Wanaosema CCM inatakiwa kuondolewa 2025 NI CCM "B" Ama ni wanufaika wa asali ya CCM.

  Рет қаралды 23,119

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Жыл бұрын

Edited by VideoGuru:videoguru.page.link/Best

Пікірлер: 170
@ramso2262
@ramso2262 Жыл бұрын
Upo sahihi kabisa mkuu.
@user-od8ez6hc3o
@user-od8ez6hc3o 10 ай бұрын
Mama aondoke na serikali yake watanzania tunataka mabadiliko na mabadiliko ya kweli, mtumishi mungu akulinde na akutie nguvu.
@shuleless
@shuleless Жыл бұрын
Huwezi kua mtumishi wa Mungu, ukaunga mkono dhulma ya aina yoyote ile. Huwezi ukawa mtumishi wa Mungu kisha ukaunga mkono uovu wa aina yoyote ile.
@issotv1736
@issotv1736 Жыл бұрын
Nikutie nguvu mtuishi mtumshi wa mungu ccm wataondoka kwa mgawanyiko wa kijeshi na wanajeshi wangi watakuwa upande wa wananchi bwana amenionyesha hilo kwaiyo tuko pamoja
@francissimwinga-gb2vd
@francissimwinga-gb2vd 11 ай бұрын
Kweli ccm sio chama cha siasa ni wakoloni wa kijani 2020 walipola uchaguzi nchi nzima je kweli wana baraka za wananchi kuongoza nchi
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Жыл бұрын
Mama aondoke kwa amani
@mwanagwakyala3213
@mwanagwakyala3213 Жыл бұрын
Mfano mdogo wa kusimamia katiba au sheria ulitakiwa kuanzia katka sheria au katiba iliyopo au sheria zilizopo ndipo tuanze kuzungumzia hyo mpya make nani ataisimamia wakat iliyopo tunaichukulia juu juu tu,sasa hyo mpya itakuwaje make vifungu vyenye kero vinajulikana ndio vibadilishwe sio wimbo tu katiba katiba ,
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Жыл бұрын
Ukikosa busara Za Mungu hata ukihubiri ni bure.ingia uwe mhamashijaji mwimbaji.
@ahmadajafari1881
@ahmadajafari1881 Жыл бұрын
Hv huyu mbona haeleweki ndio amechaguliwa na chadema aongee maneno yasiofahamika we ni muhuni tu mla unga
@aleckmwakibete8952
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
acha zalau zako chadema nao ni watu wakumshawishi nani awafuate ondoka na uchawa wako
@Magufuli.
@Magufuli. Жыл бұрын
👍 👍 kabisa 👍.
@user-zl5gw2rv8h
@user-zl5gw2rv8h Жыл бұрын
KAIBE SADAKA UKO UNAOGOPA KUISEMA CCM KWA MABAYA YAO UNAOGOPA KUAMBIWA SIO RAIA HATA UO UKLISTO UNAUBILI WAMELETA WAZUNGU WEWE USITUALIBIE BANDO NABII WAUONGO WEWE
@aleckmwakibete8952
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
ndio maana upo ivyo hujielewi elewi naapo wewe yesu unajua ndio yule ulie muona kwenye TV na mbinguni wewe ni kwawazungu yani wewe nilipunguani sana unaambiwa maneno yaku kukutoa upunguani umemekazana tu wazungu ndio walio tuletea dini ulikua wapi wakati wanakuletea😂😂😂😂😂😂
@salumhamisi8620
@salumhamisi8620 11 ай бұрын
Kweli haswa ila kak wanaweza kukudhuru hao sio watu wazuriiii
@mbondelotv8380
@mbondelotv8380 Жыл бұрын
Kweli
@nurdinahmed9063
@nurdinahmed9063 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa mtumishi
@user-gc1ez1yv4k
@user-gc1ez1yv4k Жыл бұрын
Akina Zuber kazi yenu ni uchawa tu,huna hata moja unalolijua,kubwa kwenu ni Udini.
