WANAROGA USIKU ASUBUHI WANAKUJA KUTUDANGANYA. MAISHA NI SIRI

  Рет қаралды 13,293

IPM TV

IPM TV

Күн бұрын

Пікірлер: 53
@kuryatvfilm1161
@kuryatvfilm1161 22 күн бұрын
Tafuteni kwanza ufalme Wa mbinguni hayo mengine ni mtaongezewa
@hajiramadhanihaji355
@hajiramadhanihaji355 4 ай бұрын
Nani wanafanya kafara ,mbona hujiamini Babu ? We juzijuzi tu uliuza mafuta ya dhahabu ? Leo unaleta habari za Kodi?
@VenerandaKundi-ph4hg
@VenerandaKundi-ph4hg 4 ай бұрын
sawA hao wote walichinja lakini yote hayo yamemalizwa na kafara ya damu ya yesu kristo
@PatrickKindole
@PatrickKindole 3 ай бұрын
Hayo yemepitwa na wakati yesu ndiye kafara wetu
@yohanamarco5630
@yohanamarco5630 2 ай бұрын
Endelea kuamini ivyo ubaki kama ulivyo zaliwa.
@NazarethNgwira
@NazarethNgwira 9 күн бұрын
Hubiri tu injiri acha kuponda watu
@Patrick-n2u
@Patrick-n2u Ай бұрын
Duuuh!! Dunia ina mazito kabisa
@AsungwileMwakalebela
@AsungwileMwakalebela 5 күн бұрын
Nakuelewa sana
@PatrickKindole
@PatrickKindole 3 ай бұрын
Hayo yemepitwa na wakati yesu ndiye kafara wetu
@rweumbizalugaimukamu4905
@rweumbizalugaimukamu4905 2 ай бұрын
Huyu ni mganga wala sio mkristo
@MosesSimwanza-z8h
@MosesSimwanza-z8h 19 күн бұрын
Ningosana
@Emmanuel-cp1no
@Emmanuel-cp1no 5 ай бұрын
Ubarikiwe sana huu ndi ukwèli halisi sio wale wanaotupoteza wamejivika ngozi ya kondoo kumbe ni chui wanabaki kujitarisha wao hali ya kuwa waumini wao ni maskini mpaka bas
@Asana-wi7yj
@Asana-wi7yj 4 ай бұрын
Abarikiwe na nini ndugu labda asipotoshe watu
@PatrickKindole
@PatrickKindole 2 ай бұрын
@@Emmanuel-cp1no tuwe na jicho la tatu shalom
@PatrickKindole
@PatrickKindole 2 ай бұрын
@@Emmanuel-cp1no Dam ya YESU nitop kuliko za wanyama Dam ya YESU inanguvu kuliko za wanyama Damu ya YESU INADHAMAN kuliko za wanyama Damu ya YESU NIKAFARA ILIYOTOKA MBINGUNI kuliko za duniani Damu ya YESU haichakai haichuj ni mpya kila itwapo leo soma qagalatia shalom
@yohanawihemba5825
@yohanawihemba5825 2 ай бұрын
nakumbuka maneno haya niliyapata kwababayamgu mzazi 😢mungu amlaze maala pema babayangu,leo naoma kaludi baba mwingine
@BolasieNgongo-rh9wm
@BolasieNgongo-rh9wm 6 ай бұрын
AMEN AMEN AMEN Mungu akuzidishiye
@scolasticakaduma5143
@scolasticakaduma5143 3 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu kwa kutuelimisha
@_the.great.996
@_the.great.996 7 ай бұрын
Amina amin
@K-go1qj
@K-go1qj 2 ай бұрын
Wanasajili huduma za Kikristo kufanya uganga wao huyu anafundisha elimu ya falaki
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 2 ай бұрын
Watumwa wote sheta kazi kwenu huyu hapa mtumwa mwenzenu wa sheta yupo ubaoni kuwapa mbinu mkakati wa kumtumikia sheta kikamilifu mmm kazi kwenu wenzenu tumeshatolewa huko utumwani na yesu tupo hulu tunakula bata maisha safi hatuna hofu viji kuku vyetu na vimbuzi vyetu twala wenyewe hatuna shida wenye vilinge hapana gusa himaya yetu
@MilesReileigh
@MilesReileigh 2 ай бұрын
Anawafunza maisha huyu jamaa.Basi zingatieni.
@AlembekamiteAlembe
@AlembekamiteAlembe 6 ай бұрын
Bro ipm vifaa hivyo sisi tunaoitaji kufanyikiwa na hatuna kitu tutaweza kuvikamilisha kweli
@EngJosh
@EngJosh Ай бұрын
Kwa kuwa wanaroga na sis turoge..!!
@K-go1qj
@K-go1qj 2 ай бұрын
Huo utajiri wa kafara una madhara mwishoni ni lazima uchinje mtu
@MilesReileigh
@MilesReileigh 2 ай бұрын
Si kweli.Ndio maana ni bora kuisoma elimu ya majinj kabla ya kuwatumia.Venginevyo utajipata pabaya.
@barakakevela245
@barakakevela245 4 ай бұрын
NAKUELEWA SANA IPM HAYO MANENO YANATUFUNDISHA SANA UBARIKIWE
@angelsulle7177
@angelsulle7177 4 ай бұрын
Kazi yako ni kuhubiri uchawi???? Hubiri Injiliiiii
@PhillipShoki
@PhillipShoki 4 ай бұрын
Hapo unapajuaje wewe ulisha fika huko
@GetfordMasehe
@GetfordMasehe 5 ай бұрын
