WAZIRI MKUU MAJALIWA AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI na MWEKA HAZINA, WAJICHANGANYA FEDHA za SERIKALI

  Рет қаралды 33,975

Global TV  Online

Global TV Online

10 ай бұрын

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI na MWEKA HAZINA, WAJICHANGANYA FEDHA za SERIKALI
amemuagiza Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Kigoma, Steven Mafiga afanye haraka kuwachunguza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza, Bi. Zainab Mbunda na Mweka Hazina wa Wilaya hiyo, Bw. Majjid Mabanga ili kubaini ni kwa nini miradi haiendi wakati fedha zilishatolewa kitambo.
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 114
@globaltv_online
@globaltv_online 9 ай бұрын
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@mukhtaribura6159
@mukhtaribura6159 9 ай бұрын
Wewe waziri mkuu acha kutumbua wadogo tumbua na vigogo sio wadogo tumbuwa wote wanaiba mali ya umma..kama vile ,mkamba,mchemba,na wengineo tumbua
@samsonkihwele6544
@samsonkihwele6544 9 ай бұрын
Kazi ya raisi sio waziri mkuu kutumbua
@thomastemu3332
@thomastemu3332 9 ай бұрын
Makamba ndo Papa kabisa hafai
@florencemeza6540
@florencemeza6540 9 ай бұрын
Tume miss hii kitu yaani waziri mkuu nakupenda saaaana 2025 ndo Rais wetu
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 9 ай бұрын
Hapa na mkumbuka Hayati Magufuli
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 9 ай бұрын
Sidhani
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 9 ай бұрын
Hawawezi kump nchi mafisadi wale,wanajua wakimpa huyu ni zaidi ya magufuli
@florencemeza6540
@florencemeza6540 9 ай бұрын
@@magrethmbangama1199 eti ehe tuingie kwenhe maombi
@franknjau5578
@franknjau5578 9 ай бұрын
Mungu azidi kukutetea mh. PM. Watanzania tunataka utendaji wa namna hii.
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 9 ай бұрын
Mbona wezi CAG hawakufukuzwa makosa ni yenu huko juu mnawaonea tu hawa wa chini hamna lolote mtoke kwenye ofisi za umma wote hamfai MACCM
@Muganyizi
@Muganyizi 9 ай бұрын
Mbwa wew
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 9 ай бұрын
@@Muganyizi bora niwe mbwa kwa kusema ukweli kuliko kuwa binadamu asiejali utu na Watanzania na tabia ya mbwa kama ukivyoniita ni kulinda sasa wacha nilinde na ni kulinde hata wewe watanzania mnadanganyika haraka mno ujinga wetu ndio mtaji wao, mbwa nawapenda na rafiki kwa binadamu kwangu sio tusi ni cheo umenipa
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 9 ай бұрын
Kama Kuna mtu ninayempenda ni mwl majaliwa nakupenda bure
@yonaalmasy8158
@yonaalmasy8158 9 ай бұрын
Mungu akubaliki waziri mkuuu mm ni chadema lakin unanivutia utendaji wako mkuu
@michaelkimweri1074
@michaelkimweri1074 9 ай бұрын
Pole waziri mkuu tunakukubali,sana
@mtundipaul5748
@mtundipaul5748 4 сағат бұрын
Ondoka now hao waziri wetu m mungu akupe afya njema tu
@bakarirajabu3783
@bakarirajabu3783 9 ай бұрын
MH WILAYA YETU YA UVINZA HATUNA VIONGOZI MZEE VIONGOZI HOTE NI WEZI MZEE WANAKUCHOSHA TU HAO SWENKA HOTE NDANI
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo 9 ай бұрын
Good
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo 9 ай бұрын
Good 👍👍👍👍
@michaelkimweri1074
@michaelkimweri1074 9 ай бұрын
Mama amekataa mabango,yalikua yanafichua Siri hizi,sasa waziri wetu mkuu anapata shida Bure,pole waziri wetu mkuu.