@christophertz
@christophertz Жыл бұрын
🤝🏿
@NorbethJosphath-hm1zb
@NorbethJosphath-hm1zb Жыл бұрын
Nikweli mch
@demicratia4071
@demicratia4071 Жыл бұрын
waondoleweje wats yr strategic
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Жыл бұрын
Acha majiganbo, hayo masuala ya waislamu ni yao, hangaika na dhehebu lako. Usiwatoe watu kwenye Reli!
@shukranimpomwa7460
@shukranimpomwa7460 Жыл бұрын
Wote ni watu wake, amseme nani na amuache nani.
@jacksonmkuye7739
@jacksonmkuye7739 Жыл бұрын
Ko kuishi kiholela iyo ndio reli?? Ukiambia acha kuvaa vichupi jisitiri apo unatolewa kwene reli ama unarudishwa relini. Duuu kweli mwanadam ni kiumbe mwenye shingo ngumu
@user-xg9ix9ex9h
@user-xg9ix9ex9h Жыл бұрын
Kisemo cha wengine rudi kwenu zambia haraka sana
@musakihama7205
@musakihama7205 Жыл бұрын
Afrika ni moja tu mipaka ya hao mafala wa kizungu isikusumbue.
@aleckmwakibete8952
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
type za waafrika kama nyie yani hamfai kabisa kuwemo duniani ndio mmesababisha Africa kuwa ivi nchini mwenu akitokea tu mtu anae pinga ubaya sio wa nchi yetu ivi wewe ndio unae kagua watu muulize babu yako kama akuamkimbizi tanzania
@shukranimpomwa7460
@shukranimpomwa7460 Жыл бұрын
Huyu Mzee unamfahamu? Au unajitapikia tu?
@aleckmwakibete8952
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
natamani niyaone mambo Kama unavo yaona mzee wangu
@nassoroyahaya821
@nassoroyahaya821 Жыл бұрын
Qewe ni muhuni tu kama wahuni wengine una chuki na uislamu
@NaftaliMhemi-du5re
@NaftaliMhemi-du5re Жыл бұрын
CCM hatutoki. Mtajionea tuu
@chrispincharles3616
@chrispincharles3616 Жыл бұрын
Chawa
@aleckmwakibete8952
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
mtatoka tu nyie mbona wepesi sana nyie subili muone
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 Жыл бұрын
Wacha kujidanganya tena usitamke maneno hayo public, unaweza Kuta wewe sio CCM, kama kweli wewe ni CCM Kwa maneno yako hayo huoni unawapa watu mbinu za kujipanga, acha ushabiki, msije mkaleta machafuko ndani ya nchi hii.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Hatutaki udini waislamu na wakristu tunazaliana
@shukranimpomwa7460
@shukranimpomwa7460 Жыл бұрын
Mbona hajabagua dini yoyote?
@sanda960
@sanda960 Жыл бұрын
Huyu ana jambo lake nyumba ya pazia. Siyo mchungaji huyu
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 Жыл бұрын
Heri mtu yule afae akiwa katika harakati za ukombozi wa kuanzia yeye mwenyewe hata nchi na dunia nzima. Utakatifu ni kuacha ubaya na kuwaambia wabaya waache ubaya.
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 Жыл бұрын
A. To. Z
@methewbuzuruga-eg8oz
@methewbuzuruga-eg8oz Жыл бұрын
Kwa haraka tu nimegundua Kwamba ccm b ndiyo insyombeba huyu nilishasema ccm wamegawanyika ila Wana jambo lao 2025 ndiyo hapa Kuna kitu kinaitwa tega nikutegeue ndiyo maana ndani ya ccm hakuna Siri Tena wanaccm hao hao ndiyo wanaopeleka Siri za chama Kwa wapinzani Kwa sababu hawataki kuonekana Wana mpango gani sasa ni ngumu kushindana na watu watu wa ccm b na wapinzani Ili utoboe yaani uchaguzi 2025 ni mgumu mno haijawahi kutokea hii nchi yaani Kuna watu ndani ya ccm wataongea maneno Tena ule ukweli baada tu wakikatwa majina ya ccm b wamejipanga sana wanataka kulifumua Hilo genge ndiyo shida Kwa hii nchi watu wameshaelewa Kila kitu juu ya Hilo genge maana yake hii nita ya kinyakimya
@damianandrew3074
@damianandrew3074 Жыл бұрын
Junius man
@osodowilberforce2321
@osodowilberforce2321 Жыл бұрын
Huyo pumbavu anaeneza propaganda ya kishenzi amelipwa na CCM kuwasaliti Chadema.Mambo ya bandari haina haja ya inteligensia.Bure kabisa.