Umetisha safi tunataka watu kama nyinyi siyo kufichaficha vitu
@SarahPeter-fg3cm
@SarahPeter-fg3cm 4 ай бұрын
Nimekubali sana we noma uwoo niukweli mtupu
@deogratiusmdemu6289
@deogratiusmdemu6289 2 ай бұрын
Safee sanaa izo levo madaraja ya freemason
@victoriamtangi3287
@victoriamtangi3287 4 ай бұрын
Vp kuhusu damu ya YESU?????
@Abbyjunior-pv5qo
@Abbyjunior-pv5qo 5 ай бұрын
Nimeamua nifat mpk uk kutok Tikit
@GersonAndrea
@GersonAndrea 6 ай бұрын
Maneno magumu ila nimejifunza kitu
@muchind22
@muchind22 7 ай бұрын
Nakuelwa ipm nakufuatilia kutoka Zambia
@gloriaaugustino8031
@gloriaaugustino8031 4 ай бұрын
Mnnnnn
@victoriamtangi3287
@victoriamtangi3287 4 ай бұрын
Is very true jpm
@victoriamtangi3287
@victoriamtangi3287 4 ай бұрын
Mwenzangu eeeeeee ewweeeeee
@nginqKanunga
@nginqKanunga 2 ай бұрын
Kweli mtumishi
@greatest_of_africa
@greatest_of_africa Ай бұрын
😁dhuu watu wanapikwaaa
@HusnaSharifu
@HusnaSharifu Ай бұрын
Huo ndo ukweli
@harountino
@harountino 4 ай бұрын
nimekuelewa ipm
@Abbyjunior-pv5qo
@Abbyjunior-pv5qo 5 ай бұрын
Kanisa lako lip wP ipm😢
@SalhaUchebe
@SalhaUchebe 7 ай бұрын
Tateeee ipm
@TasloSanga
@TasloSanga 7 ай бұрын
Amina, amina, amina
@tiberipolesanakikoti4798
@tiberipolesanakikoti4798 7 ай бұрын
Amina,
@msemakweli243
@msemakweli243 5 ай бұрын
Wewe unadanganya watu wasio jua watakuamini lkn kaa ukijua kwamba hili ufanikiwe ni lazima uchague kati ya mungu na shetani yupi umamtumikia lkn tofauti na hapo unadanganya watu wapumbavu watakuelewa
@yohanamarco5630
@yohanamarco5630 2 ай бұрын
Sio lazima umuamini! Nawe unaweza anzisha kitu kinachoweza okoa wanadamu, usipinge kama huelewi.
@msemakweli243
@msemakweli243 2 ай бұрын
@@yohanamarco5630 naelewa ndo maana napinga wewe ujitambui tatizo
@GeogeHebuka
@GeogeHebuka 2 ай бұрын
IZO NI AKILI ZA USIKU KABISA IPM NINACHO UMIA NIKWAMBA ULIKUWA MUISLAM SASA NAMI PIA NILIKUWA KM WEWE LKN BAADA YA KUMPOKEA YESU KRISTO NIKAYAACHA YA UPANDE WA PILI NA KUANZA KUMWISHI KRISTO VYEMA KABISA.....MAFANIKIO YANA KANUNI ZAKE SIO KUTOWA KAFARA WEWE BADO BWANA MDOGO SANAA KTK KUJUWA NGUVU YA MSALABA KTK PATANISHO LA UTAJILI BADO UJUI THAMNI YA DAMU YA YESU KRISTO PALE MSALABANI KIFUPI NI KWAMBA BADO UJAMPOKEA YESU KRISTO KUWA BWANA NA MKOMBOZI WA MAISHA YAKO.,.🕵️‍♀️🕵️‍♀️UNAALIBU KIZAZI IKI NAWEWE NA NYUMA YAKO ZIKO ROHO ZA KICHAWI NA UGANGUZI NAKUONEA HURUMA SANA VENYE UTAKVYO CHOMWA MOTO KWA KUPOTEZA ROHO NYINGI KUZIMU UNASEMA UNAMPIMA MTU NA KUJUWA YUKO DARAJA GANI JE UATUMIA KIPIMO KIPI....UTAFUTENI KWANZA UFALME WA MUNGU NA HAKI YAKE NA MENGINE MTAZIDISHIWA....SIO MAHARIFA YA KAFALA UNAPO MPOKEA KRISTO ATAKULINDA VYEMA KABISA NA UKIFANYA KAZI KWA BIDII NA KUFATA KANUNI ZA KIUCHUMI UTAFANIKIWA VIJANA WANGU NA WAZEE WANGU TUWENI MAKINI NA NYAKATI IZI😂😂😂😂😂
@Asana-wi7yj
@Asana-wi7yj 4 ай бұрын
Mbona unapotosha watu wewe prophet wa wapi wewe prophet yupi kwenye neno la Mungu anazungumza ushetani kama huu unaozungumza wewe
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 137 МЛН
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 105 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,1 МЛН
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12
JARIBIO LA 11 LA MAUWAJI
35:23
IPM TV
Рет қаралды 1,9 М.
PROPHET IPM AMWAGA  UCHAFU WOTE WA DIDDY/ VIJANA ACHENI TAMAA
24:57
🔴 #LIVE  KUTOA KAFARA  KATIKA SAFARI YA MAFANIKIO
47:41
IPM TV
Рет қаралды 1,2 М.
DALILI ZA KURUDI KWA YESU ( 02 ) Rabbi Abshalom Longan •RUNZEWE GEITA
50:30
Beit Abraham ( Nyumba ya Abraham)
Рет қаралды 63 М.
PROPHET IPM AWATAJA WANAOTAKA KUMUUA
30:26
IPM TV
Рет қаралды 2,5 М.
IPM ATOA SIRI NZITO ZA KAFARA ZA KIBIASHARA
5:16
IPM TV
Рет қаралды 4,8 М.
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 137 МЛН