@ankoanko-zz7it
@ankoanko-zz7it 9 ай бұрын
Jionee mwenyewe mkuu
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 4 ай бұрын
Yaaani😭😭😭😭😭
@mohammedalghannami3150
@mohammedalghannami3150 9 ай бұрын
Kassim Majaaliwa, Rais Mzalendo ajae wa Tanzania
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 9 ай бұрын
Lakini tambueni hiyo ndio kazi ya Waziri Mkuu Mtendaji Mkuu wa Serekali hivyo yeye ndio anatakiwa mara kwa mara afwatilie hayo sio kazi ya Rais
@mohammedalghannami3150
@mohammedalghannami3150 9 ай бұрын
@@abuumuhammad7133 kweli kwahakika wote wanamuakilisha Rais ila Majaliwa anaonekana ni mtii mzuri zaidi Kwa Mama, na ana uchungu na nchi yetu
@user-od9cf7lp9v
@user-od9cf7lp9v 9 ай бұрын
Waziri mkuu hawezi kuibua changamot za Kila wizara na mambo yake lazim wasaidiz walioaminiw wawe watendandaji,,, Kam msingi ukiharibika mweny haki atafanya nn
@leylasaid9641
@leylasaid9641 9 ай бұрын
MPK WAFUATWETUATWE HAWAJITUMI-WATUMBULIWE WAPO WASOMI WENGI HAWANA KAZI.HAWAONI AIBU MPK WAZIRI MKUU AFUATILIE
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 9 ай бұрын
Mtu anazembea hapa, na kuiba hapa mnamuhamisha idara, tutafika kweli, ??? Watu wanapewa mihela hawajui hata matumiz,
@PLAYPROGAMING568K
@PLAYPROGAMING568K 9 ай бұрын
Ni kweli ukihamisha hamisha ugonjwa uko palepale ni kuondoa ondoa haswa wa chini ondoa mpaka messenger anajifanya ndiyo anaulizwa ati hii inafanyanini ?na au huyo hapa panahudumiwa na nani ?au mgambo ni anampa maelezo yule aliyeletwa yaani kutoka chini mpaka juu ni muozo tafuta waliyosoma wako wengi University of Dar es salaam wanatafuta kazi ,hawa imelemaa hawafuatili na wala hawasomi karasi yoyote wanayoletewa
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 9 ай бұрын
Timua viongozi wote wanaohusika na umeme
@mukhtaribura6159
@mukhtaribura6159 9 ай бұрын
Tumbua pia mawaziri wako mpka sasa watanzania awapati umeme na maji
@mustaphersamson6174
@mustaphersamson6174 9 ай бұрын
DUHHHHHHHHHH, MBONA KIZUNGUMKUTI??????,
@user-cc4jk1ll5v
@user-cc4jk1ll5v 4 күн бұрын
Wezi hao chunguza huwezijiamlia fungu lakitukinginenakupeleka kwingine Tanzania ni shidaaaaaaaa
@user-ii4zj1jm6v
@user-ii4zj1jm6v 8 ай бұрын
Hapa kazi tu fanya kazi baba
@HashimYahaya-hd3zm
@HashimYahaya-hd3zm 19 сағат бұрын
Naomba niurize kwamagufuri wizi mbona ukuwa ivi shida awa watumishi wana mashindano yakupata mari mara majumba mazuri mara magari mara magesti yani nitatizo nyerere wara hakujirimbikizia mari
@zainul-hassanhussein
@zainul-hassanhussein 9 ай бұрын
Wanamuhuju Our President Her Excellency SAMIA SULUHU HASSAN.Accountability
@karimmunis8302
@karimmunis8302 9 ай бұрын
Tatizo ni huyo bibi hapo juu ndo anaturudisha nyuma mambo hayaendi ,na bi mkuubwq yupi tu kupaka hina
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 9 ай бұрын
Daaaaah inasikitisha sana
@nenolauzima5281
@nenolauzima5281 9 ай бұрын
Haya mambo tumeyamiss sana...
