa na lakimbili majambazi wanakuja kukuhuwa na wanapeleka pesa zote,pia kabla ya wakimbizi Awaja hingia hile makere hadi kasulu Waha walikuwa wakila mihogo michungu na wanalala hivyo,kwasasa makere na mvungwe ,kasulu nk wamesha kuwa namahisha ambayo yako na unafuu,huyo mzee yawezekana yeye sasa ndo kachanganyikiwa ,anafikiri mtu kuhitwa mkimbizi ndo kakosa kila kitu,WA Tanzania hacheni ujinga kama huo,yatakukuta na wewe
@estherselemani8797
@estherselemani8797 9 ай бұрын
nyie watanzania wa Congo siyo wezi ,wezi ninyieye wa Tatanzania amliziki na mishahara rusha ina wasumbuwa sana mbona mna tangaza uwongo sana. Bila wa CONGO hiyo kigoma yenu isingeli kuwa na maendeleo.
@Natureandreallylife
@Natureandreallylife 11 ай бұрын
Isingekua wakimbizi wahaa wote wanao ishi vijiji vya karibu na kambi wangekua bado wanatembea miguu peku na vitenge vyenye viraka, wanakuja kuhuza vitu kambini kwa bei kubwa alafu wanapanua midomo eti "wafyofyoto wa fyoto fyoto " what fuck
@rwandaafrika6173
@rwandaafrika6173 3 жыл бұрын
Na CONGO vita imekwisha wakarundi Makwao
UNAAMBIWA HII NDIO SABABU YA KUITWA 'KIGOMA UJIJI'
11:21
Millard Ayo
Рет қаралды 54 М.
How Much Tape To Stop A Lamborghini?
00:15
MrBeast
Рет қаралды 254 МЛН
FOREVER BUNNY
00:14
Natan por Aí
Рет қаралды 35 МЛН
Мама у нас строгая
00:20
VAVAN
Рет қаралды 12 МЛН