@clemencelisonga8261
@clemencelisonga8261 Жыл бұрын
Ngugu habari kweli maneno yako yanafikirisha sana
@user-go6ht5vv8r
@user-go6ht5vv8r 11 ай бұрын
JITU LA MBINGUNI🎉🎉🎉🎉🎉
@gaspermatee3970
@gaspermatee3970 11 ай бұрын
Ceos totally
@damianandrew3074
@damianandrew3074 Жыл бұрын
Akili ya nje ya dunia hii,elimu ya mbinguni
@christophermwankenja1221
@christophermwankenja1221 Жыл бұрын
Mbarikiwa huujui uislam
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile Жыл бұрын
Uliopandikizwa na wazungu ndio siujui
@kawiche4911
@kawiche4911 Жыл бұрын
MAMA ANALEA WEZI
@frenkfarm
@frenkfarm Жыл бұрын
baba mbalikiwa shunjaaaaaa wetu songa mbeleeee jicho la mungu taaa ya ulimwengu tunakutengemea sana sanaaa sanaaaaaaaaa
@zakayoyohana1736
@zakayoyohana1736 Жыл бұрын
Sasa asonge meble anaenda wap huyu mjinga
@MK-mz8bz
@MK-mz8bz Жыл бұрын
Neno lenyewe intelligence unashindwa kulitamka
@chrispincharles3616
@chrispincharles3616 Жыл бұрын
Chawa
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
ulitaka atamke kwa lugha ya kikwenu au kwakua wewe nj mchwa mmoja wapo pepo mlaaniwa wewe mtumishi wa mungu ana maono anacho ongea amemanisha
@mraclatel4866
@mraclatel4866 Жыл бұрын
Kuma Nisha nin we mrembo toa comment za kishamba
@tonimkimbo4481
@tonimkimbo4481 11 ай бұрын
hata magu mlisema anamwandiko mchafu.......ndo mkikosaga hoja mnakimbiliaga kwenye usomi....polen
@emanuelelias4695
@emanuelelias4695 Жыл бұрын
Hakika unaitendea haki huduma uliyo pewa na MUNGU
@johnnzali5832
@johnnzali5832 Жыл бұрын
Amina mtumishi
@yusufunguruko8080
@yusufunguruko8080 Жыл бұрын
Huyu anaonekana kama amekunywa maji ya chooni.
@johanneskallya364
@johanneskallya364 Жыл бұрын
Huyu naye kichwa kibovu,toka uchungaji hadi kuwa mwanaharakati!😊
@chrispincharles3616
@chrispincharles3616 Жыл бұрын
Chawa
@BenMalegea-zs1th
@BenMalegea-zs1th Жыл бұрын
Yani wewe, ndo umenichanganya kabisaa sikueliwi
@aleckmwakibete8952
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
ulitaka awe tapeli na malaya kama wewe acha ujinga na dharau wewe ata ujui uwanaalakati ninini nyie ndio mlio kujaga duniani kushangaa tu na kufa kama babu zenu walivyo kufa wakiwa wahovyo kama ulivyo wewe utatokea kule aliko ishia babu yako
@shukranimpomwa7460
@shukranimpomwa7460 Жыл бұрын
Nani si mwanaharakati humu duniani?