@florencemeza6540
@florencemeza6540 9 ай бұрын
Mkurugenzi wa hovyooo saana ni kilaza kabisaa
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 9 ай бұрын
Mhuuuuuuuu pole ded
@idyjumanne9796
@idyjumanne9796 9 ай бұрын
Wezi ao wamekula Ela zetu za walipa Kodi na tozo zetu ss Kodi nyngi walaji wachache
@user-xx8jx6tb7d
@user-xx8jx6tb7d 9 ай бұрын
Kwanin wakipewa hela wanakaa nazo kwa muda wote huo, wanatakiwa wakipewa hela wapangiwe mda wakuitumia na pia kila kitu kiende kwa hesabu
@michaelkimweri1074
@michaelkimweri1074 9 ай бұрын
Magu alieanyoosha Hawa,Sasa wamerudi kwa Kasi kwaajili ya kulindana,kilamoja anakula urefu WA kambayake .....
@jasiriasili3694
@jasiriasili3694 9 ай бұрын
Njoo na ilemela mwishimiwwa waziri mkuu huyu mkurigenzi kalia pesa ya maji😊
@mukhtaribura6159
@mukhtaribura6159 9 ай бұрын
Hao wanafundishwa na akina makamba ndio walimu wa kula rushwa..
@thomastemu3332
@thomastemu3332 9 ай бұрын
Ndiyoooo 😢 kabisa
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 4 ай бұрын
Subiri. Subiri. Ngoooja. Taraatibu😂😂😂😂
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 4 ай бұрын
Duuu na leo kimeumana tena😂😂
@martinbarua9962
@martinbarua9962 9 ай бұрын
Namkubali sana kassim majaliwa😂😂
@zuberigangisa2075
@zuberigangisa2075 9 ай бұрын
Kazi zao hao ni kutengeneza migogoro tu kwenye halimashauri zetu
@user-wc8qm1lk7n
@user-wc8qm1lk7n Ай бұрын
Waziri Mkuu maeneo yote yanengwe
@naturelle1097
@naturelle1097 9 ай бұрын
Watu wazima hawa kweli???? Yatumbulie mbali!!! Kisha wanunuliwe ma probox na sio V8. Hata kujieleza hawezi itabidi utembeze bakora this is too much!!
@user-cc4jk1ll5v
@user-cc4jk1ll5v 4 күн бұрын
Waziri mkuu haondio wasomi aliwafukuza lasaba lasabawalikuwanaweledi sana nawaaminifu kuliko hao wasomi sasakikowapi nchihiii nishidaaaaaaa
@user-cc4jk1ll5v
@user-cc4jk1ll5v 4 күн бұрын
Wamekulaaaaaaaaaaaaaaa
@BIGSTONE-lb9po
@BIGSTONE-lb9po 9 ай бұрын
Kwambali namuhona JPM.NGOMBEYA URAHISI BABA CASSIM MAJALIWA.
@user-cc4jk1ll5v
@user-cc4jk1ll5v 4 күн бұрын
Hazipoooooooo hizofeha
@mbmbwana
@mbmbwana 9 ай бұрын
PM
@hamadmakame6040
@hamadmakame6040 9 ай бұрын
HUYU NDIO TUNAE MUHITAJI SAASA
@eliannko
@eliannko 9 ай бұрын
Majizi wanazozana mtu ukisha kuwa ccm ni mwizi
@directorabiero340
@directorabiero340 7 күн бұрын
Upo kwenye hako
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 9 ай бұрын
Watumishi huwa wanahamishwa saaana huenda wote hapo wameyakuta hayo mauza uza
@zuberigangisa2075
@zuberigangisa2075 9 ай бұрын
Hayo matatizo ya halimashauli hata Namtumbo yanasumbua sana kiongozi
@user-de2rg9kk7u
@user-de2rg9kk7u 9 ай бұрын
MKURUGENZI Mpumbavu saana huyu. Tumbua Wote
@barikimohammed
@barikimohammed 9 ай бұрын
Naukiwakuta bar hao hatukai nao maboss wakula pesa zetu
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 9 ай бұрын
HIYO HAIKIBALIKI, RAIS WETU ANATAFUTA PESA SOTE NI MASHAHIDI, ALAFU WATU WACHACHE WALIOPEWA DHAMANA WANASHINDWA KUTEKELEZA MIRADI NA WANANCHI WANAENDELEA KUPATA SHIDA, TUNAOMBA HATA KAMA PESA HAWAJAILA, KWA KOSA TU LA KUCHELEWWSHA MIRADI, WAWAJIBISHWE!?
