kuelekea hukumu ya kuuawa mtoto wao, Mbarikiwa atoa wosia mzito kwa mkewe akiwa anaumwa.

  Рет қаралды 12,844

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Edited by VideoGuru:videoguru.page...

Пікірлер: 49
@francessimilanzi4545
@francessimilanzi4545 Ай бұрын
Asante sana baba me nakuheshim na ninakupenda hupendi kuishi maisha ya mtu mwingine kwa kuuza haki we unasimamia haki maana hata ukijipendekeza kwao bado ipo siku watakuumiza2 Mungu yuko pamoja nawe
@user-uv6km8dg1z
@user-uv6km8dg1z Ай бұрын
Amina amina baba, wewe nishujaa kabisa nanaamini kuwa MUNGU yuko nawe, napamoja na kanisa zima, nawapenda sana wazazi wangu wema, MUNGU awalinde, na mapenzi yake yatimie katika cku yakesho.
@mbelechimakobola8835
@mbelechimakobola8835 Ай бұрын
Usikate tamaa mtumishi wa Mungu, Mungu tunayemwabudu atakupigania Amina!
@naimakawina4276
@naimakawina4276 Ай бұрын
Polen sana mwenyez mungu awatie nguvu msiteteleke na vitisho, mnatishwa ili msiendelee kudai haki hivyo msimpe shetan nafasi hiyo ukiwa mkweli hakika hautoogopa dudu wala mende binadamu zaid wa kumuogopa mungu hivyo endelea kupiga kazi ss tunakusikiliza nakunavitu ajifunza kupitia wewe, mpaka hapo hakuna cha kupoteza waambie wajue wakuogopwa ni mwenyez mwenyez mungu pekee
@bahatimgaya4045
@bahatimgaya4045 Ай бұрын
Hakika mbarikiwa Mungu alikupa mke wa kufanana nawe mwenye kiapo cha kweli cha kuwa nawe ktk shida na raha.
@DarcornDaud
@DarcornDaud Ай бұрын
Wewe ni mwanaume tena simba wa nyika. ubarikiwe sana kaka kama lilivyo jina lako Mungu alikujua toka hajakuumba anayajua mapito yako hivyo usiogope lolote itimize kazi ya MUngu nae yuko nanyi mpaka milele .Kazi yako umeitimiza mtu wa Mungu
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn Ай бұрын
HAKI Itawale Milele na milele Yote ❤ Amina.
@mengindegeya2780
@mengindegeya2780 Ай бұрын
Haiwezekani mtu ana haki zote azidi kuteswa na watu tuko kimya jamani hiii ni haki kweli!!!!!
@HejJsj-hv5it
@HejJsj-hv5it Ай бұрын
Mungu akupigania
@mnyakyusambunifu143
@mnyakyusambunifu143 Ай бұрын
Mnyakyusa Mbunifu Nawaombea Mungu Awatunze Saana Watumishi
@user-pm7ir7im1k
@user-pm7ir7im1k Ай бұрын
Pole sana mtumishi wa MUNGU. Neno moja tu kwako, MUNGU hajakuacha, yuko nawe nyakati zote. Mtazame MuNGU tu katika yote.
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 Ай бұрын
❤❤❤❤❤ Ashukuriwe Muñgu aketie mahari pa juu
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 Ай бұрын
MUNGU wa mbingu na Nchi akawe nawe akuzunguke kwamiali ya moto mikno miovu isikuguse..iwe mwisho wa nateso na dhuluma na ikawe kustarehe kwako..katika Jina la Yesu
@mshanibeatrice7449
@mshanibeatrice7449 Ай бұрын
Nakuelewa Sana Mtumishi
@mengindegeya2780
@mengindegeya2780 Ай бұрын
Tunasubiri kesho hiyo hukumu itakuwaje maana hatuelewi haiwezekani ushitaki wewe ugeuziwe kesi wasione vijana na wananchi tuko kimya !!!!!! Mahakama itambue ya mbeya kesho mkizingua haaaaaaa!!!!!!!
@joshuachuwa5695
@joshuachuwa5695 Ай бұрын
Namuonea huruma huyo dada .Anateseka sana .We baba wewe mwache huyo dada apumzuke na njia zako za kibinadamu.
@annaezra2344
@annaezra2344 Ай бұрын
Sawa baba uko vizuri sana, ili mama wewe nikuangalia ni mnyenyekevu kwa mumeo na kwa mungu pia ila nakushauri usisuke nywele maana ni dhambi kibiblia na ukiwa kanisani ufunike kichwa na wanawake wengine pia waliomo kanisani kwenu
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile Ай бұрын
@annaezra2344. 1Wakorintho 11:15 na huwa sisuki ila nimeziacha zikuwe zenyewe ila soma kitabu hicho
@DismasVenance
@DismasVenance Ай бұрын
Mzee mbarikiwa USIOGOPE HII serekali haitendi hakii haiwezekani wewe Ndo mlalamikaji alafu wewe uhishitakiwa. Dunia inatazama HII jambo tutaandamana haijawahi kutokea Tanzania HII. Tumekaa kimya tuone HUKUMU yao itakuaje Ndo watajua kumbe watanzania wapo makini.
@iantussa9064
@iantussa9064 Ай бұрын
Kusuka ni dhambi?
@annaezra2344
@annaezra2344 Ай бұрын
Sawa mama Mchungaji naomba ufunike kichwa uwapo kanisani kama biblia ilivyoagiza ​@@Mbarikiwa_Mwakipesile
@annaezra2344
@annaezra2344 Ай бұрын
​@@iantussa9064ndiyo biblia imesema kujipamba kwetu kusiwe kwa nje, Bali utu wa ndani
@pauloropian2367
@pauloropian2367 Ай бұрын