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc Жыл бұрын
Mbarikiwa,Wazungu unaowachukia ndiyo walio tumiwa na Mungu kututoa kwenye biashara ya utumwa
@ramso2262
@ramso2262 Жыл бұрын
Wazungu gani ambawo wametutowa kwenye utumwa. We mtu mweusi.?
@gaspermatee3970
@gaspermatee3970 11 ай бұрын
C uwataje bc hao watu ssa au na wewe unazuga tu
@helencyprian8745
@helencyprian8745 Жыл бұрын
We nae tuache tupo na bandari, ukimya nao ni jibu
@chrispincharles3616
@chrispincharles3616 Жыл бұрын
Chawa
@aleckmwakibete8952
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
kipandikizi cha maccm, wazungu,na mashetani mkitakamuendelee kuumiza na kuuwa watu mwisho wenu umefika
@davidkawiche8372
@davidkawiche8372 Жыл бұрын
Hebu kunywa dawa zako upumzishe Hilo fuvu maana naona mawingu yanakutesa sana
@chrispincharles3616
@chrispincharles3616 Жыл бұрын
Chawa
@ashelikilele167
@ashelikilele167 Жыл бұрын
Nyie machawa wa ccm pungu zeni matusi
@aleckmwakibete8952
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
wajua kila mtu anaishi kwakunywa midawa kama wewe ondoka apa kawambie na mashetani wenzio mawingu ayatuliwi kwakunywa dawa bali waache maovu yao hawata ishi milele hapa Dunia
@shukranimpomwa7460
@shukranimpomwa7460 Жыл бұрын
Na msiojua hata kuoga mnaongea? Duuuhh??
@mosesjackson_tz
@mosesjackson_tz Жыл бұрын
Naona 2025 Mbarikiwa Mwakipesile akiingia bungeni kama mbunge.....bado cjajua utaingia kwa tiketi ya chama gani
@aleckmwakibete8952
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
mbinguni na haki
@jonathankihebe9889
@jonathankihebe9889 Жыл бұрын
Anayekuchukukia wewe huyo anamatatizo ya ufahamu wa akili yake Mungu akusimamia Ila usije ukakeuka endelea hivyohivyo mpaka mwisho wa Maisha yako
@rambostalon2888
@rambostalon2888 Жыл бұрын
👏
@innocentlethisia416
@innocentlethisia416 Жыл бұрын
Amepitia Magumu KUPITIA serekali hii thuswhy anaongea
@MK-mz8bz
@MK-mz8bz Жыл бұрын
Mafuta huyo
@SelemanSanaga-tr4ox
@SelemanSanaga-tr4ox Жыл бұрын
Hukuni kuchanyikiwa kwaniwewe nadoctar mashimo mkoje?
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile Жыл бұрын
Nafahamu fika kwamba akiguswa mungu wenu huwa mnalipuka kwelikweli. Lakini swali ni je, Kwa hiyo huyo ni Mungu hakosei? Mwambieni aache kumshambulia Magufuli hata kwa mambo mema. aseme baya la Magufuli moja tu la kukaa kimya baada ya kupigwa risasi. Nje na hapo hakuna ukombozi wa nchi yetu utakaotokea.Akija mtu asiyetambua wema wowote wa watu waliofanya vizuri kuliko yeye atafanya kinyume kila kitu ili aonyeshe kuwa yule alikosea na hapo mtarudi katika utumwa mbaya zaidi
@Issa-ud6sy
@Issa-ud6sy Жыл бұрын
Haruna issa.kwa maoni yako unataka bandari apewe nani?
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Siyo rahisi kuitoa ccm
@ElizaNaman
@ElizaNaman Жыл бұрын
Itatolewa pamoja na wewe fala.
@aleckmwakibete8952
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
alitoka farao ndio yakawe maccm mbona mepesi sana nyie
@hamadkhamis6572
@hamadkhamis6572 Жыл бұрын
Naona ni msaidizi wa nabii Tito.