@user-cc4jk1ll5v
@user-cc4jk1ll5v 4 күн бұрын
Bb hapo hakuna fedha
@deoprosper556
@deoprosper556 9 ай бұрын
Hayo mabilioni tajwa mpk kichwa chaniuma
@zuberigangisa2075
@zuberigangisa2075 9 ай бұрын
Wakurugenzi hao vibaka kiongozi
@mweyaiddy
@mweyaiddy 4 ай бұрын
Mzee wangu nakuelewa but kwa xx huna nguvu ya kuongea km ulivyo kua nyuma 3yrs
@Jandugu
@Jandugu 9 ай бұрын
CCM naifananisha na nyumba yenye panya waswahili alisema paka akitoka panya hutawala paka wa ccm alikuwa Magufuli kwa hiyo mapanya wanachezea mishahara yao na pesa za miradi ya maendeleo. Pia sio kila anae lia eti ana majonzi Wala sio kila anaepiga kelele amekasirika wengine ni furaha na mzaha . sijawahi kuona sabuni na uchafu vikakaa pamoja . Kapigiwa pasi fupi fupi kashindwa kukaba muweka hazina kasema pesa hakuna uchunguzi wa nini paka akitoka panya hutawala.
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 9 ай бұрын
Mhuuuuuuuu nanyi mnabeba hata ambao hawayajui mambo ya halmashauri hayo sasa
@elihurumanada4874
@elihurumanada4874 9 ай бұрын
Fukuza mkuu wa mkoa Kigoma na mkuu wa wilaya kwasababu ni aibu kubwa kwa waziri mkuu kuibia uozo
@user-rs4vz2vt9z
@user-rs4vz2vt9z 9 ай бұрын
Naomba namba yako muheshimiwa.this is voice of Gog.
@saudmohammed3390
@saudmohammed3390 9 ай бұрын
Tatizo wizi mtupu hakuna mawazo ya kujenga watu wanataka kuuza
@eliannko
@eliannko 9 ай бұрын
Cheki lile jizi lililo Vaa shati la kijani
@NsobiLema-wq9vh
@NsobiLema-wq9vh 9 ай бұрын
Mweshimiwa ungekuja hata mbarali tunateseka umeme unakatwa mpka jumapili
@kagoyemwambal9061
@kagoyemwambal9061 9 ай бұрын
Wezi hao peleka jela tumechoka
@RehaniKharidi-st4oe
@RehaniKharidi-st4oe 9 ай бұрын
Raisi ajae hataari Sana mama anamajembe
@stephanokanyika6321
@stephanokanyika6321 9 ай бұрын
LABDA NDIO MSIMAMO WA SERIKALI KWA NINI WASITUMBULIWE WANASIMAMISHWA TU
@davidchihimba9489
@davidchihimba9489 10 күн бұрын
Mwananchi anawaangalia tu mnavobwabwaja hapo ipo siku yenu
@ramadhanisalum7476
@ramadhanisalum7476 9 ай бұрын
manawaonwa bwana nyinyi mbona mnakwiba alafu manonea hao CCM HAITUFAI BWANA HATUATAKI TENA
@florencemeza6540
@florencemeza6540 9 ай бұрын
Ingekuwa enzk za JPM WOTE MNGEFUKUZWA wananchi wanacheka wanajua kinachoendelea
@sembuakimbosho3319
@sembuakimbosho3319 9 ай бұрын
Kimenuka
@zachariathomas9980
@zachariathomas9980 9 ай бұрын
Hivi huyo mzee alikuwa amezuiliwa au
@thomaskwibonelwa9240
@thomaskwibonelwa9240 9 ай бұрын
Kupeana vyeo kwa misingi ya udini italiangamiza taifa. Mkurugenzi anaonekana kilaza.
@abi-onlinetv4181
@abi-onlinetv4181 9 ай бұрын
We ndo kilaza tena Sana. Hapo kuna dalili gani ya udini au umeropoka tu. Makalio yako.
@thomaskwibonelwa9240
@thomaskwibonelwa9240 9 ай бұрын
@@abi-onlinetv4181 vaa miwani uone kilaza alie teuliwa.
