Shekhe mwaipopo we endelea kuchoma sindano tunajua inawaingia na ALLAH akuzidishie
@azizhamed63203 жыл бұрын
Wape vidonge vyao sheikh hawo Walola ktk kristo wamepotea. Thumb up
@khalfanijuma13573 жыл бұрын
We Trezia Nzunda unamsema shekhe wetu mwaipopo asome aya nzima je wewe ukiwa kanisani uliwai kusomewa aya nzima na kama wakristo mgekuwa mnasoma aya nzima msingekuwa wakilisto
@muhammadsharifu77162 жыл бұрын
Msomi yeyote lazima aache ukristo maana hawezi kukaa na kumuabudu binadamu mwenzake Kisha akamuita Mungu Kama makafiri wanasema Yesu Mungu huo NI uchizi wa Hali ya juu kabisa
@sulemanissa31993 жыл бұрын
Takbirr waislam nakuombea ddua kila kukicha Allah akupe umr mrf tupo nyuma yako usiwaze Allah pekeyake ndie mshind
@hamoodalrawahy20263 жыл бұрын
ASALAAM ALAIKUM. SHEIKH MWAIPOPO ALLAH ATAKULIPA NA AKUEPUSHE NA MAADUI WAKO. SISI HUKU OMAN TUNAJIVUNIA KUA NA NDUGU KAMA NYIE. ILA TU NAKUOMBA SHEIKH WETU UTUSAIDIE KWA JAMBO HILI MMOJA TU SISI WA OMANI TULIO NA DAMU YA KI TANZANIA TUNA TUKANWA SANA NA DADA ZETU WANAO RUSHA VOICE ZAO MITINDAONI KUTULANI NA KUTUKANA KAMA ALIKOSEWA NA MTU MMOJA SIO VIZURI KUTUKANA WA OMANI WOTE KUNA VIOMBO VIA SHERIA NA UBALOZI WA TANZANIA UPO ENDE AKASHTAKI APATE HAKI YAKE. SIE LEO TUNA TAMANI KUJA HUKO KWANI NI KWETU TUNA WAJOMBA MAMA ZETU WA KUBWA NA WADOGO. HAINA HAJA KUPANDA FITNA BAINA YA NCHI NA NCHI. NA DHANI SHEIKH WANGU UMENIFAHAMU. WA ASALAAM ALAIKUM WA RAHMA TULLAH WA BARAKATU
@elishadodi87873 жыл бұрын
Huujui ukristo wewe. Ungeujua ungebaki ukimwamini Yesu
@azizawadh59733 жыл бұрын
Wape dawa iwaingie shehe
@gracecypilian65573 жыл бұрын
Yesu anakupenda
@apostlendmawallamawalla40743 жыл бұрын
Ndugu Mwaipopo , kama kuna watu wana soma hiyo aya nakufikiri Yesu alizungunzia Kuwa yeye ata wachinja maadui zake , ni ukosefu waulewa , kwakuwa Yesu alikuwa anamzungumza mfano wa mtu ambae alikuwa a nataka kuwa Mfalme alivyo Fanya Luka 19:11- 27, ukisoma utaelewa kuwa ilikuwa ni mfano.
FIKISHA UJUMBE SHEIKH USIOGOPE VITISHO VYA IHAO MAIBILISI
@lulanjamd38863 жыл бұрын
Acha uongo soma Aya yote kuazia juu.Yesu anasema aishiye kwa upanga atakufa kwa upanga na amekataza kulipa baya kwa baya pia Biblia inasema ushinde ubaya kwa mema.
@sogadariwafunuwaji28753 жыл бұрын
Usiwe naofu mungu yupo nawewe
@azizawadh59733 жыл бұрын
Warabu wengi wanafiki shehe
@faisalwaafrica74783 жыл бұрын
Dini sio ya warabu ni dini ya Allah na kama warabu wanafiki ni wao ila sio dini ya Allah
@sammarley14133 жыл бұрын
Aziz ondoa cuki moyoni cuki inamfanya mtu kua mjinga hata akiwa msomi. Shekh anaongelea dini unaingizaje kabila zawatu? congo burundi rwanda tz kenya uganda watu wanauwana kila siku canzo nicuki sio dini ao kabila kuhusu huyu sheikh huyu hana busara video zake nyingi zipo zinathibitisha hilo
@hamzahaji46233 жыл бұрын
Wewe umekosa kazi, na kama ukiendelea kuyatukana majeshi ya Bwana unahatarisha maisha yako. Siyo Siri mungu wenu anaabudiwa na majini kwa uelekeo mmoja na lugha moja. Pole kwa kuwa hukubahatika kuonja furaha ya wokovu. Ukahama ukristo. Geuka urudi Kristo anakuhitaji.