@aleckmwakibete8952
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
umeamka chawa ukokujigamba
@ephrahimjoel6406
@ephrahimjoel6406 Жыл бұрын
Kweli mm nashindwa kuwajua watu kama hawa wamechanganyikiwa au awajitambui naomba wakutane na mungu wa kweli
@salummohd4971
@salummohd4971 Жыл бұрын
😊😂😂😂😂😂
@aleckmwakibete8952
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@kawiche4911
@kawiche4911 Жыл бұрын
Bandari ni shamba la urithi Hawezi pewa Dpw
@benardbwakitare-wj1hr
@benardbwakitare-wj1hr Жыл бұрын
Wewe ni lishetani kumbe unafadhiliwa na CCM shetani
@aleckmwakibete8952
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
wamekutuma maccm mashetani menzio yambie lazima yanaanguka yakubali yakatae
@komumbughuni8301
@komumbughuni8301 Жыл бұрын
Huelweki ni kitu gani hasa unataka kutueleza😮
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile Жыл бұрын
CCM inatakiwa kuondoka kabla ya 2025 ndio pointi kubwa.
@safarikeza9143
@safarikeza9143 Жыл бұрын
Wewe ni munafiki mubaya sana
@eliezakasebele9092
@eliezakasebele9092 Жыл бұрын
Mtumishi kwenye picture za video zimesheki hazionekana vizuri,POLE KWA MNAYO PITIA WATUMISHI WA MUNGU Mungu awatie nguvu na kuwaingoza.
@benson20301
@benson20301 Жыл бұрын
Huyu mjinga sana
@aleckmwakibete8952
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
wewe welevu sana ndio maana upoupotu ujielemi
@shukranimpomwa7460
@shukranimpomwa7460 Жыл бұрын
Mjinga useye ongea niwewe nchi inateketezwa kwa kuuzwa laslimali zake
@user-xg9ix9ex9h
@user-xg9ix9ex9h Жыл бұрын
Mi nilikuwa nakuamini kama mchungaji umeshapotoka unaanza siasa wewe huwezi kumdanganya mtu ccm huiwezi
@chrispincharles3616
@chrispincharles3616 Жыл бұрын
Chawa
@chrispincharles3616
@chrispincharles3616 Жыл бұрын
Chawa
@isayaadrian
@isayaadrian Жыл бұрын
Mbona chanel yako haina chochote je humuakilishi lucifer nafsin kwako? Toka 2022 mpaka leo hujaona chochote cha kufundisha wenzio
@aleckmwakibete8952
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
ungekua ulikua unamwamini ungekua apo na ivo ulivyo usie potoka ninikinaendelea mbona upo upo tu siasa unazijua wewe wambie maccm wenzio kuanguka mtaanguka tu
@sifakamwela6430
@sifakamwela6430 Жыл бұрын
Ubarikiwe
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 Жыл бұрын
WEWE NI CCM NA NDIO MAANA UNAITETEA CCM 😊😊😊😊😊😊 KAMA HUWEZI KUELEWA HATA UMUHIMU WA KATIBA MPYA INA MAANA WEWE BADO SANA KWENYE UELEWA.😊😊😊😊
@musakihama7205
@musakihama7205 Жыл бұрын
Iliyopo unaijua?au mpaka hao wanaohubiri hilo wakusaidie kujibu?
@shukranimpomwa7460
@shukranimpomwa7460 Жыл бұрын
Alafu haujasikiliza crep hii, Kwani umesikia pointi ya Kwanza?
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 Жыл бұрын
YAANI HUJUI UMUHIMU WA KATIBA MPYA NI HASIRA USA TAIFA KUWA NA WATU KAMA HAWA 😊
@yussufomar4150
@yussufomar4150 Жыл бұрын
Mk
@yussufomar4150
@yussufomar4150 Жыл бұрын
. I I
@yussufomar4150
@yussufomar4150 Жыл бұрын
Oii
@yussufomar4150
@yussufomar4150 Жыл бұрын
Oh In.i I I .