Mungu simama na watu wako eebwana,sikia kuomba kwetu amen,naikabidhi family hiiii mikononi mwako bwana.
@MichaelNdamulans
@MichaelNdamulans Ай бұрын
Hakika hawataweza kkufanya kitu chochote kwa jina la yesu tutafunga na kuomba na hayo mashimo watatumbukia wenyewe.
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md Ай бұрын
Mbalikiwa najifunza kwako kuwa mvumilivu kwa habali ya kudhulumiwa uhai wa mtoto wa pekee hilo linauma sio lahisi kuvumilia kweli mungu mwenyewe akufaliji kwa akili zako huwezi kabisa
@MichaelMwasese
@MichaelMwasese Ай бұрын
Mwachieni Hakim na ww kwa Mungu na ww kitakukutakitu dadadek
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 Ай бұрын
Hapo nimeelewa sana hasa maana halisi ya kusimama KIUME!!!!! Mzee unasema maneno na wosia mgumu lakini mimi naupokea kwa mikono miwili!!!!!!!!!!
@jonathankessy9615
@jonathankessy9615 Ай бұрын
Brother I really admire you
@jacklinekirera2980
@jacklinekirera2980 Ай бұрын
God bless your family Baba na mama❤🙏🙏
@lilianmkongwa6426
@lilianmkongwa6426 Ай бұрын
Mimi ni muislam lakini nafatilia sana Huduma zako naumia na mapito unayopitia kuuwawa kwa mdogoangu wokovu kiwe kwa gerezani maumivu anayopitia mkeo na bado unafatiliwa lakini hujawahi kurudi nyuma na unaendelea kusimamia haki kweli wewe na mkeo mmenia mamoja hongereni sana
@adeleyonazi8361
@adeleyonazi8361 Ай бұрын
Mungu awatie moyo! kuwa mfuasi wa Kristo ni gharama watu wa Mungu! Kikombe alicho kinywea lazima tutakinyea tu.... nashukuru kwa moyo wa ujasiri aliokuwekea Mungu! Wewe ni mshindi taji yako utaikuta mbinguni simamia haki Mungu yupo nawe nakuombea. Zishike amri na sheria zake na ambiance warming wako Ukweli wa biblia.
@adeleyonazi8361
@adeleyonazi8361 Ай бұрын
Waambie waumini. Typing error
@jonathankessy9615
@jonathankessy9615 Ай бұрын
Vita si vyako VITA NI VYA BWANA Ashindanaye na Muumba wake atavunjika vipandevipande Maadamu wanataka kuzuia kusudi la Mungu ... HAWATABAKI SALAMA NAANZA TATU KAVU NA MUNGU ALIYE HAI ATAJIBU JUU YA HILI WALIO TAYARI KARIBU TUUNGANE
@cathelinematondo3992
@cathelinematondo3992 Ай бұрын
Mungu wewe ni msemaji wa mwisho 😭😭
@SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr
@SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr Ай бұрын
Kiongozi wakweli anayesema kweli shujaa Dunia inajua wewe nimkweli umesimama nakweli nakweli Yako itadum milele hakika BWANA YESU yuko upande wako yeye yuko nawatu wenye haki
@SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr
@SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr Ай бұрын
Hakika tumeomba Leo natunaendelea kuomba hata kama mbalikiwa atapotezwa wakina mbalikiwa wengi tuta tokea tu
@ALEXMWIJAG
@ALEXMWIJAG Ай бұрын
Amen
@LindaJohn-fy1in
@LindaJohn-fy1in Ай бұрын
Mungu simama mwenyewe baba
@Bless-sk8uv
@Bless-sk8uv Ай бұрын
Ww. kinywa chako chafu unastahili kufungwa
@WilliamIbrahim-dt5nb
@WilliamIbrahim-dt5nb Ай бұрын
Wewe mwanamke mtie mme wako moyo anapo kata tamaa
@user-qm2ve7tx3s
@user-qm2ve7tx3s Ай бұрын
Hao wanaosema unajifanya mtakatifu pekeyako nao wajifanye watakatifu kama wewe na wawe kama hivyo ulivyo ili usiwe pekeyako
@user-yv7xg4em4s
@user-yv7xg4em4s Ай бұрын
Mnakula nini mna ngozi nzuri jamani kama wanyarwandwa
@DicksonPaul-nf2el
@DicksonPaul-nf2el Ай бұрын
Baba baba MUNGU yupo
@AndrewBenson-m4x
@AndrewBenson-m4x Ай бұрын
Uvumilivu huwa na mwisho
@jonathankessy9615
@jonathankessy9615 Ай бұрын
NAANZA TATU KAVU JUU YA HILI SONGA MBELE USIJALI KELELE ZA CHURA
@AnaniaKyando
@AnaniaKyando Ай бұрын
Waovu Bado hawajajua Hawa watu hakuna walicho bakisha zaidi ya kuondoka wakapumzike milele
Simu ya sifa yachukuliwa na mchungaji | mbarikiwa atema nyongo...
53:05
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 10 М.
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 19 М.
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 48 МЛН
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 15 МЛН
Pameanza kuchangamka. Makamu wa Rais achafukwa, Akemea vikali utapeli. Je ni Mwamposa?
21:32
HUU NDIO WOSIA WA MBARIKIWA KWA WATOTO WAKE.
14:15
Devotha Sanga
Рет қаралды 10 М.
Kimeumana: Ruto's dangerous video lands him in a hot soup
10:27
Rogers Kakasungura
Рет қаралды 7 М.
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 48 МЛН