@faroukamir54843 жыл бұрын
Ww Una wazimu towa andiko moja wapi ukiristo ni dini ya mungu ..
@swabrahassan36793 жыл бұрын
We Ni kichaa hahahaaaaaaa ukristo Ni dini yanani Kama sio wazungu hahahahaaaaaaa poooleeeeee
@gracecypilian65573 жыл бұрын
Ipo siku watajua yupi Mungu wa kweli naipi dini ya kweli ukizingatia hakuna dini kwa Yesu baali walio mfaata Yesu ndio watakao okoka nahukumu Bwana Yesu akubariki
@gracecypilian65573 жыл бұрын
@@faroukamir5484 mbona waisilamu mnapenda kutukana Sana je hayo ndio mnayo fundishwa Mungu awasamehe Sana lakini pia siwezi kuwalaumu mnafanana na baba yenu
@gracecypilian65573 жыл бұрын
@@swabrahassan3679 Mungu akusamehe pia akupe uwelewa ili ujue kua matusi hayakubariki kwa dini yoyote
@faroukamir54843 жыл бұрын
Uko swa mwaipopo ..watowe andiko ukiristo ni dini ama manabii wote walikiwa wakristo..hiyo tu...
@swabrahassan36793 жыл бұрын
Achana nae huyo Ni mjinga tu ukisema ukamshitaki inakua sio nzur toa taarifa na tulia ALLAH atuongoze Hadi siku ya mwisho tuu
@saidrunas14143 жыл бұрын
Safi sana sheikhe
@lulanjamd38863 жыл бұрын
Yesu hajasema adui zake wauwawe alisema Mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie na shavu la kulia ina maana hafundishi kulipa baya kwa baya.
@trezianzunda19093 жыл бұрын
Alafu mnapenda kuifatilia biblia na kuikosoa tuachieni wakristo tunaoielewa nyie pambaneni na kuruhani kuwaelewesha waumini na biblia sio nyepesi Kama uisimavyo wewe unatakiwa usome kwa utulivu na uilewe na ukiona huelewi Soma kitabu kizima Kama Luka Anza Luka 1 paka mwisho ukielewa ndo uje uwaopotoshe hao waiskam wako kuhusu ukristo
@swabrahassan36793 жыл бұрын
Kazi iendelee mzee baba sindano imeingia na dawaa ina fanya kazi kaka hahahaaaaaa
@geoffreymjipe33343 жыл бұрын
We we mwaipopo uko elimu ndogo maana ilimu ndogo ni udhia
@gracecypilian65573 жыл бұрын
Tubuni maana ufarume wa mbinguni umekalibia
@bennpetter52493 жыл бұрын
Badala ya kuhubiri ili watu wenu wamjue Allah unakaa kubishania dini bure kabisa
@joezeno83 жыл бұрын
Masheikh wanatafuta Kiki ana umarufu
@mohamedbakar22673 жыл бұрын
Mashallah
@ashurahabibuhassan43043 жыл бұрын
Shekhe mungu atakusaidia ishaallha usiogop kutulingania kwasabab ya mtummoja ishaallah
@saidbmali30603 жыл бұрын
Masha-Allah sheikh Mwaipopo pambana sheikh wangu, Allah yuko nawe Insha-Allah
Mimi nimesoma chuo Cha biblia kigoma ukristo Ni upagani nii hahahahaaaaaaa
@fadhilikawambwa51593 жыл бұрын
hahaha kilinge.
@sephaniamwaipopo84443 жыл бұрын
Upanga ni maana yake neno la mungu ww chapombe
@jamesadamnzelani49493 жыл бұрын
Inorder to know and understand what Jesus' words mean you need to have Metaphysical knowledge on that...
@makilinaonlinetv99063 жыл бұрын
Shetani ww
@mossesjovenari94573 жыл бұрын
KWA JINA LA YESU TU. JINI PEPO SHETAN WANATOKA sisi kumtoa pepokwa JINALA YESU Ni kwa maana yeye Aliacha ametwagiza hivyo na mapepo yanato kweli MATENDO 16:16-18 je nyinyi waislam mnaotumia dawa ya kutoa mapepo na majini ndivyo MUNGU Alivyowaagiza? au hiyo dawa Inauwezo wa kusimama badala MUNGU.