@yussufomar4150
@yussufomar4150 Жыл бұрын
I I I . H
@innocentlethisia416
@innocentlethisia416 Жыл бұрын
kwa tulipofikia mtumishi tunapaswa kupata katiba mtumishi
@maseliomari2548
@maseliomari2548 Жыл бұрын
Ili tuamini kuwa wewe unapinga Dhulma; ni vema uiambie Serikali ifute mkataba (MoU) unaoyapendelea Makanisa kwa kuyapa ruzuku za Fedha zinazotoka katika kodi za Watanzania wote. Ambapo ruzuku kama hizo hawapewi watu wa Misikiti ambao nao ni sehemu ya pato la taifa. Kemea uonevu huo kwanza ndio tuamini kuwa unapinga Dhulma na Ubaguzi ndani ya nchi hii. Kemea kwanza Mkataba ficho (MoU) uliowabagua watu wa dini nyingine na kuyapendelea makanisa; Kisha baadae ndio uhubiri haki, usawa, utu na Uadilifu.
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile Жыл бұрын
Mimi ni mchungaji na sijawahi KUPEWA HIYO RUZUKU. Kama wanawapa basi wanawapa wezi wenzao. Nitumie data/taarifa ya makanisa yanayopokea hiyo RUZUKU (Wanapata kiasi gani kwa mwezi /mwaka) ILI UONE NIKIKEMEA KITENDO HICHO MARA MOJA.
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Жыл бұрын
Bakwataaa wanalipwa na nani kwani mbona kama unaongea vitu bila uhakika
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Жыл бұрын
​@@Mbarikiwa_Mwakipesileasikusumbue huyo mvuka maji ..
@maseliomari2548
@maseliomari2548 Жыл бұрын
@@Mbarikiwa_Mwakipesile Memorandum of Understanding (MoU) kati ya Christian Council of Tanzania, Tanzania Episcopal Conference na Serikali ya Jamhuri ya Tanzania. Mwandishi wa Mkataba huo ni: Prof. Dr. C.R. Mahalu Kutoka Kitivo cha Sheria, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
@maseliomari2548
@maseliomari2548 Жыл бұрын
@@Mbarikiwa_Mwakipesile Mkataba huo ulisainiwa tarehe 21/02/1992 na watu watatu (Wawili wakiwakilisha Makanisa na mmoja akiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania). Tusipoelemea upande wowote tutadai haki inayofaa kuidai. Ila tukisukumwa na ubinafsi kila mtu atavutia upande wake bila kuangalia maslahi ya Umma kwa ujumla wake.
@MK-mz8bz
@MK-mz8bz Жыл бұрын
Wewe unatakiwa kupelekwa milembe
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
kuna lichawi linalo jibu upuzi umu mtandaoni sijuhi lilo zaliwa usiku wa manane anabishana na mtumishi huyu wa mungu
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 Жыл бұрын
Barikiwa sana brother Mwenyezi Mungu yuko nawe
@aleckmwakibete8952
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
mwende na maccm wenzio hamujioni mlivo beba makopo kichwani
@rashiditembo1574
@rashiditembo1574 Жыл бұрын
Tusiwalalamikie wala kuwaomba watu.tumlilie yule aliye juu yetu mwenye mamlaka makuu.iko siku atasikia na atakujibu maumivu yako.
@jonathanntare4787
@jonathanntare4787 Жыл бұрын
Tulisha kuzoea Muda Mwingine zinakuruka, Muda Mwingine zinaexpire , katiba ni sasa na watetezi ni chadema full stop .
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 Жыл бұрын
A. To. Z
@aleckmwakibete8952
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
ondoka na uchawa wako apa chadema sindio walewale
@aleckmwakibete8952
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
si ungeisha badilika kama ilimzoea
@shukranimpomwa7460
@shukranimpomwa7460 Жыл бұрын
Umeambiwa, hawa jamaa kupitia Siasa hawatoki, lakini kichwa yako ngumu kufunguka. Unajua anayesimamia matokeo ya uchaguzi ni rais, sasa anaweza kukubari aondoshwe?