@Hussein-qq2uy
@Hussein-qq2uy 9 ай бұрын
Wewe Thomas ndio mdini tena hufai kabisa Acha chuki zako za kijinga na za ajabu ajabu,,,,kwa taarifa yako huo ushungi aliovaa mkurugenzi ndio ustaarabu na ndio heshima ya mwanamke ,,,,,,,,mdini mkubwa weee
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 9 ай бұрын
Nchi hii inapigwa kila kona, sababu ya viongozi wazembe na dhaifu. Mjiuzulu tu wote, wachumia matumbo tupu
@WilbertDede-qp6gs
@WilbertDede-qp6gs 9 ай бұрын
Wasimamizi ngazi ya wilaya na mkoa mbona hawaajibishwi
@eleutermhumba347
@eleutermhumba347 9 ай бұрын
Viongozi acheni kulalamika ,chukueni hatua acheni bwebwe.
@victorsanga2229
@victorsanga2229 9 ай бұрын
Makosa ni rais mwenywe namna anawapata wateule wake, vijana wa CCM si wawajibikaji wakutupwa. Aache kuchagua kwa vigezo vya uchama
@Fundi12345
@Fundi12345 9 ай бұрын
Waziri hawa watu hawana uwezo wa kusimamia hawajitambui tandika vimbo hera kama zimeperekwa mama huyo anatesa watanzania
@thomastemu3332
@thomastemu3332 9 ай бұрын
Hawafai watumbuliwe hao
@denisyohana8104
@denisyohana8104 9 ай бұрын
naombeni basi na mimi nafasi nijaribu ,mbona naweza simamia vizuri sana ..
@thomastemu3332
@thomastemu3332 9 ай бұрын
Hahaaa hela tamu.unaweza kujisahau
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 9 ай бұрын
Sasa hii itasaidia nini wakati nchi haina raisi ni kelele tu za bure
@zegelibilishanga6047
@zegelibilishanga6047 9 ай бұрын
Mhulumie inatosha hiyo ngonjera Atakufiako bure mama ashaumia
@mtundipaul5748
@mtundipaul5748 4 сағат бұрын
Hahahaha wanyoshe hao ndo wezi wasumbufu wanakwamisha miradi viongozi wanaonekana hawafai 7bu za wajinga wachache tu
@zainabwage4658
@zainabwage4658 9 ай бұрын
Mpk apite wazir mkuu ndipo aone ayo duh
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 9 ай бұрын
Wezi Wezi Wezi Wezi mjomba kassimu watakuloga hao
@naturelle1097
@naturelle1097 9 ай бұрын
Washindwe kwa Jina La Yesu!!!
@princeofhulabula
@princeofhulabula 9 ай бұрын
mMWERA HUYO huko lindi ndiko uchawi ulikozaliwa.
@fredyfile623
@fredyfile623 9 ай бұрын
Sishangai bcz hayo ndo madhara ya kupita bila kupingwa wangechaguliwa kwa haki wangesimamia hayo vizuri lakini wooote ni ccm hivyo wamefumbwa macho.
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 9 ай бұрын
Wazir unamuuliza lin Kate mbelelea je wewe wazir lin ulienda kufatilia
@shadrackmohamedi8765
@shadrackmohamedi8765 9 ай бұрын
Sasa Wazir atatembelea sehemu zote kweli?
@bakarirajabu3783
@bakarirajabu3783 9 ай бұрын
Wilaya ya wajinga hii mzee kila mtu ni mungu mtu kz tunayo bila maombi na dua hatuponi
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 9 ай бұрын
Jamani viongoz ifike sasa mahali muwe mnafukuza aina ya wezi na wazembe , hawa, tumechoka. Fukuzeni , ajirini wengine
@fredyfile623
@fredyfile623 9 ай бұрын
Sishangai bcz hayo ndo madhara ya kupita bila kupingwa wangechaguliwa kwa haki wangesimamia hayo vizuri lakini wooote ni ccm hivyo wamefumbwa macho.
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 5 МЛН
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
UKUMBI | Mauaji ya kiholela  nchini(Part 1)
23:57
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 15 М.
Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Kware Collins Jomaisa amekamatwa
29:29
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 161 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode/15/ #love
50:40
BabaJoan
Рет қаралды 382 М.