@sammarley14133 жыл бұрын
Sasa mbona ww mwenyw unaonekana unamapepo? huwez kuwa timam wa akili ukawanamna hiyo.
@mossesjovenari94573 жыл бұрын
@@sammarley1413 mwenye mapepo ni wewe unayeabudu majini
@gracecypilian65573 жыл бұрын
@@sammarley1413 Yesu anakupenda
@mathewnemes54693 жыл бұрын
Kwani wewe Mwaipopo kinachokutoa povu kwenye ukristo ni NN? ww c umehama kwenye ukristo tuache na ukristo wetu usipotoshe watu jmn, sisi ukristo atuuachi mpaka kifo, kama umeamini uko amini wewe peke yako.
@azizawadh59733 жыл бұрын
Soma. Bibilia vizuri
@faroukamir54843 жыл бұрын
Kasome bibilia vizuri ..towa andiko moja ukiristo ni dini ya mungu ama manabii wa mungu walikiwa wakristo...
@mathewnemes54693 жыл бұрын
@@faroukamir5484 ww hakuna unachokijua kaa kimya.
@gracecypilian65573 жыл бұрын
@@faroukamir5484 Yesu anakupenda
@utafitiimanitv66413 жыл бұрын
Una elimu ww una ukijuacho ungekuwa unaujua ukristo usingeuacha ukristo ww hauna ukijuacho ww umesoma university gan?porojo tu elimu yako ndogo sana tu
@azizawadh59733 жыл бұрын
Elimu IPI unaongelea maana. Bibilia yote anaijua au kunakingine
@faroukamir54843 жыл бұрын
Ww ulo soma university towa andiko moja ukiristo ni dini ya mungu ..ama mitume walopita walikiwa wakristo...towa andiko katika bibilia..
@gracecypilian65573 жыл бұрын
Mbona unasoma ka musitari kamoja anzia juu maana huo ulikua mfano tu
@azizawadh59733 жыл бұрын
Kalia mifano tu miaka Inae bibilia huijui mpaka usomewe
@gracecypilian65573 жыл бұрын
@@azizawadh5973 pole
@geoffreymjipe33343 жыл бұрын
Ama kweli mwaipopo elimu yko ndogo maana ilimu chache ni udhia
@stanleykipingu2283 жыл бұрын
Ni sasa hivi maana ametoka kwenye upetevu Kaingia kwenye uongovu Allah ampe mwisho mwema
@gracecypilian65573 жыл бұрын
@@stanleykipingu228 Ange soma kwanzia juu ili huo mfano muweze kuwuelewa vizuri hapo kaongea uongo
@mossesjovenari94573 жыл бұрын
SHERIA YA UISLAM Mtu akitoka kwenye uislam na kuhamia kwenye dini nyingine Anatakiwa apewe onyo mara tatu Akiendelea kukataa Sheria inasema huyo mtu Ambaye Anaitwa (MURTAT maanayake ni msaliti ) SHERIA Inasema mtu huyo anatakiwa Akatwe kichwa. je hayo si nimafundisho ya uuaji?
@sammarley14133 жыл бұрын
Naomba hilo andiko
@essaumpuma29813 жыл бұрын
Huyu jamaa utazani kuongea pointi hilo andiko Luka 19:27 sasa anzia mstari wa 11 utagundua ni maelezo ya mfano,wakristo tusome sana maandiko huyo bwana yuko kazini anatafuta ugali na kuna watu wanamlipa, hamna kitu hapo njaa tupu clip zake zote analia njaa ziangalieni mtagundua
@ramadhanilukambuzi97603 жыл бұрын
Mambo ya Mungu yanakuwaje na mifano?Maneno ya Mungu hayana utani jamaa;Hayo ni mashaka Jamaa!
@essaumpuma29812 жыл бұрын
Hutambui, Hata Mungu ana sifa ya ualimu Sasa unashamgaa yesu kufundisha Kwa mifano
@trezianzunda19093 жыл бұрын
Muwe mnasoma biblia mnaelewa sio kusoma Aya moja tu na unajifanya unaijua biblia alafu nyie waislam mna Mambo ya ajabu