@zantadegaste3757
@zantadegaste3757 Жыл бұрын
Huyu mtu Njaa inamsumbua, ukiendelea kumsikiliza ndivyo bando lako anakulia
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
Kuna point makini kaziongea huyu bwana. Kwa mtu mwenye akili atakuwa kaelewa. CCM haitotoka madalakani weka kichwani, hii katiba wanasiasa wanaipigania ili kuingia madalakani sio kwaajili ya wananchi. Unazani CHADEMA wakiingia madarakani watakubali kuwa raisi asiwe na mamlaka makubwa!?. Wapinzani wanapambania matumbo yao na CCM wanapambania matumbo yao.... Kama kweli wanapambania wananchi mbona hawapigi kelele kuhusu ubovu wa elimu uliopo Tz, watoto wao wanasomea nje ya nchi na wanaajiliwa nje ya nchi wakija Tz wanapata ngazi za juu juu huku watoto wwtu wapo mitaani!?. Wapi umeona watoto wa viongozi wanaendesha boda boda!?....
@aleckmwakibete8952
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
aisee umenena vema kabsa
@dottothomas
@dottothomas Жыл бұрын
Mwabukusi amefanyaje tena Pasta M.
@shukranimpomwa7460
@shukranimpomwa7460 Жыл бұрын
Pastor anajua nini amelenga, wala usijari kuhusu Mwamba huyu.
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Жыл бұрын
@@shukranimpomwa7460 usijali siyo usijari
@aleckmwakibete8952
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
anapigania haki
@danielmalambugi
@danielmalambugi Жыл бұрын
Ingia uwe mwanasiasa
@aleckmwakibete8952
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
ata wewe ni mwanasiasa ujijui tu
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Жыл бұрын
Huyu mama unamfananisha na Nyerere? Mama anayekula na wezi na mafisadi? Kwa kweli watajitapika wenyewe. Kwa kweli hawa wanaiba kila kitu, wanaua bila aibu kubwa sana.
@ZaitunAbdallah-ol1bb
@ZaitunAbdallah-ol1bb Жыл бұрын
Mkurugezi umeitoa roho ya mtoto wa huyu jamaa usipo mpeleka mahkamani màana yake umeuwa mtoto wa huyu jamaa unastahiki kupelekwa mahkamani na kwenda kujibu hiyo jinai na una kesi ya kujibu
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 Жыл бұрын
Utaondoka wewe utarudi kwenu Zambia na C.C.M umeikuta na utaiacha wewe ni nani wewe umekuja Tanzania kwa kujifanya mchungaji rudi kwenu ukachunge mifugo mbuzi na ng`ombe huko huna lolote wewe ni mshamba tu
@chrispincharles3616
@chrispincharles3616 Жыл бұрын
Chawa
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 Жыл бұрын
@@chrispincharles3616 Na wewe kunguni
@ashelikilele167
@ashelikilele167 Жыл бұрын
Chawa la ccm utaondoka wewe nalichama lako la ccm
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 Жыл бұрын
@@ashelikilele167 Ndoto ya mchana huku unatembea angaliya usigonjwe na gari tu
@chrispincharles3616
@chrispincharles3616 Жыл бұрын
Chawa
@shukranimpomwa7460
@shukranimpomwa7460 Жыл бұрын
BABA WEWE NI MRATIBU WA MAMBO KATIKA NCHI HII YA TANZANIA NA AFRIKA. YOTE UNAYOONGEA NI MWONGOZO WA NCHI. HII, WEWE JICHO LA TAIFA🇹🇿 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 21 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 59 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 36 МЛН
kuelekea hukumu ya kuuawa mtoto wao, Mbarikiwa atoa wosia mzito kwa mkewe akiwa anaumwa.
34:38
What connects Vice President Harris to young voters
28:58
Washington Post
Рет қаралды 3 М.
Prophet Muhammad and Aisha's Adultery (Al-Ifk)
16:31
Nabi Asli
Рет қаралды 642 М.
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 21 МЛН