Nyie mnataka kuwadanganya hata watanzania mchana kweup hakuna wakudanganya hii miaka
@munyawerasosthene7548Ай бұрын
CCM Mnamariza Watu Watekaji Ni Vijana Wenu Lakini Chadema Hamtawamariza Mwenderee Tuuu Kumwaga Damu Ya Wana Cadema
@aediaygo8546Ай бұрын
Babu police wanataka ushahidi we si unawajuwa wasaidie😅
@robbywilson224Ай бұрын
Huyu mtu anajibu kiwepesi tu maswala Yanayohusu Maisha Ya watu..mie naona anajibu kisiasa na vitisho kwa wanaotaka kuandamana.. politicians
@ShukuruLazaroАй бұрын
Liko wapi Ilo genge
@khamisikhamisi7225Ай бұрын
Www uko nch TZ marecan acha iitwe marecan
@aboudasilver6541Ай бұрын
Kunauezekano mkubwa upinzani unataka nchi kwa mavhafuko
@AleiHadji-js3edАй бұрын
Nchimbi Nafasi huiweziiii😢😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@NuruJuma-zv3yzАй бұрын
Asante nchimbi kwa ushauri uliojaa hekima
@lovsplyАй бұрын
MMEUZA BANDARI NA MALI ASILI ZETU…. NA MNATEKA NA KUUA WaTZ… HATUDANGANYIKI WASHENZI NYINYI
@JeremiahlukumayАй бұрын
Hii ya wakati huu sio CCM ni fisiem.
@BarakaOchuuАй бұрын
Achen vichekesho
@ShukuruLazaroАй бұрын
Nyie mmelaani wapi utekaji wa watu
@SaidaliKhamis-v4pАй бұрын
La kupigwa trump la siku moja tu la utekaji ni la siku nyingi sana
@ndakimanyakenda1519Ай бұрын
Kweri
@paschalpaul3862Ай бұрын
Tatizo kuna watu wanavamiwa ghafla na polisi na kupelekwa mahabusu pasipo kupelekwa mahakamani hivyo ndiyo mashaka kuhusu watekaji kuanzia hapo.
@boxdadАй бұрын
Namaliza bando langu Bure Bora nikabetie
@EnockKanduli-cv8yrАй бұрын
Uchaguzi 2020 mlipora uchaguzi.
@laurentraphael5470Ай бұрын
Nonsense.
@MasoudyMichael-ox7xlАй бұрын
Sasa mtu anatekwa mchana inakuwaje
@kisrahcogar8538Ай бұрын
Mshirikiane na nan wanafki nyie mxm 😏
@marthadaniel4904Ай бұрын
Mmmh CCM mnachosha san 😢😢makufuli angefufuka ashuhudie mnayoyafany
@moniazaninka540Ай бұрын
Ww mboya kweli maguful ndo alikuwa mtekaji mkubwa
@munyawerasosthene7548Ай бұрын
@@marthadaniel4904 Tanzania Hamna GNZ😂😂😂😂😂
@HamisMussa-j5kАй бұрын
Rafiki wako wa wapi bwana acheni ujinga mboe kasema wapo waliotekwa na kwenye kituo cha polisi kama kweli mbna .msifuatilie hapo ya trump achana naye yy ndio Raisi mtarajiwa .Kwa unategemea hcho chama cha Biden kitaongea nn wakati yy anajua ukweli sikia bob mboe ni mwenyekit wa cdm Samia Raisi wa watz ss uwezi toa mifano yako kufananisha mboe na Samia who must go ss wananchi mnatuchanganya
@angelsgabriely3575Ай бұрын
Bhanaeee tumechoka propoganda zenu!..hamfai kuongoza nchi,nchi imewashinda!..toka watu waanze kutekwa mmechukua hatua gani?..rudisheni kwanza mliowateka ndpo mlete maneno yenu ya kudanganya wananchi!..samia hajachaguliwa na wananchi lkn bado hatambui anatakiwa akaeje na wananchi!..hilo limewafika!..Ndiyo!SAMIA MUST GO!!..GO SAMIA